Tamthilia ya Tausi Episode 17

  Рет қаралды 41

bantu tanzania

bantu tanzania

Күн бұрын

Tamthilia ya Tausi Episode 17
TAUSI ni tamthilia inayozungumzia kuhusiana na Tamaa ya mali, ukabila, ushirikina na mapenzi ya ulaghai, vyote kwa pamoja vinachangia kusambaratisha ndoa nyingi katika jamii yetu. Katika tamthilia hii ya TAUSI, tunakutana na ZABIBU, ni miongoni mwa wanawake waliokumbana na tatizo hilo, baada ya kuachwa na mumewe anayeitwa FERUZ... Tukio la kuachwa na mumewe lilimpa msukumo wa kutafuta fedha kwa ajili ya kuendesha maisha yake na watoto wake ambao ni TAUSI, TABIA na TABU. Kwa bahati mbaya alijikuta akipoteana na watoto wake na kuwa simanzi kwake. Licha ya kufanikiwa kupata fedha na maisha mazuri, ila hakuwa mtu mwenye furaha na maisha yake, kila wakati alikuwa ni mwenye simanzi na majuto makubwa kwa ajili ya kuwawaza watoto wake.
ZABIBU alivyokwenda kijijini kuwafuata watoto wake, aliambiwa wamekuja mjini baada ya bibi yao kufariki. Kuanzia hapo hakubahatika kuonana na watoto wake. Meneja wake anayeitwa VIVIAN, alifahamu tatizo la bosi wake, alimtafuta msichana yatima anayeitwa SEMENI akamtambulisha kwa ZABIBU kuwa ni TAUSI, na watoto wengine walishafariki kutokana na ugumu wa maisha. VIVIAN alitoa pesa kwa daktari ili kutoa majibu ya uongo ya DNA. Vivian alifanya hivyo ili afanikiwe kupata mali za ZABIB kupitia SEMENI. #BTV #Drama #TAUSI # Tamthilia # Bantutv #
WAHUSIKA:
Nurati Ngeleshi kama ZABIBU
MAREHEMU, Mwajuma Abdul Dilunga kama ZULEKHA
Lulu Gewe kama TAUSI
Recho George kama SHAKIRA
Fred Mandia kama FERUZ
Swaumu Selemani kama MONICA
Amina Kassim kama VIVIAN
Hassan Lukuu kama MKUDE
Raphael Milingo kama MGANGA CHOGEZA
Appolinaly Mathew kama JOSHUA
Hamisa Zungo kama MAMA FERUZ
#BTV #Drama #TAUSI
Directed by
Prince Dilu
Written By
Prince Dilu
Produced By
Sun shine Artist Theatre
E.mail. tanzaniabantu@gmail.com or ushauri2002@yahoo.co.uk

Пікірлер
Tamthilia ya Tausi Episode 18
47:07
bantu tanzania
Рет қаралды 61
Tamthilia ya Tausi Episode 23
49:53
bantu tanzania
Рет қаралды 289
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,6 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Upendo Unaokusudiwa Kuwa 2 - Latest Bongo Swahili Movie
51:34
SWAHILI HUB
Рет қаралды 98 М.
DUNIA (Ep 09)
27:04
ASMA FILMS
Рет қаралды 160 М.
RINGO NA MZUNGU WATOANA JASHO
8:36
mmassy film
Рет қаралды 69 М.
LOVENESS EPISODE 1
23:26
MPOYOKA PICTURE
Рет қаралды 32 М.
Tamthilia ya Tausi Episode 26
44:35
bantu tanzania
Рет қаралды 73
Tamthilia ya Tausi Episode 25
56:42
bantu tanzania
Рет қаралды 43
HOUSE GIRL EP 36  | S3 | LOVE STORY 💞💕
26:29
BUSATI TV
Рет қаралды 70 М.