Mashallah tabarakaallah Allah awalipe mema na awaongoze hao mabinti kwa njia iliyo nyooka hadi mwisho . Nawe sheikh kishki Allah akupe umri mrefu Amen ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@rahmaally512824 күн бұрын
Masha Allah, Allah awabaarik wakaz wa Malaysia kwa tafrija yenu kwa Sheikh wetu, Allah akujalie urudi salam Sheikh wetu, kila hatau ulonyanyau kwend na kurud kufany jamb hili la Kheir na ni ktk njia yake Allah, Azifanye ni thawabu zisizo na idadi, na akujaalie ilmu uloitafuta kwa ajili yake ikawe yenye manfaa dunian na akhera, namuomb Allah uwe miongon mwa waja wake anao wapenda mno na alinadi jina lako ktk mbingu yake na kwe arshi yake kua anakupenda , amiin amiin amiin 🤲
@yusufathman247825 күн бұрын
Wa aleykum mussalam warahmatullahi wabarakaatu Alieandika comment hii na mmi nisomae. Twamuomba Allah subhaanahu wata'ala atuhifadhi, atusamehe madhambi yetu.. yote ya siri na ghaibu., ndugu zetu waliotangulia Allah awarehemu. Atujaalie sisi maisha marefu na tuishi kwa twaa yake. Aaaamin yaa rabii
Ma sha Allah Tabaarakallah 😍 Kwakweli ni Furaha tupu Alhamdulillah 🤲 Aaaamina ya Rabby 🤲 kwako pia
@Al.habeebAl.habaaib25 күн бұрын
Kwa kweli Sheikh kiahki ametusurprise sana katika hili. Amechukua degree ya kwanza kimya kimya na leo amechukua Master's Allahu Akbar
@AishaZuber-z6g25 күн бұрын
❤❤❤❤masha Allah pale napaona nilipo kuwa naishi❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@KhadijaSalum-nf5mf25 күн бұрын
Maa. Shaa Allah mabrouk shekh wetu kishki
@Twarif25 күн бұрын
Nakupenda sheikh kishk kwaji ya Allah
@YasiniBitungwa25 күн бұрын
Manshallah nasi tunamsubili tumfanyie tafrija
@فايزهعمان25 күн бұрын
Mashaallah mashaallah ❤
@abdillahmachemba559725 күн бұрын
Mashallah mashallah
@MbogiMussaa24 күн бұрын
Pongezi sana shekhe KISHIK
@siriyangu472425 күн бұрын
Ameen yarrab 🤲
@fabssaleh727325 күн бұрын
BARAKALLAHU FIIKUM. MAA SHAA ALLAH TABARAKA ARRAHMAAN.
@myunaniniahmad646325 күн бұрын
Mashaa الله Mashaa الله Mashaa الله.
@Latifahhassan-lr8ew25 күн бұрын
Masha Allah Tabarakallah ❤❤❤
@abunajreenELSESANY25 күн бұрын
Maasha Allah baarakallah
@ayeshakhan163625 күн бұрын
Masha Allah tabarakallah alhamdulillahi rabilaalamiin
@NahimanaAssumani24 күн бұрын
Maashaa Allah
@HattadxbHatta25 күн бұрын
Mashallah ❤
@sharifoyasin787625 күн бұрын
Masha Allah
@jumamohamed480825 күн бұрын
MashaAllah
@MomadeNtambo-m8o25 күн бұрын
Masha halha
@nyatya19925 күн бұрын
Waislamu inatakiwa tupendane kama hivi na laiti kama tutakuwa na upendo huu basi tutafika mbali mno.
@umsoud330625 күн бұрын
مبروك يا شيخ كيشك
@TatuMkeso25 күн бұрын
Mashallah Allah akuifadh sheikh kishk
@a.85625 күн бұрын
Jazaka Allah khayran
@SarahSudi-jx6pr25 күн бұрын
Amiiiiin
@atwowa638025 күн бұрын
Amiin yaaarabi
@MochammdHadija-pn7nn25 күн бұрын
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤❤❤
@Salsabiil1223 күн бұрын
Maashaallaah
@zainabudotto25 күн бұрын
Mashi ❤️ unataka ukasome jaman nani atatangaza 😢jomon
@kautharjay586825 күн бұрын
Kusoma ni muhimu upate maalifa zaid kuliko ukabaki nakidogo ulichonacho
@zainabudotto25 күн бұрын
@kautharjay5868 jaman but it's not ok
@noot-oe2mw25 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏❤️
@YasiniBitungwa25 күн бұрын
Manshallah
@HassanKazinyingi25 күн бұрын
Maashallah mashallah
@hemedmohamed943925 күн бұрын
MASHAALLAH ❤❤
@KhaulahKigundula25 күн бұрын
Mashallah🎉
@FatumaMwage25 күн бұрын
allah kareem
@salmahaji-i6n25 күн бұрын
Shkeli kwa Malaysia
@JumaChabanempondinho-t8y25 күн бұрын
Masta iyo ni kama sifa tu sasa tusilewe na sifa muimu ni kumcha mungu inshallha
@nyatya19925 күн бұрын
@@JumaChabanempondinho-t8y Mh
@kautharjay586825 күн бұрын
Kusoma ni vizur zaidi ili umche Allah kwa ufasaha usidharau elimu tumeambiwa tuitafite elimu kama watu wasipo soma kizazi Cha kesho kitasomeshwa na nani.mtu annwita shekhe amsomee Dua kwanini?? Kwa sababu Hana elimu tusome tusome tujuw dini yetu Kwa upana
@kautharjay586825 күн бұрын
Ungesema hivi hiyo elimu ulioipata ikusaidie katika Ibada wewe na watu wengine