FUNGA HIVI UONE FAIDA ZAKE | PR. DAVID MMBAGA.

  Рет қаралды 10,624

SAVP TV

SAVP TV

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@RozRoz-o6d
@RozRoz-o6d Күн бұрын
Asante sana mchungani,
@elizabethbwire1480
@elizabethbwire1480 3 ай бұрын
Amina kwa mafundisho mazur hakika tumejifunza mengi ambayo tulikuwa hatuyajui mungu azidi kukutia nguvu uzindi kutufundisha
@LightnesShoo-d3q
@LightnesShoo-d3q 23 күн бұрын
Amina Mungu azidi kukutunza sana umefanyika baraka sana kwetu kwa mafundisho mazuri.
@rizikibahati8364
@rizikibahati8364 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nakufatilia kutoka hapa nchini Australia nabarikiwa sana na mafundisho yako mazuri
@EsperenceGilbert-w4y
@EsperenceGilbert-w4y Ай бұрын
Amina
@PaulMakona
@PaulMakona 2 ай бұрын
Amina pr mbaga mungu aendelee kukupa neema ninabarikiwa na mafundisho yako mungu akubariki
@christellewapa9048
@christellewapa9048 3 күн бұрын
Âmene
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 2 ай бұрын
Amen.Asante Pastor Mmbaga kwa mafundisho yanayotusaidia na kutujenga
@LenaAuko-tj1io
@LenaAuko-tj1io 2 ай бұрын
Amina najifunza mengi mno kutoka kwako my pastor barikiwa sanaa
@LeticiaLubimbi
@LeticiaLubimbi 2 ай бұрын
Mungu wetu akubariki sana , umezidi kuwa mbaraka kwangu
@ElizabethLinus-d3j
@ElizabethLinus-d3j 5 күн бұрын
Nashukuru nimejifunza nilikua navimba miguu na mifupa kuniuma nilipoanza kufunga nimeona mabadiliko miguu imepungua na maumivu ya mifupa imeisha
@ibahatimoses6431
@ibahatimoses6431 3 ай бұрын
Asante mchungaji kwa mafundisho mazuri mafundisho yamegusa maisha yote ya binadamu
@ngolorose
@ngolorose 3 ай бұрын
Amina mchungaji Nina barikiwa kila siku na mafundisho yako ubarikiwe sana.
@faustermtavangu8212
@faustermtavangu8212 3 ай бұрын
Asante kwa uponaji binti yangu amejifungua salama namshukuru Mungu Barikiwa sana Mchungaji.
@aidakashoro5185
@aidakashoro5185 3 ай бұрын
Pr Ubarikiwe sana, nimeimarika kiimani kupitia mafundisho unayofundisha. BWANA akubariki akuongezee Maisha ili wengi tuokolewe.
@irineDancan
@irineDancan 3 ай бұрын
Amen
@joycekerenge3605
@joycekerenge3605 2 ай бұрын
Amina Pr Mmbaga
@oman798
@oman798 3 ай бұрын
AMINA
@dieumeKivuku
@dieumeKivuku 3 ай бұрын
Amen
@TickoAlex
@TickoAlex 3 ай бұрын
Daaah!mwaka huu kambi letu lilikuwa la mibaraka kikubwa mnooo.ifunda tumepata upendeleo wa hari ya juu sana kutoka juu mbinguni 😊
@EsperenceGilbert-w4y
@EsperenceGilbert-w4y Ай бұрын
Amina
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 42 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 98 М.
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
KUMTAFUTA MUNGU WAKATI WA VITISHO // MCH.DAVID MMBAGA.
58:53
😂 Mabinti Muache kujaladia,Mpaka kero😥- Pr. Paul Semba
2:14
Furahia Afya Bora
Рет қаралды 15 М.
TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA
1:16:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 49 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 422 М.
ULIKUWA UNAJUA KUHUSU ALAMA HIZI?- PR DAVID MMBAGA
1:16:09
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 19 М.
SIKU 10 ZA MAOMBI | BALI WEWE USALIPO ... | PR. DAVID MMBAGA | SIKU YA SITA (6)
2:20:49
#UKIJUA SIRI HII OMBA LOLOTE |PR.DAVID MMBAGA|
1:21:18
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 74 М.
KUVUNJA LAANA YA UMASKINI - PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
59:14
ZABURI YA KINGA DHIDI YA MAJANGA NA MIKOSI-- PR. DAVID MMBAGA
1:05:10