Ee Mwenyezi Mungu tunakushukuru sana kwa zawadi ya uhai na UTUME wa kuhani wako Padre Henry Rimisho, tunamwombea afya njema ya mwili na Roho, ulinzi na baraka. Tunaomba Roho wako Mtakatifu amwongoze vema, mwongezee hekima, busara na maarifa ya mbinguni anapotumika Shambani Mwako Mungu kwa Utukufu wako. Amina