Kuwe makini
3:16
2 жыл бұрын
Tanzania Royal Tour - Best moments
7:05
NDOTO ZA WATOTO NA FAIDA ZAKE
6:42
3 жыл бұрын
NDOTO ZA GEREZANI
5:51
3 жыл бұрын
IJUE NGUVU YA NYOTA YA KUSINI
4:28
3 жыл бұрын
Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum
4:10
Пікірлер
@javerymsangi2856
@javerymsangi2856 8 күн бұрын
Mimi nmeota mwanangu katoka shule afukafikia Kwa jiran wanaanza kucheza ala akaanguka akaumia akaanza kulia na mm nkaanakumchapa ila wakat namchapa nkamuona akuwa amenenepa pana
@Ashreystar8465
@Ashreystar8465 Ай бұрын
Mbona jumapili hujItaja mama
@user-pl4qn1ko1j
@user-pl4qn1ko1j Ай бұрын
Uki ôta nikwa mutu mwengine anakwa mbiya kama anafanya mapenzi na wanyama
@user-gd9yc2tx7v
@user-gd9yc2tx7v Ай бұрын
Ukiota ume chuma uyoga ume uweka kwenye mufuko ukaokota na kitabu juu ya uyoga kisha ukaweka kwenye mufuko na kwenda nyumbani mana yake nini
@ashabilali2366
@ashabilali2366 2 ай бұрын
Mume wng aliota anaitwa na marehem dadaake na mm nikaota nimetoka kwangu sina viatu nikaenda kwa shogaang yy alifiwa na mumewe nikamuomba viatu akanipa kandambili nyeus nikavaa ndoto hizi zinaashiria nini
@Ms-zuuuh001
@Ms-zuuuh001 2 ай бұрын
Mm nimeota kichanga kimekufa afu Kuna mtu kakifukua anatembea nacho katika begi kamefungwa miguu na mikono jmn😢😢😢😢😢
@Ms-zuuuh001
@Ms-zuuuh001 2 ай бұрын
Afu sikafaham hata na tulikaona mtoni wakati tunaoga na watu wengi kabas
@mwanajumahamisichisuma
@mwanajumahamisichisuma 2 ай бұрын
je m na m
@mwanajumahamisichisuma
@mwanajumahamisichisuma 2 ай бұрын
je m na m
@JimmyloveNdikumana
@JimmyloveNdikumana 2 ай бұрын
Ukiota ndoto unafanya mapenzi na mme wa mtu na ni boy friend wako inamaanisha nini
@barnotiloitu6789
@barnotiloitu6789 2 ай бұрын
Je ukibadilisha jina na nyota itabadilika? Na kama umeoana na mtu mwenye nyota sizizoendana wafanyeje kubadilisha mwelekeo wa nyota
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 ай бұрын
A aleikum na ukiota maiti huwajuyi ? Ni nini
@HassanYahya-rc3sz
@HassanYahya-rc3sz 2 ай бұрын
❤🎉
@fidiamusafiri5859
@fidiamusafiri5859 2 ай бұрын
Asante Sana mama Mimi nakufatiliaga Sana Ila Mimi Kuna ndoto inanisumbuwaga Sana kila mara inanirudia Sana hiyo ndoto ni naotaga nikienda tembelea rafiki yangu anakuwa nimujamuzito Niki fikatu anajifunguwa napia na muona mudogoyangu nikifika kwake anae pea najifungu mtoto Yani maraningi Sana ningeomba tafsiri ya hiyo ndoto Ina maana gani kwangu
@RahmaKhamis-ir4bd
@RahmaKhamis-ir4bd 2 ай бұрын
Nyota yangu Mimi ni ya maji nataka nijue maana yake🥹
@fathrish3216
@fathrish3216 2 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,mm nimeota nimepatiwa mtoto mchanga nikambeba kifuani kama vile mtu akijifungua anaekewa mtoto wake kifuani ....je ni nn maana yake
@EsterStephano-fo7sm
@EsterStephano-fo7sm 2 ай бұрын
E mwanamke
@AbdillahiShelkh
@AbdillahiShelkh 3 ай бұрын
Niambie ndoto marehemu shangazi ananinyowa
@user-wf9sy9ms7q
@user-wf9sy9ms7q 3 ай бұрын
Habari dada,naomba msaada mie nnashida nnapendwa sana na wanamme tena wenye hera,lakini sina bahati ya kudumu nao yani wanapoteaga tu bila sababu youote ile,nimeamgaika sana hadi saizi nawachukia kabisa wanamme kutokana najinsi ninavyofanyiwa,naomba nisaidie dada kwani nimeamgaika sana hadi nimechoka
@hanskilongo239
@hanskilongo239 3 ай бұрын
Je o na m zinaendana
@user-uu3hv2uy9w
@user-uu3hv2uy9w 3 ай бұрын
M na M zinaendano
@NYIRARUKUNDOHalimah-iy6rg
@NYIRARUKUNDOHalimah-iy6rg 3 ай бұрын
S na H vina endana
@ZuhuraFadhili
@ZuhuraFadhili 3 ай бұрын
Ukiota jirani ananyonyesha
@jameswaititu
@jameswaititu 4 ай бұрын
Mimi niliota tukiwa matatu nikahisi kkunywa maji tukaona mto nikaeda kukunywa maji sikuiona matatu hiyo tena
@mwanakombomwamnono112
@mwanakombomwamnono112 5 ай бұрын
Mimi ni herufi yangu ni M na nimeolewa na F twaendana
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 5 ай бұрын
Nahitaji pete yenye kito cha ruby ntaweza kupata
@user-ep4td7jx7e
@user-ep4td7jx7e 5 ай бұрын
Kama mutu anaota iko anaenda ulaya,kipindi hicho anaishi eko, inamaana gani? Tena ndoto inajirudia rudia
@veronicahowendi1366
@veronicahowendi1366 5 ай бұрын
Nimeota na safiri na mtoto wangu wa kiume first born kwa pikipiki tukieiekea stage za magari nn maana yake. Niliamka kwenye ndoto kabla kufika stage.
@HarusiMwango-zb3dn
@HarusiMwango-zb3dn 5 ай бұрын
Mimi ni H je naendana na herufi M
@muddyboy676
@muddyboy676 5 ай бұрын
Na ukiota unafanya mapnz na mtoto mdog je
@KurubonePascal-pe3pg
@KurubonePascal-pe3pg 6 ай бұрын
Niambie ndoto yamto
@ImaniMfugale-hy6tm
@ImaniMfugale-hy6tm 6 ай бұрын
Nimeota manunua Michele kg 2 halafu nikapewa na muuza duka akanipa tena kg 2
@ImaniMfugale-hy6tm
@ImaniMfugale-hy6tm 6 ай бұрын
Pole na kazi,Mimi nimeota mwanaume alishakufa amekufa tena amefufuka
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 6 ай бұрын
Ahsante kwa Elimu
@MichaelMichaelsamuel
@MichaelMichaelsamuel 6 ай бұрын
Naitaj number yako
@user-hh1jd2gs1j
@user-hh1jd2gs1j 6 ай бұрын
Mnajitia kutoa namba za simu, mkipigiwa mnakata, sms wasap hamjibu .....😢
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 6 ай бұрын
A aleikum. Utajuwa Vipi huyu ana hisia nyingi??
@agnes-bs4zy
@agnes-bs4zy 7 ай бұрын
Mim ninaswal naomba kuuliz ,je heruf A inaendan na heruf ipi?
@user-jx9kt9pt4g
@user-jx9kt9pt4g 7 ай бұрын
Mm nimeota nafanya mapenzi na babu
@REBAWANYAMA-mk7ng
@REBAWANYAMA-mk7ng 7 ай бұрын
Je,nliota dadangu mkubwa amekuja nyumbani na binti yake,na nilkuwa inhaling saa hi nko nci za nje,nini maaana?
@user-ry2cx7fl1w
@user-ry2cx7fl1w 7 ай бұрын
Jinsi yakutatua matatizo kamahayo nitumie njia gani
@georgenjeri8547
@georgenjeri8547 7 ай бұрын
Sasa Mimi Bi Mkubwa Niliteremka Kwa Kasi Mno Na Mbele Nikaona Mlima Nikaenda Kama Nimepanda Kama Nimefika Kileleni
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Pia kila wki rafki yangu nipo nae alifariki2019. Ndani ya ndoto nakumbuka kama alikufa anakasirika mno nkisema hvyo
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Pia kila wki rafki yangu nipo nae alifariki2019. Ndani ya ndoto nakumbuka kama alikufa anakasirika mno nkisema hvyo
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Pia kila wki rafki yangu nipo nae alifariki2019. Ndani ya ndoto nakumbuka kama alikufa anakasirika mno nkisema hvyo
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Pia kila wki rafki yangu nipo nae alifariki2019. Ndani ya ndoto nakumbuka kama alikufa anakasirika mno nkisema hvyo
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Pia kila wki rafki yangu nipo nae alifariki2019. Ndani ya ndoto nakumbuka kama alikufa anakasirika mno nkisema hvyo
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Pia kila wki rafki yangu nipo nae alifariki2019. Ndani ya ndoto nakumbuka kama alikufa anakasirika mno nkisema hvyo
@user-tq1pl2kn4o
@user-tq1pl2kn4o 7 ай бұрын
Mm kila mara naota makaburini labda nafukuzwa na maiti sasa jana nimeota nimeenda makaburini nkachukua kitabu maiti ikanitokea inakitaka nikakichukua ghafka nikaona maiti nyingi zomevaa nguo nyeusi zimefufuka akaja ustadh mmoja akanambia unaotaga sana maiti basi tafuta ua la rangi flani tufungue kitabu nikufungue
@loveyou-ff4iu
@loveyou-ff4iu 7 ай бұрын
Mm nimeota maiti mbili zimebebwa zaingizwa msikitini zikiwa damu zimefinikwa naona damu na miguu tu
@6ixteen99
@6ixteen99 8 ай бұрын
na pia ukiota mtu aliyekufa yupo sebuleni na amezungukwa na ndugu zako ila anakuangalia wewe bila kusema chochote na ukitaka kumfuata unashindwa.