Huyu ndiye Mchungaji anaye sema kweli za Neno la MUNGU UBARIKIWE SANA PASTOR
@DemetriaFeruzi-yi2rw2 ай бұрын
Yesu ❤❤
@Dmochalinze28 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤abarikiwemungu mtenda Miujiza ❤❤❤❤❤
@olphanyamweya315410 ай бұрын
Thanks JESUS, nimebarikiwa hakika nitainuka niendelee na safari ya Imani.
@dorothychepkurui11 ай бұрын
Since I heard this pastor teachings as I was scrolling you became my pastor online ,am blessed day by day ,may the Lord you
@Paul3G9 ай бұрын
Same thing here he's a spiritual man
@elizabethchima8098 Жыл бұрын
Hili somo unaongea na mimi🙌🙌🙌🙌🙌
@newgeneration9524 Жыл бұрын
Duuuuh huyu pastor ni kwere, nilikuwa simjui ila naona nimekuwa addicted na haya mahubiri, hata siwezi kulala bila kumaliza mahubiri🤔🔥🔥 Mungu ambariki sana
@Paul3G9 ай бұрын
Same thing here he's a spiritual man
@gilbertnepatao5 ай бұрын
R
@SarahAbuliOtienoOtieno10 ай бұрын
Nashukuru kupatana na huyu mchungaji kwa kweli nabarikiwa Sana nipo kenya
@josephinelauwo49479 ай бұрын
Mungu azid kukutumia baba nabarikiwa nafunguliwa sanaa kupitia mafundisho yako Mungu akutunze. Sanaa
@anjelakigava3887 Жыл бұрын
Hili somo ni langu asante Yesu kwa kibali umeruhusu nisikililize apa
@ShubiraCostacАй бұрын
MUNGU Akubariki sana, niliwai kufanya dhambi ya kuhoji,naomba MUNGU Anisamee,leo nimepona kwa jina la YESU👏
@furahaangos722210 ай бұрын
Ameen amina mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, yote uliyohubiri mjungaji ni kama ni mimi ulinihubiria ubarikiwe sana kwa kunifungua amina ubarikiwe
@stellafiyao494522 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana umekuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu, mafundisho haya mara zote yamenitoa sehem Moja na kunipeleka sehem nyingine
@EstherMutii-m4o10 ай бұрын
Kabisa mtumishi WA mungu Mimi nimagojwa na hospitalini haionekani ugojwa chest pain
@gilliangillian67482 ай бұрын
Asante Yesu kwa somo hili ambalo ni angalizo kwa maisha yangu ya leo. Nisaidie Bwana nirudishie kiu cha kulisoma na kulielewa neno lako.
@GeraldPhilip-z9u Жыл бұрын
Jamani hawa ndio watumishi wakweli wanatufundisha neno la kweli jinsi tunavyoshambuliwa kiroho... Asante baba nimepokea neno Amen
@ConsolathaMichael-f3x6 күн бұрын
Amen Mungu wetu ni mwenye Rehema sana na mwaminifu,, amejihidhirisha dhahiri kwangu kupitia pastor mukabwa hakika umebarikiwa na Mungu pastor🙏🙏 sana kwa mahubiri yako😅😅
@doricaedisson5182 Жыл бұрын
Nimebarikiwa kuliko kawaida nahisi waumini wako wanafaidi Sana, Endelea kutenda kazi ya Bwana vyema. Baraka za Mungu zikufuate popote pale uendako mtumishi wa Mungu.
@PerisChari Жыл бұрын
Mafundisho mazuri ya kufungua mtu kwenye vifungo vya shetani Mungu akubariki sana Pst
@sholachando4294Ай бұрын
Amina baba Mungu akupe maisha marefu maana ni yangu🙏
@Mamachidy-g9x5 ай бұрын
Asant MUNGU kwaajili ya huyu mtumishi mungu muinue huyu mtumishi viwango vingine
@alicell28046 ай бұрын
Asante Bwana Yesu kristo Kwa kunirudisha Kwa njia kupitia mtumishi wako ni Mimi nikirudi nyuma sana lakini ukanikumbuka leo 😢😢thank You Lord 🙏🙏
@NoellaKolettaАй бұрын
Mtumishi Mungu akuzidishiye maarifa uduma iyi uifikishe maali Bwana napo taka,nimefunguliwa kwa jina la Yesu Christ
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Amen mtumish Nmejifunza kitu Kikubwa sana. Ila dalili ya 1 & ya 8 n Zahatari mno na Za kuziepuka kwa Kila namna MUNGU atusaidie.
@FezaMapendano12 күн бұрын
Asante sana mungu akubariki kuniweka tena kiroho zaidi muchungaji unanifungua kupitiya neno
@suzanakiwele1832 Жыл бұрын
KABISA HUYU MTUMISHI JAMANI, MUNGU AMBARIKI,SANA YAANI NIMEPATA DELIVERENCE KWA KUSIKILIZA TU, MTUMISHI MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏
@witnesskileo355211 ай бұрын
0⁰😢😢
@YvetteMandenge11 ай бұрын
Ni kweli kabisa wewe uko natufunguwa vichwa mafundisho mazuri sana
@YvetteMandenge11 ай бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen
@biancaryan-jx8kl8 ай бұрын
Amen🙌
@paulineandrew52328 ай бұрын
nashukuru Sana kwa mafundisho
@StellaMalamla3 ай бұрын
Asante sana Pastor, najifunza mengi sana kupitia mafundisho yako. Katika jina la Yesu sitarudi nyuma tena
@mathewsmathew5280 Жыл бұрын
Mtumishi ,this word has found me at the right time, kumbe nilikuwa nimevamiwa ,but after 3 days of fasting , I thank God almighty for this word .
@chipedaniel Жыл бұрын
Mchungji umenibariki sana
@evelynmsoma764 Жыл бұрын
Amen
@PhaniceApale2 ай бұрын
Huu ujumbe ni wangu mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
@MercyOgutu-oo4mh11 ай бұрын
Thanks for the message May the LORD meet you to your point of need. And remain blessed
@FelistaMukami-ks7fm8 ай бұрын
Nimependa neno lako,niko sauda Arabia huku akuna kuenda kanisa so you are my father nitakuwa nakuzikiza online Amen
@MmelaRamadhani8 ай бұрын
Pambana huko Mungu akutie nguvu
@jasminesungura87307 ай бұрын
MUNGU awe pamoja naweee
@KHATIBUSENYE-ss3ok3 күн бұрын
Pastor nabalikiwa sana na wewe mungu akubaliki sana
@estherjoseph19046 ай бұрын
I thank God for connecting me with pastor George , mafundisho yako yananifhnza na kuniinua. Mungu akubariki sana
@MaryestherAlphonce Жыл бұрын
Hakika umenena vyema Mtumishi wa MUNGU, Ubarikiwe sana✍️🙏🙏
@shshygibb22365 ай бұрын
Oooh My Goodness...Nina ushuhuda.........pls Naomba tuosemezane.... Prophet....today is my Birthday....❤❤❤❤❤❤oye St Pölten....oye Prophet waaah!!!!!!!?!❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu Ni Mkuu sana walai walai...Asante Mungu Baba Mtakatifu kwa Prophet na Prophecy hii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Barikiwa kwa hili ... Barikiwe sana..... ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@marywafula2858 Жыл бұрын
Amen Amen Amen nimejifunza kwa huu ujumbe sitakubali tena kutolewa kwenye nafazi yangu💥💥🇰🇪🇰🇪roho ya uzito 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus Name 👏👏👏
@mwendaAnnastacia-xy4ni10 ай бұрын
Annastisia
@EwaldKweka9 ай бұрын
Yaaa,uyu ni mtumishi wa kitofauti,anatumikia kusudi la Mungu sirias.tunamuomba aje daa.
@EvansiMoleli-k4b4 ай бұрын
Mtumish wa mungu,mungu akubariki azid kukupa nguvu na neema mahubir hii inaniguza sanaa
@Kekee9595 Жыл бұрын
Huyu ndie mchungaji ambae hana utapeli ndani yake ila anahubili akiongozwa na ROHO WA MUNGU. Naomba MUNGU azidi kumuinua na kumbariki in everything.
@kareganjagi86409 ай бұрын
Ameen 🙏🏾🙏🏾
@lufapavifapavi62779 ай бұрын
Very true anahubilii pure ijili. May aGod fight his battles.
@ZilipaDickson-u4w9 ай бұрын
❤❤❤
@elizabethndila8 ай бұрын
Me too l love his teachings..,
@NaomyDaudi8 ай бұрын
mungu ambariki
@Patricklaurent-j2f4 ай бұрын
Ameen mtumishi wa mungu hakika nabarikiwa sana
@obbykimbale9842 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi mungu amekutumia kwa ajili yangu dalili zote nimejifunza nimepitia nilikuwa karibu na kupotea hakika nimepata nguvu mpya
@PeaceSamson-h1m5 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi.
@PastorGloryDavidRupia-mh8kt Жыл бұрын
Amenii Baba nmefunguliwa sana sana hili somo kunamahali nmetoka na Kuna mahali na kwenda Mungu wa mbinginii Akubariki Baba 🙏🙏🔥🔥
@Contentcreators11 Жыл бұрын
December 2023 Na nmeponywa na neno La Mungu kupitia wewe Barikiwa sana baba
@farajaramadhani5483 Жыл бұрын
I use to ignore watching this video many times. I didn't know it has this wonderful message for me 😢😢😢. May the almighty God Bless you Man of God.
@MgishaSpalos Жыл бұрын
😊..
@MgishaSpalos Жыл бұрын
Mm😊 my
@JoyceMuriuki-d5p Жыл бұрын
😮
@pelagiadamiano Жыл бұрын
Blessed mtumishi wa Mungu
@floranyefwe34649 ай бұрын
This is me. So today fifteen April I just scrolled it so many times but I decided to listen
@MahamuduShabani-x8i Жыл бұрын
Everne moris mungu akupiganie sana Kwa kaz nzuri umenijenga sana nasomo hili barikiwe na mungu mtumishi wa kweli amena
@fezafaustin51039 ай бұрын
Amen Mungu wangu kwa kunikutanisha na haya mafundisho ya leo,nimehisi upenyo wa roho mtakatifu ndani yangu.asante yesu.
@fatumasalehe44498 ай бұрын
Najifunza mengi sn kupitiai huyu Pastor.MunguAmtumze
@Onesimo-r1x3 ай бұрын
Baba unaniambia mimi naamini leo nasimama kwa jina la yesu
@yasinthatemba13369 ай бұрын
Yaaan haya mahubiri nilikuwa sitaki kuyasikiliza,Kumbe ni ujumbe wangu kabisa 😢, Naomba nipiganie Mungu wangu
@severinolubugo9 ай бұрын
HIZI BATTLE NI WEWE MWENYEWE KUPIGANA! Kaa kwenye nafasi yako, pigana kwenye hii vita: kwenye kila dalili amesema nini cha kufanya!
@iveldakisanga4075 ай бұрын
Thank you Pastor for this words ❤ You are blessed
@zipporangare Жыл бұрын
Ninawochi kutoka saudia,,,pst maombi yako yamenifuza mengi,,,na nina imani nitajua kuomba na kusoma bibilia kutoka kwako,,,,,amen 🙏🙏
@sylviamukabwa680410 ай бұрын
I have been so blessed since I started listening to you pastor you are a blessing
@esterheri9592 Жыл бұрын
Amen baba angu 🙌 kuanzia sasa nimefunguliwa katika jina lipitalo majina yote Yesu kristo💪💪 nimepona na mashambulizi yote ya ibirisi niko huru 🙌🙌🙌🙌
@SARAHMLELWA7 ай бұрын
Àmen
@shshygibb22365 ай бұрын
Oooh My Goodness kweli Kabisa prophet George Mukabwa❤❤❤❤❤❤Ni Kweli Mtupu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@peaceirene8183 Жыл бұрын
Amen, namshukuru mwenyezi Mungu Kwa kuniambatanisha pamoja na mutumishi wake ilikunieka kwenye njia sahihi ya neno la Bwana. Nabarikiwa kila wakati ninapo sikiza mafundisho ya kwako. Mungu akuzidishie afya na nguvu ya kuendelea kufanya Kazi yake Amen
@deodatasndunguru989 Жыл бұрын
Mungu akubariki. Sana mtumishi hakika unagusa Sana maisha Yangu Amin
@deodatasndunguru989 Жыл бұрын
Naomba tuongeee Mtumish ninashida
@agnesmutangilimutangili8734 күн бұрын
Thanks be to God I received the message on time point no. 5 Thank you Pastor
@kosopa-df3io Жыл бұрын
Haleluya JESUS Mungu Mukomboe watu wako
@BarasaBevalyne4 ай бұрын
Thanks kwa mafunzo unatuelimisha kweli🎉
@jacklinenatocho2443 Жыл бұрын
Powerful revelation.. Hallelujah!
@MartinaJoseph-o5n22 күн бұрын
Mungu akupe kheri duniani baba hakika kinywani mwamko Mnachemichemi ya uzima
@beatriceragak4745 Жыл бұрын
Amen,this message was for me surely, I,ve been under spiritual attack for long
@vaeletsoi44976 ай бұрын
Great teachings indeed..I am learning that Satan has tricks that even frustrations comes from the evil one.
@استغفرالله-ه1ظ6ذ Жыл бұрын
Hallelujah glory to God..🙏🙏🙏
@adrophwilliam322510 ай бұрын
Ujumbe wa Mungu kwangu kupitia mtumishi wa Mungu huyu umeniweka huru.Asante sana Yesu Kristo uliye Bwana na mwokozi wangu. Hakika mwana akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.Amina
@catherineangaufoo2530 Жыл бұрын
Amen & Amen. Ubarikiwe mtumishi.
@SalumMaduhu-v9h Жыл бұрын
Nashukuru MUNGU kwa kuniongoza moja Kwa moja Kwa mtumishi mukabwa Kwa sababu Leo nimefunguliwa naomba unisaidie na mengine yafunguliwe
@authurmwenda496 Жыл бұрын
Asante yesu kwakumupa mutumishi wako neno sahiyii ,nimebali Kiwa .nakufunguliwa.
@shshygibb22365 ай бұрын
Wooooiw Eeh Mungu Eeh Mungu wa Mbinguni....Umeniona😢❤❤❤❤❤oye St Pölten....Oye Prophet ❤❤❤❤❤❤❤❤
@StevenHalili Жыл бұрын
Am so glad man of God to hearing your teachings coz am gaining so many good spiritual things .ooh God thanks so.
@LidyaInju4 ай бұрын
Asante mchungaji, kwa chakula hiki.
@sharonnabwilewafula1558 Жыл бұрын
Hallelujah mtumishi wa mungu nimepata ufunuo kupitia hilo neno 🙏
Amen and Amen, you don't know how much you have helped me. May the All knowing God richly shower you with His blessings. I believe that with a sincere heart, God has given me another chance to enjoy my freedom has a man and His servant in His presence and that I may also share in His blessings through offerings and testimonies. God bless you for inspiring my soul and restoring my stolen freedom of worshipping.
@LilianAkoth-xq1rl Жыл бұрын
Amen man of I have learned many things from this teachings
@calistuskongani4934 Жыл бұрын
Man of God you been blessings to me, since i started following you on KZbin.
@RachealAchieng3 ай бұрын
Thanks pastor nimesaidika
@ItsPasonYT Жыл бұрын
Glory to the Lord. Thank you Jesus.
@kakamegaingo651 Жыл бұрын
Amen pastor nimefunguliwa macho maana haya mahubiri ni kama yananihusu mimi nimepitia mengi mpaka roho kurudia yale niliyoyashinda inaniandama nikifikiria MUNGU ameniacha naomba MUNGU toba na naomba urejesho nishakosa naomba mtumishi unisaidie
@NancyWambui-w1s Жыл бұрын
Glory be to God
@JanethLukuna Жыл бұрын
Mungu hakika uko upande wangu umenifungua kwelkwel adui jana nafasi yote kwangu 1:32:16
@michaelabeid11353 ай бұрын
Pst Mungu akubariki akuzidishe zaidi umenihudumia...kwa hii somo
@happynescostat7420 Жыл бұрын
MchungajiMungu akubariki,nimejifunza ambayo sijawai kuyasikia popote,Ubarikiwe sana,Maneno yako ni mazito!!
Baba, yote ume huburi ndo Hali nayoishi sasa. Mwenyezi Mungu akubariki saan kwa ili neno. Tuna wafwatilia from Norway. Nashukuru Mungu maana nime elewa sasa nini inayo nisumbua na hivi nitashinda maana nimepata strategy naamini nita shinda ktk yeye atutiaye Nguvu
@NeemaMazambi2 ай бұрын
Amina mungu akunariki
@athumanmvung2947 Жыл бұрын
Hawa jamani ndio watumishi
@Rose-zz8sf Жыл бұрын
Amen
@FloralMugo Жыл бұрын
Watumishi wa ukweri
@fff6513 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Kabisa sio wale wa pokea nyota
@NoelaWaryoba-ql6os Жыл бұрын
Pastor ubarikiwe sana MUNGU kukuongoza kuleta hili neno maana Dalila zote nane zimenigusa
@LazaroHaule-tr5cl6 ай бұрын
Wewe ni mwl mzuri sana wa Neno la Mungu uwa nafatiliaga na ku download mahubiri yako pst,yamenipa hatua kubwa.
@gracejason54438 күн бұрын
Ameeeni mtumishi
@furahagiselle12356 ай бұрын
Nimeza tosheka kwanenohili Asante e Mungu na Mungu akubaliki Mtumishi🙏🙏🙏🙏👏
@PriscarDaniel-eq2jp3 ай бұрын
Ahsante baba uishi milele
@trizashanelly Жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu Mimi hapa Asante kwamafundisho mungu akupe maisha marefu
@Joycekasomi8 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU ubalikiwe sana mana unarudisha watu walio anguka kiroho na kusitawi tena,nakushukuru sana mtumishi wa MUNGU mana na mimi ni miongoni mwa watu tulioshuka kiroho naimani kupitia mahubili haya nitafunguliwa.Amen
@SJSTV-z7k10 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu ubalikiwe sana mtumishi unahubili vizur sana yaani mwenyezi mungu akupe umli mulefu uzidi kutuelimisha
@Réverendsamy Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi.hili ni Neno kweli.Mungu ututiye nguvu tujichichee maana tumepata shambulizi kweli.
@AbuuMwasha Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kunikutanisha na mtumishi wako
@ketrinamakobwe907811 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi. Naomba Mungu siku moja nifike huko mwanza nisikilize live na kukuona live. Mungu akubariki sana
@MagrethMasweko5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏 hakika unanena hata kama nimeanza kukata tamaa nkisikiliza mahubiri yako nahuishwa upya na kusonga mbele
@felisternyambura425 ай бұрын
Amen 🙏 nimesoma mengi Mungu akumbariki mtumishi wa Mungu na uedelee na kazi nzuri
@pytchenJmsBSK7 ай бұрын
amen mtumishi mafunfisho ya muzuri sn
@TelezaMgimba6 ай бұрын
Mmmmmmh sasa najua Mungu ana WATUMISHI ALIOJISAZIA,,,, hata dunia ingechafukaje WEWE NI MMOJA YA WALIOSAZWA. BARIKIWA.
@GraceCharles-u1x Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi mungu kanifungua kupitia haya mafundisho
@CharlesMaliselaАй бұрын
Tz tunahiji injilikamahii tunamtaka mungu sio majiwalachumvi