Nimeanza mwaka kwa kusikiliza wimbo huu,,2024 mungu atusaidie roho ya anania ituepuke
@StephenSimwela-uu1jr2 ай бұрын
Amen
@leticiamchomvu36232 жыл бұрын
Nyimbo ya muda mrefu lakni ujumbe wake ktk biblia unagusa na wengi tupo kama Anania Ee Mungu utuhurumie na kutusamehe.
@AnoldGelard9 ай бұрын
Kabisa endelea kubalikiwa!
@salomemdao8 ай бұрын
@@AnoldGelard
@salomemdao8 ай бұрын
@@AnoldGelard
@CharlesNyange-jh2xo7 ай бұрын
Tunaoskiliza 2024
@winfridamalembeka-ik5qw3 ай бұрын
Here we Gooooo!!
@ciliapaul3845 Жыл бұрын
Wimbo umenikumbusha kipindi sina majukumu nakula nalala sijui vyakula vinatoka wapi. Nilikuwa nafurahia tu maisha. Lkn leo naimba huku majukumu kibao yamenibana, nakumbuka hata kama Nina mambo yangu kibao ,lkn kutoa Kwa Mungu kuko palepale🙌
@castoljmwalyego37783 жыл бұрын
💖💖💖 Dah mpaka machozi yananitoka nakumbuka mbali sana,naimba sunday school....Mbalizi Mbeya Tanzania...💖💖💖💖💖
@vinaah34373 жыл бұрын
me cjawah kuchoka kuskilza nyimbo hiz coz nakumbuka mbali🤦 sana nikiwa nasali tkt kanisa lao,ambalo tawilake lipo mbaliz nlishiliki kuimba nao mungu azd kumpa maisha marefu mwalimu erikana, pamoja na wanakwaya wake afya njema siku zote🙏
@neemmanda5222 жыл бұрын
Daaah kitambo sanaaa
@DavidKisoji-tw8yd Жыл бұрын
Duuuh jmn mm nilikuwa naimba usharika wa iwindi mblz mbeye
@Jimmsuva-be5dc11 ай бұрын
Nilisikia uyu solist alikufa mapema tu baada ya album
@Mary-r6t Жыл бұрын
Still nasikiliza 2023
@izackmtenda1522 Жыл бұрын
Hinyimbo inanikumbusha mbali sana namukumbuka sana baba yangu kipenzi changu anania mtenda😭😭😭😭😭😭
Choir za Roho wa Mungu aaah TAMU SANA. YESU NI ZAIDI YA ASALI
@phinawatwego5279 Жыл бұрын
Aminaaaaaaa Aminaaaaaaa. BWANA MUNGU awabariki. Tena nakumbusha kina Anania bado tupo wengi mnooo
@kelvinmhina35942 жыл бұрын
Nakumbuka zamani kulikuwa na mkutano wa injiri pale jangwani ulikuwa unaitwa the BIG NOVEMBER lazma uende maana ulikuwa unafanyika kila mwaka kwa ajili ya kwaya mbalimbali kama hawa
@heavenbaradiga9433 Жыл бұрын
Hawa sasa ndo walikuwa wanaimba hadi unashukiwa na roho myakatifu sio hawa wengine wanacheza amapiano kanisani hata upako hupati
@Rehema32 жыл бұрын
❤️🥰🔥 Who is listening in 2022?
@el_shirma68382 жыл бұрын
Me! 01/10/2022
@mabitajunior2 жыл бұрын
moving on
@novatsteven29472 жыл бұрын
October 2022
@agnessnicko46522 жыл бұрын
Me
@agnessnicko46522 жыл бұрын
December8
@deodatusmwacha7194 ай бұрын
Kwa nini ufiche sehemu ya Mali uliyoipanga kumtolea Mungu wako😢
@philipedward60903 жыл бұрын
Really old is gold, Mbarikiwe kwa kweli. Nawapenda katika jina la YESU. ❤️❤️❤️
@musafaraomwakajila58252 жыл бұрын
Kwa kazi njema mnayoifanya
@jocelyntungaraza8753 Жыл бұрын
🥰🥰❤❤❤ naenjoy san kusikiliz hiz nyimbo eeeh mwenyez mungu naomb uzid kutubariki🤲🙏
@Elnathatz97492 жыл бұрын
Twende nayo 2023
@aikamichael5945 Жыл бұрын
Yes tunaenda nayo 👏👏👏
@blandinakazumba77302 жыл бұрын
Enzi za hawa watu...nakumbuka mbali
@phinawatwego72604 жыл бұрын
Wengi tuko kama Anania Mungu tusamehe, 2020 tupooo
@lazarofrank33124 жыл бұрын
Amen
@kelvinvenance36274 жыл бұрын
Hakika kabisa
@castoljmwalyego37783 жыл бұрын
Yaaaani only God knows
@festomhagama10482 жыл бұрын
Mungu awakumbuke katika ufalme wake
@robertkishiki65872 жыл бұрын
Hukumwambia uongo mwanadamu bali Mungu
@PeterNzelaniАй бұрын
Asante ,MUNGU wangu
@EstominiSanga7 ай бұрын
I like that choir.💯💯💯
@JosephRichard-w5s4 ай бұрын
napenda ujumbe mzuri katika wimbo huu
@felixmollel14573 жыл бұрын
Hii nyimbo bhana naikubali tangu kitambo 🙏🙏🙏🙏
@jannetgrey69403 жыл бұрын
Kaka,unaimba,vizuii,mungu,akubaiiki
@tubunileopmsyaliha35024 жыл бұрын
Nyimbo nzenu nzuri sana nimewamis sana mbona kimya sana!
@JakisonJuma5 ай бұрын
Mungu atusamehe maana akina anania bado mara duvu
@wallesmdoe91642 жыл бұрын
Anania )kwakweli Mungu awabariki wanakunyatanyata
@peterantonymindolo87232 жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa ujumbe huu mzuri Mungu atusaidie tusiwe Kama Anania na mkewe Safira
@musafaraomwakajila58252 жыл бұрын
Hongereni sana Wana WA Mungu.
@ahmedchuchu3892 ай бұрын
Nilikuwa Kibaigwa hii nyimbo ilinipa hekima na upendo Mkubwa nikitokoe kwenye starehehee zote za dar, Kilimanjaro hotel, embassy hotel, new afrc, bahari bec, bill, kuna clab akwa jamani, hekima uleta faraja
@STELLAERNESTTESHATESHA6 ай бұрын
Listening now ❤
@wisdomelia72149 ай бұрын
twende nayo 2024
@mustaphareua23702 жыл бұрын
Oyooo
@janemlambo81933 жыл бұрын
hiv wako wapi? Kama wapo kwa nn wasirud kuimba hata remix tu jaman , nlikuwa shule ya msingi darasa la 2 had Leo bado nyimbo nzur
@novatsteven29472 жыл бұрын
Sure good gospel
@malickkasuga48053 ай бұрын
Tupo
@shanystephan85843 жыл бұрын
2021 bado nasikiliza
@goodluckleonard15813 жыл бұрын
Nasikia simanzi nikikumbuka zamani
@colletatesha5265 Жыл бұрын
Hata sasa naguswa na waimbaji hawa sept 2023
@neemmanda5222 жыл бұрын
Izo nyimbo znaishi km zimetoka leo
@IamNiceJoas8 ай бұрын
Best Gospel Song, never seen before...
@amaokobobob26282 жыл бұрын
Promotes honesty in the church due to Ananias story in the Bible
@lameckmwanamonga61463 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri sana muendelee tuna kosa nyimbo zenye ujumbe siku hizo
@gaspakimaro6 ай бұрын
nilikua naenda kuuza mayai hili nikanunue betr za taiga nije niweke kwenye redio caset panaconk kanda moja
@izackmtenda1522 Жыл бұрын
Amina
@olivernkana5746 Жыл бұрын
Tunaosikiliza 2023 gonga like 👍
@ghatichacha27813 жыл бұрын
Mungu awabariki. Wanakunyatanyata. Nawapenda Sana.
@mirriamingosi52422 жыл бұрын
Natamani hio wimbo waniimbie
@ndirangugitimu4020 Жыл бұрын
Wonderful songs I found them after along search. God bless abundantly.
@veronicamalimi29514 жыл бұрын
mbarikiwe sanaa nyimbo nzenu nzuri sana
@richurassa-kb1vk Жыл бұрын
Mungu awatangulie
@jumamgonja1149 Жыл бұрын
Hatariii Sanaa..
@jacklinmacha2964 Жыл бұрын
2023 ree mwenyez MUNGU tunakuomba utuepushe na roho ya anania
@oswardmheni361011 ай бұрын
very touching song. Be blessed
@stellahgetuno8372 жыл бұрын
❤❤❤be blessed Nice song
@PatsonFoin6 ай бұрын
2024 still like please
@abdonmsafiri80147 ай бұрын
God forgv me. Am anania
@josephnjau95443 жыл бұрын
Weng tupo km anania eeee mungu baba tusamehe Amina dhaaaa
@jovanafidelis28022 жыл бұрын
Mimi hapa najiona kabisa
@hebronmwagodi94962 жыл бұрын
Wow!! What a song, what a choir!
@joachimezekiel73493 жыл бұрын
Anania 2021
@haroldnixon52696 ай бұрын
2024🔥🔥🔥🔥
@estherfaida33084 жыл бұрын
Shalom.barikiweni saaana
@jacksonpallangyo13692 жыл бұрын
2022 like zenu
@titohaule47582 жыл бұрын
Amina🙏🙏
@dorcusalberto16005 жыл бұрын
Be blessed so much, a nice song that has a lot to do with it
@princes60453 жыл бұрын
Very nice song
@patricemichael6743 Жыл бұрын
Who's listening 2023
@anguparudiana99632 жыл бұрын
So wonderful
@martinswai80313 жыл бұрын
Nimekumbuka zamaaaani.
@IamNiceJoas8 ай бұрын
2024♥️
@caloesdan31993 жыл бұрын
Great!!
@hopenrejoice99453 жыл бұрын
blessed....
@Kkktkangeonlinetv Жыл бұрын
Amen
@mariadauri30073 жыл бұрын
❤❤
@gracenithy2 жыл бұрын
😍😍😍😍🌹
@vauletyhamis66615 жыл бұрын
😍😍
@KellyDon-o3z Жыл бұрын
👏👏👏👏🤦
@MarthaSakuye-t5v Жыл бұрын
Good song😂😂
@augustinoodemary95564 жыл бұрын
Nc
@emmymalisa20063 жыл бұрын
Hapa tunakumbushwa tusiwe kama ananania ..naupenda sana huu wimbo
@hawachilemba62313 жыл бұрын
Leo kina Anania tupo wengi,mm ni mmoja wao.nitajirekebisha.