Swala za Mtume Zinazopingwa Jua Faidika Zake / Chukua Mzigo mdogo Wenye Faida Kubwa - Sheikh Walid

  Рет қаралды 38,518

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Swala za Mtume Zinazopingwa Jua Faidika Zake / Chukua Mzigo mdogo Wenye Faida Kubwa - Sheikh Walid
Sheikh Walid akifundisha Darsa la Tafsiri ya Quraan Ramadhani Mwaka 2020 Linalo fanyika Msikiti wa Kichangani Usisahau ku subscribe na kutu follow katika page zetu za insta na Facebook shukraan
Video by muba Production Magomeni
Subscribe
Comment
Like And share

Пікірлер: 77
@MushiJunior-j4n
@MushiJunior-j4n Ай бұрын
Allah akuzidishie yaliyo na kheri na ww
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 2 ай бұрын
Shekhe wang huyoo alhmdulli llah allah akupe afya kila leo utujuze yaliyo mema inshalaah.🎉🎉🎉
@fatumahamis9206
@fatumahamis9206 4 жыл бұрын
Sheikh Walid alah akuhifadhi hapa duniani na kesho akhera
@allybokasa1298
@allybokasa1298 4 жыл бұрын
Alhamdulillaah kwa faida kubwa ya mwamba Walid,
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 2 ай бұрын
Allaah akbar 🎉🎉
@radjabuminani6366
@radjabuminani6366 10 ай бұрын
Shukran sheikh walid karibu burundi tuna kuitaji inshaallah
@NanaHassan-s8x
@NanaHassan-s8x 10 ай бұрын
Allah akuzidiahie sheikh wetu ❤❤❤
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww... shukran sana sheikh Walid. Jazakallah kheir 🙏. Allah akulinde 🙏
@ffed1876
@ffed1876 Жыл бұрын
Shukran sheikh Mola atufikishe salama ya mwakani inshaAllah
@gahuganogilsonkarim7539
@gahuganogilsonkarim7539 4 жыл бұрын
Barakallahu fiikum
@husnahussein2133
@husnahussein2133 4 жыл бұрын
Sheghe mashaallah , Allah sw amekujaalia sauti nzuri katika usomaji wa qur -ani na me Allah anijaalie nipate mtoto atakae weza kusoma qur-ani kama wewe inshaallah
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 4 жыл бұрын
Amiin yaa ukhty Husna
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Allahuma Amiin
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 5 ай бұрын
Allaahu Akbaru nmeelewa
@yasminrashid4734
@yasminrashid4734 4 жыл бұрын
Masha Allah napenda mawadhayake hushekh sn
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 4 жыл бұрын
Allah ibarek sheikh walid
@umarbakar1694
@umarbakar1694 4 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe. Pia akupe umri wenye baraka. LAKINI atunufaishe na elimu aliyo kujaalia, atupe baraka za kila darasa lako, atusamehe madhambi yetu kwa idadi ya malaika,majini na watu wanao hudhulia darsa zako.
@wardaam3707
@wardaam3707 2 жыл бұрын
maashaallah darsa nzuri maaashallah
@pillykupaza1098
@pillykupaza1098 4 жыл бұрын
Namba za shekh nazihitaj Allah awafanyie wepesi mnipatie nshallah
@omarryshamba11
@omarryshamba11 3 жыл бұрын
Asalam alykum
@pillykupaza1098
@pillykupaza1098 3 жыл бұрын
@@omarryshamba11 walleykumsalam warhamatulah wabaraqatul
@omarryshamba11
@omarryshamba11 3 жыл бұрын
Uhali gani
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 4 жыл бұрын
Jazakallah kheir
@maimunaabdallah5304
@maimunaabdallah5304 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ nakupend San shekh kwa elim
@ukhtyanasabintimalikimalik7188
@ukhtyanasabintimalikimalik7188 4 жыл бұрын
Shukran sana sheikhe
@mamussi6872
@mamussi6872 4 жыл бұрын
Shukran habibi
@muftishaban.a.musamombasak6577
@muftishaban.a.musamombasak6577 4 жыл бұрын
اللهم صل وسلم عليه بارك الله لك يا شيخنا الوليد الهادي
@omarryshamba11
@omarryshamba11 3 жыл бұрын
Asalam alykum
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@shekhansaid9543
@shekhansaid9543 3 жыл бұрын
Mashaallaah
@mariammdose5143
@mariammdose5143 3 жыл бұрын
Maa shaa allah
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@flowerbee5704
@flowerbee5704 Жыл бұрын
Mashallah
@ibrahimsleiman4455
@ibrahimsleiman4455 4 жыл бұрын
Shukran Kwa Dawa
@muryd6999
@muryd6999 4 жыл бұрын
Shukran 🙏💯
@fatmaismail4885
@fatmaismail4885 4 жыл бұрын
Mashall
@fatmaismail4885
@fatmaismail4885 4 жыл бұрын
Mimi kwangu shukurani shekh kila heri mwenyezi mungu ukupe kila wepesi
@abdulrahimmuhammad2844
@abdulrahimmuhammad2844 4 жыл бұрын
Masha Allah alhamdulillah jazakallahu habyyyyb MOLA MLEZI AKUHIFADHI, NA AKUKHITIMISHE KWA KHERI
@qaniyowcade-v9i
@qaniyowcade-v9i Жыл бұрын
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatu isiwe tena ni sababu za kupuuza amali...vitendo vizuri havina udogo wala ukubwa..
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdulkadiryowerimahmud4193
@abdulkadiryowerimahmud4193 2 жыл бұрын
Tukathirithe swala kwa mtume 🙏🙏🙏🙏🙏💯
@asnetojoel6778
@asnetojoel6778 Жыл бұрын
Asalam alaikum! Ningeomba uwe mukiandika hizo dua za kumswalia mtume kwa maana wengine wetu, kama mimi tulislimu juzi na tungependa kuzijua hizo dua. Asalam Alaikum.
@EddyEddyson-m6f
@EddyEddyson-m6f Жыл бұрын
Allahumma sali salatan kamila wasalim salaman tamma Allah sayydina Muhammad alladhi tan anruby inn rukady watanfarijuh bihinkulabu watukudhwa bihin hawaijhi watunarubihi laghaibu wahusnall khawatim wayyustaghal khamam bihi wajii Karim waala alih wasabihi fikull lamkhati wanafasin adadi kully malumin laka : kwakwel kwenye huandishi co mkuz sna nilipo kosea nisamehewa Allah Kareem 🙏
@ZainabuAbdulmajid
@ZainabuAbdulmajid Жыл бұрын
Allahuma swalli swalatan kamilan,wasallim salaman taamma,alaa sayyidna muhammadin,alladhii tanhallu bihil,uqad,watanfarijubihilqurab,watuqdhwaa bihilhawaaiju,watunaalubihiraghaaibu,wahusnulkhawatimu,wayustasqalkhamamu biwajihihilkarimu,waalaa alihi wasahbihi fii kulli lamhatin wanafasin biadadi kulli maaluumi llak
@ZainabuAbdulmajid
@ZainabuAbdulmajid Жыл бұрын
Sheikh me naitafuta ile swala ya mtume ukisoma unaongezewa ilmu
@fadhilaassey2340
@fadhilaassey2340 4 жыл бұрын
mashaa allah naombeni namba ya shehe
@hassanmwaliko6895
@hassanmwaliko6895 2 жыл бұрын
Shukuran shk kipozeo kwa mawaitha yako matamu sana.na Kuna ukweli ndani yake pia,(staimili tu ndivyo ukweli ulivyo)
@GamelaAhmed-th1ik
@GamelaAhmed-th1ik Жыл бұрын
Anaitwa sheikh warid na sio sheikh kipozeo
@allybokasa1298
@allybokasa1298 4 жыл бұрын
Darsa tv Kuna darsa zinaendelea za quraan kila jumanne pale kichangani tinaomba pia utukusanyie sheikh tupate faaida
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
SAWA MWALIMU TUNALISHUGHULIKIA HILO INSHAALLAH
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 Жыл бұрын
NASWAHA ZANGU KWAKO NI UWE MSIMAMO WAKO HUO HUO UWE MAKINI USIBAKWATIKE NA BAKWATA JITAHIDI SANA.
@ibrahimgamba8053
@ibrahimgamba8053 3 жыл бұрын
Assalam'alaikum warrahmatullah wabaraqat., Allah azidi kuwabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya. Lakini ninashauri muandae vipindi vyenu kwa mtindo wa episode ili iwe rahisi kwa mtazamaji kufatilia hata kama akipitwa na vipindi kadhaa basi aelewe aliishia episode ya ngapi kabla ajaendelea.. Waahadha assalam'alaikum warrahmatullah wabaraqat
@abdulkadiryowerimahmud4193
@abdulkadiryowerimahmud4193 2 жыл бұрын
Usijali ndugu we fuatilia tu😍😍😍😍
@abdimwalim3505
@abdimwalim3505 Жыл бұрын
Assalam alaikum natamani uwe unapitia comment zetu na unazifanyia kazi naomba kitabu kilokusanya swala za mtume na ufafanuzi wake
@sumaally1056
@sumaally1056 4 жыл бұрын
Swalatu alanabii niutajili mkubwa sn nimefanya nimeona
@minaniabdul8974
@minaniabdul8974 4 жыл бұрын
Niambie
@sumaally1056
@sumaally1056 4 жыл бұрын
Ukifanya kumswalia mtum Kila siku utaona maajabu mswalie kwa wing sn utaona Mambo Yana kuja tu bila kutegmea ndug
@abdallahismael3993
@abdallahismael3993 4 жыл бұрын
Eb nieleze tafadhali faida yake
@sakinamohamedy7506
@sakinamohamedy7506 4 жыл бұрын
Ebu nieleze ulifanikiwa kwa kiwango gn na ulifanyaje
@mamussi6872
@mamussi6872 4 жыл бұрын
@@sakinamohamedy7506 Fanya sakina utayaona hayo maajabu yake mpendwa
@zakiyumtabazi4343
@zakiyumtabazi4343 Жыл бұрын
Shekh twende taratibu watu tunataka tuandike
@HajiNgaeka-qw3kz
@HajiNgaeka-qw3kz 8 ай бұрын
Hako kauradi chamwisho kazuli tuandikie kwe koment umu
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 9 ай бұрын
😂😂
@mgosilawanukoviri2734
@mgosilawanukoviri2734 Жыл бұрын
Yani we hamza kimalo katika mafala Yani ww bonge lafala hebu tupe angalau uliotunga wewe Kisha watu waka yakaria kikao
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
SHEIKH WALID SWALAHT NNARIYA NI SWALA YA KUTUNGWA YAANI NI BID'A,HAJAFUNDISHA MTUME صلى الله عليه وسلم WALA MASWAHABA ZAKE!! HIVI TUMEMALIZA ALIYOYAFUNDISHA MTU KTK DUWA NA IBADA,MMPAKA TUCHUKUWE HIZO ZA BID'A?
@husseinmwiti2801
@husseinmwiti2801 Жыл бұрын
Sala hii inayoitwa (moto) haikuthibitika na wala haikusahihishwa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). ilijumuisha maana za uwongo zinazopingana na Sharia, kwa sababu mwenye kusuluhisha mkataba, na kuondoa dhiki, na kutimiza haja ni Mwenyezi Mungu, Utukufu ni Wake.Hana mshirika, na mambo haya ni miongoni mwa sifa za Mwenyezi Mungu, na wala Malaika wa karibu wala mjumbe anayo hayo.Mwenyezi Mungu akasema: (Ni nani anayemjibu mwenye dhiki anapomwomba, na anaondoa shari na kukufanyeni makhalifa katika ardhi? Je! Yuko mungu pamoja na Mwenyezi Mungu? Hamkumbuki kidogo). [An-Naml:
@bornvillagevlog4566
@bornvillagevlog4566 Жыл бұрын
@@husseinmwiti2801 na brother si Allah alisema we send salutation to our prophet Muhammad S.A.W?
@jamillahaidha8184
@jamillahaidha8184 Жыл бұрын
@@bornvillagevlog4566 ongea kiswahili wengine hawawezi kukujibu
@Teacher........
@Teacher........ Жыл бұрын
*HEBU KIMARO CHUNGUZA MBONA WATU WAMPENDA MTU HUYU ANAETUMIA SWALAATUNNAARIA ....KTK NNAYOKUMBUKA NIKUA ALLAH AKIMPENDA MTU FULAN HUMWAMBIA JIBRIIL THEN INAENDLEA MPAKA KWA VIUMBE....KUPENDWA KWA ZUCHU NK ....KULE KUNA USHEITWAN HAWAPO KWA ALLAH👈HAYA NI MANENO YAAKIBA*
@TwaliathAndrea-dm3dy
@TwaliathAndrea-dm3dy 7 ай бұрын
Mswalie kwa iliyothibiti. Lkn mswalie mtume kwa wingi
@suleimannjoroge5075
@suleimannjoroge5075 2 жыл бұрын
Jazakallah kheir
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
49:49
Al Hijra Video Production
Рет қаралды 39 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
FAIDA YA SWALA ZA MTUME
1:13:52
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 50 М.
HII SALA YA MTUME USIIWACHE FUNGUA RIZIKI POA MARADHI BADILISHA MAISHA
1:06:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 76 М.
Chunga Ulimi wako - Sheikh Walid Alhad
24:06
Kalamutz
Рет қаралды 15 М.
FADHLA NA UBORA WA KUMSWALIA MTUME (S.A.W) l  SHEIKH HASSAN AHMED
32:37
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 49 М.
qisas salaatu naariya sh.mxm.wacdiyow
29:23
Cabdalla Macalin TV
Рет қаралды 29 М.