Mimi nimshauri tu my kaka Mbowe kwa his integrity na
@christineluhanga666429 күн бұрын
Igeni mfano wa Zito jamani!! ACT Wazalendo
@maase2023Ай бұрын
Kazi uongo tu
@FrankMwakatundu-cu6bd29 күн бұрын
NIMEKUPENDA SANA MTOA MAONI, MUNGU AKU AKUBARIKI SANA. SIKUTARAJIA KUSIKIA KUTOKA KWA WANA CHADEMA KUMSHAMBULIA KWA KASHFA MTANGAZA NIA KANA KWAMBA AMETENDA DHAMBI!!! CHADEMA INAJISIFIA MAMBO MA NNE(4) UHURU WA WATU, HAKI, DEMOKRASIA NA MAE DELEO YA WATU. SASA YAKO WAPI HAYA MANNE (4)KTK HILI LA MH. LISU LA KUTANGAZA NIA HALAFU WATU MNAMSHAMBULIA KAMA MKIUKA KATIBA YA CHADEMA? ACHA SANDUKU LA KURA LIKOMESHE MABISHANO HAYA HALALI SI NJE YA SANDUKU LA KURA. NAWAHAKIKISHIA CHADEMA UCHAGUZI HUU NI TANURU LA MOTO LA KUIYEYUSHA CHADEMA AU KUIFANYA CHADEMA ING'AE KAMA DHAHABU ILIYOPITISHWA KTK TANURU LA MOTO. MALUMBANO KWA WAKATI HUU HAYANA TIJA KWA CHADEMA WALA KWA MWANA CHADEMA MMOJA MMOJA ILA TUTAINUFADISHA CCM ADUI NAMBA MOJA WA NCHI HII!!! NATAMANI KUONA UHURU, HAKI, DEMOKRASI NA MAENDELEO KTK UCHAGUZI HUU. CHADEMA DHAMBI INAWAOTEA MLANGONI HAMNA BUDI KUISHINDA.