Рет қаралды 12,343
Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Tabora wamekusanyika na kuipokea kwa shangwe timu yao ya Tabora United, baada ya timu hiyo kuwasili mkoani hapo ikitokea jijini Dar es Salaam ilipokwenda kucheza mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Yanga SC na kuibuka na ushindi wa goli 3 -