Jaman tulio kuwa pamoja tuka episode ya 1 mpaka 125 nipeni like zangu jaman
@فاطمة-ن2ح4ح Жыл бұрын
nawapenda sana watu wa tandi ilove you tuko pamoja
@mosesniragira853 Жыл бұрын
Movie imepangwa vizuri Sana, mtu anatoka ndani ya movie kwampango
@ggfwtgg1652 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kinoma yaani ❤❤❤
@AmaniRashidi-i9b Жыл бұрын
Wabongo from south Africa Durban tupo mwanzo mwisho
@BillyLiya Жыл бұрын
Napenda Sana hii tandi ❤❤❤
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Mama Renee mbona kama nakuelewa hivii yaani wewe ni mzuri sana natural kabisa ❤❤🎉🎉
@sammydzuya6939 Жыл бұрын
Mch lav Tandi❤❤❤❤❤❤#uliweza Following from Kenya!!!!!!!
@Zachary-jujux Жыл бұрын
Mm pia niko hapa nina subir kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
@RajabwanyonyiJuma Жыл бұрын
Nyuma yako
@esterkimalio8846 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ ya kwenu washiriki wote
@HappyJoel-o6f2 ай бұрын
Big up Sana Ray kigosiiii king of this movieeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@samyabahatialhiani401 Жыл бұрын
Jordani na dokta wanapitiya mda mgumu sana 😢😢😢
@reginaIssa-m2j Жыл бұрын
Mmhhhh hakimu ni noma kweli kweli hataki watt wa nje ya ndoa duhuuu 😢
@mishiabdul2834 Жыл бұрын
Safi sana tandi ❤❤❤
@OscarWekesa-u8s Жыл бұрын
Am still waiting Tandi nataka kujuwa kila kitu 😅
@ZaleoFilmGroup Жыл бұрын
😂😂😂😂
@manuelraulchimangande Жыл бұрын
Kwani ameolewa.?
@rosejonson3241 Жыл бұрын
Waomba like
@eligiambigi4884 Жыл бұрын
Ibabukubwa🎉🎉🎉🎉🎉
@Veronicapetro-f2h Жыл бұрын
❤🎉 naipenda sana
@Zachary-jujux Жыл бұрын
Tuko tukifutilia sana kutoka Kenya 🇰🇪
@doreenogwari9315 Жыл бұрын
Kumbe tuko wengi 😂😂😂Hii kipindi ilifanya nianze from episode one mpaka saizi tu hapa😂😂😂
@samyabahatialhiani401 Жыл бұрын
Wakwaza1❤❤❤🇧🇮
@HappyJoel-o6f2 ай бұрын
Congratulations to you Ray kigosi king of the movie❤❤❤❤❤❤❤❤ 12:28
@SolangeOvera Жыл бұрын
tuna subiri kwahamu sn ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@mwanamisirama1836 Жыл бұрын
Afande naye ameweza👏
@NasonNyagenda10 ай бұрын
Mapenzi❤ ni kitu ovyo sana
@RamadhanKitonga-gh2oq Жыл бұрын
Watching from kenya
@katanaajonathan6987 Жыл бұрын
Kenyan boy watching from 🇸🇨
@salamaasalamaa-yo3ju11 ай бұрын
🎉
@malkiamommy293 Жыл бұрын
🎉🎉😊😊😊😊 a from kenya 🇰🇪 😊😊
@LatifaMkwewa Жыл бұрын
Wale wakusoma comment tulizo zikuta tujuane kwa like ❤❤
@rachelrichard753 Жыл бұрын
Nimewahi umwishooo🤗🤗
@everlinekenga437 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 mambo motoo
@SafariZihalirwa Жыл бұрын
Leo mimi wa kwanza Ku fwata 125
@HappyJoel-o6f2 ай бұрын
Congratulations to you Ray kigosi king of the movie❤❤❤❤❤❤❤❤ 12:28 13:37 13:40
@FranklineMazera Жыл бұрын
Mombasa kenya iko ndani
@HappyJoel-o6f2 ай бұрын
Congratulations to you Ray 16:23 kigosi king of the movie❤❤❤❤❤❤❤❤ 12:28 13:37 13:40 ❤
@HappyJoel-o6f2 ай бұрын
Congratulations to you Ray kigosi king of the movie❤❤❤❤❤❤❤❤ 12:28 13:37 13:40 ❤
@SaningoSamwel Жыл бұрын
Tupo pamoja❤
@JamesKitendo11 ай бұрын
Hongeren kwa Kaz njema
@ReaganGT-ww4vu Жыл бұрын
Hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante
@RukiyaButoyi-sk5nm Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ napenda Tandi anavyokuwa hamuwokopi tena Jane 😂
@yunus-bh4om Жыл бұрын
Leteni yenyine hapa kazi iko🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JumaMalessa Жыл бұрын
Chande mimi nakupa bigapu sana chande ujui kubebeleza wadada 😂😂😂😂😂
@AmaniNangerembe Жыл бұрын
🎉🎉🎉❤❤
@Najmahnyangasi10 ай бұрын
Kwani like jaman nikama vipi mbona mwakua kama nini vile 😂😂😂😂😂 like za kila mara sioni watu wakipokea mshahara😂😂😂
@RabanisterTumain Жыл бұрын
Nyie Mr momba abadilishe shat tok movie imeanz😅
@AmeirhajjRamadhan-e1h Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EmmyMo Жыл бұрын
😂😂😂😂
@kokugonzaalfred8640 Жыл бұрын
Halaf kweli eti😂😂😂😂😂😂😂
@vxp5228 Жыл бұрын
😂😂😂😂ana majonzi😂
@YvonneMuoki-k7f Жыл бұрын
Watching from kenya❤nafuatilia Tandi mpaka mwisho😅
@estherwanjiku5798 Жыл бұрын
Uru muno 😂
@rj_tr._ref._cfcfan. Жыл бұрын
I miss Abigael sooooo much❤ 🇰🇪
@ZainabHussein-e2m Жыл бұрын
Yni mpkaa tumee mxx aonekni
@rj_tr._ref._cfcfan. Жыл бұрын
@@ZainabHussein-e2m alitoroshwa na Lameck, aki hii story sijui itaishaje
@EvamichaelEvamichel-qz5dz Жыл бұрын
Ifike mahari tujue izi like mnazifanyiaga nn
@BarakabalumeJean3 ай бұрын
🎉
@NathanaelIlunda Жыл бұрын
Safi sana
@ConfusedBonsaiTree-uf5qs Жыл бұрын
Jamani abigaer nimemmic sanaaaaaaaa
@salomerobert5241 Жыл бұрын
😢😢 momba wangu jamani
@AhmedMtumweni Жыл бұрын
Hiii 125 haiweleweki
@preciousndossy216911 ай бұрын
Abigael tumeshakumic huku
@Ganzaboke Жыл бұрын
Jamani kigosi munakuwa haraka
@mejumaakoja5050 Жыл бұрын
Razia na Abigail wako wapi tumewamiss sana wao ndio walikua wakichangamsha hii movie Kwa kweli,ila Bado Iko chonjo but tumemiss mishemishe za Abigail na Razia na Linda😂😂😂😂
@Fbmovie254 Жыл бұрын
😂😂😂 jeny umwez tandi Kwa ujanja uwez kutoka subiri police tu wafike cz mwanasheria nae kacheza upande wake
@ViridianaFelix-he7gf Жыл бұрын
Jamni dr momba ndo maisha ya usingle baba au movie tangu imeanza shat lile lile😅
@levinaernest4364 Жыл бұрын
😀😀😀
@LoyceSimon Жыл бұрын
😂😂😂
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Tandi inazidi kunoga
@mishiabdul2834 Жыл бұрын
Next plzz ya miya na 126
@bulullemishaki8 ай бұрын
wapi na kutoka lini police wakashugulika na mashauri ya madai.hapo mmetupiga hiyo siyo jinai.aaaaaaa lakini powa tunaelewa na kuigiza tu
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Hii movie ina matatizo juu ya problem 😅😅😅😂😂
@latifaahmad861 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@shufaamushil8886 Жыл бұрын
😂😂😂
@swaum Жыл бұрын
😂
@preciousndossy216911 ай бұрын
Jordan wapi ww bhana
@aishaomar9621 Жыл бұрын
Doctor mumba uko kwenye mtihani ngumu Sana pole 😢 Sharon uko wapi
@mishiabdul2834 Жыл бұрын
Next plzz 126
@fatma-jh2lf Жыл бұрын
Nimewasili wenzangu
@alexaleko3220 Жыл бұрын
Jameni topeni like wakenya
@mariamcrispo8296 Жыл бұрын
Yaani Doctor hadi unatia huruma ujue
@alimanshimirimana1773 Жыл бұрын
Ina maana Abigail watu ameamua kuaciy kwel😢😢kumbe muoga
@eagleboyy4535 Жыл бұрын
Wakwanza leooo like tafadhali😊
@Najimilna Жыл бұрын
Wa kwanz 😅😅😅
@jovithakawimbe7472 Жыл бұрын
Àsante 🎉🎉🎉❤
@walengamwamaua-ws6io11 ай бұрын
Vip tandi hapo Tena, mtoto akili kama ya mama yake, kweli mtoto wantoka ninyoka
@beautifulafrica68863 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@katotopesaofficial Жыл бұрын
Huyu Jordan Akaoge Dawa Kolelo 😂 mana Kila anaemsogelea lzm apate msiukosuko kama yake 😂
@sherimukolwe Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@JacksonOduor-rb7gl Жыл бұрын
Ni kumi😅😅😅
@sfiaalanazi5479 Жыл бұрын
Afadhali watoto wabaki kwa babayao wa kambo mana huko wendako kuna jinamizi watakwenda teswa
@beautifulafrica68863 күн бұрын
Jinamizi tena 😂😂😂😂😂
@alexaleko3220 Жыл бұрын
Naona doh climax xaxa
@mirfatmahanga6321 Жыл бұрын
Nasubir kwa hamu sn
@magrethmodest-yp6fg Жыл бұрын
Jaman tandi saivi makesi ya mekua mengi hadi inaboa duh Kila mtu anakesi tu duh 🙄
@neemakarisa6117 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@Damacline4004 Жыл бұрын
Wamwisho Naombeni like zenu jamani
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Huyu mama Renee kajuaje kama tandi wanateswa na Jane 😢
@GoldenJr2330 Жыл бұрын
Waliyo gunduwa kwamba Jordan akuonekana kwenye ep ya 125 gonga like nyingi apa
@fathiafathia6324 Жыл бұрын
Niko nasoma comment zenu wadau
@Najimilna Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@cutenaa6984 Жыл бұрын
Episode mmekosea kuipanga nyuma mbele,mbele nyuma
@LovelyCows-dq2uv Жыл бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@hamisiwanzala7907 Жыл бұрын
Mbona picha haeeleweki
@ZaytoonMohammed Жыл бұрын
Nasoma coment❤❤❤
@Lilianbarasa-ew1jv Жыл бұрын
Kwani Tandi iliisha?
@mariashilinde291 Жыл бұрын
Hv vipande Leo vimechanganywa jmn but an way tutaelewa t
@josephinejoseph3919 Жыл бұрын
😂😂❤
@Pauline-mv2wn Жыл бұрын
Nimeisubiri hamu ikokuisha waaaaa 🤭🤭🤭
@nicogihehugue753 Жыл бұрын
Jamani watu kutoka Kigoma wapo cape Town tujuane kwa like
@officialkimanzi5977 Жыл бұрын
Mbona mnaanza kutuchanganya episode 124 & 125 hazieleweki Apo
@raphaelnambombi3709 Жыл бұрын
Kweli kabisa ,mfano wamesema dr.momba amepatwa na ajali lakini sisi runamuona anapuyanga mitaani
@HawaHussein-hq1lj Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 walisema kwamba niuongo @@raphaelnambombi3709
@GainoGabone Жыл бұрын
Me sijaelewa huyu si alipata ajali huyu
@JoyceJosph Жыл бұрын
Move imeachiwa docto momb sasa hata haieleweki jordn ukoo wapppi
@JoyceSteven-s4u9 ай бұрын
hizo likes munafanyia nn guys 😮
@Cleopatrapatric Жыл бұрын
Hakumu anaroho mbaya
@joelmnangat66997 ай бұрын
Tandi ameenda wapi?
@stalonysilvester-yv1bt Жыл бұрын
Najiuliza2,ivi chande aliponaponaje kwauyu hakimu ambae anamawazo Kama yote!!??