Рет қаралды 6,155
Jifunze tabia 3 za mafanikio za kuwa nazo ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020. Wote tunajua kuwa tabia ni muhimu sana kuwa nazo hasa tabia chanya ambazo nitakusaidia kufanikisha malengo na ndoto zako na kufikia mafanikio. Tupo hivi tulivyo kwasababu ya tunayofanya kila siku, sio kwa kufanya mara moja na kutegemea matokeo mazuri katika maisha la hasha, ni yale tunayoyafanya kila siku ndo yanahesabika. Kwahiyo kama unataka kufanikisha malengo, na ndoto kuwa na mafanikio zaidi lazima ujifunze kufanya vitu kwa usahihi ambavyo vitakusaidia kukufikisha mwenye mafanikio unayoyataka.
So ni tabia gani unazotakiwa kuzikuza na kuzitumia kukusaidia kuishi vizuri na kufanikisha mengi. Angalia video hii hadi mwisho. Karibu
................................................................................
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
www.youtube.co...
🔴Follow me on Instagram - / zahir11gome. .
🔴Twitter - / zahir11gomelo
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako- • JINSI YA KUFANIKISHA M...
⚡Kwanini ni muhimu kuwa na VISION katika maisha na kama hauna unawezaje kujua VISION yako/Maono yako- • Kwanini ni muhimu kuwa...
⚡JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO VIZURI NA KUJILETEA MAFANIKIO 2020-GONLINE- • JINSI YA KUTUMIA MUDA ...
⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA GONLINE-
• JINSI YA KUWA MJASIRIA...
⚡JIFUNZE KUACHA HILI KUFANIKISHA MALENGO, NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO (PROCRASTINATION) - • JIFUNZE KUACHA HILI KU...
⚡ JINSI YA KUKUZA KUJIAMINI ZAIDI 2019/HOW TO BE CONFIDENT 2019
• JINSI YA KUKUZA KUJIAM...
⚡Ni bora ufe ukijaribu Kuliko kukata tamaa katika ndoto zako ( Best Motivational Video) - • Ni Bora Ufe Ukijaribu ...
⚡Epuka Makosa haya 6 Kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara haraka
• Epuka Makosa 6 Kama un...
⚡Jinsi ya kupanga Bajeti-50/30/20
• Jinsi ya Kupanga Bajet...
⚡Je unapitia maisha magumu/wakati mgumu katika maisha? Usikate tamaa. Angalia Hii-
• Je unapitia maisha mag...
⚡Angalia Hii : Kabla ujakata tamaa katika maisha
• ANGALIA HII : Kabla uj...
⚡Jinsi ya kutengeneza na kuwa na pesa nyingi/Acha mambo haya matano (5)
• JINSI YA KUTENGENEZA N...
⚡JILIPE MWENYEWE KWANZA
• Jilipe wewe mwenyewe k...
⚡FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA - • FIKRA/MAWAZO YA WATU W...
⚡ KWANINI UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNASHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MALENGO NA NDOTO ZAKO - • KWANINI UNAFELI KATIK...
⚡Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo - • SIRI TATU ZA JINSI YA ...
.....................................................................
#gonline #mafanikio #maisha