Taarab Zilipendwa- Shakila- Mapenzi ni kama donda

  Рет қаралды 120,992

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@vitalisoyoo-onyango1090
@vitalisoyoo-onyango1090 25 күн бұрын
Shakila oyee! Macho kweli yanacheka.
@MariamSheky
@MariamSheky 4 ай бұрын
Always Old is Gold❤❤
@fakimillanzi5079
@fakimillanzi5079 3 жыл бұрын
Hii ndo taarab cio bolingo zinazopigwa cku hizi.
@YahyaKobelo
@YahyaKobelo 3 ай бұрын
Natafuta wimbo wa shakila "lamateso pendo"
@sabriaalzadjali9328
@sabriaalzadjali9328 6 жыл бұрын
Mapenzi nikama donda Yaingiapo moyonii Nimechoka kulilia Leo nawapasuliaa Yaaani nimejikuta taratibu nacheza taarabu Zamani bwana
@paty11648
@paty11648 5 жыл бұрын
Mashallah
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
Sabria sisi tuliozaliwa 2000 hizi nyimbo kwetu ni za wahenga
@allyrashidi9748
@allyrashidi9748 2 жыл бұрын
Jiachie
@allyrashidi9748
@allyrashidi9748 2 жыл бұрын
@@paty11648 apoo vp
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Ujumbe huu umeuchoma moyooooo,naumiaaaaa.
@BiumbeBiumbealiy-fe1zt
@BiumbeBiumbealiy-fe1zt Ай бұрын
Allah.amrehem
@saidhajji5499
@saidhajji5499 5 жыл бұрын
Kweli mama mapenzi ni kama donda tena donda ndugu mana yanaumaaaaaaa
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Nimepitia huko ni donda lisodawa wala kupona ama fulani uliniumizaaaaa
@jumasukari8257
@jumasukari8257 8 жыл бұрын
... Wala hayana mjuzi, yeyote humwelemea.. Maneno Safi yalopangiliwa vyema.
@ngujihasan8351
@ngujihasan8351 7 жыл бұрын
duh wazee wetu walijuwa mapema nini maana ya mapenzi,sisi tunaona kitu mapenzi ni mchezo lakini yakikuingia moyoni hapo ndio utajua
@ngujihasan8351
@ngujihasan8351 7 жыл бұрын
enzi hizo Tanga ilikuwa Tanga kweli. Kapalata wa Kapalata, Mohamed Mrisho, Sharmila,Asmaan, ASHA boss,Rama Hamad, Shakila ,mwanyiro Suleiman,Wazir wa njenje,chicha na wengine wengi
@alima7862
@alima7862 6 жыл бұрын
+Nguji Hasan nikulize hayaja kuingiya ? yanasumbuwa moyo
@sylviaelia9826
@sylviaelia9826 2 жыл бұрын
Yaani mapenzi ni donda niliumizwa hapo nyuma jamani.
@husseinmshana6105
@husseinmshana6105 7 жыл бұрын
kweli mapenzi ni kama donda
@aysherkhamis1803
@aysherkhamis1803 3 жыл бұрын
Taarabu zilikua zamani c sasa
@jumaally4263
@jumaally4263 8 жыл бұрын
Kwa kweli taarabu za zama zile zilikuwa na ujumbe mzito haswaa.
@startanzania2469
@startanzania2469 4 жыл бұрын
❤🌺
@juliusbagasheki2204
@juliusbagasheki2204 4 жыл бұрын
Jamani eeh "niulize ni kipi ninacholilia" ni tungo murua ya dada yangu marehemu Shakila. Nimechoka kulilia leo nawapasulia! Ni mzaliwa Bukoba - toto la Kihaya wafanyao vitu vilivyokwenda Darasani.
@mariamadam665
@mariamadam665 4 жыл бұрын
Doh Kaka Julius umegonga haswa!!! kudos.... in fact nilidhani mama yetu Shakila ni mtanga>>>>
@afidhimbwana8126
@afidhimbwana8126 6 жыл бұрын
waweza funga pumzi kuzimu ukaingia...... walahayana mjuzi yeyote humuelemea,,, swadaktaaaaaà
@yahayakitenge6068
@yahayakitenge6068 6 жыл бұрын
Mashaallah Bi.SHAKIRA
@alima7862
@alima7862 6 жыл бұрын
nimecoka vumiliya leonawapasulita enzi izo zakale
@aminaabdulkarim4854
@aminaabdulkarim4854 Жыл бұрын
raha hadi raha
@sylviaelia9826
@sylviaelia9826 2 жыл бұрын
Jamani nakula bata home tuu mambo matamu haya
@sharifmtunia1920
@sharifmtunia1920 4 жыл бұрын
Hizi ndo zile nyimbo zinazoishi
@familywatende5111
@familywatende5111 5 жыл бұрын
Jamani Bi Shakila, Mungu akupe kauli thabiti uko ulipo🙏
@mwajumamfaume5444
@mwajumamfaume5444 5 жыл бұрын
Family Watende Amina ishaallwh
@chichinongara8669
@chichinongara8669 4 жыл бұрын
Nimeipenda nyimbo inaujumbe mzuri
@halimaabdalla2829
@halimaabdalla2829 6 жыл бұрын
hakika mapenzi ni donda kwa wanaojua maana wallah wanaojua kupenda hupata tabu ktk mapenzi kuliko wababaishaji,pumzika vema huko ulipo mama yetu shakira njia yetu moja bimkubwa
@fatumasalum6505
@fatumasalum6505 2 жыл бұрын
Bishakila fanya yako
@fatumasalum6505
@fatumasalum6505 2 жыл бұрын
Unanikonga bishakila utaniuwa
Taarab Zilipendwa- Shakila na Black star -Akukataae hakwambii toka
9:32
BI SHAKILA | HISTORIA YAKE | MUZIKI NA MAISHA | TAARAB TANZANIA
6:49
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 49 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
Taarab Zilipendwa- Patricia Hillary- Chura
4:53
Eddie Nassor
Рет қаралды 399 М.
Mapenzi Yamepungua
6:25
Bi Shakila - Topic
Рет қаралды 4,9 М.
Taarab: Bi Shakila - Gari
5:40
Swahili Taarab
Рет қаралды 29 М.
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 681 М.
Yalaiti
9:45
Malika - Topic
Рет қаралды 110 М.
Taarab Zilipendwa- Kifo cha mama
16:40
Eddie Nassor
Рет қаралды 257 М.
Zumbukuku
8:37
Release - Topic
Рет қаралды 7 М.
Taarab Zilipendwa- Lucky star -Mpenzi wangu fulani
8:20
Eddie Nassor
Рет қаралды 166 М.
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 49 МЛН