TAHARUKI VILIO NUNGWI CCM WALANI MAMBO HAYA INNA LIILAHI WAINNA ILAIHI RAAJIUN

  Рет қаралды 5,704

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@SalumSafkim
@SalumSafkim Күн бұрын
Inalillah waianah ilah rajiun polen sna wafiwa ila kwa uwezo wa ALLAH yataisha tu aya hakuna jambo lisilo kuwa n mwisho ata firauni alijigamba sna km yeye ni mungu lkn kuna sku akagonga mwamba kwa iyo awa utafika tu mwisho wao inashllaah
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 күн бұрын
CCM NA DR MWINYI OYEE! ENDELEA KUMWAGA DAMU MAANA MGANGA NDIVYO ALIVYOKUELEZA NA NI ALAMA YA USHINDI 2025
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 2 күн бұрын
Yaan leo Ccm inalaan kuuliwa kwa roho 2 lkn mauwaji ya roho 21 walikaa kimya ALLAH atatenda inshaallah
@AllyHamran
@AllyHamran 2 күн бұрын
Roho 21 zukitaka kuwatoa walipo lkn hawa wanajisuta .
@lusakaone7782
@lusakaone7782 2 күн бұрын
Wanawadanganya tu hao, CCM Hawana uwezo wa kuchunguza wala wa kuwasaidia, waliokufa ndio washakufa kama kawaida yenu mshukuruni Mungu tu. ACT Wazalendo ndio chaguo sahihi la Wazanzibar badilikeni, fuatilieni mtaona njia sahihi.
@HafsaKhamisi-q6w
@HafsaKhamisi-q6w Күн бұрын
😂😂😂
@MuhammadGharib-x5h
@MuhammadGharib-x5h Күн бұрын
Wanaouwa ni wao halafu wanakwenda kutoa mkono wa pole. Kura yetu ndio itakayotupatia haki yetu zindukeni wananchi
@KhamisMussa-p5i
@KhamisMussa-p5i 2 күн бұрын
Ccm waongo t kam walivo waongo wengine mitaaani na wanpenda kuogiza kam walivo wasanii wa movies. Muhim akil kichwan mwetu raia
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 күн бұрын
Nyinyi ndo wamwagaji damu nchi hii munaona kawaida na hapo ndipo munakuta wananchi munakosa kura zao kwa sababu kila familia inakovu kama hili nani aitiliye kura ccm hata kama raisi mzuri neno ccm ni changamoto kwetu
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 күн бұрын
Washenzi washauwa na hakuna kitakachofanyika hapo, wamekwenda ccm kujitoa kimasomaso ni ujinga ulioje unaondelea hapa Zanzibar
@nassorseif7907
@nassorseif7907 2 күн бұрын
Sasa mnalaani nini na jeshi lenu la polisi tayari limeshatoa taarifa kua sababu ni vijana wenu hawakutaka kusimama na walipiga honi kwa vijana wengiene wakaja kuwashambulia polisi miaka mingi mmeambiwa kuwa jeshi la polisi ni wauwaji watesaji watekaji nyinyi hamuamini munalitetea kwa kua ni jieshi la ccm
@AllyHamran
@AllyHamran 2 күн бұрын
Alaaaa Serekali yenu imeshasema sio wao walipigwa mawe.
@alihassan3648
@alihassan3648 20 сағат бұрын
Mumeogopa kukoseshwa kura. Haya wanefanya serekali yenu ccm eti mumenda kuwapa pole ha tokeni zenu uko
@humoudalexy2866
@humoudalexy2866 Күн бұрын
Kwanza niwape pole pili Tunakukumbusheni kuwa maumivu mnayoyapa ndio hayo hayo ambayo wanapata upinzani kipindi cha uchaguzi kwa kuondelewa ndugu zao dhulma ni mbaya na mwisho itawarudi
@kombojuma312
@kombojuma312 2 күн бұрын
Msiba huu sio wakenu hivi hamna hata aibu number mbachekelea msiwazidishe wezenu machungu hakuuna lolote litakalotendeka
@SuolFat
@SuolFat 2 күн бұрын
Mwinyi na serekali yako unazulumu raia wasio na hatia
@rafiyujuma2262
@rafiyujuma2262 2 күн бұрын
Sasa kitu gani kilichoelewezaaa mbonaa hatufahami
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 күн бұрын
Waliwapiga watu risasi juzi nungwi wakawauwa sababu mchana wa Allah tu
@iFly-t9b
@iFly-t9b 2 күн бұрын
Habari Ina mapungufu. Yalani mambo haya. But video nzima ukiiangalia huwez jua ni kitu gani kimetokea
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 күн бұрын
Ni mauwaji juzi waliuliwa watu kwa risasi kwa sababu ya mchanga
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 2 күн бұрын
Wewe ni tf tv nisehemu ya walio fanya hili tukio au nijamaa zenu mbona hamtoi vyema hio taarifa, hamuelezi nani kafanya, nani kahusika nani kafanyiwa sababu zipi zilizo pelekea kutokea kwatukio hilo
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Күн бұрын
yani mnapenda kutufanya wajinga nyuso zimewachupa kama makali ya kisu mkiridhika msiridhike mshazoea kuuwa tunajua ila mnauwa kwa mchanga ?roho mbaya wakubwa
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q 2 күн бұрын
Hii chenali haina waandishi.bure kbs.😂😂😂😂😂
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 2 күн бұрын
Kama mtu.anaacha kulala nakwenda mashimoni kuiba mchanga kama inavyodaiwa bac ujue ana njaa. Na hana chengine cha kufanya
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 2 күн бұрын
C wapo kazini hao waliofanya hayo mauaji
KASKAZINI WAVAMIA MSAFARA WA RAISI
3:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 32 М.
SAUTI HII YA KINABII INAKERA WAHALIFU, INALIWAZA WANANCHI
26:56
SK Media Online TV
Рет қаралды 883
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,3 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 202 МЛН
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
MAUAJI YA VIJANA WAWILI KIDOTI ACT YATAKA JESHI LA POLISI WAWAJIBE
5:38
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 6 М.
WAZANZIBARI IKO WAPI ZANZIBAR HII? SEHEMU YA PILI
14:41
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.
YANGA WAPEWA MAJIBU NA BODI YA LIGI | UWANJA WA KMC KUUTUMIA
17:42
SHEIKH OTHMAN MAALLIM UNAPOTOSHWA || Muhammad Bachu.
41:53
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 12 М.
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20