Yakobo 1:17 [17]Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka. Every good gift and every perfect gift is from above, and cometh down from the Father of lights, with whom is no variableness, neither shadow of turning. Asante Sana kijiweni na Roho Mtakatifu ❤️❤️❤️🙏🙏
@israelollotu439Ай бұрын
Neno hai la Bwani ndio msingi wa malezi ya familia.