Asante mkomwa kwa taarifa kwasababu ni kweli gamondi kaondoka inasemekana anakuja azam fc kua asistant wa rashid taus
@FadhiliLikaka4 сағат бұрын
Ahsant sana
@charleskuyeko1660Сағат бұрын
Sisi Simba tulishawashauri siku nyingi kuachana na Mwanasheria wao ambaye amekuwa akivurunda sana. Alivurunda kwa Morrison, akavurunda kwa Kagoma na kwa wachezaji kadhaa walioondoka wakiidai yanga mpaka inafungiwa kusajili. Alivurunda pia kwenye kesi za Mzee Magoma. Anashindwa kuwashauri Viongozi vizuri. Wamefanya vizuri kumwondoa huyo Mwanasheria ila wawe makini wasimwondoe Gamondi wataharibikiwa. Sisi watani wao tunawashauri mambo mazuri hatutaki waharibikiwe tukabaki hatuna mpinzani mwenye nguvu. Wakimwondoa watakuwa wa mwisho kwenye makundi ya klabu bingwa. Wasipochukua ushauri huu shauri yao. Najua wanatuheshimu na hivyo watamwacha abakie kufundisha timu.
We need coach wakudumu jamani. Kila siku coach mupia
@JofreySinkala-bb8be3 сағат бұрын
Aje Simba awe kocha msaidiz
@vaxminja90533 сағат бұрын
Yanga wakifanya hivyo watakuwa wamekosea sanaaaaaaa
@Ndiminijnr3 сағат бұрын
Kwahiyo wewe unajua sana kuliko management ya yanga sio
@kingevarist66533 сағат бұрын
Hapa ninyumban
@NellyNdungulu3 сағат бұрын
Wambeya nyieer
@MasudiSalumu-z4q2 сағат бұрын
Kocha atuache na Ali kamwe Aondoke Ana lolote utoto mwingi
@Zaynabahmed-ey4zu2 сағат бұрын
We mwanayanga mbona mbish? Gamond kasepa
@lucymsheshi58714 сағат бұрын
Wakishindwa wwnasheria inawauma nini
@JosephjosephJoseph-j7m2 сағат бұрын
Duuuuuuh mechi mbili na makocha wawili na kuama uwanja kisa kichapo Cha tabora vip mkikutana na mashujaaa ya mnyama wa ruyasiii Bado amjafukuza Mpaka mufukuzweeeee mwaka huuuu😂😂😂😂😂
@seciliamchalo5627Сағат бұрын
Nyie mmefuka wangapi au mnajisahaulisha mbon kawaida san kwa hizi timu zetu cha ajabu ni nini?
@lucymsheshi58714 сағат бұрын
Mnatamani aondoke haoondoki ng'ooooo😂😂😂😂
@jacksonhyera22303 сағат бұрын
Kasha ondoka sasa😂😂😂
@cathbetsolomon31513 сағат бұрын
@@jacksonhyera2230😂😂😂 yeye anadhani ni uvumi badoo
@JumbeFamilySingers3 сағат бұрын
Ashasepa uko wapi wewe???
@thaddeojude75113 сағат бұрын
Tayar ameondoka..huku tunafanya sherehe sasa..Ubaya ubwela....kulia kwa kupokezana😂😂😂😂
@elysetv11073 сағат бұрын
Mfyuuuu
@reginajimson81333 сағат бұрын
Yaani na nyie mmekuwa chombo cha propaganda zidi ya yanga