No video

Tafsiri za NDOTO za KUPANDA JUU au Kwenda JUU S01EP39 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum

  Рет қаралды 78,695

Utabiri Wa Nyota

Utabiri Wa Nyota

Күн бұрын

Tafsiri za ndoto za kwenda juu. Kwenda juu inaweza kua kwa njia nyingi. Tazama kujua ndoto hizo ni zipi na maana zake.
Dokta Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini.

Пікірлер: 56
@stevenstephano9430
@stevenstephano9430 3 жыл бұрын
Nini maana ya kuota watu maarufu
@aishandwata2207
@aishandwata2207 2 жыл бұрын
Nakupenaga sana tafusiri zako
@amossthedone1941
@amossthedone1941 2 жыл бұрын
Habari dd mm nimeota. Kuna barabara mbili. Mmoja ni bara bara pana na nyingi ni barabara nyembamba hile bara bara yembamba umejaa watu wengi ila ile barabara kubwa haina watu je mana yake nn dd
@jaymicky4011
@jaymicky4011 5 жыл бұрын
Mi huwa nnaota nikitwmbeleya juu juu maranyingi sana.
@amossthedone1941
@amossthedone1941 2 жыл бұрын
,na ukiona watu waenda waenda zika arafu mm na lia sana je ina man gan dd
@rahmaadam1937
@rahmaadam1937 6 жыл бұрын
Asante sana, mungu akujaalie afya njema
@priscamasese1068
@priscamasese1068 4 жыл бұрын
Nimeota mbingu imefunguka kama dirisha namemuoma MTU ma nikamfahamu
@amossthedone1941
@amossthedone1941 2 жыл бұрын
Na ukiota unaletewa samaki lakin wao samaki watoka bahari ya tisa nayo ina man gan
@shishishishi3892
@shishishishi3892 3 жыл бұрын
Punguza bei 15000 kutabuli ndoto moja
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 7 ай бұрын
Mh mbona biashara kubwa sana 15 kwakwel parefu
@mwachidzopoposalimpopo8890
@mwachidzopoposalimpopo8890 3 жыл бұрын
Nimeota napanda ngazi na mtoto mtoto akaanguka lakini alishika n rafiki yangu akufika chini
@zafaranikishangu6420
@zafaranikishangu6420 6 жыл бұрын
ukiota unaruka kwenda juu
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 5 жыл бұрын
Ukijua kuhusu hiyo ndoto yako tembelea kzbin.info/www/bejne/inmpZZ9rj9dgfsU
@ishaq9925
@ishaq9925 6 жыл бұрын
shuklan sana ihti
@lucyjohn8793
@lucyjohn8793 6 жыл бұрын
Me waganaota napita kwenye daraja refu sana na jembamba sana na chini ya daraja kuna maji mengi yenye mawimbi, lakin waga naota siko pekeangu waganakuwa na watu lakin ni weupe wote na wazuri sana kwa sura zao, na niwanaume tu.sjui inamaanisha nini,nisaidie tafadhali.jina langu naitwa Lucy john.
@mariammalale751
@mariammalale751 6 жыл бұрын
Jamani mi Huwa naota Sana to nipo kwenye kilima kirefu mpaka mwisho nikifika mwisho to nadondoka mpaka chini kisha nastuka usingizini na kweli mwaka huu mimeibiwa pesa nyingine sana hiyo nimekuelewa
@mohamedslim4500
@mohamedslim4500 6 жыл бұрын
mimi jina langu linaanzia. m namke wangu ni z zinaendana
@nuliatbaraka6350
@nuliatbaraka6350 2 жыл бұрын
Asalaam aleykhum nimeuliza ukipta unamtwisha mwanao Mizigo na yeye anajitwisha ambaye ameishakufa anapanga nayo ngazi maana yake ni nini? Simu yako haipatikani
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mimi huota napaa,wakati mwingine nikiona taa chini nami nipo juu huku napaa basi nafunga macho kwa kuogopa nisianguke.ila pia huwa nachanjwa mara nyingi usiku
@georgenjeri8547
@georgenjeri8547 9 ай бұрын
Sasa Mimi Bi Mkubwa Niliteremka Kwa Kasi Mno Na Mbele Nikaona Mlima Nikaenda Kama Nimepanda Kama Nimefika Kileleni
@mwachidzopoposalimpopo8890
@mwachidzopoposalimpopo8890 3 жыл бұрын
Je kama naota na paaa juu
@sarahmsengawinner
@sarahmsengawinner 4 жыл бұрын
Ukota unapanda ndege
@eriantawumenya3257
@eriantawumenya3257 5 жыл бұрын
Mimi nimeota namukimbiza nyoka nakumuhuwa je nitafusilie
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 жыл бұрын
asante mamaty
@neemafidel82
@neemafidel82 4 жыл бұрын
Mimi nimeota nimepanda ndege nanikaaenda nnje ya nchi na nikafikia darasani gafra nikakikuta Nina mtoto wakike mchanga darasani maana yake ninini?
@ramseyhashim8069
@ramseyhashim8069 3 жыл бұрын
Mbona hakuna namba hapo chini Dr
@abdulkadirmkubwa749
@abdulkadirmkubwa749 6 жыл бұрын
mm nakua naota naruka juu kama ikitokea nakimbizwa na mtu/watu .na inakua ni mara kwa mara naota hvyo. jee nn tafsr yake
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 5 жыл бұрын
Sawa sasa ukitaka kujua zaidi tembelea kzbin.info/www/bejne/inmpZZ9rj9dgfsU
@anethkamaka3407
@anethkamaka3407 5 жыл бұрын
Naota ivo ata mim yan mara nying sana
@pesamaofficial9242
@pesamaofficial9242 5 жыл бұрын
Ata Mimi kila mara
@dorismbise2927
@dorismbise2927 4 жыл бұрын
Mamy me naota na mimba tu na cna mimba ndoto hyo inajirudia
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 6 жыл бұрын
Mi naota sana napaa juu nikiwa nakimbizwa na mtu napaa juu
@user-ci9od2ek2h
@user-ci9od2ek2h 6 жыл бұрын
samahan uki ota ume ibiwa pesa
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 5 жыл бұрын
Kujua zaidi masuala ya ndoto tembelea kzbin.info/www/bejne/inmpZZ9rj9dgfsU
@nooordubem2802
@nooordubem2802 5 жыл бұрын
Ukiota kuwa una mbawa kisha unapaa,maanake ni nini?... Na pia ukiota kuwa uko sehemu fulani labda kwenye sherehe na hapo kuna watu wengi ama uko town na uko uchi ama hauna viatu kwenye miguu,maanake nn?
@angelinaimanuel2131
@angelinaimanuel2131 3 жыл бұрын
Naomba namba ya simu
@aureliabernadi4170
@aureliabernadi4170 5 жыл бұрын
Me naota moto mara nyumba inaungua mala kijiji chajila kinawaka moto nini maanayake
@dorcasjoseph9419
@dorcasjoseph9419 6 жыл бұрын
Asante
@aishanimeipendasanajuma101
@aishanimeipendasanajuma101 5 жыл бұрын
Mm naota nachota maji kwenye kisima lkn kuna jiwe kubwa na ni pangon nn maana yake
@harunamwinyi300
@harunamwinyi300 3 жыл бұрын
Niumasikin huo
@anwarabduullahrawahi2067
@anwarabduullahrawahi2067 6 жыл бұрын
Asalam aleykum je nikiota napanda juu mimi na ndugu yangu nipo mlimani lakin akatokeya bint nayeye kule juu akashikiliya kamba ili sisi tupande kuelekeya juu Na hiyo kamba ina mafundo mafundo kisha tukapanda hadi juu inamaana gani
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 5 жыл бұрын
Kujua nyota zaidi tembelea kzbin.info/www/bejne/inmpZZ9rj9dgfsU
@sharifuhsharifuhh8471
@sharifuhsharifuhh8471 5 жыл бұрын
mimi naotaga natumbikizwa kwenye shimo kubwa cn
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 5 жыл бұрын
Kwasasa ukitaka kujua kuhusu masuala ya nyota tembelea kzbin.info/www/bejne/inmpZZ9rj9dgfsU
@jumahamri2758
@jumahamri2758 6 жыл бұрын
😉😁😘
@kitivojeku9886
@kitivojeku9886 5 жыл бұрын
Me nimeota nimepanda mlima lkn kufika juu kuna nyoka wananifatafata kule juu wananikimbiza nyoka wadogo ila wanarangi rangi inayofanana na nguo niliyovaa kwny ndoto hio
@leylashaban5286
@leylashaban5286 6 жыл бұрын
Nimeota nataka kufungishwa ndoa lakn uyo mwanaume gafla kawa chiz akawa tumbo waz uku akiongea ongea kisha sheeh akasema siwez fungisha ndoa hiii nin maana yake
@UtabiriWaNyota
@UtabiriWaNyota 5 жыл бұрын
Sawa ila kwasasa ukitaka kujua zaidi masuala ya nyota tembelea kzbin.info/www/bejne/inmpZZ9rj9dgfsU
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 6 жыл бұрын
Ukiota umejiharishia halafu mumeo anakalia kinyesi hata hajali inamaana ngani?
@ijueimanikatoliki980
@ijueimanikatoliki980 6 жыл бұрын
Munnawwar Yaqoob Kunaubaya utamfanyia mmeo aidha makusudi au bahati mbaya! Mfano kumsaliti au kufuata ushauri mbaya kwa marafiki zako wabaya mfano kumfunga mmeo au kumlisha limbwata....lakini katika yote hayo mmeo atakuvumilia
@monicahmonicamonicah3969
@monicahmonicamonicah3969 6 жыл бұрын
Utafilisika
@irenemhadimu9559
@irenemhadimu9559 6 жыл бұрын
Namba zako doctor k
@leahkyara6516
@leahkyara6516 6 жыл бұрын
Nimeota nafiri Ila nimepanda juu ya keria ya gari.
@pastoryndone6616
@pastoryndone6616 6 жыл бұрын
Mnajimu ukiota unaongeana raisi manaake ninini?
@aishanimeipendasanajuma101
@aishanimeipendasanajuma101 5 жыл бұрын
Tujibu bc
@faridaomarmanshaallah4675
@faridaomarmanshaallah4675 5 жыл бұрын
mim na ota mara kwa mara na kimbizwa kisha na paa juu nin maana yake
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 36 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 50 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 297 М.
Ukiota Ukuta Jua Yatakukuta Haya Yafuatayo - Sheikh Khamis Suleyman
13:54
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН