For Prayers, Support or any information you can call or text us on WhatsApp number +254712641066
Пікірлер: 73
@getrudenabwayo47543 ай бұрын
Who else is here to bless this brother for being a blessings to us through Worship songs,just imgn me without worship songs is like an empty debe, before I start to pray I always feel like this worship has passed a message to Mighty God,now is just to finish with Lord's prayer 🙏.
@SamwelKibiriti3 ай бұрын
Kristo Yesu akubariki sana na kukutunza mtumishi Kwa huduma
@Gospeleverywhere3 ай бұрын
@@SamwelKibiriti Amen
@PATRICIAMWENDE-v7c7 күн бұрын
Am so blessed barikiwa sana Mchungaji
@Gospeleverywhere7 күн бұрын
@@PATRICIAMWENDE-v7c Amen. Mungu akubariki sana pia
@hatungimanajacqueline9592Ай бұрын
Ameeen nimebalikiwa sana
@FrancoiseBahati-py9su2 ай бұрын
Asante kwa nyimbo hii,ninapitiya kwenye vita hapa kazini kwangu, naomba Mungu wa mbinguni asiniache anilinde.
@Gospeleverywhere2 ай бұрын
Mungu Baba mwenye nguvu akulinde na amalize shida zako zote kwa jina la Yesu amen
@izdorblaize2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 Mungu azidi kukuinu Na narikiwa sana❤❤
@WangariHellen-b8hАй бұрын
Amen usiniache yesu
@DeborahMuhindo-i7e27 күн бұрын
Nisaidiye baba sikiya maombiyangu mungu usiyeshidwa
@RehemaKomba-d6t10 күн бұрын
Amen ninaamini baba hutoniacha katika hili
@brianmukhwana74713 ай бұрын
Nakuombea huduma yako na iwe na Izae matunda ..I have browsed KZbin but I have never found such worship songs that carry me to heaven just to worship the Lord..Nyimbo zako hakika zimenibariki Delos..Mungu akutie nguvu kwenye hii safari..We are waiting for more songs😊😊🎉
It's the words you speak that I relate with fully. Be blessed for making it feel like God is seated right by my side and answering all my prayers 🙏 🙌 ..
@Gospeleverywhere2 ай бұрын
@@mumjayla Amen Glory be to God
@nickkirundi82163 ай бұрын
Baraka tele
@shirohkimani71082 ай бұрын
I love your selection. My new start of day Prayer & Worship songs.
@Eva-f4n21 күн бұрын
Amin sana mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@AngelCute-p2b16 күн бұрын
Asante kilstu kwayote uliye nitendea mungu nakuomba enderea kunibariki mm na familia yangu ameni🙏🙏
@agnesm65702 ай бұрын
Sauti zimejaa Utukufu.❤
@RaynaWillium2 ай бұрын
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote💪💪💪
@KelvinMakanga2 ай бұрын
i love the cappela mungu atukuzwe milele amen
@monicamuthia7222 ай бұрын
Hakuna na hakuna kama Mungu wetu. Mbarikiwa brothers am blessed
@evansmoses504422 күн бұрын
God blessed you i really love this song so much
@lindasicho9762 ай бұрын
I love what am listening❤. Beautiful voices with great message of hope.
@charlie61632 ай бұрын
Amen,utukufu sifa na heshima apewe MUNGU
@ALESIACHIJOKA2 ай бұрын
Amen 🙏 Amen 🙏 utukufu sifa na HESHIMA apewe MUNGU NI nani kama wewe baba
@rosieem.k.34743 ай бұрын
Barikiweni sana sana kila saa nakuwa nimengoja mdrop. You are such a blessing to me 🎉
@robaikiveu58703 ай бұрын
I have to listen to your songs every day because I get blessed and keeps me moving in faith
@RoseKungaOnyango3 ай бұрын
More blessings man of God 🙏🙏🙏🙏
@Gospeleverywhere3 ай бұрын
Amen
@VenusMbarizi2 ай бұрын
Hallelujah🎉❤
@hopemusa3012 ай бұрын
Amina mbarikiwe
@kayitarecharles69933 ай бұрын
Amen 🙏 thank you Lord 🇷🇼
@kayitarecharles69933 ай бұрын
Murikiwe watumishi wamungu sauti zenu zinapendeza Mungu ❤❤
@Gospeleverywhere3 ай бұрын
@@kayitarecharles6993 Glory be to God
@LINETOLWENYA2 ай бұрын
Be blessed man of God.
@DorcasWanjiku-vi9mg2 ай бұрын
May God bless you for the nice worship songs
@Gospeleverywhere2 ай бұрын
Amen
@asse328221 күн бұрын
Amen barikiwa sana🎉
@ruthchebii16093 ай бұрын
Yes lord pliz answer my prayers 🙏🙏
@CapitalBInvestee-lr9vl2 ай бұрын
Thank you Jesus 💪
@NIFRETAHOYOTI3 ай бұрын
Yesu anaweza yote ukimwamini ameeen
@janekimani11703 ай бұрын
Im so blessed by this worship to God our father.
@amadasaloon1013 ай бұрын
amena kunijaza baba
@FausterLawrence2 ай бұрын
Mùngù wetu anatuwazia mema
@florentniwenkinzo9263 ай бұрын
Amen hashindwi Mungu wetu .
@dollarswiz2573 ай бұрын
Child of God,you are blessed We love you
@damarisnjoroge48223 ай бұрын
Am blessed
@lindachaky67633 ай бұрын
Amina mtumishi
@serahtheprincess20492 ай бұрын
Thank you be blessed
@sauvenigaba78703 ай бұрын
Amen Amen 🙌
@jesn-marienkurunziza61073 ай бұрын
Ameeeen Ameeeen
@festamwaibabile21902 ай бұрын
Naamini hutoniacha Baba kipindi hiki kigumu kwangu
@Millykamqu2542 ай бұрын
Powerful man of God
@Gospeleverywhere2 ай бұрын
Glory be to God
@AgnesMtaki2 ай бұрын
Be blessed man for making me stay peace in God
@hopemusa3012 ай бұрын
Godbless
@NIFRETAHOYOTI3 ай бұрын
Ameen
@BitangimanaEliane3 ай бұрын
Amen
@DeborahMuhindo-i7e27 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙌
@RaulTech-pp3gcАй бұрын
❤❤❤❤❤❤
@AngelMichael-qh6bf3 ай бұрын
Kila nikisikiliza nyimbo hizo nabarikiwa naona nipo kwenye uwepo na najiona mm napswa kukaa katika uwepo muda wote MUNGU kupitia nyimbo hizi neno lako liishi kwa wingi ndani yangu nabarikiwa
@Gospeleverywhere3 ай бұрын
Amen. barikiwa
@FausterLawrence2 ай бұрын
Amina Amina na Amina VIUMBE VYAKE ANATUPENDA MNO TUSIOGOPE
@DeborahMuhindo-i7e27 күн бұрын
Nisaidiye baba sikiya maombiyangu mungu usiyeshidwa