Wimbo mtamu na wenye ujumbe safi,Mwenyezi Mungu atubariki sote.
@remigiusrevocatus63742 жыл бұрын
kazi nzuri sana Mungu awabariki nyote mliofanikisha kaz hii
@senyagwamedia322 жыл бұрын
Jamn hongereni sanaaaaa F.E.NYANZA huwa hakosei.... Mfkishien Salam zangu
@queenlizzy43342 жыл бұрын
Nice Blessed Much
@teddyjacob9545 Жыл бұрын
Ingawa sura yangu ya utu nje inachakaa kutokana na maisha lakini sura ya utu wa ndani yafanywa upya ❤❤❤ AMINA SANA 🙏 wapendwa katika kristo yesu 🤝 tushirikiane daima
@felisterlulu74942 жыл бұрын
Nice Mungu awaongoze vema kazi nzuri
@deucpatrick48502 жыл бұрын
Mungu si dhalimu big up
@jacklinecharles64602 жыл бұрын
Hongera mwalimu mtunzi na kwaya kwa ujumla kwa wimbo huu mzuri