Aah usiangalie mapambo sikiza maneno ya hii wimbo SHILLINGI Hamisi kutoka Mombasa likoni kenya
@mohammedally35173 жыл бұрын
Haswaa kabisaa
@monalisagian18345 жыл бұрын
Mbio za maisha zimetutenganisha mpenzi wangu wily,ipo siku inshaallah tutaonana tuombe uzima.
@latifaomary17692 жыл бұрын
Naangalia hi song Leo trh27/7/2022 huyo wily bado unayo
@dee43308 ай бұрын
😂
@sadahalfan630719 күн бұрын
@@latifaomary1769😂😂😂
@nayfinabdallah27002 ай бұрын
Nani anaangalia hadi leo 27/1/2027😮😮😮
@barnabasomondi94772 жыл бұрын
My wife just shared the link and wow I'm listening it now.
@mariammhando75205 жыл бұрын
Nikeshe na ww tukitazamana... Taambaa my dear... 2019
@abulibra66366 жыл бұрын
Nikeshe na ww tukiliwazana #Australia to kenya from Australia love this song kutusema watachoka
@jonathankitsao24455 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akurehemu Ashura Majaliwa,,,, mwanya wako ni baadhi ya sababu kuu za kutembelea wimbo huu mara kwa mara😊
@FartunSuleiman Жыл бұрын
Japo mbio za maisha zimetutenganisha tamaa mi sijesha ipo siku tutakesha❤❤❤
@capramlacky81526 жыл бұрын
japo mbio za maishaa zimetutenganisha........mic you my husband...... thanks Sabah...wallah nafarijika
@khamiskapelele86335 жыл бұрын
Kuntuuu hakuna mpnzani kwako
@salimmwijaka5350 Жыл бұрын
nikeshe na ww jamaniiiii...🤧😭😭😭😭😭 hii nyimbo yanikumbusha mbali sana daaaaah pole sana dear x
@lailahasan22005 жыл бұрын
Dah!!, inanikumbusha mbal, Inshaallah nitarejea my love, ,, mm miliki yako ww pekee
@dalali_professionalwa_dodo83302 жыл бұрын
Sabaha salum...best..bestt..bestt of all east african taarab vocalist...best ever... May God protect her.. she is majestic..best taarab singer ever..trust me....
@shedohalima20005 жыл бұрын
Tukiliwazana nikeshe nawewe tukiambizana....pendo langu si lakwisha wanajishungulisha watokwe na jasho..............Taaba my dear taaba
@LuluJama-of2cr Жыл бұрын
Old is gold😘😘. swabah Salim on top🤗🤗
@allyzanzibar89832 жыл бұрын
Where else you can hear the best taraabu in the world if not Zanzibar I swear no elsewhere Zanzibar my homeland Allah bless Zanzibar Zanzibar the root of TARABU Music 🎶 in East Africa 🌍
@faisalhashif55617 жыл бұрын
Japo mbio za maisha zinametutenganisha, tamaa mie sijeshaa.. UK to Tanzania
@mtalianoofficial2147 Жыл бұрын
I personally...with my heart, body and soul..together with all my village mates and my family...love this song mpaka saa hii in 2023
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Japo mbio za maisha zimetutenganisha Tamaa mie sijesha ipo siku tutakesha,ipo siku tutakeshaahh
@ARFIddy8 жыл бұрын
mashaallah kajaaliwa saut m, mngu akupe maisha marfu
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Inshaallah! Inshaallah! Tutaonana Iwe London,Inshaallah tutaonana Iwe Toronto Inshaallah tutaonana Iwe Maskat Inshaallah tutaonana Iwe Dubai Inshaallah tutaonana
@reemal-habsia58723 жыл бұрын
muscat not maskat
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
@@reemal-habsia5872 umeelewa lakin
@bintyomari9645 Жыл бұрын
Insha Allah tutaonana
@abdulkara3404 жыл бұрын
"Inshallah ipo siku tutafika" nangojea Kesha yako🥰🥰🥰 Swadakta na neno kuntu 👌👌
@nassraqarsim723 жыл бұрын
What an amazing song..I love love this MashAllah whose still listening to this in 2021
@paulinelughano32984 жыл бұрын
Missing my husband tuu sana..mbio za maisha zime tutenganisha
@salumbaa73784 жыл бұрын
Huu nataka wauplay sku ya harusi yngu😍😍🇴🇲🇹🇿🇰🇪
@MrHassanoor14 жыл бұрын
Mashallah anti Sabaha sauti hiyo inamtoa nyoka pangoni...
@Haasanjune2 жыл бұрын
Number one best Taarab of me 💗💗💗💗🔥
@ghatilucas7709Ай бұрын
inshaallah tutaonana bby wangu 2025 ❤
@khadijakachekenga79583 жыл бұрын
I grew up listening to this music, love it.
@bwantanfumo42837 жыл бұрын
nimewakataa wengi.wenye nyele za mashungi na tofauti rangi...patamu hapo mama
@karembosuzzie13938 жыл бұрын
jamani hii nyimbo naipenda hadi na😭😭😭mm milk yko ww habibi waumize kabisaaaa😍
@bingibantuu63245 жыл бұрын
hahahahaha usilie jamani mpenzi
@abasiriziki24295 жыл бұрын
Bondia aloe u wawa ulingoni
@mariamngogomi44805 жыл бұрын
Karembo Suzzie nzur sana
@isaacshehe4145 жыл бұрын
Huu wimbo nmtamu sanaaaa
@kaudha88 Жыл бұрын
Much luv from Kisumu City.
@sharkiadadi11125 жыл бұрын
wimbo unanikumbusha mbali wakati huwo nimezama kwenye penzi LA fulani
@SalimBabaya Жыл бұрын
Haziishi hamu Masha Allah mama Swabaha nimetulia.Nice song
@nyabisemaro20957 жыл бұрын
Jamani rudini tena Swabaha Salum na kina Mwanaidi shaabani,Ashura majaaliwa,Mariam na Rukia Ramadhani The EAST AFRICA MELODY TAARABU
@mainajames66996 жыл бұрын
Wengine n wazee sana na mariam khsmisi aliaga dunia
@erickmabongah1986.4 жыл бұрын
Safi sana
@lucianamutama772510 жыл бұрын
refreshing, beautiful woman n what a serene voice, love it
@faanouman20835 жыл бұрын
Fantastic wimbo Mashaallah, naam Nike she na wewe tukitizamana, 👍👍👍 Allah akuhifafhi na macho na midomo ya watu.
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Japo mbio za maisha,zimetutenganisha Tamaa mie sijesha,ipo siku tutakesha Nikeshe na wewe tukiambizana,nikeshe na wewe tukiliwazanaa
@Babbyby16 жыл бұрын
Ever since I heard the song while in Mombasa, I got hooked. Pure Taarab Classic.
@aminaomondi7956 жыл бұрын
R
@hijahija80006 жыл бұрын
2019
@marianawambui49292 жыл бұрын
My all time song
@fatinamtenukila500510 жыл бұрын
mungu alizidishie mashallah mtoto unasauti mpaka mmmmmh hasa katika viabo vyako viwili tamba na aso mtu ana mungu
@JoeWalker2544 жыл бұрын
Na sirs pia
@queenbibisha19615 жыл бұрын
Bado tunatamba tu 2019 👌👌👌
@isaacshehe4145 жыл бұрын
Mashallah twenden naloooo from kenya
@abdurahimathman42214 жыл бұрын
Wacha tutambee
@adamyusuph89174 жыл бұрын
Tuwaumize, waumie, watukome yetu sie inshaallah tutaonana
@ashaali57275 жыл бұрын
Oman ,, niko baby tutaonan inshallah
@abubakarkeya96346 жыл бұрын
Nyimbo safi ,inanikumbusha enzi hizo nilipokua nimeza ndani ya huba
@awadhtevez29187 жыл бұрын
dahhh! hii nyimbo tamu mpk bac yaan awo wanao dislike apo hebu wafahamisheni icjekua wanadhani wana download apo 🔥
@iddimazugo43324 жыл бұрын
😂😂😂😂
@rashidaboud53943 жыл бұрын
😂😂😂🤲
@ngengerajabu720911 ай бұрын
evergreen music from Sabah, Mashallah
@hbabywaukwee30247 жыл бұрын
Mhhh ama kwel old is gold...!!!!
@zenazena94726 жыл бұрын
hafsa thabit daah kweli sabah mbio za maisha zimetutenganisha inshallah tutaonana👏👏
@ismailmohammed55575 жыл бұрын
Nice song mm milki yko ww dah unaniliza wimbo huu jmn tamba love u sabaha
@fatmarashid28808 жыл бұрын
mashaallaah my dear Tamba my sweet tamba
@بعيدالهقاوي-ف8ظ7 жыл бұрын
fatma rashid Wapendeza
@kibwanajambia26357 жыл бұрын
fatma rashid swadaqta
@halimamuhsin41076 жыл бұрын
Umependeza sana Fatma namba zangu nitafute0700900430
@sekkelajoel21994 жыл бұрын
Yani nyimbo naipenda hii balaa💕💕💕 swabah sälum love you mamy😘😘
@khloealfan79247 жыл бұрын
Sina wa kutamba nae lkn naipenda mno hii nyimbo...nakupenda mam angu kipnz mungu akuweke Mia isiyo na idadi inshallah
@maimunahassan50475 жыл бұрын
MashaAllah naliwazika kwa hii nyimbo.in sha Allah tutakutana my bby.
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
Hii song haiishagi Utamu wallah😍😍😍😍👌👌👌👌
@safiamohammed80006 жыл бұрын
Umeona eee
@fatmaswaleh72786 жыл бұрын
Iko siku ttakesha my hubby...in sha allah... Uko juu swabah salum
@isaacshehe4145 жыл бұрын
Mm nko Kenya na napenda sana hizi nyimbo ntakuja huko kuchukua mrembo wa kibongo mtoto hihaaaaaa mwaaaaaa
@mwanahamisisalimu411910 жыл бұрын
mashallwakh mamiii swabakhaa ubanikosha haswaaaaaaaaa mashairi yameenda shule
@rayuukizugu50386 жыл бұрын
Nikeshe na ww tukiriwazana nikeshe na ww tukiambizana nikeshe na ww tukieleweshanaa mm milki yakoo baba tambaaa ya habibi tambaaaa
@nusaybahassanalli40028 жыл бұрын
one of my favorite taarab song
@lydiaongachi85164 жыл бұрын
Yes honey my sister is in the hospital number and I'll send money
@lydiaongachi85164 жыл бұрын
Joke
@Gangalamu5 жыл бұрын
1 of ur best songs Bi Swabaha Salim. SENSATIONAL and WHAT A MESMERISING TALENT lyrics and composition. Wwwoooowwwwwww
@marymaiko66056 жыл бұрын
tamba my dear tamba inshallah tutaonana penda sana mpnz japo nipo mbali
@mariampembe6044 жыл бұрын
Wa mwaka 2020 ambao tunasikiliza tujuanee
@ThuwaibaSuleiman-vh3uj Жыл бұрын
Masha'allah bd tunakupend mama sabah
@mwanamhd67487 жыл бұрын
MashaAllah, mimi milki yako wewe. wawawawah sabah i love u