Nakupongeza millad kwa kufikisha views 3 million KZbin
@zuhmas24 жыл бұрын
MashaAllah, Mola ampe Jannat Firdaus
@jumajustin58464 жыл бұрын
Ushawahi kujiuliza hivi vipofu wanapata ndoto? Kama ndio kiaje yan? wanaona nini? au zikoje yan? kama hapana inakuaje? See the answer by clicking the link below👇🏾 kzbin.info/www/bejne/l4OccoGIoaiUmpo
@charlescosmas78234 жыл бұрын
Laizer somaaa iyoooo
@kassimrajabu78054 жыл бұрын
Hahaha
@kingaboy34684 жыл бұрын
Daaah
@adolphmwairwa48304 жыл бұрын
unapita na twitter za watu millard
@stephanosantus13174 жыл бұрын
noma san
@guccij35494 жыл бұрын
Ata.mimi tajiri mkubwa sanaa sema tuu sijioneshi
@eliarichard92184 жыл бұрын
Ila kwenye Mabilionea wa views mmetishaa kama ulivyo sema.
@rumdeesonsoa18114 жыл бұрын
Kumbe watu wameanza kufarik wakiwa na umri mdogo tangu siku nyng tu, tofauti na tunavyodanganyana kwmb siku hz watu wanafarik wakiwa na umri mdogo. Mungu amlaze pema huko aliko, aliisaidia watu kiukweli.
@laizermathew31524 жыл бұрын
Kama ww ni CCM acha like yako hapa
@fadraj68994 жыл бұрын
Bwana Acha uhongooo Mtu tajili ni Nabii SULLEMAN hivyo sio huyo MANSA MUSSA sema nae ni tajilii ila sio ajawai tokea kushinda yeye . USSI DANGANYE UMAA
@kabyjxjrd98744 жыл бұрын
Point
@eliarichard92184 жыл бұрын
Msameehe.
@tonyspencer19284 жыл бұрын
Mansa kankani musa
@abdallahahmedmmary2254 жыл бұрын
HAKUNA ATAKAE FIKIA APO NA LEO HII WAZUNGU WALIFANYA HILA ILA 1280 ALIZALIWA
@Bayothomusic4 жыл бұрын
Moyo tulia👇 kzbin.info/www/bejne/aZ_bnoisj8aqkNk
@bundukitv13224 жыл бұрын
SOMO MUHIMU KUHUSU UGONJWA WA TB (KIFUA kikuu) www.mrbunduki.com/2020/09/tuzungumze-kuhusu-ugonjwa-wa-kifua.html?m=1
@nass.pofficial40864 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eKO6mJmLoruSiLs Jamani ile nyimbo yetu pendwa tayar imeachiwa rasmi
@jallyjonster40064 жыл бұрын
Mansa Musa na Mobutu seseseko nani alikua na pesa???
@rumdeesonsoa18114 жыл бұрын
Si umeshaambiwa apo kwmb Mansa Musa alikuw na 400 billion dollars, sasa ukishajua Mobutu alikuw na dollar ngp ndo utapata jibu kwmb nan alikuw tajir zaidi
@jallyjonster40064 жыл бұрын
@@rumdeesonsoa1811 sasa ndugu yangu mansamusa wame aproxmate tu sio kwamba ndo hela zake coz enzi hizo kulikuwa hakuna technology but Mobutu seseseko yeye ni wa juzi tu alikuwa na hela chafu yani watoto wake walikuwa wanasoma day ufaransa walikuwa wanaenda na ndege asubuhi ufaransa then jioni wanarudi congo sasa apo nani ana hela
@rumdeesonsoa18114 жыл бұрын
@@jallyjonster4006 ata kama wame estimate lakn huo utajir wa Mobutu pia ni estimated. Na hiyo kusoma day ufaransa ata matajir wa sasa akina Jeff bezos, Bill Gates na wengne kwan unataka kunambia hawawez kuaford? Kujua nan alikuw tajir zaidi tafta historia zao kwa wote wawili
@jallyjonster40064 жыл бұрын
@@rumdeesonsoa1811 historia zao zote nazijua that's y nakwambia Mobutu ndo alikua na pesa
@rumdeesonsoa18114 жыл бұрын
@@jallyjonster4006 sawa
@rybotreiz43294 жыл бұрын
☹️Je wewe ni mtanzania? 🧐Je una kiu ya mafanikio? 🤨Je waweza pata muda huru wa kutumia simu au kompyuta yako masaa mawili kwa siku? 😲Basi jiunge na ukurasa wetu wa facebok ujifunze jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni BILA kuwekeza pesa Tembelea Www.facebook.com/successcheat 🤝Usisahau kulike na kufollow ili uwe unapata taarifa ya offer mpya za kutengeneza pesa mtandaoni kwenye muda wako wa ziada. Siku njema😉