Pia nashauri Mipango miji kuwa na maeneo yanatengwa kwa ajili ya msitu katikati ya miji. Tena sio msitu mmoja misitu mingi mikubwa kwa midogo. Open areas, Gardens, Play grounds. Afu Mimi mfano ningekuwa mipango miji nashauri wizara itoe maelekezo kila anayemiliki kiwanja cha makazi lazima apande miti katika eneo lake. Hata kama ni dogo utapanda miti ya matunda. Hii iwe ni lazima. Tukifanya hivyo kwanza miji yetu itapendeza halafu tutapunguza air polution, pia mvua zitaongezeka.