Maasha Allah, si haba ila mtunzi ningemshauri hii Qaswida kaanza na Maqam Balawa miongoni mwa Maqam za kibabe sana kama na aswa angetembea na Balawa ileile, lkn badala yake aswa kahamia Bayati. Yote Kwa yote ujumbe mzuri. By Maalimsamatta. From Swabirynah Madrassah Kimara
@Athuman-rd4br5 ай бұрын
hii ipo ubungo sehemu gani mm napenda dufu napenda kujiunga na nyie