Allah akujaze kher ndugu yangu, kaka unaongea kiadabu sana na kiwanachuon
@billramadhani4900Ай бұрын
Dah! Shekh Allah akupe umri mrefuu
@MohamedShaddyduАй бұрын
Safiiii kabisa
@MuzafarSaid-k8wАй бұрын
ISLAHA WALIFANYA KAZI KUBWA SANA ZANZIBAR .NAONGEA KAMA SHABIKI WA SWIFA.
@MwinyiJumbe-s8oАй бұрын
Juma israha umekua kaka una haki sasaiv kuitwa shekhe juma, majibu yote unajibu kihekima na busara umekua kaka.
@abubakarindete6cАй бұрын
Shekh wewe mchamungu sana ivyo ndo inatakiwa Kwa kiongozi lazma ukubali
@sadickkasoni8895Ай бұрын
Interview imenyooka
@BwegezaАй бұрын
Mumetumia akilisan nyiny
@MuzafarSaid-k8wАй бұрын
Khalid kwa ISLAHA bado wadogo under ground
@Kamati-vlkАй бұрын
Hapa ndio umesema mapenzi yako yalipo na sio ile kofia ya swifa😅
@MuzafarSaid-k8wАй бұрын
@@Kamati-vlk BABuu mm madufu nainjoy tu lkn sina dalasa lkn mzito na mwepesi namjua.Shida iliyojitokeza Khalid mnaharibu branda za watu kupitia Media yetu Jambo ambalo baya haya ukubwa haupatikani ivo kuwachafua wengine.
@MuzafarSaid-k8wАй бұрын
@@Kamati-vlkKhalid nilikua nawakubali lkn kwa ishu hii mliyoifanya dah? Yani mmeniboa Sana.
@allymsafi1716Ай бұрын
Khalid ni watu wa chuki tu dhidi ya darasa za bara
@MuzafarSaid-k8wАй бұрын
ISLAHA BORA WALIVYOONDOKA ,KHALID WANATAFUTA BRAND KWA ISLAHA.