Ebeneza Hata sasa Mungu ametusaidia, Heri ya Mwaka mpya 2024 Ukawe mwaka wa Baraka na Mafanikio kwako. HAPPY NEW YEAR 2024.
@BarakabalumeJean4 ай бұрын
Vraiment
@sfiaalanazi5479 Жыл бұрын
Eheee dada wa kazi na linda twende sasaaa😅😅😅😅
@AmaniMgalla-eb2ll Жыл бұрын
Mfanya kazi anafawafundisha jinsi yakuuishi watoto baadae🎉❤😊
@farajaedson Жыл бұрын
Ata kama lakn cyo kiivo yaan kazi zote izo half mshahara apokee yy ww kuwezaaa 😂😂😂
@AmaniMgalla-eb2ll Жыл бұрын
@@farajaedson 😂😂😂 ni maisha my love
@IreneJohn-jq7jc10 ай бұрын
Anatumia njia mbaya kuwafundisha so kiivo
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Wow😮picha imeingia unyama,joadan ana mbambamba🎉❤
@augastinemangeni3473 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya wapendwa ... Like 👍
@JuveKimario-ku8vh Жыл бұрын
Naomba like zenu
@SigineMangaga Жыл бұрын
91
@ZuenaAli Жыл бұрын
@meshackmganga6948 Жыл бұрын
Uzifanyie nn😅
@isaacmatuku1104 Жыл бұрын
Si kwanza hii episode waogeze rate of production tunawait saana
@abuabu9594 Жыл бұрын
Ray the greatest tupe raha 91 episode wewe uko vizuri mchapa kazi kongole
@consolatamakonjo3271 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya wapendwa 2024🎉🎉🎉🎉🎉 . KAZI nzuri Jordan.
@jeremiyasteven Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya naipenda TANDI tunangoja EP 91
@ashabashir9443 Жыл бұрын
Ila twamaliza mwaka angewachia kamba kiasi kama tatu kwa siku bcz tuko holiday tuburudike zaidi na tandi
@thomasmwaipale2621 Жыл бұрын
Naomba tumtakie heri ya mwaka mpya Ray ili aongeze tena epsod
@HillaryAmbani-f3c Жыл бұрын
Eagerly waiting for episode 91, ❤from nairobi
@MohamedChondo Жыл бұрын
Happy New 2024 All Guys 🎉🎉🎉 i waint tandi 91❤❤❤ good job Ray ❤❤
@CharoJohnson Жыл бұрын
Happy new-year team tandi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@TutuAyu-y4f2 күн бұрын
Number one 🎉🎉🎉🎉
@damasimwaipaja3137 Жыл бұрын
hogela sana Brother, kazi nzuri Zaid ya sana
@sammytheprince328 Жыл бұрын
Plz next episode toa huyu Linda 😮 hanaboesha sana.
@HawaHussein-hq1lj Жыл бұрын
I love you linda bila yaww move haichangamki 😂😂😂😂😂
@ShukuruChisemwa Жыл бұрын
Tunaosubiri kwa hamu hyo kesho tujuane jmn😂😂❤
@LightnessMwakafwila Жыл бұрын
Tunao unga bando linaisha bila kuiyona tandi tijuana 😂😂
@jacksonmars7894 Жыл бұрын
Huyo Mama Tandi Mimi ningekuwa Ray ningekunyoosha na usingenisahau umechachuka kama nini
@jobsimpamba71 Жыл бұрын
Nawakubari sana asanteni ❤❤❤❤❤
@KwizerJackson-is7fh Жыл бұрын
Kong 🍠 wa Afrique kutoka Zambie tunasubiri kwahamu nyingi part 91
@chenaizakache5713 Жыл бұрын
😂😂😂ya Kesho na mko hapa already 😂😂 Heri ya mwaka mpya wapenzi
@sirfabiano767 Жыл бұрын
Jaman Tandi ndo imeisha au mie ndo sioni maana kuanzia ilivyotumwa ya 90 mwendelezo imekuwa changamoto tunaomba wahusika mtujibu sisi mashabiki wenu Asante naomba kuwasilisha
@jofreygrace9665 Жыл бұрын
Haya naona tandi Leo kakutana nambabe mwenzake
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Natalia8806 Жыл бұрын
Jamani Nauliza hivi huwa mwakesha humu mkisubiria Tandi😂😂😂😂haya basi mm leo nimechelewa wa kumi na mbili
@LydiaStephano Жыл бұрын
Saa kumi na mbili kivipi wakati hii imepostiwa saa mbili 😂😂
@lucca47Boy Жыл бұрын
Nampenda sana mama tandi ❤❤
@YoungblackPeople-qf7vx Жыл бұрын
Happy New year 🎉 timu tandi 😅😅❤❤
@aishaomar9621 Жыл бұрын
Happy new year ray kigosi pamoja n waigizaji wenzio❤❤❤
@AntoineBirungi Жыл бұрын
Tunasubiri sana Jordan episode ziwaata tano
@alymwala6725 Жыл бұрын
Napenda sana hii movies
@JeannetteManirambona-o6m4 ай бұрын
😂😂😂kibajaji sehemu yako umeicheza vizuri
@DaisyNjue-m5q Жыл бұрын
Wooooow this movie is so interesting,,Niko S1 episode 66 and it's Soo nice salimia yandı na Jordan my best characters and Sharon wooooow hongera sana binti tandi
@MariamPaul-s2l Жыл бұрын
Kazi zuri sana
@DenisPeter-bb3qz Жыл бұрын
Mwendelezoooooooooooo
@eduelectronics-s4b Жыл бұрын
finally iko sawa
@niyonkuruismail5288 Жыл бұрын
Ongezeni hata dakika tatu basi 😢😢😢😢😢😢vicent kiukweli unatupunja saanaaaaaa