Mchungaji Maghembe ni Mchungaji wa kweli wa Mungu!
@glorymagoti95682 сағат бұрын
YESU tusaidie..watu tuelewe kuwa hakuna atakaeenda mbingun kwa tiketi ya kanisa😭😭😭bali ni mahusiano binafsi na Yesu kwa kufuata sheria, kanuni,taratibu na Amri za MUNGU...tuwe macho hizi ni nyakati za Mwisho..MUNGU TUSAIDIE..Amen
@maureenmgeniСағат бұрын
Amina na amina
@FiollaIsaya5 сағат бұрын
Magembe Ni mchungaji wa kweli kabisa Mungu ampe kanisa
@VictoriaShija-l2h4 сағат бұрын
MAGHEMBE ndio yuko sahihi
@Ernestirene19525 минут бұрын
Magembe yuko sahihi. TAG ilianzia rohoni sasa inamalizia mwilini. Imekuwa Dini tu.
@MarcoDamian-pn3pd46 минут бұрын
Kumbe kuna mahari pa kuungana ili kuficha uovu pale ukisema ukweli umekengeuka namshukuru Mungu kwani mbinguni halijaandikwa dhehebu so kila abilia ni kuchunga mzigo wake YESU ANARUDI
@paulshadrackntemi330723 минут бұрын
Wazeee kama akina Mch Magembe ndio hazina ya Kanisa, Ila nyie akiwaambie ukweli mnakataa. Ni kweli T.A.G ipo ICU, siku hizi uzinzi, uasherati umezidi, kwaya na praise team ni majanga yanayofanyika. Mungu atusaidie sanaaaa Naombea kanisa langu liwe salama
@amanimakombe71414 сағат бұрын
Magembe Mungu anamtumia kwa viwango vya juu sana tutazid kumfuatilia anayo injili ya kweli sanaa
@angelanaftael79655 сағат бұрын
Mch Maghembe yuko sahihi
@MariamMangula28 минут бұрын
Ni kweli magembe yupo sahihi
@tygadaclassic34886 сағат бұрын
Vile hampendi kuambiwa ukweli,magembe alisema mmekufa kwani uongo,nani asiyejua, ?? Kama mlivyomchukia mzee kulola eti hamueshimu lazaro, 1982 mkamfukuza alipotoka iringa mkutanoni!?yan kwa kifupi TAG tumeoza, kwaya zimejaa uzinzi, vitambi tu kwa viongozi wetu 😢😢
@FloraKenyunko5 сағат бұрын
Acha uongo hakusema TAG imeoza alisema assemblis imeoza,
@tygadaclassic34885 сағат бұрын
😂😂😂ukweli unauma, ?
@tygadaclassic34885 сағат бұрын
@@FloraKenyunkoila si kweli TAG tumeoza, au ni kanisani kwetu bas😂😂😂
@alphasamwel5 сағат бұрын
Matendo ya Mitume 23:5 (KJV) Paulo akasema, Sikujua, ndugu zangu, ya kuwa yeye ni Kuhani Mkuu; maana imeandikwa, Usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.
@tygadaclassic34884 сағат бұрын
@@alphasamwel Paulo naye alimkemea petro mbele ya watu wote,hata askofu mkuu akifa naye anakemewa hakuna njia mbadala❤❤
@MarcoDamian-pn3pd48 минут бұрын
Kelele za nabii Yeremia ziliwakela nani apige kelele za uamsho kama magembe MUNGU IPONYE TAG YANGU.
@SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc5 сағат бұрын
Sio yeye asemae kuwa limekufa bali ni Roho anenae ndani yake.
@amanimakombe71414 сағат бұрын
Maghembe kkuutoka TAG nikasababisha kaanisa la TAG liharibike viongozi mujitafakari sana
@JackieMichael-q7x3 сағат бұрын
wanashindwa kutofautisha roho aliyendani ya mtu akinena na mawazo ya mtu akiongea.
@maryr403345 минут бұрын
Mchungaji Maghembe kimbia usigeuke nyuma wamelikabidhi kanisa kwa jicho moja . Mungu ataaawaacha wasipotubu!
@valelianonyato-gx5bq4 сағат бұрын
Huyo anaongea kitu siyo kweli magembe huwezi kumchafua mtachafuka wenyewe ninauhakika na Mungu yani anapokemea dhambi mnasema kageukaje badala yakumshukulu Mungu ili muombe mludi kwenye mstali mafundisho yake yote ni safi mbele za Mungu mlitaka awe ana lemba dhambi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee6 сағат бұрын
Niseme tu kwamba hakuna sababu ya kulumbana takianeni amani tu kazi ya Mungu iendelee.
@GilgariMinistryTanzania4 сағат бұрын
Mchungaji Magembe yupo sawa T A G hakuna kitu
@RoseMayige-gn9qb5 сағат бұрын
Watu ni wa Yesu na sadaka watu huwa wanatoa kwa hiari kwaajili ya kumpenda Yesu.
@DinuZeno4 сағат бұрын
@RoseMayige-gn9qb Saaaaaafi
@MohamedIsmaily-e5b4 сағат бұрын
Tena nawasihi sana kama kweli mmekufa kiroho chungeni sana msije mwattack Mtumishi wa Mungu maghembe kwa Mabaya maana sasa mtakufa kimwili pia na tutawazika.Mungu awasaidie.
@GodlistenTsere5 сағат бұрын
Hamtetei mwili wa kristo bali kanisa la jengo,jina na utukufu wa mwili ila hamtapunguza chochote kwa magembe hata kidogo aliyemtoa ni yesu hiyo kanisa imejaa uchafu wa kila aina
@Amosbenard63217 сағат бұрын
Tafuteni kwa Bidii kuwa na Amani na watu wote na huo Utakatifu Ambao hapana mtu Awezaye Kumuona Mungu pasipo kuwa Nao.
@shillahmbogo55566 сағат бұрын
Mzee Mhiche acha Uongo.Hizo Taarifa ni za Uongo
@Youth-for-Jesus48 минут бұрын
hatari mtupu uongo had madhabahuni
@SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc6 сағат бұрын
Maneno yake ni hakika na kweli.ili afike anapopaswa kufika nilazima atoke kwenye meli iliozama.
@kelvinmasungakilunguja75395 сағат бұрын
Unasoma ya nn mtu kama kaenda zake mnamuacha Kaz ya bwana ehende mbele yule mzee wa SKU nying na Kwa heshima kandika barua bas mgee kmya tu watumish aman itawale tujisahihishe Kwa makosa aliyosema na ss wote tuombe rehema ya bwana YESU itusaidie nawapenda watumish wa bwana MUNGU awabariki wote ❤
@kentz1865 сағат бұрын
We Listen, We Don't Judge😊
@MaryMgeji-x9z41 минут бұрын
MUNGU tusaidie na ufanye njia mwenyewe mahali pasipo na njia amen..
@MohamedIsmaily-e5b5 сағат бұрын
Maghembe yuko sahihi hata hapo mlipo wapo wengi wanampenda maghembe na wengi wapohapo watahamia kwa maghembe Mimi namuombea Maghembe afanikiwe zaidi kiutumishi.
@Stephano-g3g2 сағат бұрын
TAG ya Leo ni tofauti Magembe yuko sahihi, ukweli unauma Iisahihishe kama ni kanisa la kipentecoste
@EdwinMbwilo-fj6bf3 сағат бұрын
Mimi ni TAG Tunduru christian center, kama ninyi viongozi hamtamsikiliza Roho Mt hakika tutapoteza sifa ya kuitwa kanisa la kiroho. Pascal kassiani amepiga kelele sana na vitu anavyotuonyesha Roho Mt lakini viongozi hamtaki kukubali. Yesu awaponye viongozi wetu mpone.
@SeleDanielСағат бұрын
Kwan wanaumwa
@EdwinMbwilo-fj6bf27 минут бұрын
Ndiyo
@LelemaBuyagu-s5m2 сағат бұрын
Mi nakubaliana kabisa na maghembe TAG hii ya leo imekuwa dini tu
@gracekagoma32314 сағат бұрын
Magembe kasema ukweli n a unauma.Mapastor wengi wa TAG wengi unafiki umezidi na ujanja wa kutuchukulia sadaka kwa manufaa yenu Si wote .Lakini wengi wao.TAG ya sasa haina tofauti na makanisa ya akina Mwamposa nk.Inasikitisha. Makanisa yatakuja kufa kama Ulaya😢😢Biashara imezidi.Acheninkutumia sadaka zetu na pia acheni kufanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe .TAG inakuwa kama Chadema😢😢
@SifaMtasha4 сағат бұрын
Chondechonde washirika msianze kujiachia sasa kuvaa mavazi ya hovyo kisa Baba Magembe kaondoka oohooo... shaurizenu nampenda sana Magembe Bwana awe nawe huko ulikoenda injili isonge mbele tag ni km chama tu km makamu askofu alivosema piga kazi baba Mungu akutangulie
@valenakomba7686Сағат бұрын
KWANI WEWE NDO MUNGU ? WA KUJAJI MWENZIOO?. SIKU INAKUJA AND IS SOON WHEN EVEN YOU WOLL BE JUDGED BY THE OWNER OF CHURCHIES.😮😮
@Emanuellupoja444 сағат бұрын
Mzee namkubali sana Mungu amtumie sana
@paschalpaul38623 сағат бұрын
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo,nguvu na hekima hivyo uamusho pasipo kuwa na hekima ni utovu wa nidhamu mbele za Mungu hivyo mzee magembe ata kama wengi mnamtetea ni kwamba roho wa Mungu lazima iendane na hekima na busara
@JackieMichael-q7x3 сағат бұрын
ndio maana alitumia hekima kuandika barua na kuaga, sasa hiki kinachofanyika ndio hekima?
@fidemikaeli81453 сағат бұрын
Mchungaji magembe ndo anastahili kuwa askofu wa TAG Tanzania na dunia yote
@DinuZeno5 сағат бұрын
KWANINI MNATUFANYA SISI WASHIRIKA HATUNA AKILI? HIVI NYINYI TU NDO MNAAKILI? SISI MNAOONGEA NAO NDO VIONGOZI TUJAO KWA NINI MIOYO YENU HAIKO WAZI?
@OscarGregorymosha5 сағат бұрын
Binafsi nashangaa sana na kupata wakati wakujiuliza maswali mengi. Ni nini kugombania fito? Je kuna Mungu mwingine? Tofauti na Mungu alieziumba mbingu na nchi?
@DinuZeno4 сағат бұрын
@OscarGregorymosha YAANI MIONGONI MWA VITU VINAVYODHOHOFISHA KANISA NI PAMOJA NA KUDHARAU MAONI YA WENGINE KWA KUJIVIKA UKUBWA. KWANI UAMSHO NI WA KIROHO AU KIMUUNDO? UNAZUNGUMZIA SADAKA ZA WANA TAG KUJENGA KANISA MAALI PENGINE KWANI INATAKIWA SADAKA IFANYE KAZI GANI? WATU WANAFANYA KAZI KWA MIKONO YAO WENYEWE KWA KADRI MUNGU ALIVYOWABARIKI NA WANAPELEKA KWA MUNGU KWA NINI MASWALI NI MENGI? MNATUDHOHOFISHA.
@mhelezijoackim-kl9vb50 минут бұрын
Inashangaza sana mtumushi wa Mungu mwimbaji Dinu Zeno, Yesu atusaidie
@tulisamwel415 сағат бұрын
Mambo ya Mungu hayapelekwi kwenye mitandao. Huku ni kwenda kimwili. Acheni kuwapa watu faida.Jamani tuyasolve kimya kimya.
@maryr403334 минут бұрын
Hawana aibu Kusema watoto wamesoma na Sadaka? Subirini Mungu akiwaacha Kama mtaziona Sadaka Bali mtamtumikia mungu wa jicho moja.
@bettykinyami50965 сағат бұрын
Mzee magembe yuko sa hihi sana, shida anasema ukweli
@MathiasKunnanga5 сағат бұрын
TAG tutubu tumrejee Mungu hali sio mzuri 😢😢😢 kanisa lina hali mbaya
@youtubeyangahjcom3 сағат бұрын
KUMBE UKIWA TAG HAMFANYI KAZI YA MUNGU BALI MNAFANYA KAZI YA DINI YAANI DHEHEBU. TAG HAMCHANGII KANISA LINGINE🤣🤣🤣🤣. UNAFIKI TAG MNA MATATIZO MAKUBWA SANA, MNAJIONAGA MNAMMILIKI MUNGU KUMBE UPUMBAVU WA KUTOKUJUA MUNGU TU!
@YohanaMchala4 сағат бұрын
Magembe yuko vizur, mwacheni mzee acheni maneno ya kumuumiza
@NethrinePaul4 сағат бұрын
Mimi ni TAG lakini sijapenda naomba mngesolve kimya jamani tunaomba mnawafaidia maadui
@beatusmajumbi71255 сағат бұрын
Kwani TAG hamuwezi kuchangia ujenzi wa kanisa lingine au msikiti,lakini pia Iko wapi hekima?kama watumishi wa MUNGU mnalumbana kwenye vyombo vya habari mmeshindwa kuyamalizia kanisani
@zakiamseka96984 сағат бұрын
Udini
@youtubeyangahjcom3 сағат бұрын
TAG wanafiki sana Yaani Wana roho mbaya mno! Hata mitaani wanajionaga wao ndo wamiliki wa Mungu tena wanajiona wao ndiyo wako sahihi kabisa
@obbynomwa71434 сағат бұрын
Usiombe proganda kama hii ikukute,ukiwa na msingi mbovu kwa Yesu ndio kwa heri yako, Luka 21:28 Basi mambo hayo yaanzapo kutokea, changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu umekaribia. And when these things begin to come to pass, then look up, and lift up your heads; for your redemption draweth nigh.
@albertvalentino1303 сағат бұрын
Ni kweli,wakati Fulani ktk baadhi ya mahubiri yake, Magembe alikuwa anamponda sana Moses kulola,nashangaa,na yeye " amepita mle mle -- Lucifer sio mchezo,ukitangaza msimamo,utakujaribu kwenye msimamo huo huo -- ndio maana Yesu alimuonya Petro,kuwa makini na anayo yasema "
@georgenkya19052 сағат бұрын
Ungemsikiliza magembe leo katoa sababu za kwanini amejitoa.
@jamestocta30755 сағат бұрын
Nipo na magembe. T.A.G msipuuzie hayaa,, jiulizen hayo yanayosemwa ni ya kwelii?? jitengezeni upya
@obedmlanga32273 сағат бұрын
Msingi ni YESU na kwenda mbinguni sio structure ya uongozi Yesu kristo yu hai , na kweli itabaki kuwa kweli jina la BWANA libarikiwe
@CHRISTHOLINESS3 сағат бұрын
Watumishi, mtumishi anapoondoka siyo ugomvi!
@jacksonmwakatika23722 сағат бұрын
Mungu awabariki , hayo ni sehemu ya mapito ya Kanisa tu endeleeni kumtumikia Mungu kwa uaminifu.
@SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc5 сағат бұрын
Sunasikia kabisa hao ni washilika wa tg sio wa YESU.
@JescaNassary-q2j3 сағат бұрын
Wewe nawe washirka wa Yesu ndo wamesajiliwa na sheria gani hapa inchini? Hujui sheria kaa kimya.
@annastaziamasaka35954 сағат бұрын
Ukiona mwenzio ananyolewa,.... Magembe anahubiri injili ya kweli,acheni kumchafua mtumishi wa MUNGU.
@kakanicodemus36326 сағат бұрын
Maajenti ni weng sana sana ndan ya kanisa. Mmefika mahali pa kutetea kanisa? Badala ya kumtetea Yesu then mnafika mahal mnasema na kufananisha ccm na tlp na kanisa. Ungesoma barua yoteee
@DinuZeno5 сағат бұрын
Kazi ipo
@EmmanuelMwasongwe3 сағат бұрын
Daaaaaaaah hii hatariii sana kwa kanisa la T,A,G
@AyubuHeshimaСағат бұрын
Mimi ni Mch wa EAGT Nimemsikia Magembe nimegundua Magembe nimtu wa Mungu kabisa kuliko huyu anayeongea kwakujihami
@godwintarimo847714 минут бұрын
Simnataman tuwe namigogoro, najua mmefurahia sana
@SAVETHEGENERATIONFOUNDAT-bc8xc6 сағат бұрын
Nikweli kabisa limeoza.
@MtumishiWaMungu-c6m5 сағат бұрын
TAG ni chama cha Dunia si Mbinguni.Mnawavisha washirika Michango na kila jpil mnabun michangango na wengi wa washirika wanamadeni ndan ya kanisa kama wamekopeshwa.Mnawatangaza mpaka madhabahuni!.wezi nyie mtokambali na anaowaongoza.Jaman TAG ukitoa 10% unapewa na risiti na kutangazwa umetoa
@maryr403318 минут бұрын
Hatari!!!! Ndo mmefika huko! Wakristo amkeni!!
@MtumishiWaMungu-c6m2 минут бұрын
@maryr4033 unajua maaskof wa TAG ni wajinga na wapumbav!.wanavyo fikir Neno linavyosema kwa habar ya KURA wanafikil kupijiwa Kura ni Jambo la Heshima kwa Mungu kuliko Punda kuongea kwaajil ya usalama!!.uwaskof mkuu niupumbav wa wanadamu Mungu aliamua kuukubal kwa sabab ya Neema yake.Leo mtu kama Magembe TAG wanadiliki kusema analisema vibaya Kanisa!!!!,Ametembea na Mungu miaka mingap;!?.Nilithan mtokambali na wajinga wenzie wangienda Pekupeku kwa Magembe labda Bwana anaNeno.Wao wanaangalia uwaskof!!.Huduma ni Tano na Magembe anachunga Huduma 4 askof ni shemac2 kibiblia,leo Askof amamjadili mwenye Fimbo.Mungu Awahukumu!
@timotheosanga61192 сағат бұрын
Bwana Yesu asifiwe wanakanisa najua humu tupo kanisa zima sasa. Nini maoni Watu tunafikiri kwa akili zetu lakini Roho ni yeye yule kwa wote. Ukweli ni kwamba Kanisa ni taasisi na taasisi inamisingi yake na ili kanisa lisivurugike ni lazima kusimamia misingi yake kwa namna yoyote. Swala na kuifata biblia kanisa limechukua misingi toka biblia labda kama kuna vitu vingine.
@Stephano-g3g2 сағат бұрын
Magembe hataki majungu kasema TAG imekufa tayari amekuwa ni mwasi? Kukemea dhambi ni uasi?
@esdoryboniface855735 минут бұрын
kati ya TAG na mch maghembe yupi ni mkemeaji mzuri wa dhambi?
@kizitokalumunacharlesСағат бұрын
Wokovu kazi kweli kweli hii sasa sio kuonyana ktk Kristo bali ni vijembe vya kidini. Mungu tusaidie sana kweli hizi ni siku -za mwisho. Injili ya kuwavuta watu kwa Yesu wamjue sisi wenyewe tunawazuia wasije kwa Yesu
@ebenezerlawuo66672 сағат бұрын
T.A.G nalo litakuja futwa nalo suala la muda tuu,😅😅😅, maghembe ataaenda kuanzisha ministry yake labda. Lakini baadaye tutakuwa na dini 2 tuu ya uyahudi na ya Nuhu, haya ya kipagani yatatoweka.
@MtumishiWaMungu-c6m5 сағат бұрын
Roman na TAG mm nachagua Roman au Andazi.TAG ni sakosi,Michango na Vikundi na mtazamo wa Biashara na Uzinzi umegubika TAG.
@FloraKenyunko5 сағат бұрын
Mungu alisaidie kanisa ila kubalini aondoke na mungu awabariki,magembe hawezi kuondoka na fedha za kanisa msimchafue
@theopistakilasi542811 минут бұрын
Naona kuna endelea kuchangamka, alichokianzisha MARTIN LUTHER kinaendelea kutafuna. Hakika dhambi ya unaguz ni mbaya sana.
@DonatusBernard5 сағат бұрын
Mungu awasaidie, ila hili nilihisi lingetokea maana mlikuwa na kiburi kuona kanisa la TAG ni bora kulikuwa makanisa mengine ya kipentekoste
@deodominicus64334 сағат бұрын
1. Umesema mlimfanya kuwa kiongozi wa maeneo mbalimbali ya uongozi yani ninyi sio Mungu 2. Unasema tag hamwezi kufanya promoshe kwa kanisa jingine ukifananisha chama cha siasa na dhehebu, sasa sijui ninyi ni wa TAG au ni wa Yesu,, 3. Unainadi sana TAG kuliko yesu n.k. Tag sisi tubadirike tuna kiburi cha kiroho kinatutafuna. Na ili ukwepe kwenye janga hili lazima ujiondo, mkiendelea kubisha watu wanapo wakosoa badala ya kujitafakari haya shauri yetu, mimi pia ni TAG lakini mhuuu!!!
@pastorpaulmughumpu50622 сағат бұрын
T A G nikanisa imara sana lenye misingi imara haliwezi kutikiswa na upepo wowote songeni mbele
@CalistusTitus-s5o54 секунд бұрын
T.A.G awana tofauti na katoriki yani limekufa kiroho kabisa, msipokubari maonyo hakika mtasambaratika. mmejaa kiburi mnajiona lakini hali ya waumini wenu mnajua ni wapagani
@pastorfrank-wb5fx3 сағат бұрын
Lugembe yuko sawa nyie niwapenda vita sana mnajizalilisha sana kanisa vita vyatoka wapi baba yetu ni mmoja jamani
@elishapaul170639 минут бұрын
Kuhama kanisa sio kiasi ila kumuacha Yesu ndio kuasi
@dr.mikeeliabumasakimd32645 сағат бұрын
Mungu alirudie tena kanisa lake. Mungu aturudie tena.
@kizitokalumunacharlesСағат бұрын
Kabisa jaman hadi aibu ukianza kufatilia kila kinachendelea ndani ya kanisa unataman ubaki tu nyumban
@ShalomNissitv2 сағат бұрын
Mnahitaji kutetewa na mtu au Mungu.
@maryr403326 минут бұрын
Unatiii viongozi ambao unajua wapi kwa Mungu wa jicho moja??
@kelvinjeremiah78635 сағат бұрын
Mzee kaongea kweli ila Sasa TAG imekuwa dini kama dini nyingine tu
@qulasulle-hp1ni5 сағат бұрын
Huu ukweli hawaukubali na Wala hawajioni
@nikodemmwahangila33345 сағат бұрын
Asante makamu askof mkuu kwa kutoa ufafanuzi mzuri
@emmanuelngunyale36395 сағат бұрын
hakuna ufafanuzi mzuri kaa angalia hali ya kanisa la TAG ni mbaya
@YohanaMchala4 сағат бұрын
Kwa hyo unatetea uozo
@JackieMichael-q7x3 сағат бұрын
wataka vyeo, nafasi ipo wazi.
@maryr403317 минут бұрын
Utumbo tu!!! Kipofu aongea na vipofu
@pumarice27103 сағат бұрын
Ee Mwenyezi Mungu tusaidie.
@PaulSanga-m3p26 минут бұрын
Hiyo ndiyo shida hakuna washirika wa TAG .washirika ni wa Mungu
@HarunPatric-f6d5 сағат бұрын
Ameen nafurahia kuwa na dini yenye misingi ya kweli
@emmanuelngunyale36395 сағат бұрын
pole kwa hiyo misingi ya kuchukuliana na uovu
@MAJIYAUTULIVU.BIBLIAСағат бұрын
Mli SIKILIZA Mungu mlisikiliza watu.... Mzeee unaonekana unakisas kikali sana.....
@michaelambangile36324 сағат бұрын
Pole kwa mwili wa Kristo.
@SARAKAMBARAGE2 сағат бұрын
Ha 😂😂😂kwaiyo ao waliobak nao walikua washirika wa magembe.
@youtubeyangahjcom3 сағат бұрын
TAG ni kubwa kuliko Injili??🤣🤣🤣🤣🤣 Mnalinda TAG kuliko Injili kweli hili ni dhehebu la kijinga sana
@maryr403330 минут бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmm misingi ya Dini ???? Muundo ??? Yesu wasaidie tag leadership wajitambue hiyo Miungu ya kigeni walioileta wanna wao, expose them!!!
@NestoryKamole-w8s4 сағат бұрын
Safa sana magembe
@AggyGolden-j1d5 сағат бұрын
Kanisa ni YESU sizani Kama Kuna ubaya Tag wakishiliki kujengwa kwa zehebu jengne linalo muubili YESU
@VictoriaShija-l2hСағат бұрын
Washirika wote wameamua kumfuata mch wao maghembe
@shukranmsukwa6 сағат бұрын
TAG MUMUONYE AU NYINYI NDO MUONYWE😂😂😂
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps24 минут бұрын
Msifanye kanisa kuwa eneo la magombano wekeni imani ya kweli
@ilakozeonlinetvСағат бұрын
Sema mnachukia kuzema ukweli , Magembe ni msema ukweli hataki kupindisha kama nyie
@maryr403333 минут бұрын
Sadaka ni za Bwana siio za TAG
@mangashajunior2422 сағат бұрын
Maghembe yuko sahihi sema Tag ya leo haitaki mabadiliko na mnaona wanaobadilika ni tatizo...
@maryr403340 минут бұрын
Hakuna Sadaka za TAG wachungaji!
@victoriajohn31613 сағат бұрын
Jitafakarini TAG mkubali kukosokewa mjirekebishe. Samahani niko nje ya mada natoa mfano kuhusu redio yenu ya ushindi hamjawatendea haki waliokuwa wafanyakazi wafanyakazi wa hiyo redio mpaka sasa hamjawapa haki zao pamoja na kutumika kwenye hiyo redio mmewaondoa bila kuwapa maslahi yao kama kweli mnatenda haki jitafakarini sana siyo kwamba hamna pesa bali mnajijali ninyi wenyewe ungukeni mtende haki muwalipe haki zao Mungu awasaidie mjitafakari mpate majibu.
@paulshadrackntemi330727 минут бұрын
Kanisa la T.A.G tujitafakari Sanaa. Kuna mambo hayapo sawa, Kwanza Magembe ndio alistahili awe Askofu Moses Magembe. Mkionywa T.A.G hamtaki, mnataka mtu awalembe lembe na kuwapongeza tu. Ila Mch Magembe yupo sawa na ataendelea kuwa sawaa. Tukiacha uchawa kanisani T.A.G itapona vizuri. Spendi uchawa unaoendelea ndani ya kanisa, washiriki wamekuwa machawa.
@salummussa98716 сағат бұрын
Njaa inawasumbua mmeondoka kwenye kusudi la waasisi wa TAG
@qulasulle-hp1ni5 сағат бұрын
HILI NDILO TATIZO HASWAA LA TAG LA SASA! MISINGI IMESHAVURUGWA NA VIONGOZI WA JUU AKIWEMO ASKOFU MKUU HAWANA TENA MACHO YA MIOYONI KAMA BIBLIA ISEMAVYO.MCHUNGAJI MAGEMBE NAMFAHAMU SANA ALIKUWA MCHUNGAJI WANGU HUKO IPOGORO IRINGA.NI MTU ANAYEPENDA NYEUPE IWE NYEUPE NA NYEUSI NI NYEUSI NA SIYO INAVYOFANYIKA SASA KUILETA DUNIA NDANI YA KANISA! WALA MSIMLAUMU MAGHEMBE BALI MJITAFAKARI KAMA YESU ATAIKUTA IMANI NDANI YA TAG YA SASA!