HII SALA YA MTUME USIIWACHE FUNGUA RIZIKI POA MARADHI BADILISHA MAISHA

  Рет қаралды 57,507

OTHMAN MICHAEL ONLINE

OTHMAN MICHAEL ONLINE

11 ай бұрын

Пікірлер: 184
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 ай бұрын
Shekh Michael tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AsnatiAmiri
@AsnatiAmiri Ай бұрын
Shukran sana shekh wetu Allah akuingize pepo ya juu uingie pamoja na mtume wetu Muhammad kwa utukufu wake Allah
@Marjeby
@Marjeby 11 ай бұрын
Mungu akujaze kheri nyingi wallah wangu Sheikh Othuman ni mtu wa kwanza kabisa kupitia kwake nimejua umuhimu wa swala ya bwana mtume na nimekuwa nafata maelekezo yake tangu kipindi hicho mungu shahidi yangu nimebadilisha maisha yangu sana sana mie ni msomi wa degree ya sheria lakini ilifikia kipindi hata sioni umuhimu wa kuwa na degree ya sheria but tangu nilipo mjua sheikh Othuman na maelekezo yake juu ya swala ya bwana mtume wallah naona umuhimu wa elimu yangu,mungu amenifungulia neema mpaka nashangaa nna kila kitu nimeoa pia naishi vizuri sana hakuna mtu atakuja niachanisha na swala za bwana mtume mpaka kufa kwangu. Nakuombea sana mungu akupe umri mrefu akupe zaidi ya anayotupa sisi kupitia mawadhi yako wewe na kizazi chako pamoja na walimu wako pia sijawahi kukusahau kwenye dua zangu. Now nafanya kazi nje ya Tanzania but siku nikifika Tanzania sheikh wangu lazma nije kukueleza ushuhuda wangu uso kwa macho.
@user-do8yb7ff3v
@user-do8yb7ff3v 11 ай бұрын
Mashalah ntaanza kesho inshalh
@mwadawaidd1751
@mwadawaidd1751 11 ай бұрын
Unaifanya Mara ngapi,usiku au mchana,
@Marjeby
@Marjeby 11 ай бұрын
Nafanya usiku siku nikiwa na nguvu nafanya mara 1570 but nyingi nafanya si chini ya 1000
@mwadawaidd1751
@mwadawaidd1751 11 ай бұрын
Shukraan ,unatia vipi Nia,Kuna wakati nikifanya mwili unasisimka ,je hizi hal ni za kawaida?na zina maana gani
@samiraselemani8045
@samiraselemani8045 11 ай бұрын
🎉sawa
@SumaiyahHassan-yr1pr
@SumaiyahHassan-yr1pr Ай бұрын
Swala hii inanipa aman kila nikihisi tafran😭❤❤❤❤Alhamndulilh Allah akuhifadh shekh othman
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 ай бұрын
Shekh Michael unatupa masomo mazuri sana. Tunashiba, tunajisikia vizuri moyoni. Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema na maisha marefu
@usseneabelnfalume-sr2kx
@usseneabelnfalume-sr2kx 9 ай бұрын
Sheikh Othman Eu te Amo por causa de Allah, Sou de Moçambique🇲🇿
@user-kl4km4tj3q
@user-kl4km4tj3q Ай бұрын
Walahi from tha bottom of my ❤️.....l love this guy Allahu Akbar
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 11 ай бұрын
Swala ya mtume imenipa vitu siku tarajia ntavipata..jazzakallahu kheir😢❤
@saidbahanuzi
@saidbahanuzi 11 ай бұрын
Unamswalie unatumia swala ipi ya mtu ndugu yangu
@yusufmod1437
@yusufmod1437 11 ай бұрын
Tupeni Siri ndugu zetu
@user-db3hv6zq1d
@user-db3hv6zq1d 11 ай бұрын
@@saidbahanuzi mimi natumia ile ya allahumma swalii Alaa sayyidna Muhammad waalaa alihii wa as'wahabihii.
@saidbahanuzi
@saidbahanuzi 11 ай бұрын
@@yusufmod1437Asalamu aleykum kaka nilicho gundua mpaka sasa ukimswalia sana mtume swalallahu alayhiwasalm unakuwa na Furaha atakama lileunaloliomba halijakuwa unahisi Kama sasa ivi litakuwa ishallah tusiwache kumswalia ili tupate wepesi katika harakati za maisha
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 ай бұрын
​@@user-db3hv6zq1dunasoma ngapi kwa siku?
@user-ep7we8br6r
@user-ep7we8br6r 9 ай бұрын
Nakupenda kwa ajil ya m/ mungu wew na sheikh othuman maalim,,,sheikh walid Alhad jazzaqalah kh'aira allah akulipen
@BABYRAMAMINA-rj4vy
@BABYRAMAMINA-rj4vy 11 ай бұрын
Mm na na namuomba allah anijaalie pepo ya dunia na ahera nautlivu INSHAALAH KWA SIFA HABIBUNA MUHAMMAD( S. A.w)
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 11 ай бұрын
Allahumma Swali Alaa Habibi Muhammad Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@SaalimmodyAbubakar-mn1sg
@SaalimmodyAbubakar-mn1sg 18 күн бұрын
Mashallaah sheikh wangu
@BimwanaMohamedi-ql4ph
@BimwanaMohamedi-ql4ph 8 ай бұрын
Mashaallah sheghe Osman mungu akupe maisha marefu na akuepushie na moto na akupe Nuru kwenye kaburi lako
@user-kl4km4tj3q
@user-kl4km4tj3q Ай бұрын
❤Masha ALLAH
@user-ll2ti1yk7c
@user-ll2ti1yk7c 4 ай бұрын
Shehe jitahidi kutoka daawa maana watu wengi wanarudi upande wa Allah na fadhwila zako ziko kwa Allah inshaallah hakika Dunia nzima inakupenda mashaallah Mimi nafulahi kwa majambo unayofanya shehe
@chimamyjey1479
@chimamyjey1479 11 ай бұрын
Shukrani shekh Allah akulipe ujira mkubwa sana na ukawe mja WA Pepo ya firsaus kesho Kwa Allah,,,,,,,nimeona maajabuu makubwa ambayo sijategemea km ipo siku neema hizi zitatokea.... Alhamdhulilh,swala ya mtume hakika ndio kiboko ya mafanikio Ila zingatio ,ukianza tu usiache iwe kawaida utaona maajabuu mengi sana.
@user-pk3si6ku4f
@user-pk3si6ku4f 20 күн бұрын
Mansha’Allah Jazaakum Allah Kheir Shukran Shekh
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 11 ай бұрын
Masha Allah very beneficial lecture BarakAllah feek
@jumadawa1968
@jumadawa1968 11 ай бұрын
Asalaamu alaykumu warahmutullahi naomba uniherekeze jisi nya kuswalia mtume tafadhali
@user-kl4km4tj3q
@user-kl4km4tj3q Ай бұрын
Ninapo sikia sauti hii najihisi kana kwamba tuko peponi.....😂
@nasradada7050
@nasradada7050 11 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله. Allah atu raisishie kweli mi wakati Niki leta dhikri iyo Hua afanya moyo baridi na pia kua na furaha Ila bada YA mm ukiacha siku mbili Allahu Akbar mtihani kweli
@miishhassn
@miishhassn 11 ай бұрын
Same to me🥰
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 6 ай бұрын
Kumbe tuko wengi hata sitak tena kuacha Inshaallah Allah atufanyie wepes kwa hili
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d 6 ай бұрын
Nami nitaanza leo
@fayokassim6339
@fayokassim6339 11 ай бұрын
Jazakallahu khyran
@user-sh7id8of5m
@user-sh7id8of5m 9 ай бұрын
Jazakallahu lkheri shekhe wetu allah akuhifadhi na kila hasadi za ndani na nje nakupenda kwa ajili ya allah
@nafisagashu5361
@nafisagashu5361 11 ай бұрын
Alhamdulillah shukran,mafundisho yako nimeridhika nayo naona noor njema
@fatumakambi960
@fatumakambi960 11 ай бұрын
MASHALLAH SHEHK MWENYEZI MUNGU ATUWEZESHE INSHALLAH
@zainabiddi8650
@zainabiddi8650 9 ай бұрын
Mashaallah. Jazakallahu kheir sheikh
@sadalujuo6624
@sadalujuo6624 11 ай бұрын
Wallahi shekh Othman mungu akulipe kila la kheri mm ni miongoni mwao
@mebazaunga8652
@mebazaunga8652 11 ай бұрын
Mashallah!! Allah akuhifadhi sheikh Othman.
@mozamoza3960
@mozamoza3960 10 ай бұрын
Masha Allah tabarak Rahman❤
@HusseinBahati-wb1gz
@HusseinBahati-wb1gz 5 ай бұрын
Maashaallah tabbarakallahu.Allah akuhifadhi
@MunaYusuf-pv1xu
@MunaYusuf-pv1xu 3 ай бұрын
Mashallah Allah Shekh Allah akuzidishie kheri na ss uzidi kutupa Elimu na tutumie kwa kheri
@MudyChuma-mm9pb
@MudyChuma-mm9pb 13 күн бұрын
Shukra alhabib twakueleeeeewa shk❤
@zainababass2407
@zainababass2407 Ай бұрын
Naam lnshaallah 🤲🙏🙏🙏
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 11 ай бұрын
Sheikh Othman Allah akuifadh
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 ай бұрын
Allaahu akbar
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 11 ай бұрын
Allaahuma swalli alaa sayyidinaa Muhammad wa Aalihi wa Swahbihi wa sallim
@daudkipkare7550
@daudkipkare7550 9 ай бұрын
Allaahuma swalli Alaah sayyidinaa Muhammad wa Aalihi wa swahbihi wa saliim
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d 6 ай бұрын
Kumbe ni hii allah awalipe kheri zaid
@user-jh5px2xl8u
@user-jh5px2xl8u Ай бұрын
Asanteeni saana kwa kutufungua
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 11 ай бұрын
بارك الله فيك اخي الكريم
@mwanaramadhan7059
@mwanaramadhan7059 11 ай бұрын
MashaaAllah jazakAllah ukheri
@salimbiaisha6466
@salimbiaisha6466 4 ай бұрын
Shukran sheikh wetu. Allah akubariki
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 ай бұрын
Ya salam ya salam
@zahrabonaya659
@zahrabonaya659 11 ай бұрын
JazzakAllah khry
@zainabuabdi8549
@zainabuabdi8549 9 ай бұрын
Jazakalahu kher
@MwanaishaSaid-tw6en
@MwanaishaSaid-tw6en Ай бұрын
Jamaan me mwenzenu nkisoma napatwa na jisingizi ziitoo Hata sifiki mahali
@rayamussa8915
@rayamussa8915 11 ай бұрын
Walwah unafufua imani zetu mana husubutu kukata tamaa Allah akulipe kheir
@abdulnuruhassan8611
@abdulnuruhassan8611 11 ай бұрын
Shukran shekh hosman mayco
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 11 ай бұрын
Mashallah tabarakalah
@athumanimachozi3360
@athumanimachozi3360 5 ай бұрын
Jazzakallahu kheri yaa Sheikh othmani
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 11 ай бұрын
Swadakta Sheikh wetu
@faridahkavochi8079
@faridahkavochi8079 11 ай бұрын
Mashaallah tabarak Allah
@mwantumjaff1602
@mwantumjaff1602 10 ай бұрын
A.alaykum, shukran Sheikh ALLAH akulipe dunian na akhera
@halimakenya3632
@halimakenya3632 11 ай бұрын
Mashallah
@niilmabakar8108
@niilmabakar8108 11 ай бұрын
Allahu maswali wasalim alleh
@HasnutMfuruki
@HasnutMfuruki 2 ай бұрын
Shekh unsatisfactory m.mungu akuongize akupe upendeleo waelimu..unachambuwa inaeleweka
@nayeemn9275
@nayeemn9275 10 ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Rahman, Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka.
@mariamkai2705
@mariamkai2705 11 ай бұрын
Mashallah naipenda
@DannielMwakyusa-vm8sc
@DannielMwakyusa-vm8sc 9 ай бұрын
Manshallah shekhe othiman allah akulipe
@ibrahimkombe5855
@ibrahimkombe5855 3 ай бұрын
Sheikh wangu leo naskiza mawaidha yako lakini kwenye background nkaskia wimbo wa Zuchu "hunnie" 😂😂
@TwaliathAndrea-dm3dy
@TwaliathAndrea-dm3dy 2 ай бұрын
Yani kumswalia mtume ht ukiingia kokote heshima yako inazid ht mabos unashangaa ht ukipanda basi wanakutetemekea. Ht ukikuta watu sehemu wewe unakuwa juu yao. Niamin nawambia
@omaryissa2562
@omaryissa2562 11 ай бұрын
Barakallah fiki
@Adriana-cs1js
@Adriana-cs1js 5 ай бұрын
Mashallah sheikh
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 8 ай бұрын
Mashaallah.....kazana Ndugu yangu .
@user-do3zz3ju6s
@user-do3zz3ju6s 11 ай бұрын
Mashallaah .
@musoneraantoine3649
@musoneraantoine3649 11 ай бұрын
Barakallah fiik
@AshaHassan-fl8tw
@AshaHassan-fl8tw 10 ай бұрын
Maashallahu shekhe inshaallah
@Azuu-rq6te
@Azuu-rq6te 10 ай бұрын
MaashaAllah
@bahatikatanga
@bahatikatanga 11 ай бұрын
Mashallah❤❤
@fatmahajj8324
@fatmahajj8324 11 ай бұрын
Mashaallah y
@SmilingBirdwingButterfly-yq5qt
@SmilingBirdwingButterfly-yq5qt 5 ай бұрын
Mashaallahu
@MudyChuma-mm9pb
@MudyChuma-mm9pb 13 күн бұрын
Shukra alhabib twakueleeeeewa shk
@HasnutMfuruki
@HasnutMfuruki 2 ай бұрын
SHEKH KWAREHMA YA MAMA YAKO.UNAVYO UNAVYO MUENZ MAMA WALLAH.UNAMPA FURAHA ALLAH.ZIDISHA ZAIDI..PIA TUOKOLEE VIZAZI VYETU PLS
@user-bt8bk7pm6e
@user-bt8bk7pm6e 8 ай бұрын
Mimi kweli imeniokoa azkar ya Yunuss. Alhamdulillah.
@user-ep7we8br6r
@user-ep7we8br6r 9 ай бұрын
Assalam alaykum sheikh othman. Allah akulipe kwa kutuelimisha allah akup umr mrefu uendlee kutufundish tucyoyafaham
@HabibaSwalehe-bx4wr
@HabibaSwalehe-bx4wr 3 ай бұрын
Mashaalla allaa ni mwingi wa rehema tumuombe sana sana sana yote yanawezekana
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 4 ай бұрын
asalam alykm sheikh. daah mi nakupenda kw ajili y Allah. 😂😂😂😂😂😂👊🏿👊🏿👊🏿🙏🏿
@miishhassn
@miishhassn 11 ай бұрын
Allah akulipe kher dunian na kesho akhera 🥰 swala ya mtume inekuwa kam nuru kwang 🥰🥰🥰🥰
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d 6 ай бұрын
Ipi hiyo niandikie tafadhari
@miishhassn
@miishhassn 6 ай бұрын
@@user-zz5ng1yb8d allahu maswall alaa sayyidinaa muhammad wa aalihi wa aswhaabihi wasallam 🥰
@user-zz5ng1yb8d
@user-zz5ng1yb8d 6 ай бұрын
Shukran sana allah akupe heri Zaid.
@miishhassn
@miishhassn 6 ай бұрын
@@user-zz5ng1yb8d aamin
@HasnutMfuruki
@HasnutMfuruki 2 ай бұрын
❤❤❤❤allah akuzidishie ilimu
@animamichael3968
@animamichael3968 11 ай бұрын
Shukran
@salmakhatib4932
@salmakhatib4932 8 ай бұрын
shukran❤
@user-rn1qr8xu9i
@user-rn1qr8xu9i 7 ай бұрын
mungu akupe maisha marefu ttzd kumswalia ili mungu atusaidie
@user-db3hv6zq1d
@user-db3hv6zq1d 11 ай бұрын
Jazaqallahu kheir.mimi bado napapbana nayo.nafkia hadi 3000 kila siku.nna mwezi mzima.sijafaanikiwa,ila sijakata tamaa na pambana tu
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 11 ай бұрын
Inawezekana hujapata unachokita lkn Allah pengine anakuepusha na mabalaa mengine muhimu tusikate tamaa tuendelezee kwasabb hii ni ibada ukifanya unapata thawabu.
@user-db3hv6zq1d
@user-db3hv6zq1d 11 ай бұрын
@@salmaalkyumi6030 ndio.ndo maana nimesema sikati tamaa,naendelea kupambana
@zaidinakimolo4538
@zaidinakimolo4538 11 ай бұрын
Kuna sehem unakosea maan swala ya mtu haimuachi mtu tena ndani ya sk 3 au Saba angalia vzr Kuna kitu apo
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 11 ай бұрын
Mmhh! Mi nikisoma mara 1500 silali njaa siku hiyo kwa uwezo wa Allaah! Tatizo nna uvivu nikisoma napewa rizqi mfululizo matokeo yake najisahau naacha mpaka nikiishiwa ndio nazinduka niimbeeni Kwa Allaah nidumu na kumswalia mtume
@zaidinakimolo4538
@zaidinakimolo4538 11 ай бұрын
@@jabirhussein4180 MashaAllah wallah waislam tunaneema kubwa San twashindwa tu kuitumia
@saidfaiz8483
@saidfaiz8483 2 ай бұрын
Aslaam alaikum vipi hali
@lelooolomy3105
@lelooolomy3105 Ай бұрын
Mwenye kuifahamu namna yakuiandika tafadhali aiyandike hapa nii copy
@ahmedtalbu5193
@ahmedtalbu5193 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ShabaniMlangusi
@ShabaniMlangusi 2 ай бұрын
Shekh elim zote hizi,tiba kumswalia mtume mambo ya uchawi namengine ulisoma miaka mingapi hadi nakuonea wivu wallahi siulizi kwaubaya wallah umejaaliwa
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 2 ай бұрын
Na alikua mkristo kasilimu
@HasnutMfuruki
@HasnutMfuruki 2 ай бұрын
Waliyullah hapana bwana.wewe unashushiwa elimu.sio kawaida.
@omanmct135
@omanmct135 10 ай бұрын
Kiumbe borA kuliko viumbe vyote duniyani❤❤❤❤
@Twahilikhamisi
@Twahilikhamisi 11 ай бұрын
M Allah ajanipa nachokitak ila siku nisipofnya adhikari :basi nahisi kqm Kuna kitu sijafnya na piah nautulivu San katka moyo
@samiraselemani8045
@samiraselemani8045 11 ай бұрын
🎉mungu akubaluki
@hakizimanaramadhani5222
@hakizimanaramadhani5222 3 ай бұрын
Tusaidiyeni ni ipi swala hiyo ya mtume tutumiyeni nayo.ao ni ile inayosema ALLAHUMMA SWALLI ALA MUHAMMADIN HADI MWISHO ???
@ummyayman9449
@ummyayman9449 4 ай бұрын
Tufundishe na ufunguo wa pepo za umasikini tushazisikia
@user-lx4bj8di6h
@user-lx4bj8di6h 8 ай бұрын
Mm pia nishuhuda swala ya mtume tusiiache
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj 10 ай бұрын
Assallam walky warakumatullah wabrakatullah,,niulize sheikh huna what'sp
@sadamakame7684
@sadamakame7684 10 ай бұрын
Assalamu alaykum, shekh othman naomba no zako nnashida binafsi kuhusu izo dhikr
@user-xx9nu4ks3j
@user-xx9nu4ks3j 7 ай бұрын
Assalamu Alaykum sheikh mie natimiza mwezi namsalim bw Mtume ila bado rizki zangu ni ngumu jee nina tatizo gani
@zainabuabdi8549
@zainabuabdi8549 9 ай бұрын
Swadhakat
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 11 ай бұрын
Mashaaallaah
@user-ep7we8br6r
@user-ep7we8br6r 9 ай бұрын
Kiukwel nafx yngu husuuzika niwackiapo kwa darsa zenu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 11 ай бұрын
Wallah nimejikuta tu natabasamu kusikia allah alimuita kwa jina lautani ni kweli hapo kweli ulikuwa utani
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 11 ай бұрын
Yani kwenye channel tunashiba. Kama tunakula chakula kitamu. Alhamdulilah.
@araphabaraza3997
@araphabaraza3997 11 ай бұрын
Alhamdulliahi! Shekh, binafsi nimeanza kupata majibu Shekh! Nimepata vile Vifaa nilivyokupigia kukueleza Shekh! Muda si mrefu kiwanda kitaanza. Naendekea kumsalia mtume wetu Muhammad! Swallallauwasallam! Amina!
@faridaikussi
@faridaikussi 9 ай бұрын
​@@araphabaraza3997subhaanallah Allahu akbaru
@user-ko4wq5eu1z
@user-ko4wq5eu1z 7 ай бұрын
Mashaalla aallahu akuzidishiye elimu akupe umri murefu
@flowerbee5704
@flowerbee5704 11 ай бұрын
Mashallah
TAJIRIKA KIMALI. NA KITHAWABU KWA KUSOMA NYIRADI NZITO HIZI FANIKIWA HARAKA
52:31
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 111 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 84 МЛН
UZITO WA KUMSALIMU NA KUMSALIA MTUME MUHAMMAD
58:05
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 6 М.
WEWE NDIO MAS'UL / SHEIKH HASSAN AHMED
34:12
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 5 М.
UKIYAFANYA MAMBO HAYA UNAKUWA TAJIRI | SHEIKH OTHMAN MICHAEL
53:41
QIBLATEIN ONLINE
Рет қаралды 85 М.
UKIDUMU NA ADHKARI HIZI UTAISHI KIFALME DUNIANI NA AKHERA || SHEIKH OTHMAN MICHAEL
30:41
JIANDAE KUTAPIKA UCHAWI KWA KUSIKILIZA KISOMO HIKI
43:04
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 23 М.
YAJUE HAYA JUU YA SALA YA MTUME (S.A.W): SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:10:44
SH  OTHMAN MICHAEL | JINSI YA KUITEKELEZA SWALA YA MTUME (saw)
52:44
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 12 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН