TANDI SERIES .EP.. 115 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.

  Рет қаралды 71,691

RAY THE GREATEST

RAY THE GREATEST

Күн бұрын

Пікірлер: 161
@Lathifa-zl8hg
@Lathifa-zl8hg 11 ай бұрын
Nimerauka leo na mimi nipeni like japo tatu wapenzi kutoka kenya tunao penda tandi gonga like tukisonga mbele tukisubiri episode116😘❤❤🎉🎉
@denicymichael6284
@denicymichael6284 11 ай бұрын
Okay ukam na Tz mpenzi
@Trizah-ff6ml
@Trizah-ff6ml 11 ай бұрын
Sawa manze❤
@bosibori254
@bosibori254 11 ай бұрын
🥰🥰🥰
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 11 ай бұрын
Mbona kurauka mpendwa wa kunyumba Nn 😅😂😂😂😂
@SaudaNassoroali
@SaudaNassoroali 11 ай бұрын
❤❤❤
@MwanaidiMatary-cp2rf
@MwanaidiMatary-cp2rf 11 ай бұрын
Kidogo DK zinaleta matumain ♥️♥️♥️tandi🔥🔥🔥
@Baudouin-Tv
@Baudouin-Tv 11 ай бұрын
Pa tamu saaana wa Congo tu juwane apa weka likes 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯💯💯💯
@AlainMapesa
@AlainMapesa 11 ай бұрын
🎉🎉😅
@Murishoo
@Murishoo 11 ай бұрын
Team wa Mr kibajaji mpoo tusubiri kazi yake nzuri muda si mrefu
@fbbhg9095
@fbbhg9095 11 ай бұрын
Mnao furaishwa n tandi na Sharon likes Kwa mpigo hpo
@abubakarabdallah2175
@abubakarabdallah2175 11 ай бұрын
Aaah jameni nimerauka leo team radhia tugonge likes kama zotee
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa 11 ай бұрын
Daaaa napenda Linda aaibike
@worldofstars-ex1ok
@worldofstars-ex1ok 11 ай бұрын
Jamani, filamu hiyo inachekesha na inafundisha sana, lakini wanapaswa kutuonyesha maisha ya Lilian na ujauzito huo wa Jordan.
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj 11 ай бұрын
Na sjui anapotelea wapi
@imeldabuenaventura
@imeldabuenaventura 10 ай бұрын
aitwi liliani anaitwa mvinje😂😂😂😂😂
@hellensteven38
@hellensteven38 11 ай бұрын
Tulaleni jamani hii ni yakesho mana 8 hours sio mchezo nimetoa macho hadi nikasinzia bado but so much love for Tandi series
@denicymichael6284
@denicymichael6284 11 ай бұрын
Dah pole dear ndio inafunguka sahv
@najmaawadh510
@najmaawadh510 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@niyonkuruismail5288
@niyonkuruismail5288 11 ай бұрын
Sema kimeumana.aiseeee tamuuuuuu❤❤❤❤❤
@queensiku
@queensiku 11 ай бұрын
Huu utoto wakuomba likes jmn 😢Tujadili filamu acheni hayo mambo
@victorkobobiojuwang5149
@victorkobobiojuwang5149 11 ай бұрын
Chande Muhuni wangu kesi zote zako, utatoka kweli 😅😅😅
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 11 ай бұрын
❤❤❤duhuuu mambo ya kesi kila kona😂😂
@موسيمحمد-ه5ظ1ف
@موسيمحمد-ه5ظ1ف 11 ай бұрын
Nipo nyuma yenu wadau❤❤❤❤
@abubakarabdallah2175
@abubakarabdallah2175 11 ай бұрын
Ushauri kwa jordan radhia ni chombo jameni abigail hamuingii huyu mtoto mzuri balaaa❤❤❤
@qalbi8198
@qalbi8198 11 ай бұрын
Mtt mzuri lkn hana .simamoo 😂😂😂
@qalbi8198
@qalbi8198 11 ай бұрын
Afalafu tatizo mooyooo jmn
@mamu1155
@mamu1155 29 күн бұрын
Mmmh hapana mm nampenda abby mrembo atali❤
@malkiamommy293
@malkiamommy293 11 ай бұрын
❤️‍🔥❤️‍🔥 a from kenya 🇰🇪 😊😊😊
@PatrickDMwantimwa
@PatrickDMwantimwa 11 ай бұрын
I can't wait🎉🎉🎉🎉
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 11 ай бұрын
Dokta anacamganikiwa adi anabadiri mwendo😁😁😁😁😁🤣Linda yatamkuta 😂
@evanskatile3561
@evanskatile3561 11 ай бұрын
Jambo zuri Mr Jordan kasikia kilio chetu time katupa vizuri
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo 11 ай бұрын
Wakwanza jamani mbio zimenimaliza like zangu jamani naomba
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo 11 ай бұрын
Linda sasa hapa inabidi ubadilishe mtindo wa kucheza,kama ulikua unacheza hiphop cheza bongo sasa😂😂😂
@ElizabethLizzy-pk3zj
@ElizabethLizzy-pk3zj 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😢
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 11 ай бұрын
Waaah chande Pole kesi dunia mzima😂😂😂😂😂😂
@denicymichael6284
@denicymichael6284 11 ай бұрын
Oy kitu kimetoka jikon hakijapoa hich apa #Tandi❤
@olgitakambaji8448
@olgitakambaji8448 11 ай бұрын
Metez pour nous même 3 épisodes par jour 🙏
@LydiaStephano
@LydiaStephano 11 ай бұрын
Yaani hakuna mtu ananifurahisha kama huyu mbeya bajaji😂😂😂😂😂😂
@paulinaswai6661
@paulinaswai6661 11 ай бұрын
Hata mm kwa kweli akikosekana movie hainogi
@HawaHussein-hq1lj
@HawaHussein-hq1lj 11 ай бұрын
Yani hyo ni chawa mkuu 😂😂😂😂😂yuko makin na kz yake atari
@alicenyabuto546
@alicenyabuto546 9 ай бұрын
Jamani ana umbea kama mama mwenye anauza mboga😂😂😂😂
@HawaHussein-hq1lj
@HawaHussein-hq1lj 9 ай бұрын
@@alicenyabuto546 😅😅😅
@SumaiyaSumaiya-kf7ch
@SumaiyaSumaiya-kf7ch 11 ай бұрын
Jamani jems anajua mpaka bas 🎉
@clararight
@clararight 10 ай бұрын
Mr James anaplay sehemu yake vizuri sana.
@benadethamwenda
@benadethamwenda 11 ай бұрын
Big up team Tandi💪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Zanura-tx9yr
@Zanura-tx9yr 11 ай бұрын
Tiim tandiii tupooooo so kumkomoa ukooo house girl jmn
@LovenessMashauri-uo5mp
@LovenessMashauri-uo5mp 11 ай бұрын
Nasubili kwa hamu 😂🎉
@denicymichael6284
@denicymichael6284 11 ай бұрын
😅taratibu sasa
@EmmanuelSinda
@EmmanuelSinda 11 ай бұрын
Movie bomba sanaa ongeza vitu ray
@dosantostz8284
@dosantostz8284 11 ай бұрын
CHANDE anafaa kuwa mchekeshaji🤣🤣🤣
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 11 ай бұрын
Kidampa mpelelezi w watu wote n kilamtu humpa udakywake kw wakati jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 11 ай бұрын
Nakukubali chaumbea kibajaji 😅😅😅linda kapatikana kuhusu uryauzito😅😅❤❤
@NeemaAthanazi
@NeemaAthanazi 11 ай бұрын
Wapili Leo nimejitaidi
@kalou-td6pp
@kalou-td6pp 11 ай бұрын
Safi sana nataka like pia mm 😂😂😂😂
@ZawadiNyumayo
@ZawadiNyumayo 11 ай бұрын
duuuu huu kweli mkanganyiko😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AminaMarko-no9bo
@AminaMarko-no9bo 11 ай бұрын
Asante Leo zimetoka ep mbili
@neemacharles9848
@neemacharles9848 11 ай бұрын
Nawapenda wote wahusika
@PatrickDMwantimwa
@PatrickDMwantimwa 11 ай бұрын
🎉❤❤❤ here we are❤
@user-Hillaa77
@user-Hillaa77 8 ай бұрын
Bila Shaka na support Linda from Kenya
@MwanasaadaAsha-es6ov
@MwanasaadaAsha-es6ov 11 ай бұрын
😂😂😂kibajaji ntaka nkupe kaz pia mm wapatikana wapi
@VeronicaZuli
@VeronicaZuli 11 ай бұрын
Finally ❤❤
@AlfaiatariadepalmaMustafa
@AlfaiatariadepalmaMustafa 7 ай бұрын
Big up bro bajaji Alazi kazi 😮
@HappyChemistryExperiment-eg7xq
@HappyChemistryExperiment-eg7xq 11 ай бұрын
Nimeipenda tandi
@jofreygrace9665
@jofreygrace9665 11 ай бұрын
Papaa molinga episode hii utanyooka mbona😂
@InezaFainess
@InezaFainess 11 ай бұрын
Kama unampenda ray like hapo
@ayubtimbe4679
@ayubtimbe4679 11 ай бұрын
Daeva kibajaji joridn umlipe zaidi ya wenzake
@Mnyaturu980
@Mnyaturu980 11 ай бұрын
Mm huaga wa mwisho shida bando nipeni tu zangu
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 11 ай бұрын
Umewaka sio mchezo 🎉❤😂😂
@gradnesmaiko
@gradnesmaiko 11 ай бұрын
Tandi❤❤❤❤
@NourdnNourdn-v9q
@NourdnNourdn-v9q 10 ай бұрын
Jems unajua kuigza brother 100
@yonasytitusy337
@yonasytitusy337 10 ай бұрын
Yahana mm naacha zifike 4 ndo naangalia kwa raha😂
@OsvaldoJoãoabacar-y5f
@OsvaldoJoãoabacar-y5f 10 ай бұрын
Kwer
@Clarice56
@Clarice56 11 ай бұрын
Kesi azichi watu wanatanga tangata 😂
@AmaniNangerembe
@AmaniNangerembe 10 ай бұрын
Dhuuu yani usiombe yakukute ayo eti watoto sio wako😭😭😭
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
Kbx usikie kwa mwenzako tu
@ndagijimanavianney6877
@ndagijimanavianney6877 11 ай бұрын
Nawakubalisana
@MtumwaAbdalla-m5n
@MtumwaAbdalla-m5n 11 ай бұрын
Wasaba mambo nimoto tandi upo vzr
@MichaelDaud-w6n
@MichaelDaud-w6n 11 ай бұрын
Nampenda dereva kibajaji kama tunamkubali gonga like
@AnethJoseph-m5i
@AnethJoseph-m5i 10 ай бұрын
Oman tuliotoka Tz gonga like hapa🎉🎉🎉❤❤❤
@NishimweDevotte-ci9of
@NishimweDevotte-ci9of 9 ай бұрын
Tandi maua yako❤❤❤❤❤❤
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 11 ай бұрын
Wasita6❤❤❤🇧🇮
@HawaHussein-hq1lj
@HawaHussein-hq1lj 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mr kibajaji we ninoma huna baya na mtu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kwani shingapi kupewa maua snibure tu chukua yote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fikramajani4650
@fikramajani4650 11 ай бұрын
Jamaniii huyu Radhia mumpe slippers tuu kwa maana anataabika kwel n hzo heels😂😂
@Binti...k
@Binti...k 11 ай бұрын
Waiting ❤
@LEWIS_KENYA
@LEWIS_KENYA 11 ай бұрын
Bajaji ananimaliza kabisa😅😅
@FranklineMazera
@FranklineMazera 11 ай бұрын
Kibajaji ungekua Kenya broo Ungekua Ushauliwa kitambo Wakenya hawataki huo Upizi wa Umbea Umbea
@omaringome7128
@omaringome7128 9 ай бұрын
Nmechelewa lkn nmfka nipeni like zangu na mm😂😂
@JoyceCharles-id8qe
@JoyceCharles-id8qe 11 ай бұрын
Tando ni ya moto!!!
@MwA-ni1uk
@MwA-ni1uk 10 ай бұрын
Nashuka na tandi Leo pk kieleweki
@Emle-jq8ow
@Emle-jq8ow 10 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤
@mishiabdul2834
@mishiabdul2834 11 ай бұрын
Next plzz ya kumi na 16
@najmaawadh510
@najmaawadh510 11 ай бұрын
Kibajaji nmekushindwa😂😂😂
@ausiomn1963
@ausiomn1963 11 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@AlanwizBoy-xu4mt
@AlanwizBoy-xu4mt 11 ай бұрын
Leo patamu xan nipeni like zangu team tandi burundi tujuane
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 11 ай бұрын
Haya kimeumana linda xx utafanyaje Chandy kapatikana n mimba n yake je ww umempeleka mahamani Jordan kisa mimba mwenye mimba kapatikana jee itakuaje linda vituko havishi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vjpascokenya4869
@vjpascokenya4869 11 ай бұрын
Watu wangu wa Mr James mko wapi
@salmaseif-rq9ux
@salmaseif-rq9ux 11 ай бұрын
Bajaji kwa umbea kama ushuzi wa ngomani😂😂😂
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v 10 ай бұрын
Kimeumanaaa
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 11 ай бұрын
😂😂❤
@ibrahimkubwaye7343
@ibrahimkubwaye7343 11 ай бұрын
Ivinawayi. Tunayisubir
@GetrudaYohani
@GetrudaYohani 11 ай бұрын
Hii filamu ni Kali Sana
@badarksa678
@badarksa678 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂chande kesi zote nzako wewe 😅
@preciousndossy2169
@preciousndossy2169 9 ай бұрын
Kibajaji jamani khaaa Hadi unachosha
@dullymusis1653
@dullymusis1653 11 ай бұрын
Tandii BWANA 😅
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 9 ай бұрын
Hii sasa kali ya lindaa
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 11 ай бұрын
Mr.bajaj nae hachelewi kuapata habari aki,wah....🤔
@dvjkelly8449
@dvjkelly8449 10 ай бұрын
Me ningekuwa jordan ningekula, radhia, ningekula huyo mke wa chande na ningekula yule mdogo wake lilian na ningekula yule mtoto wa Doctor mfanyakazi wake
@Lazackbashite
@Lazackbashite 11 ай бұрын
Jamani namimi leo nipeni like ata 6 tuuu wapenz
@OnesmasMunala
@OnesmasMunala 11 ай бұрын
Nafwatilia polepole chaumbea mbaya sana
@everlinekenga437
@everlinekenga437 11 ай бұрын
Kumekucha😂😂😂
@BarakabalumeJean
@BarakabalumeJean 2 ай бұрын
Docteur amewaka sasa
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂keee onyesho lijalo kali sna
@Fatma-to6rq
@Fatma-to6rq 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂uyu bajaji kiboko 😂😂😂
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek 10 ай бұрын
One love 🇲🇿
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
Chande chande chandeee😂😂😂
@ZatiaLugongo
@ZatiaLugongo 10 ай бұрын
Tandi asimuache huyu mdada wa kazi
@FranklineMazera
@FranklineMazera 11 ай бұрын
Mombasa kenya iko ndani
@hamisisalim
@hamisisalim 11 ай бұрын
Moto umewaka waah
@evanskatile3561
@evanskatile3561 11 ай бұрын
Linda kwisha
@KamamaaOmar
@KamamaaOmar 11 ай бұрын
Ya leo tamu
KOSA LA MAMA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
2:00:01
kapaayathegreat films
Рет қаралды 4,5 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 153 МЛН
UMASKINI WANGU Full ep 01
40:03
BabaJoan
Рет қаралды 7 М.
OFFICIAL FIRST EPISODE - Huba Season 3 | Maisha Magic Bongo
26:48
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 1 МЛН