SWISS ROLL YA CHOCOLATE NA VANILLA

  Рет қаралды 25,349

Aroma Of Zanzibar & Beyond

Aroma Of Zanzibar & Beyond

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH , KINDLY FOLLOW THIS LINK kzbin.info/www/bejne/ppPSeHufo8x8g5o
@zuhaidahmohammed8268
@zuhaidahmohammed8268 4 жыл бұрын
Asalm alykm tulikuwa tunahitaji cheese cake inavyo tengenezwa plss
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
@@zuhaidahmohammed8268 Recipe ipo zamani angalia hii link kzbin.info/www/bejne/nXzFgp2IjKiZacU
@zuhaidahmohammed8268
@zuhaidahmohammed8268 4 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar ook inshallah ahsant
@khaulaali4814
@khaulaali4814 5 жыл бұрын
Assalam Alaykum Warahmatu Allah Wabarakatuh,vipi hali yako.Nichukuwe fursa ya kukupongeza Maa Shaa Allah!Yaani mwalimu yeyote si mfahamu wala simuamini zaidi yako ,yaani njia zangu nzuri za ufundishaji. Allah akupe kila la kheri.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Aleikum Musalam, alhmdulilah nashkru. Amin
@halimahussein6589
@halimahussein6589 Жыл бұрын
Kwa asie na oven yuwapikaje?
@siriyangu4724
@siriyangu4724 5 жыл бұрын
Mashallah nkuwa na hamu sna kuijuwa shkran bi aroma jazzy Allah khery
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Afwan deae
@hafsahajiabeid5768
@hafsahajiabeid5768 3 жыл бұрын
Shukran habibty Allah.baarik
@shadyaalismaily8802
@shadyaalismaily8802 2 жыл бұрын
Mashaallah nice😍👌
@rukayasalafiyat5230
@rukayasalafiyat5230 5 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH HABIBTY UKO SAWA
@fatmajezan6812
@fatmajezan6812 5 жыл бұрын
Very nice thanks for sharing
@reemamour8714
@reemamour8714 5 жыл бұрын
Asante sana aromo zanzibar kwa mapishi matamu Allah akupe afya njema nakutakia kheri ya mwaka mpya.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Shukran, Amin kwetu sote
@nassrarajab8876
@nassrarajab8876 5 жыл бұрын
Mashallah habibty nilikuwa nahamu nijuwe swiisroll Shukran
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah.
@sharifahamed3845
@sharifahamed3845 4 жыл бұрын
Mashallah ♥️ nice habibty darsa nzur
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Ahsante sana
@mariamamiri4758
@mariamamiri4758 5 жыл бұрын
Wow! Maa shaa Allah your recipes never cease to excite me. I will try it thank you very much my sister.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Most welcome
@foosomaromar3036
@foosomaromar3036 4 жыл бұрын
Masha Allah dada
@shamsagloriageorge8593
@shamsagloriageorge8593 5 жыл бұрын
waooo.nice
@hikmatburhan5077
@hikmatburhan5077 4 жыл бұрын
Masha allah
@nasramohd6016
@nasramohd6016 4 жыл бұрын
Mashallah nakukul sister
@alikhamis4055
@alikhamis4055 5 жыл бұрын
Happy new year
@bbydarling5051
@bbydarling5051 5 жыл бұрын
Mashallah Safi sana habibty
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Ahsante sana
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Wooow!!! Just woow👌👌👌
@zeddysale217
@zeddysale217 4 жыл бұрын
Mashallah
@ummukulthumabdulhafidh9516
@ummukulthumabdulhafidh9516 5 жыл бұрын
Thanks alot ...mashallah
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 5 жыл бұрын
Mashallah thank you my dear
@aminaomar8736
@aminaomar8736 5 жыл бұрын
Thanks dear.
@halmamuhajj7910
@halmamuhajj7910 5 жыл бұрын
Masha Allah lovely .😋😋😋😋
@nussmam2009
@nussmam2009 5 жыл бұрын
Inshallah nawe tunakutakia mwaka wenye her na barka pia.
@khadijajuma8673
@khadijajuma8673 4 жыл бұрын
Waaoh mashallah shukran kwa somo, nauliza hizo karatasi ni karatasi maalumu za kubake au waweza tumia normal plain paper?(writting white papers)
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Karibu dada, hizo ni karatasi maalum za ku bake , huwezi kutumia karatasi za kawaida zitaganda na nyengine huungua chini
@Logicentric
@Logicentric 3 жыл бұрын
👌👌👌👌
@asyaomar8757
@asyaomar8757 3 жыл бұрын
Assalam alykum mie nataka kufanya ya chocolate tu vipimo sijavielewa vizuri please
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 3 жыл бұрын
Aleikum musalaam fanya vipimo vyote halafu unga wa coco ufanye mara 2
@gracecharles1244
@gracecharles1244 5 жыл бұрын
Asanteeee
@katraaliibrahim
@katraaliibrahim 5 жыл бұрын
finally leo nimekua wa kwanza 😍😍😍😍 lots of love habibty
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
Shukran dear
@salmagulam6619
@salmagulam6619 5 жыл бұрын
Asante habibty 😘😍
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah👌
@halmamuhajj7910
@halmamuhajj7910 5 жыл бұрын
Da fathiya nauliza hivi naweza fanya kwa ile Trey ya oven
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 5 жыл бұрын
unaweza
@halmamuhajj7910
@halmamuhajj7910 4 жыл бұрын
Shukraan
@zuhrahamid3586
@zuhrahamid3586 4 жыл бұрын
Unga vijiko 3 vikubwa cha chakula au cha mchuz?
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Vijiko vya chakula, table spoon
@zuhrahamid3586
@zuhrahamid3586 4 жыл бұрын
Oky asantey
@halmamuhajj7910
@halmamuhajj7910 4 жыл бұрын
A.a sis kwa Kama Sina Trey Kama yako oven Trey sini sawa kufanyia au itakua nyembamba Sanaa.
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Inafaa
@nasfataboulhair
@nasfataboulhair 5 жыл бұрын
@arafachuo1441
@arafachuo1441 4 жыл бұрын
Ivo vijiko vikubwa vya mafuta vya kulia chakula au kupakulia chakula
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar 4 жыл бұрын
Vijiko vya kulia yaani table spoon
How to make swiss roll cake / Basic roll cake Recipe / Easy roll cake
8:37
쿠킹씨 Cooking See
Рет қаралды 62 МЛН
Amazing Swiss Roll Cake Recipe
13:42
Preppy Kitchen
Рет қаралды 781 М.
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
JINSI YA KUTENGEZA SWISS ROLL RAHISI SANA KUTUMIA FRYING PAN(EID RECIPES)
4:20
Cinnamon Rolls (Buns)
8:03
Thy Than
Рет қаралды 2,2 МЛН
The famous cupcake that melts in your mouth! Everyone is looking for this recipe!
10:06
Easiest Swiss Roll Recipe | Basic Vanilla Swiss Roll
6:03
Spice Bangla
Рет қаралды 646 М.
Swiss Roll. Jins ya kupika swiss Roll tamu sana
6:02
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 94 М.
TENDE YA KUSAGA NA NUTS
9:49
Aroma Of Zanzibar & Beyond
Рет қаралды 9 М.
鸡丝蛋糕卷 Chicken Floss Swiss Roll
9:09
Kathrine Kwa
Рет қаралды 41 М.