TAMBUA NJIA ZA MUNGU MAISHANI SEH 2 | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 42,313

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@dottonsangalufu9530
@dottonsangalufu9530 Ай бұрын
Namshukuru mungu baba anguuu alikuwa anaumwaaa lakiniii sasa munguu nii mwemaaa naombaa munguu ajeee anisaidie nijee nifungeee ndooaa takatifuuu
@dorcasrhobi8211
@dorcasrhobi8211 Жыл бұрын
Asantii pst mahubiri haya yananifanya kusogea mbele za mungu,God bless you
@judithsichone7047
@judithsichone7047 Ай бұрын
Mahubiri yako yananipa uvumilivu kwenye maisha ambayonayapitia🙏🙏🙏🙏🙏
@TabithaShadrack-k2c
@TabithaShadrack-k2c 17 күн бұрын
Hatamimi
@EsperenceGilbert-w4y
@EsperenceGilbert-w4y Ай бұрын
Nabarikiwa sana Mchungaji baba yeti wambiguni azidi kukuongoza🙏🙏
@IsabelleSylvie-x9g
@IsabelleSylvie-x9g Ай бұрын
Mimi nimshiki katika Congo n'a shukuru sana kwa mafundisho yaokovu mungu apate kukubari
@aloycelyimo1518
@aloycelyimo1518 Жыл бұрын
Barikiwa pastor; kwa neema zake Mungu baraka hizi zikawafikie na wengine sote tuongozwe katika njia zake
@AdamKisapi
@AdamKisapi 23 күн бұрын
Nabarikiwa sana paster mmbaga David niko mozambique kikazi ubarikiwe .
@PhebiElias-rw9ns
@PhebiElias-rw9ns Жыл бұрын
Pasta unanipa mafundisho mema yananifanya nibadilike
@fridahnanyokie
@fridahnanyokie Жыл бұрын
Ur always my favorite and best.Uzidi kubarikiwa na uishi miaka mingi naheri duniani
@eustina0
@eustina0 Жыл бұрын
Pr barikiwa sana mahubiri haya Mungu anifungue macho nione mbele 🙏🙏🙏🙏🙏
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 ай бұрын
Amina unanibariki sana na leo nimefunga. Huwa nafungu hasa kila alhamisi na ninafanya kazi hotelini
@nynyarugusumatukio255
@nynyarugusumatukio255 2 ай бұрын
Amen, Asante pasta Kwa neno hili , limenigusa natamani ningepata mawasiliano tuongee. Barikiwa
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 Жыл бұрын
Amina Amina nimebarikiwa sana na somo hili nimerudia zaidi ya mara2 ❤❤❤ Mungu akubariki pastor mbanga pamoja na family yako
@Grace-ts2rf
@Grace-ts2rf Жыл бұрын
Pastor Mmbaga nakupenda sana kutoka Rwanda Kwa hekima zako wewe ndiye Ps Rutayisire Antoine wa Rwanda
@angelmndambi8454
@angelmndambi8454 6 ай бұрын
Ubarikiwe pastor MUNGU AKUBARIKI
@EvaGregory-bk4sk
@EvaGregory-bk4sk Жыл бұрын
Nakupenda pasta MUNGU aendeleee kukutunza uzidii kutupa mafundisho
@SaumuGenerics
@SaumuGenerics Жыл бұрын
Mchungaji namshukuru mungu jambo nisomo la muda ila namshukuru mungu kwakunifungua na kuachwa huru kuwa mpya kila sikuu asnte yesu umenitoa kwenye giza nene asante bwana wa majeshiiii
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ameeeen
@SaumuGenerics
@SaumuGenerics Жыл бұрын
Nimeamini sauti ya mungu imenena ndani yangu ila nilipuuzia lakini nimepat majibu nikajua kweli nimungu alinisemeshaaa na sikuusikia nimetubu naamini mungu amenisamehee
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 Жыл бұрын
Hakika,Umenibariki Pastor. Mungu baba akutangulie na kukupa maisha marefu.
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 Жыл бұрын
Nilikua katika uraibu wa zinaa lakini nashukuru mungu kwa kufunga na kuomba niliacha kabisa hata sikumbuki nangoja mme mwema anaye mwogopa mungu na kumheshimu.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@hawamusumba431
@hawamusumba431 Жыл бұрын
Amen amen 🙏 be blessed pst May God protect you and u family
@GloriaSifa-c8f
@GloriaSifa-c8f Жыл бұрын
Tangu kukupata nimeona majibu ya maswali yangu mengi sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu alie juu sana ,,,,,,,wa Afríka Mungu ama tujia pia ,,,, ame tukumbuka kabisa......🇨🇩🇨🇩
@magretmwinukafarijala
@magretmwinukafarijala 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa mungu
@ESPERENCEGilBERT
@ESPERENCEGilBERT 5 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji🙏🙏🙏🙏
@janethgreysonmakengomakeng4145
@janethgreysonmakengomakeng4145 11 ай бұрын
Nabarikiwa Sana Pastor na mahubiri yako Mungu Azidi kukutunza Amen.
@marynasyieki3783
@marynasyieki3783 11 ай бұрын
Mafunzo mazuri sana mchunguja, Barikiwa🤲🙏🏿🙏🏿
@graceDaniel-e7s
@graceDaniel-e7s Жыл бұрын
Mungu akulinde Sanaa naomba ukemee na pepo la ukaaba tazania kwasasa
@EverlyneAjayo
@EverlyneAjayo 6 ай бұрын
Pastor you are really blessing me
@kwandundaki8568
@kwandundaki8568 Жыл бұрын
Hujui tu pastor vile huwa natafuta mahubiri yako nabarikiwa sana sana
@AmaniIkomoelo
@AmaniIkomoelo 6 ай бұрын
Asante sana Mwenyezi Mungu Kwaku nibadilisha tabia zangu
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 Жыл бұрын
Nakukubali sana Mungu azidi kukupa hekima na maarifa
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Eeee MUNGU naamini jibu la NDUGU YANGU juu ya TIBA yake umeshalipisha KIBALI kinatoka KWAKO. WATU WATESI wangu WOTE wanyamazishwe na waamini njia za MUNGU hazichunguziki kamwe. Haleluya.
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 Жыл бұрын
God bless you pastor ,I'm growing daily, may God continue using you and keep you in good health.
@limbunwsaguda3797
@limbunwsaguda3797 Жыл бұрын
l
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 Жыл бұрын
Amina
@hassanhussein6161
@hassanhussein6161 Жыл бұрын
amen sana mchungaji nakupenda sana mungu akupe siku nyingi za kuishi ili utufundishe neno la mungu
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 Жыл бұрын
Niseme je ila kushukuru mungu na akukubuke sana Pastor Mbaga umenisaidia sana kwa mahubiri yako🙏🙏🙏🙏
@tantinemissi4801
@tantinemissi4801 Жыл бұрын
Mnda wote napokusikiliza uwa na barikiwa sawa when you preaching can’t get tiyed of you god bless you pastor
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Pastor oooh UMENENA kweli kabisa, vishetani vibaya vibaya vibaya, kwani sina NGUVU ya kuwapiga, NAOMBA MUNGU MWENYEWE awapige kiasi kwamba hawatajua nani anawapiga lkn wapigwe kwa kishondo mshindo mkubwa na bwana yesu na jamii ishuhudie na asiwepo mwingine wa kujaribu kufanya kama hawa.
@DottoChiriko-wj6dm
@DottoChiriko-wj6dm Жыл бұрын
Barikiwa paster
@giftsimbeye347
@giftsimbeye347 Жыл бұрын
Pastor I like your preaching because hakuna sehem unapaluka unagusa kila seem am so blessing
@ariellatm8741
@ariellatm8741 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupa maisha marefu...we love you so much!..
@florianmeshack-e8e
@florianmeshack-e8e 7 ай бұрын
Mungu atakubaliki Sana mtumishi na Mimi niombe kunakitu kinaleta ukuta katika kufikia malengo yangu ya chuo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 7 ай бұрын
Mungu akutendee
@RamazaniLumbu
@RamazaniLumbu Жыл бұрын
Mchungaji mungu asifiwe akubariki leo nimebariwa mutukumbuke kwa malombi tutembee katika njia ya bwana Mimi ni ndugu yenu katika Imani jina languni kitungwa dunia Douglas mchungaji Na wote walio pamoja nawe tunaitaji usaada wa maombi yenu kwani mke wangu atapita kwenye opération
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
MUNGU ATENDE MUUJIZA
@BeatriceMathew-qy5lw
@BeatriceMathew-qy5lw 6 ай бұрын
Moyo wangu unafarijika sana ninavosikiliza mahubiri haya
@raphaelmuiris7517
@raphaelmuiris7517 11 ай бұрын
Mungu nihirume baba yesus nihirume 😢
@deborahayubu6866
@deborahayubu6866 Жыл бұрын
Ulichosema pasta ni kweli
@VingungutiSda
@VingungutiSda 6 ай бұрын
mchawi alisosema ni sahihi kuna nukuu inayosema kua Shetani kumjaribu Mtu wa Mungu,huaga anaomba ruhusa kwa Mungu,Nae Mungu humpatia ruhusa ya kukujaribu huku akimpa mipaka ya kutokuvuka,na hata kwa hili,Yesu anakua anakuombea ili upate Nguvu za kulishinda Jaribu na ndio maana inasemwa ya kwamba majaribu hayamkuti mtu ambae Mungu hajaweka ndani yake uwezo wa kuyashinda!!
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 Жыл бұрын
Mungu fungua fikira zangu nitoke kwenye machungu
@lennysam4126
@lennysam4126 Жыл бұрын
Baba nifinike mm na family yangu na damu ya Yesu kristu
@DamalisMachumu
@DamalisMachumu Жыл бұрын
ushindi kwa Yesu ni hakika
@RevinaMkilya
@RevinaMkilya Ай бұрын
Ubarikiwe
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 Жыл бұрын
Nipate neema mbele Zako bwana barikiwa sana
@DeoMollamu-ey4tk
@DeoMollamu-ey4tk Жыл бұрын
Bwana akubariki sana pr. Huwa unanibariki sana nikikusikiliza
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 Жыл бұрын
Mungu alinionyesha njia za haki
@Joy-mm1ut
@Joy-mm1ut 10 ай бұрын
Halleluyah yesu niongeze katika njia zako nimeteseka kwa mda mrefu lakini Leo utaniongoza katika njia sahihi Amina
@Boreshandotoyako
@Boreshandotoyako Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Pr.
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@KadogoKisusi
@KadogoKisusi Жыл бұрын
Uishi miaka 150 uokoe roho nyingi
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 7 ай бұрын
Ameeeen Ameeeen Ameeeen aishi hata na zaidi kama wafalme wa zamani aki na daudi walivyokuwa wanaishi hata zaidi ya myaka Mia 200
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Ай бұрын
AMEN. Naunga mkono Roho Mtakatifu anayekukalia kwa kuwapenda wenzao kama nafasi yako. Naungana na wazo lenye wivu na kazi ya Mungu.
@giftsimbeye347
@giftsimbeye347 Жыл бұрын
Stay blessings pastor Mbaga am so blessed only God can give your need 🙏
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Amina mtushii mungu aendelee kukutumia baba
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 Жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe pastor Mbaga
@Elizabeth-u5k1k
@Elizabeth-u5k1k Жыл бұрын
Amen pastor ubarikiwe
@LilianWangui-k4y
@LilianWangui-k4y Жыл бұрын
Balikiwa sana mchunganji kwa mafundisho unayo towa
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 Жыл бұрын
Nipate neema mbele Zako bwana barikiwa Mtumishi
@sarahemukule
@sarahemukule Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏,be blessed pastor
@JAMESALBANO-uv5kt
@JAMESALBANO-uv5kt Жыл бұрын
Nahis furaha
@ESPERENCEGilBERT
@ESPERENCEGilBERT 5 ай бұрын
Amina mchungaji
@EsperenceGilbert-w4y
@EsperenceGilbert-w4y Ай бұрын
Amina 🙏
@esterkaogo2390
@esterkaogo2390 Жыл бұрын
Ninamshukuru MUNGU WETU wa MBINGUNI nimepokea uponyaji katika ombi hili🙏
@zirhumanafiston9174
@zirhumanafiston9174 Жыл бұрын
Amina 🇨🇩
@gracekisaka8461
@gracekisaka8461 Жыл бұрын
AMEEEN MTUMISHI
@BonfaceSikuku-rw3io
@BonfaceSikuku-rw3io Жыл бұрын
MUNGU BABA na azidi kuku jaza roho mtakatifu na hekima ili ulimwengu uwone utukufu wa MUNGU
@GidionBuholela-pt7sm
@GidionBuholela-pt7sm Жыл бұрын
pasta ubarikiwenabwana,
@adorymongish2972
@adorymongish2972 Жыл бұрын
I say waweka wazi kabisa tutupu
@magrethjuma8515
@magrethjuma8515 Жыл бұрын
Sa mchungaji je ukiwa ume fanya zinaaa na mchumba wako kabla ya ndoa hiyo nayo Bado ni dhambi mbele za mungu?????😔 please tujibu 🧎
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Kutoka 20:14 Usizini. Thou shalt not commit adultery.
@akinyiroselyne2697
@akinyiroselyne2697 Жыл бұрын
Lead me in your ways ooh Lord
@eliyaedward
@eliyaedward Жыл бұрын
BWANA AKUBARIKI PASTOR
@JulienKavughe
@JulienKavughe 3 ай бұрын
Nahitaji macho yangu yafunguliwe nione njia inayo faa
@SophiaMarko
@SophiaMarko 4 ай бұрын
Marafiki nisaidie namba ya pastor David Mbaga 🙏
@ruthmagare8725
@ruthmagare8725 Жыл бұрын
Thanks pastor for the good message. God continually bless you
@erickmbasa6193
@erickmbasa6193 Жыл бұрын
Amina
@ernestmhilya960
@ernestmhilya960 Жыл бұрын
Asante aba kwa mtu huyu maishani mwetu
@nancyonyiego307
@nancyonyiego307 Жыл бұрын
Nko na uraibu wa zinaa lakini baada ya kukusikiza niliacha kabisa na ninaichukia hiyo tabia sana
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Aki mchungaji MUNGU WA mbinguni awabariki sana, Ila Leo umenichekesha sana bendi 1😂😂😂😂😂
@esterkaogo2390
@esterkaogo2390 Жыл бұрын
Toka songea
@leahwainaina4396
@leahwainaina4396 Жыл бұрын
Pr niombee nitoke kwenye uraibu wa machungu
@danielfesto489
@danielfesto489 Жыл бұрын
amina pastor
@leilahjaye6413
@leilahjaye6413 Жыл бұрын
I connected for my children to stop substance abuse. In Jesus mighty name
@EstherWambui-t3p
@EstherWambui-t3p Жыл бұрын
Amen 🙏
@christinesavai884
@christinesavai884 Жыл бұрын
Amen and Amen
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 ай бұрын
Japo siyo zite ila uwa napenda kila week
@daud8785
@daud8785 Жыл бұрын
Amina Amina
@rhinakiza
@rhinakiza Жыл бұрын
Amen
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🙏👊✌️.
@happynessisack7918
@happynessisack7918 Жыл бұрын
Mchungaji ulisema hivyo ndoa zote zitavunjika maana mme mnaaza kujadili vizuri lakini mwisho wake ni shidaaa
@latestfunnyvideo2187
@latestfunnyvideo2187 5 ай бұрын
Imenilazimu kuludia hili somo
@kwandundaki8568
@kwandundaki8568 Жыл бұрын
Pastor umenichekesha eti ukichwa wiki mambo hayashiki😅😅😅😅😅
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
MUNGU atusaidie AMINA
@EstherWambui-t3p
@EstherWambui-t3p Жыл бұрын
Hii church ya pastor mmbaga Iko side gani hiku Nairobi plz
@NkwayaDotto
@NkwayaDotto Жыл бұрын
Uliza s.d.a church utakuwa umefika
@DottoChiriko-wj6dm
@DottoChiriko-wj6dm Жыл бұрын
PASTER MUNGU AKUTUNZE NAVUTIWA NA HUDUMA YAko
@EstherWambui-t3p
@EstherWambui-t3p Жыл бұрын
Mnisaindie number ya pastor mmbaga plz.niko kenya
@EstherWambui-t3p
@EstherWambui-t3p Жыл бұрын
Nataka kuongea na yeye please
@DottoChiriko-wj6dm
@DottoChiriko-wj6dm Жыл бұрын
PASTER MUNGU AKUTUNZE NAVUTIWA NA HUDUMA YAKO
@apostlezizi
@apostlezizi Жыл бұрын
Gehazi bwana 😂 alikua anatabia kama za wasaidizi wa waganga wa kienyeji, wana mikwara
MUNGU ANAPO HITAJI KUKUTUMIA PR  DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
54:34
BARAKA ZILIZO POTEA KWA SABABU YA UBINAFSI.... PR.DAVID MMBAGA
1:07:44
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
KUOMBA KWA SHUKRANI  || PR. DAVID MMBAGA
1:10:19
Jejeson Creative Studio
Рет қаралды 2,3 М.
NYUMBA YAKO NDIO PEPO YAKO HAPA DINIANI | SHEIKH OTHMAN MAALIM
43:27
Kumrudia Mungu | Pr. Peter John ~ Campus Hope day 1
43:27
TUCASA STU
Рет қаралды 4,9 М.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 46 М.
JINSI YA KUBADILI MATOKEO MABAYA MAISHANI - PR. DAVID MMBAGA
1:30:02
TUMAINI MOJA
Рет қаралды 14 М.
NI NANI HUYU - PR DAVID MMBAGA
1:26:03
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 27 М.
ULIKUWA UNAJUA KUHUSU ALAMA HIZI?- PR DAVID MMBAGA
1:16:09
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 20 М.
UJASIRI WA MAOMBI | PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:05:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 85 М.
FUNGA HIVI UONE FAIDA ZAKE | PR. DAVID MMBAGA.
1:00:19
SAVP TV
Рет қаралды 12 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН