Mm nina miaka 30 tangu nimesikia huu wimbo had leo sijawahi kuchoka kuusikiliza kama naww unajifariji hadi leo 2024 gonga like hapa kisha tuombe MUNGU ikiwezekana hiki kikombe cha uchumi kuyumba biashara hakuna kazi hakuna ikiwezekana hiki kikombe cha umasikini kituepuke
@mollelvincent56398 ай бұрын
Sema miaka 30 ni uwongo aisee
@jobmakambala22168 ай бұрын
Wako wapi hawa watu alie na jibu naomba anijibu
@AnneBonareri8 ай бұрын
Wengine walikufa
@deborahmchona55848 ай бұрын
Nani Yuko hapa Leo ijumaa kuu bwana yesu asifiwe
@erastomakweta62677 ай бұрын
AMINA
@fredyjames70199 ай бұрын
Tunaosikilikiliza haya madini 2024 tujuane hapa
@mariammnono52479 ай бұрын
Naitafuta nidawnlod siipati 😢😢
@slaviuslivinusnguvumali60638 ай бұрын
kitambo sana naipenda
@babaWawili-be2jn7 ай бұрын
🤞🤞
@mbokakategela68745 ай бұрын
mimi hapa
@AbdulAli-t1b4 ай бұрын
Naitwa jakobo athuman hata mm naipenda San pole San umenitoa machoz mungu akubariki
@priverabrahams93238 ай бұрын
Ijumaa kuu ya Leo 2024, na dude kama hili
@hoseahsedekia2 ай бұрын
Wangapi tuko hapa 20.9.2024 Hakika Mungu awabariki watumishi wa Mungu🙏
@FaithMwenda-gf5hdКүн бұрын
Wow glory to God
@saidibaisi22383 жыл бұрын
Kama nawe pia upo tayar twende weka like ya kuamin💯💯🏃🏃🏃
@ronaldkipkirui887 Жыл бұрын
💯💯
@maureenaseyo5039 ай бұрын
Hizi nyimbo zakitambo zinani Bamba ❤
@RuthMwetwa-l7g2 ай бұрын
Niko apa nikitoka TikTok wapi like zangu jameni
@CharlesNyange-jh2xo7 ай бұрын
Tujuwane jmn wenzangu tunaoendelea kubalikiwa 2024 na kazi hii na jina la bwan lihimidiwe .
@AgnesNew-n5i6 ай бұрын
Tuko pamoja
@peacemakersplus37 Жыл бұрын
Huu wimbo ni mtamu Hadi unaskiza unajipata nywele za kichwa zinasimama ..kwanza mpangalio wa wimbo wenyewe na instruments umeweza Kabisa...weka like kama umebarikiwa..
@UpeoMinistryofMedia2 ай бұрын
Nani mwingine anakoshwa na "AAAH, AAAH...." gonga like tujuane😅😅
@martinnassary5874 жыл бұрын
Akaomba akisema ee baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke ila sii kama nitakavyo Mimi Bali utakavyo wewe basi na sisi tunakuomba utuepushe na kikombe hiki cha korona kama ikikupendeza baba yetu ulie mbinguni
@segelmoses50802 жыл бұрын
Amen
@DONATHLUBIKI-lf1mi10 ай бұрын
2024 still watching this anointing song ❤
@meshackwaweru-yt2wm3 ай бұрын
Wenye tunazidi kubarikiwa 2024 mikono juu
@mathayodundo54333 жыл бұрын
Huu wimbo nikikuwa kijana mdogo marehem baba yangu na mama yangu walikuwa wanaipenda kanda ya wimbo huu leo hawapo duniani nimekumbuka mbali sana
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Kwakweli walikuwa wako vizuri
@girishonrwabona1362 жыл бұрын
Mungu hakutie nguvu 2 ingawa ni ngumu kujikaza
@hamisathumani45312 жыл бұрын
Pole my dear
@mathayosylvester5131 Жыл бұрын
pole sana wajina
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu Kwa kuondokewa na wazazi wako wote
@faithnelsoni46008 ай бұрын
Leo nipo hapa ijumaa kuu
@Mussakuyella9 ай бұрын
Wimbo bora sana
@KennedyOriko8 ай бұрын
I'm in Kenya but I started watching this in 2007 until today.ina mafundisho hasaa tuombe bila kuchoka.
@zuwenakabwe10174 жыл бұрын
Mi muislam lakin naipenda hii nyimbo balaa
@edwinmgovano30134 жыл бұрын
Is now your point time to in jesus.May mighty God sum up you to in on his kingdom.Amen
@consolatasankwa26354 жыл бұрын
Yesu anakupenda ni muda umefika uokoke, Okoka
@zuwenakabwe10174 жыл бұрын
Consolata Sankwa emen
@zuwenakabwe10174 жыл бұрын
Edwin Mgovano emen
@winfridagama20424 жыл бұрын
Muslam mwenye upendo wa ajabu Mungu akubariki matendo mema
@mundelwemba4840Ай бұрын
8yrs me listening BHB "zilizipedwa" I came across this banger,I loved it ,,but I couldn't repeat it ,,I thank GOD today I can listen it anytime I want,,,what a message ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RutayisireJ8 ай бұрын
Ata nikiwa na njaa kusikiliza tu na shiba na upande sana❤❤❤❤❤❤❤
@TelesyaNdaigah10 ай бұрын
Jaman naipenda sana sasa nashindwa kuuhifanzi kwangu
@loitolaisser30403 жыл бұрын
Nyimbo zinazoishi hadi leo tangu nikiwa mdogo nilikuwa nazipenda hizi nyimbo Mungu aendelee kuwabariki🙏🏿
@loitolaisser30402 жыл бұрын
Ni kwa neema nipo tena🙏🏿
@issasingaile38512 жыл бұрын
waimbaji wazamani ilikuwa kweli cyo wasasa
@CharlesKinyumu-ll7cr4 ай бұрын
watunzi wa hizi enzi walikua na upako kweli,miaka yote io na bado kusikiza ujumbe ni swari na upako bado watiririka kweli,kuna Mungu aishiye jameni.
@RKWAMBELE4 күн бұрын
Kabisa
@tapraandichmetto1532 ай бұрын
When gospel was truly anointed by the holy Spirit. I wonder if time will go back to these good days. Very nostalgic!
@kelvinnzioka88162 ай бұрын
Wimbo huu nimeuskia kwa mara ya kwanza kutoka tiktok. Mungu airehemu na airejeshe kanisa yake maana tumepotoka na kuiacha ile njia ya zamani.
@moureenleonard39816 ай бұрын
Nyimbo naipenda sana nilisikia jilani yangu kaupiga nikaukumbuka nikabidi niuckilize❤2024
@WilleyIbrah2 ай бұрын
Mungu ainuliwe juu Mbinguni Kwa matendo yake makuu. Tukeshe Kwa kusali na kuomba Kwa kua hatuijui siku Wala saa atakayokuja mwana wa Adam.
@AnchiraEvodius-xq1pv Жыл бұрын
Wimbo huu Mimi ulinifanya kumjua mungu kuwa alitupenda sana wanadam
@AliceGati-ny8fr Жыл бұрын
Mnadance kwa utaratibu mno,💕💕💕watu siku izi wanacheza kama vipeopeo
@anetivicent61764 жыл бұрын
Tatizo waalimu wa hizi kwaya,,,,wanamalizika naona,,,,,sasa tunabaki na bongofleva za kidini,,,,Eee Mungu tukumbushe tulikotoka na kwaya zenye ujumbe kama huu ziko wapi??
@jovanafidelis28024 жыл бұрын
Hata Mimi kwasasa naona bongo fleva tu.sijaona kwaya.
@truezjr.34104 жыл бұрын
Nyimbo za siku hizi ni mashindano kwenye TV na cyo kufikisha ujumbe wa Mungu kwa Wanadamuu...
@christinajacobo18803 жыл бұрын
Kwel mung atusaidie
@segelmoses50802 жыл бұрын
pray for them
@mbachoclassic78185 ай бұрын
Nimezisikiliza zamani nikiwa primary miaka ya tisini mpaka sasa za moto Mungu aendelee kutupa habari njema kama hizi
@chrisngivingivi56913 ай бұрын
Hizi nyimbo ziliimbwa kwa hisia sana, Mungu awabariki
@mamabrayo32339 ай бұрын
A soul touching song...naiskiza kama nimefunga macho
@paulinenicholaus41353 ай бұрын
Leo1/9/2024❤🎉 who listening with us☝️
@Ms_joyce219 ай бұрын
Best song ever❤️
@jerubetjoan2011 ай бұрын
When Gospel was real, ile kikombe ya laana, kukataliwa niondolee Baba hii mwaka 2024.
@RizikiAbdala Жыл бұрын
Leo ni October 15 2023 naangalia wimbo huu,natamani ufanyiwe review
@tangusjoseph6620Ай бұрын
Wimbo mtamu kweli kweli,umejaa,upako na nehema,mwaka wa huu 13/12/2024 Niko ndani
@JeremiaMathayo2 ай бұрын
Any one else 13/10/2024... Madini adimu sana haya
@florahraph2 ай бұрын
Wenye tumetoka tktok gonga like❤❤🎉🎉🎉
@beatricesway6875 Жыл бұрын
Nimejikuta nakumbuka huu wimbo usiku huu,2023 lakini ujumbe wake ni maisha ya Leo
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana Leo tar 15 ya mwez wa 8 mwaka huu 2021 mungu awabariki Sana na ambariki baba angu mzazi mzee bathroom semindu anaumwa " naomba kupitia faraja y wimbo huu na juma 2 ya Leo akabarikiwe 🙏
@Delaxmboya9 ай бұрын
Finally nimepata wimbo jameni
@stellerlema863 Жыл бұрын
Mama yangu anapenda huu wimbo jamani anaujua wote😔☺️☺️ nam naupenda pia❤❤
@claudiamtuya8 ай бұрын
Marehemu Baba yangu alipenda sana hii nyimbo,Rest Well Dad❤
@Simonkiundi2 ай бұрын
Hii wimbo inasumbua TikTok sana congratulations kw Hawa Wana kwya
@williamkirway46204 жыл бұрын
Waimbaji wimbo wenye ujumbe wenye kutukumbusha,hata tunapokuwa tunamwona ndugu ana wakati mgumu Kesha nae kumwombea,19-12-2020Wiliam cresent kirway toka Haydom-manyara.
@happinessmwidima38067 ай бұрын
Mungu amrehemu baba yangu, moyoni mwangu UNAISHI. in those days ulikuwa unabonyesha replay kila wimbo ukikaribia kuisha
@NoeBarnaba-uk4kg Жыл бұрын
❤ hawa waimbaji waliendaga wapi sijasikiaga nyimbo zao tena barikiwa Sana Kwa nyimbo zenu tam sana
@getrudemangarejonathan7339 Жыл бұрын
2023....can't stop playing...remind me of my late mom😢😢the song though still have the same power... Jesus I love you no matter the lose of our loved once....Nov 2023 ...
@lisambeba45805 ай бұрын
Reminds me of my late mom pia, hili lilikua kanisa tulilokuwa tukisali pamoja alipokuwa hai - Tabata Segeres mennonite, alikua anapenda sana wa zile cd za gospel za akina Rose muhando; very nostalgic kwakwl 🙏🙏
@Christina-n8f8 күн бұрын
Verry nice song....haki nimekumbuka kipindi nipo class six nilikuwa naandika huu wimbo kwa daftari yangu...Mungu awabariki sana
@Jabali_Media Жыл бұрын
Dah utukufu mwingi Sana... Mfano halisi wa wimbo wa dini.... Nidhamu adabu hekima na utii wa Hali ya juu
@RKWAMBELE4 күн бұрын
Watu wapo siriaz na ujumbe wa mungu
@maurinendone6199Ай бұрын
nimecheza san huu wimbo kweny maharusi kam maids dah maisha aya 😊😊
@julianakabanza26174 жыл бұрын
Nazipenda sana nyimbo hiz ni kwaya yangu ninayoipenda milele hakika mnajua kuteka hisia za watu mbarikiwe sana
@segelmoses50802 жыл бұрын
Amen
@omaryjuma3714 Жыл бұрын
Yaan kila ukisikiliza hata amu aishi
@IbrahimHussein-hq3zn Жыл бұрын
Menaite.tabata.uw.inaipa.amni.rohoni
@tee_mult2 ай бұрын
I was so young nilipokuwa nasikiliza I’m in my middle 20s but the song is blessing to me still❤ 2024 🎉
@titohaule47582 жыл бұрын
Mungu Awabariki viongozi wa kwaya hii na waimbaji wa kwaya hii Bila kumsahau huyu kijana kiongozi akiwa na sauti nzuri sana Mungu awabariki sikuzote za maishayenu
@kelvinemanuel24162 жыл бұрын
Bahati mbata hatupo naye miaka mingi iliyopita.. RIP
@loitolaisser30402 жыл бұрын
@@kelvinemanuel2416 elikana nasikia yupo hai
@ElifarijiKisaka-y2z Жыл бұрын
Nakumbuka miaka Ile kipindi kile nilipokuwa Mdogo nlikuwa nkisikiliza kabsa hii kwenye radio ya Kanda jamani ❤❤❤❤❤nyimbo zinaoishi Hadi leo😊
@sebastianmarcely47044 жыл бұрын
Huwa najickia faraja san nnaposikilza hii nyimbo mungu awabarik san
@tinakabyemela3593 Жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki mpaka leo 2023
@richurassa-kb1vk Жыл бұрын
Mungu awatangulie Yani natamani sana niwe mwimbaji wakwaya
@AlexLucas-k9m2 ай бұрын
Yakale ni dhahabu 💞💞 am watching from Kenya county ya Migori kehancha 😅😅
@ShortYouTube-km9si8 ай бұрын
Wangapi Wako Hapa Wakati Huu Tukiingia Mwezi Wa Pasaka🙏🙏
@JosephMoinde6 күн бұрын
Nikiwa kijana wa miaka 10 hii wimbo naipenda sana mbaka Sasa nko Na miaka 39
@azorindege35832 ай бұрын
Kwa sasa hivi KMT KISOTA NA TEMEKE kidogo wanaelekea kuwa na nyimbo nzur kama izi...MUNGU BARIKI DHEHEBU LANGU LA MENNONITE TANZANIA
@loitolaisser30403 жыл бұрын
2021 bado wimbo unaendelea kuishi🙏🏿
@elijahosiemo519510 ай бұрын
Pure talent all round. Thanks, good song!!
@genofevangonyani162310 ай бұрын
2024🎉🎉🎉🎉🎉
@Jumadody2 ай бұрын
Yani imenikumbusha mbali sana hata ikanilazimu nitoke tiktok niingie KZbin niiangalie tena
@deogratiaspeter94004 жыл бұрын
Mungu awabariki sana wote walioshiriki katika Wimbo huu.
@justinemwakipangile7833 жыл бұрын
Mungu awabariki nyinyi!!!!!!!
@wilsonmaswimbo30613 жыл бұрын
Ndabva ndoiwasei nziyo iyi? Ndinoida ino ndiitira
@gracemwilu53162 жыл бұрын
Mungu awazidishie baraka zake popote mlipo menomite choir ninambarikiwa sana ninaposkia wimbo huu ambao unatukumbusha mateso ya yesu.
@hebronmwagodi94962 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, ulinitia moyo sana 2007 nkisomea KCSE, Mungu abariki Choir hii
@bahatibahatimdee75862 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na nyimbo hizi
@furahafedrick85014 жыл бұрын
Kwanza nimeona kwenye tv ulivo isha tu nikakimbilia KZbin niangalie ninavo taka
@victoriacarol36764 жыл бұрын
Hata mm ivo ivo
@msaeneck7674Ай бұрын
Mungu muweza wa yote ahidimiwe sana kwa kizazi kile sina kingine cha kusema popote mlipo Mungu awape nuru ya uso wake
@TNRG2009 Жыл бұрын
Here are the Swahili lyrics of this Golden Gospel Song: 1a. Wakati ule Yesu, alipokuwa busitanini Getesimane; alimchukua Petro, na Zebedayo Wakati akienda kuomba; (Alihuzunikaa, alisononekaa x2) Ndipo akawambia, Roho yangu, Inahuzunikia sijakufax2. Kaeni hapa mkeshe, Pamoja nami-mi x2. Akaendelea mbele kidogo (Baba-a), Akaanguka kifulifuli (Baba-a), Akaomba akisema eh Baba (Baba-a), Kikombe hiki kiniepuke (Baba-a), Wala si kama Mimi ntataka (Baba-a), Bali ni kama Wewe utataka (Baba-a) x2. 1b. Wakati ule Yesu alipokuwa busitanini Getesimane; alimchukua Petro na Zebedayo, Wakati akienda kuomba; (alihuzunika-a, alisononeka-a x2). Ndipo akawambia, Roho yangu, Inahuzunikia sijakufa-a x2. Kaeni hapa mkeshe, Pamoja nami-mi x2. Akaendelea mbele kidogo, Akanguka kifulifuli, Akaomba akisema e'Baba, Kikombe hiki kiniepuke, Wala si kama Mimi ntataka, Bali ni kama Wewe utataka x2. 2a. Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wameshalala. Akawambia: Je Petro, hamkukesha pamoja nami, (hata saa moja X4). Kesheni, muombe, msije, mka-ingia majaribuni x2; [Roho-i, (radhi)X3), Lakini mwili ni dhaifu] x2. 2b. Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wameshalala, Akawambia: Je Petro, Hamkukesha pamoja nami, (Hata saa moja X4.). Kesheni, muombe, msije, mka-ingia majaribuni x2, [Roho-i, (radhi x3), Lakini mwili ni dhaifu] x2. 3. Akawajia mara ya tatu, Akawakuta wameshalala, Akawambia-a saa yaja, Mwana wa Adamu atakamatwa, (Twende zetuni x4). Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), kaka yangu twende (twendeni); Mama twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Dada yangu twende (twendeni); Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Kaka yangu twende (twendeni); Mama twende (twendeni), twende (zetuni), Dada yangu twende (twendeni); 4. Dada yangu simama twende, Baba yangu twende; Kaka yangu simama twende, Kaka yangu twende; Dada yangu acha twende, Mama yangu twende; Dada yangu simama twende, Baba(?) yangu twende: Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Kaka yangu twende (twendeni); Mama twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Dada yangu twende (twendeni); Baba twende (twendeni), twende (twendeni zetuni), Kaka yangu twende (twendeni); Mama twende (twendeni), twende (zetuni), Dada yangu twende (twendeni); (Yule mwenye(???) …acha twende twende zetuni×2).
@chrixyaugust71273 ай бұрын
Umetisha❤😊
@MirriamMwaniki-rk2jd2 ай бұрын
Asanteee😢😢😢
@LucasNtigizu Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa huruma yake isiyo kifani nakumbuka mbali mno nikiwa nachunga mbuzi
@carolinelabby602111 ай бұрын
Huu wimbo umenikumbusha marehemu wazazi wang,Mungu aendelee kuwapumzisha Kwa Amani
@VailetyKassian-gd8ov9 ай бұрын
Wapumzike kwa Aman
@blessedone31564 жыл бұрын
Who is here october2020.nimeamshwa asubuhi ikiimba kwa akili nimeitafuta hadi nimeipata.hamukukesha pamoja nami hata saa moja😭😭😭🙏
@elvinahmoraa59883 жыл бұрын
Wacha mungu aendelee kuinuliwa siku zote Amina🙏🙏❤️💕
@segelmoses50802 жыл бұрын
Amina
@francisooko17032 жыл бұрын
Amen
@joelsundee2 ай бұрын
Wenye tunasiki hii leo kujeni hapa
@lizzynkifu4179 Жыл бұрын
2023 bado ni wimbo wangu pendwa
@alexandernyimbi81864 жыл бұрын
Elikana kwenye ubora wake kabisa. One of the Everlasting Album from this Choir
@jumannemasangwa98494 жыл бұрын
Loving the song endlessly
@fredyelifuraha25533 жыл бұрын
Is Elikana still alive?
@alexandernyimbi81863 жыл бұрын
@@fredyelifuraha2553 Yes He is 🙏🏽
@williamalbert922010 ай бұрын
Hivi anapatikana wapi ili tuweze kuongea nae tuwatafute na wenzie tuandae tamasha lao
@Imma-h9uАй бұрын
Jaman watu walikuwa siraz na mungu, cyoo kina Roz mhando
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
Wimbo naupenda mno jamani!♥️♥️♥️👏🇹🇿
@favoured41312 жыл бұрын
2022...time flies..the memories the faith still stands...
@sophiaismail4762 Жыл бұрын
nabarikiwa nai nyimbo👍👍
@esterchananji26573 жыл бұрын
Mavazi yao safi kabisa na hapa Ni kabla shetani hajawa Fundi cherehani
@fredyelifuraha25533 жыл бұрын
Hahaha
@harrisondaniel5606Ай бұрын
Huu wimbo wanipeleka utotoni, sasa me mtu mzima na familia, lakini nikiuskia natamani kurudi utotoni
@danielmathengeofficialpage40582 жыл бұрын
Tafadhali niambieni huyu mwana gita mwenzangu anaitwa nani Nim ngotee!
@PeterDaudi-i4k7 ай бұрын
Mungu ni mwemaa huu wimbo unanifariji sanaaaaaa ❤
@alphayomogunde78283 ай бұрын
Mwalimu wa hii kwaya yupo sawa 2 kabisa.❤❤
@kiplangatkemei15603 ай бұрын
wale tumetoka TikTok likes zikuje
@AntonyMuia-wn4rq2 ай бұрын
Enyewe kama sio TikTok sigeijua nayo unapedeza kweli
@joshuamutuku-qy2qr2 ай бұрын
Ala 🤣 pia mm nmepatana nayo tik tok ndo nkakuja hapa kusearch 😅
@dayanaurio85503 жыл бұрын
Jamani nyimbo napemda kuisikiliza kila ck,,mungu awabariki Sana kwa kz yenu nzuri💕
@thomaslutema1884 Жыл бұрын
Kazi nzuri nakumbuka enzi hizo nikiwa moto mdogo Leo najitegemea(machuad enough)
@joramhamisi60933 жыл бұрын
I remember when our choir master was writing this song on a black bord and we sung it...i fill blessed so much glory to God
@silviahnyakeri28912 жыл бұрын
Am so blessed
@lydiasamwel31432 жыл бұрын
Iy ya
@DestinedVictor7 ай бұрын
baba ifanyike kama vile utakavyo 🙏🙏
@lucasnela27852 жыл бұрын
Nyimbo yenye baraka hakika mlimtumikia Mungu.
@mossesramadhani501 Жыл бұрын
Kwa anayejua HUU wimbo ulitoka mwka Gani
@violambeche25312 ай бұрын
2007
@furahafedrick85014 жыл бұрын
Nashindwa kuelewa huu wimb ni wamwaka jana kweli mm naona wakitambo lakn nikama umetoka leo
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Hazichuji hizi nyimbo nitamu sana
@susanmabeba61713 ай бұрын
Nimeuona live 31 August 2024,Elikana ebu rudi kwenye kwaya yako pendwa
@NelisonLukas7 ай бұрын
Hakika izi ndizo nyimbo za kuukonga moyo
@simonrevelian83722 жыл бұрын
Hiki kzazi cha sasa ch joka kinapaswa kuiga waimbaji kama Hawa, wanamwimbia Mungu wimbo unapenya mpaka maini tanamsifu Jehova