2023 and still I'm here to hear from the African legend
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
for those talks bad about diamond platinumz now,they should watch this interview wataelewa kwa nini hadi leo anatingisha,pesa anayo,anawekeza zaidi na bado anafanya muziki mzuri.alijipanga tangu zamaniii.
@sophlinemanga17059 жыл бұрын
toa fungu la kumi,yani tithe,sijui kama ipo kwa khouran lakini hua ina zuia mikosi na njia za shetani kuja kukuweka chini maishani mwako.Diamond kuwa mkarimu na mnyenyekevu kwa Mungu wako na utaona atakavyo kuepusha kwa mabaya ndugu yangu.watu wana sema urudi nyumbani lakini nyumbani ni kwa Mungu wako atakaye kuwa na wee wakati washida na raha.Diamond omba Mungu wako na usijisahau manake waenda kupata hela kupindukia na utaikosea maana manake watu wata kupenda sababu ya kile unacho lakini Mungu atakua hapo wakati washida na raha mwenzangu.hebu zingatia manake wewe ni mbarikiwa uki amua kumgeukia muumba wako kiukweli.
@ghazalatiki355810 жыл бұрын
we jamaa kitu kimoja kuhusu wewe ata ungefanya nini ungefanikiwa. u r the best
@kingkendrickk4 жыл бұрын
Dah! Mond umetoka mbali bro, Kula maisha 🔥🔥
@mjungatv81722 жыл бұрын
It's platnumz 🦁🔥🙌 2022
@charlesstephano959111 жыл бұрын
siyo mbaya safi ana fanya kazi nzuri
@suntzu89592 жыл бұрын
Daah this is 2022
@mykmsafi56169 жыл бұрын
kumpembejampembejaaa mpaka lini hiii ah we mtoanishe tu
@hamismanginde91912 жыл бұрын
Diamond we ni mwamba bro
@mahsnirmohammed24938 жыл бұрын
Mr President Diamond+254
@nabilasergo82838 жыл бұрын
zamaradi you shoulf feel ashame of your self for asking maswali ambayo sio stahili, unaweza kuhatarisha maisha Ya star Namna hiyo! kua professional kidogo ! you hav the chance with him Utumiee vzuri!!! hivi ulisomea vzuri kazi yako au
@dodilasmathias52452 жыл бұрын
watching this 2022
@nadinerickli10 жыл бұрын
Nice brought
@victormbekomize81542 жыл бұрын
Now 2022
@frankynangonga708911 жыл бұрын
safi sana kijana
@mrwemaraphael6624 Жыл бұрын
Huyu demu salah kuna cku ametokea kwenye cha kijani wasafi fm akaelezea hili tukio la kuletewa kanga
@Vision2012TvАй бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in October 23,2024
@MansourKalokola6 ай бұрын
Leo hii ana gari ya billion 2
@jackiecharlz824711 жыл бұрын
work hard play hard dude
@Northkid9411 жыл бұрын
diamond anajua.............duh nimeogopa kumbe anamiliki mkwanja mrefu hvo ni shidaaaaaaaaaaaaah! bg up b
@mrmisosiliuma9366 Жыл бұрын
2023
@DeusMagere7 ай бұрын
Nani mwengine kaja kumsikia sarah
@rajab11129 жыл бұрын
ungera my diamond nikweli ogopa kesho mana wabaya wanangoja siku utakowa chini waceke
@jumaanbrek880511 жыл бұрын
jamaaa interview za tanzania hebu tafuteni maswali ya msingi maswala yakumuliza mtu anamiliki pesa ngapi c sawa hivo
@farahanisalum527310 жыл бұрын
Safi kijana hkn kuremba anaejipendkeza ww washa t na haswa hao wnaojifnya mastaa
@allahisone638610 ай бұрын
😅🎉😅
@innocentsimika19374 жыл бұрын
2020 tunakumbushia...
@thekhateras55418 жыл бұрын
from ash to grace
@edgermgaya93569 жыл бұрын
ndiyooo
@eddsonsanga944410 жыл бұрын
Gasto kainga
@smstore55355 жыл бұрын
Naomba tum tag sarah apa jaman👦
@huddahmohaa56189 жыл бұрын
oh no diamond mbona umekuwa na ma demu wengi kwani roho yako iko aje gaai
@peterdavid42302 жыл бұрын
kununua prado kama kununua sandals tu kwake nani mwingine kasikia?😂😂
@allahisone638610 ай бұрын
😅😅
@mwalimurobsontarimo749111 жыл бұрын
we mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@oliviamasao495510 жыл бұрын
Zamaradi unaboa kuuliza account za watu, umekosa maswali ya kuuliza?
@allahisone63864 ай бұрын
😅😅
@mgangaevarist97603 жыл бұрын
2021
@NoBeef-th9rgАй бұрын
Ntarukundo kuma falanga
@yasminabdi858511 жыл бұрын
hujafanya haki za kibinaadamu
@fatmaramadhani150611 жыл бұрын
HUYU KAKA SKENDO NDO ZINAMWARIBU
@mulhatthiney714110 жыл бұрын
Hapo hatujamjua diamond ....hela zake hazituhusu kujua....huna maswali wewe
@salehebwangala2153 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@hassanmzilladuwewenona86138 жыл бұрын
du diamond unatisha
@AmaniMbalai-qn4yg2 ай бұрын
2024
@rickrosswabongo41169 жыл бұрын
Hahahaaaaa.....!! Zamaradi king'ang'anizi na hela za Diamond....Hahahaha!!
@soldafoblan20589 жыл бұрын
Sv
@kimbwelele111 жыл бұрын
Maulizo ya mali sio vizuli mtangazaji,uliza yalio usika nakazi sio umuweke kwenye hatari ajili inchi zetu azina usalama sio dada yangu