Hii nyimbo nikiiskiliza huwa nalia sana nilienda mumewangu alikua dar essalam akanitumia wasshp hii nyimbo haja maliza wiki mumewangu akapata ajari na kufa Allah amlaze mumewangu pema peponi
@nassirnassor860324 күн бұрын
Amin na pole my dear
@IdrisaDuwa18 күн бұрын
Dah pole sana
@fatumaJuma-w8n3 күн бұрын
Amen 🙏
@IsmailMajaliwa-o6c2 күн бұрын
Pole Sana dada hiyo Ni kazi Ya Allah
@TatuRashid-d6t2 күн бұрын
Pole saaana bibie muombee Dua sana ipo siku mtakurana huko akhere❤❤
@suleimantsanje89043 жыл бұрын
Napenda sana Tanzania Mimi mkenya , huku kwetu kuna ufalah sana corrupt nation ....pongezi sana Tanzania
@MariamMnekea8 ай бұрын
🙏
@AshaIbrahim-p8k2 ай бұрын
😂😂😂😂😂unachoma
@AbdlIssa7 ай бұрын
Who still here in 2024 ✌ i wish they still make this kind of music 🎶 old but gold 💯
@rahmanramadhan84835 жыл бұрын
izi ndio taarabu sasa sio mambo ya nikuchambe nikuchambe
@zaidocokinyi86594 жыл бұрын
Right yhthht t gv
@TatuRashid-d6t2 күн бұрын
Mungu akulaze pema babaetu,akusamehe madhambi yako inshaaala🙏
@suleimantsanje89043 жыл бұрын
Iam a Kenyan but I love Tanzanian so much , big love from Kenya my kaka and Dada of Tanzania
@duhrurhhddhheud85753 жыл бұрын
😍
@innocentman59543 жыл бұрын
Karibu ukarbie
@namutambahalima30932 жыл бұрын
I'm Ugandan bt i love taarab for Tz
@kiloposimba20122 жыл бұрын
We love u Kenya and Uganda sisters brothers no one can denied that
@pjsretrogamesmusicandwrass57952 жыл бұрын
Mungu Akubariki Jamani
@KhalfanKiko14 күн бұрын
Mung akup pumziko la milele mz matona naangalia hii 2024
@abdurazackimimu77434 жыл бұрын
Mwimbo mzuri sana wa maadili unaweza kusikiliza na wazazi sebuleni maana una mafumbo
@suleimantsanje89043 жыл бұрын
Respect from Kenya to our brothers and sisters of Tanzania ,we appreciate and congratulate you. Thanks God bless you kwa bidii zenu .....
@ayshamahariq66655 жыл бұрын
Mungu Akupunguzie Adhabu zakapur babu yetu kipenzi Aamiin 😢😢
@hamisally9255 Жыл бұрын
Mungu muweke mahali pema pepon
@ashamwalago9828 ай бұрын
2024 still listening to you are song na bado INA ladha yake, Allah akuepushe na Adhabu za kaburini
@AbdlIssa7 ай бұрын
Amin 💔 this guy was a legend 💯
@kassimjuma87135 жыл бұрын
Nataka kuwambia ambao. hamkuepo enzi hizo. Popote palipo kuwa naharusi. bila nyimbo Hii harusi hakuna.
@zetaali1265 жыл бұрын
ushasema kaka
@hamisiadamu30944 жыл бұрын
Ali
@manish-fp1fb4 жыл бұрын
Enzi hizo spika ni zile za dizaini ya kawa.
@aminaabdiabdi71124 жыл бұрын
😂😂😂🙌
@heyumi23404 жыл бұрын
Za kitambo nzuri
@maureenagness3572 жыл бұрын
Continue resting in peace baba yetu,2022 still listening to your songs from Kenya
@hadijabakarimwetta96722 жыл бұрын
Hizi hadithi za kuhakikiwa MashaAllah. Ukifa unazikwa na hausahauliki ka Issa Matonna much respect
@jackystotaa59213 жыл бұрын
Nipo apa baada ya kusikiliza nyimbo ya mond unachezaje dah 🇹🇿🇹🇿
@habibarajabuisumailimulund68316 жыл бұрын
Natamani natamani kuyaona macho yako,Siku tulio katana leo naikumbukia,asante sana issa matona pumzika kwa amani babu yetu
@omaryrengwa76983 жыл бұрын
Mungu amuifathi
@shakilamasoud89796 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe pepo insha Allah 🙏...sauti yako inabaki masikioni daima
@ashurasenzia28276 жыл бұрын
Shakila Masoud mungu akupunguzie adhabu kaburì
@abbakariramadhani45725 жыл бұрын
Kaswida amn
@htvtanzania34835 жыл бұрын
Ashura 🤣🤣🤣 umejua kuni furahisha
@omarypanga40642 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@asmahasanirashid5059 Жыл бұрын
Mungu akurehemu baba huishi sauti yko bdo IPO kwenye miyo ytu
@hassanmpwepwe38265 жыл бұрын
mungu akuleem uko uripo twa kukumba Mzee we2 Isa matona Kwa nyimbo zako zina ujumbe kwer kabsa sio taarab zasasa
@MariamuSefu-s7m5 ай бұрын
Baba umeenda Ila sauti umetuachia mwenyezi mungu akulaze mahala pema
@jothamekisouke81993 жыл бұрын
😨😨😨 Daaaah imenitoa machoz hii nyimbo ya Mzee matona
@omarypanga40642 жыл бұрын
kwann
@hamadiabdallah39062 жыл бұрын
RIP Issa Matona Mungu Akupunguzie Adhabu za Kabuli .. Uliitendea haki Taarabu...
@mgenishaban79663 жыл бұрын
Manshaallah mzee wetu ulikuwa ukifikisha ujumbe sasa
@warawara_actor6 ай бұрын
Bado tunaisikiliza 2024 Sasa alhamdulilah
@hamisiramadhan24538 жыл бұрын
Utakumbukwa saana pamoja na nyimbo zako marehemu isaah
@walaalajofficial62698 жыл бұрын
ahmed caagane papa wetu wa mpani
@theglobalsociallibertyexpr61502 жыл бұрын
🌹Oooh Mungu wangu; Hii ni Fasihi asilia ya Kiafrika "Lugha ya Kiswahili" ni lugha inayoenea kutoka nchi za Afrika Mashariki hadi juu ya Afrika Kaskazini🌹Oooh my God; This is pure original african Literature "Swahili Language" it is a spreading language from East African Countries to upper North Africa 🌹
@MasudyMasudyngoyejiАй бұрын
Mungu Akuepushie Maovu hk Uliko. Amin
@HJ-wf2vi4 жыл бұрын
Watoto km wakina Idrisa Sultan hawawezi kumuelewa Mzee Issa Matona hasa kwenye MAVAZI watabaki kuchekacheka tu.
@honsaidibinsharifsharifsai80273 жыл бұрын
if your in east AFRICA and you dont know the sweetness of swahili language sorry for you. laugha safi sana tarabu muruwa kabisa much love from Kampala lalalalalala
@mauricezeida98722 жыл бұрын
We're west Africa we love this song but we don't understand it
@msafirinuru5701 Жыл бұрын
Inshallah kesho ni siku.mzi let...kenyan man loves,tz taarabu...
Mzee mhenga, huyu. Mungu akulaze pema Mzee wetu Issa Matona. Utabaki kutushauri alfu ulela.
@alfredmutua56173 жыл бұрын
Halwa,,tutazidi kumkumbuka babu issa,,, sizaona mtunzi zaidi yako, Rip
@salimmabele60922 жыл бұрын
Wonderful music, by the way that bassist rocks bigtime
@zuhuraimran36594 жыл бұрын
Nan yupo huu mwaka 2020
@Asa-nr3ip Жыл бұрын
2023 still rocking
@HappyBlackberries-df8ii4 ай бұрын
Mm huyu hapa
@MohamedKarim-f4m2 ай бұрын
Hakuna alooo
@NassorSaid-y3d2 ай бұрын
@@HappyBlackberries-df8ii❤
@shabanimagogo50225 күн бұрын
Sijui hata nimefuata Nini huku 2024✌️✌️
@lewiselengabo96954 ай бұрын
Pole sana ngoma mzuri nakumbuka hiyo nikiwa marekani
@saidmasoud45506 жыл бұрын
Allah ampe kauli thaabit Maneno mazito akiwepo unaona Wa nini akiondoka Maneno mdomoni na kusingizia watoto wanapatashida
@ahmedhahmedh96434 жыл бұрын
Maa shaw Allah taraab za Zaman Zina maneno kuntu
@karemboally77568 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤2024 burudani umetuachia mzee wetu Allah azidi kukurehemu na akupe kauli thabiti
@rehemahare Жыл бұрын
2023 bado tupo kwa sana pumzika kwa aman mzee ngoma tamu sana
@mdathirhassan218711 ай бұрын
Matona utatona matone kesho na hakuna wa kukusaidia
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Dahhh nakumbuka kwetu tanga jamani😭nilikuwa mdogo sana ila mama angu alikua akiimba sana izi taarab.natamn nataman niyaone macho yako👌👌
@fadhwah5555 жыл бұрын
Na kwel akija akikutokaaa usije kuliaaa nae.....
@habarileoleo19 күн бұрын
Nani yuko hapa Disemba 2024?
@ThePrime_CS14 күн бұрын
Niko huku nasaka wimbo 'umeshawadia' nimeskiza mahali na siupati😢
@Mooncake_tz4 жыл бұрын
Nyimbo pambe sana. Maneno mazuri.
@beastmasteraloha72148 жыл бұрын
babu wetu wa pwani; kweli madafu ni tamu lakini lillilo ndani ni ladha zaidi
@MafuluJulius-qh7ex Жыл бұрын
Hata tokea Kama wewe mungu akulehem
@amourmtungo6238 жыл бұрын
God bless the late Mr Issa Matona. What a talent? I love all of your songs. They are lovely stuff. Rest in Peace RIP🍎👍.
@fatumasalumu20624 жыл бұрын
asanteee Sana baba mungu akuweke mahalii pema
@hosearwechungura53916 жыл бұрын
Mungu akupumzishe pakustahilipo mzee wetu
@nzikumvaissa91962 жыл бұрын
I am Issa from Rwanda I love Talaab of Matoma so much
@buravan15123 ай бұрын
Urumva ibyo aririmba?
@gidiondaud11534 жыл бұрын
Inanikumbusha miaka ya 80 sasa zaidi ya miaka 40 imepita mziki bado inatesa sana aisee wakati huo nikiwa Singida
@faridahashimu30083 жыл бұрын
2021
@RichardKihwero-cw2ni Жыл бұрын
Nyimbo zenye Mafunzo ndani ya Nyoyo za Wenye Hekima zao. Raha kwatu kusikiliza Jamani. Mbona kazi ipo. Kupata Phd Siyo kazi. Kazi kubwa Phd kuigeuza Pesa .
@zulachama10675 жыл бұрын
Umetuachia kumbukumbu ya sauti yako umetutangulia mbele za haki nasi tuko nyuma yako,mola hailaze nafsi yako mahala pema peponi.
@msafirinuru5701 Жыл бұрын
Mzee issa naye yupo sana💪💪💪🇰🇪🇰🇪💯💯💯.napenda zake pia!!..
@barakayusufu27067 жыл бұрын
Baabu Matona roho yako ilale mahala pema peponi
@hilmiothman36537 жыл бұрын
Baraka Yusufu uko fast
@alicewanjohi22956 жыл бұрын
May ur soul Rest In Peace
@jamilahomary28396 жыл бұрын
innalillah wainailayh rajun
@neemaruttaiwa62025 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la milele mzee Issa Matonya
@habiba00227 жыл бұрын
pumnzika kwaamani mnzee wetu issa matona
@hawatognolasuleiman78327 жыл бұрын
Habiba 00 ni hawa. Wa kiebeni
@libanpac-cg8mn Жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana ❤
@allysalim35345 жыл бұрын
Usiutie mapengo msomeno wangu
@aminaramadhan46824 жыл бұрын
Sauti yako itabaki hakuna kama wewe mungu akulaze mahali pema peponi