Nandy from Epic Record (s) Label has come up with new video of her last hit song "One Day" Written by Tommy Flavour Produced by RingTone at Bkej Pro Studio. Enjoy the HD Video and don't forget to share it with your dear ones.
Пікірлер: 954
@anoldnelson20495 ай бұрын
2024 kama bado upo tujuana kwa likes hapa
@jamilahemed5131 Жыл бұрын
Jaman hakuna mtu mwembamba tafuteni ela tu naomba like za nandy
@NeemaBahati-o9e Жыл бұрын
Ambao tukiumizwa na mapenzi tunakimbilia huu wimbo na tunawasamehe wapenzi wetu 2024
@allymalick59598 жыл бұрын
ruby jamani siombe msamaha clouds fm ungekuwa mbali sanak#kee p it up#nandy usilewe sifa bila clouds fm hata huyo simba angekuwa kenge respect ni kila kitu gonga like kwa hii post
@manunited30448 жыл бұрын
Ruby kapoteana
@allymalick59598 жыл бұрын
ukitaka kufanikiwa kuwa mjinga kwani mondi si alikuwa anapewa laki moja kipindi kile na nenda kamwambie but alijua huu ni mda wa kutengeneza Brand yangu ipo cku nitakuwa on top Now days ni nani is the finest singer in Tanzania hata Ali kiba alikuwa msanii wa kawaida wimbo wa mwana alipoutambulisha clouds fm wakaamua kumboost kiba akawa mpinzani wa mondi na wakiamua kumzima mtu wana mzima yuko wapi twenty percenty simanishi kwamba clouds fm ndo redio pekee tyu nope lkn inabidi utumie fursa kama mondi au manfongo #long life my bae nandy#
@dorcusemmanueldorchi49888 жыл бұрын
Ally Malick ruby alifanya nini tena
@allymalick59598 жыл бұрын
ni nandy najua nampenda sana ctaki aje kuwa kama Ruby
@happyharny47538 жыл бұрын
Kwel kbs
@nassypaul57453 жыл бұрын
2021 kam bado unaukubali huu wimbo gonga likee😘😘
@sallyirungu68223 жыл бұрын
Still here ❤️
@chanceakimana4053 жыл бұрын
Still here
@mercychepkoech1683 жыл бұрын
Nimerudi Huku
@maggiechriss82282 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@patrickgitau99122 жыл бұрын
2022 October Kama Kawa 🤸🤸
@queenywarda66647 жыл бұрын
Uko vizuri mwenzangu Nandy... Much Love from Kenya
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Nilikuwa naitafuta hii nyimbo naipenda paka kesho
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Ya Kenya wanamkubali nandy
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Hata kwanini sijuwi baazi ya nyimbo zinakataa ingia
@abuujuma7625 жыл бұрын
Queeny Warda 9
@lizzachol18925 жыл бұрын
Love from SSD 👑
@annajosy29775 жыл бұрын
ananipa kila nacho penda yulee nimempa nafasi.ili.niwe wake....hii nyimbo kaliii sanaaaa kama unaikubali.gonga like...
@miriamkibona60855 жыл бұрын
Daaah!! naupenda uuwimbo yaani nikiusikia nauimba taratibu umenifanya nijione strong nijiamini one day😘😘❤💋💋
@patrickkarimi58642 жыл бұрын
Can't believe this masterpiece was written by Tommy Flavour
@salvatakiseo33598 жыл бұрын
hongera mom Nandy naipenda hii nyimbo coz inanifanya nicheke kwa furaha na kuwa hurumia wote walodhani sikuwa na maana kwao but now wanatambua umuhimu wangu ,keep it up mom dreams big and more archived
@aryanastanley68958 жыл бұрын
salvata kiseo kwel asee
@salvatakiseo33598 жыл бұрын
yani hatariii Stanley
@OfficialNandy7 жыл бұрын
enjoy
@lengoyamangoindakeni8937 жыл бұрын
OfficialNandy respect
@xawayanjamaa17927 жыл бұрын
salvata kiseo dont stop dreaming always.heshima ni kila kitu kuwa benadamu
@millermsouz39857 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo...yaani sichoki kuusikiliza
@lebahatlenga49444 жыл бұрын
Hv kaolewa
@redbutterfly66767 жыл бұрын
ananipa kile nnachopenda yuleee,nimempa nafasi ili niwe wake.....oyooooo napapenda hapo, congrats Mamie umenigusa
@nanzigemsuya47367 жыл бұрын
Go go go go ooo dogo umehangaikia xana mziki mpaka leo unang'ara hongera kwa mama Nandy amekutia moyo xana mpka kufikia leo
@zaitunichabedwa68807 жыл бұрын
wimbo huu uwaendee wote wanaochepuka ndio Dawa yao ukimwaga mboga mwenzio anamwaga ugari safi nandy yani kazi nzuri sana
@djidjine50828 жыл бұрын
Love this song. It has that Zouk sound. One love ❤️ 🇭🇹 🇭🇹
@dasemendemon5 жыл бұрын
More like kizomba, which originates in Angola
@brendachibura60405 жыл бұрын
Yan katika nyimbo za nandy zilizonikosha moyo ni huu mpk raha like kwake jmn
@DaydreamingTrack5 жыл бұрын
Fell in love with this song, it's just feels like I have been hearing my whole life. This feels like music made at home, reggae is global. If it wasn't for the French I would think this is Jamaica. Nandy you have a Jamaican fan here.
@jacquelinewilliams34227 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana kwa michepuk wote na sauti yako nzuri inamtoa nyoka pangoni big gap mumy nandy
@elizariwa9718 жыл бұрын
huyo kaka mwenye rasi mmechezaa vzr mpka nimetaman😂😂😂😂
@aryanastanley68958 жыл бұрын
Eliza Riwa 😂😂😂😂yupo tht kamchukue n upcoming artist
@elizariwa9718 жыл бұрын
ntamfataa walaah😂😂😂😂😂😂
@elizariwa9718 жыл бұрын
ntamfataa walaah😂😂😂😂😂😂
@rachelkibona71757 жыл бұрын
😁😁😁😁umeona eeeh
@mbogabahati85997 жыл бұрын
Eliza Riwa tupo wengi kumbe lol
@joyhaule39278 жыл бұрын
Everything is on fleek bby gal keep it up.... .... .
@rodahindulachi97096 жыл бұрын
Love you so much beautiful angel Nandy.😍😍😍😍😍Mola akuongoze kwa kipaji chako. Hongeraaaaa
@irenemmaci4486 жыл бұрын
Nampenda sanaaaa nandy jaman na huu wimbo naupenda sanaa una ujumbe mzuri sanaaaaaaa
@iddihassan63133 жыл бұрын
nampenda sana uyu nand naku kubar sana piga kazi kipenz cha watu
@iddihassan63133 жыл бұрын
mumgu ame kuzawadia saut nzur ndomana wee na kiba mko sawa yani kama vanesa vire
@mcfrontier43685 жыл бұрын
Gonga like Kama unawatch hii ngoma 2020
@ashajuma87324 жыл бұрын
Nkbl
@janetboke90804 жыл бұрын
Zawad kama unamkubal nandy mgotee
@simon6ix9684 жыл бұрын
cerclage le 88krufhouoopito ou vente terrain 89ares
@severinealbano20904 жыл бұрын
Kaswida
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Paka kesho bado naipenda nzur Sana
@judithnammombwe9598Ай бұрын
I love this song, I wonder what it means but I just sing along . Love from Uganda 🇺🇬 ❤
@teddykinyash91177 жыл бұрын
what a nice song,,,,congrats Nandy,, East Africa Top Top
@nicoloustwesamwakalengela97947 жыл бұрын
Madent wa kibongo wanakuja vizuri tena kwa kishindo ghafla wanafifia kama mwanamke aliyekuwa akijikoboa baadae kafuria!!!!!!! yote kwa yote RESPECT TO NANDY wherever she!!!!!!!!
@miaduana8 жыл бұрын
Michepuko wote wanauelewa sana huu wimbo!
@aryanajack33738 жыл бұрын
Nanajosianne 😂😂😂
@lytnessvicent18358 жыл бұрын
Nanajosianne tena wanauelewa haswaaaa hahahaha
@aryanastanley68958 жыл бұрын
Nanajosianne 😹😹😹😹😹😹
@magdalenaIlanda7 жыл бұрын
Aryana Stanley huhuhu
@joankarsan77357 жыл бұрын
hahahah
@digobaecomedycrew82054 жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo, big up @Nandy girl power 💪💪💪🌟
@nyasolugoe88917 жыл бұрын
Nandy, dada umeutendea haki huu wimbo,maana umenipa faraja sanaaa! kaza buti pamoja sanaaa lv u dadaaa!
@basleohuendmbingun23856 жыл бұрын
Nakupenda bure nandy
@nasnasabdallah82625 жыл бұрын
Habari zaho
@zuberydavid40977 жыл бұрын
Daah nilikua xculi yan hii video nimewatch kipind hiki ni nomaaa kaza sister
@witneywilly8 жыл бұрын
Nme enjoy hii vdeo sana.... usilegeze bonge ya vdeo bonge ya gumsauti hatar sana
@liberatusmutta18547 жыл бұрын
umeona eee
@hadendon96807 жыл бұрын
Doh!! Ebwana mbona balaa mwaka huu watu wamejipanga vibaya mno kila Tz artist anaonesha habahatishi big up dah! Sasa ni mwaka 1 Nimeshamiss my homeland.. #One_love_255 😍
@kenyomarion56058 жыл бұрын
I keep watching this video over and over again, your voice is so amazing Nandy, it really makes me feel a real man...!! keep it up hun
@josureawiti59766 жыл бұрын
Baby one day hehehe jamani nandy umenifurahisha mumy
@Bilkisgotit6 жыл бұрын
Angels voice! Nigerian love Tanzanian music. I don’t understand but I can feel a good music when I hear one. Nandy you make Africans proud.
@zainamkandama30075 жыл бұрын
I love you
@zainamkandama30075 жыл бұрын
My name is my single okay and I love you too much
@dianapappumbavusana85974 жыл бұрын
aliemuona. baba. nandytujuane
@angelfransisco78394 жыл бұрын
@@dianapappumbavusana8597 🙋🙋
@anthonyboniphace57552 жыл бұрын
Nandy usiry Sana usichuky umeamz hujaon kasa ra mwanaumy sory sanaaaa ety
@teresamaro95498 жыл бұрын
Nandy your growing up amazing and proving you can kill it am happy for you darling.. This is it
@khavetsajoyline97185 жыл бұрын
who is here in December 2019?? am watching from Kenya and i like this song alot, this gal is amazing,, she is actually talented na si ya kujiekelea., hers comes from the heart.
@mokiaolenaputu76487 жыл бұрын
Mark my words.huyu nandy atafika mbali sana.ila lazima azingatie misingi ya kuinuka.kumuheshimu Mungu na watu,asilewe sifa, aupuke marafiki wengi, aombe sana ikibidi afunge Mara kwa Mara.nenda ukafanikiwe mama
@boygaddafi97488 жыл бұрын
We mtoto mi unanimaliza moyo sema dah Nile kwa jicho ixhaallaa mungu anajua
@hadassperez4948 жыл бұрын
the only way is up. well done African princess👏👏👏👏
@salmasaid13756 жыл бұрын
yani ww acha tu nandiy umenikosa
@misswairimu90075 жыл бұрын
Aki ndio nimefika, kumbe nilipitwa na wimbo mtamu hivi😭😭
@danielwafula5744 жыл бұрын
Haha
@sashamwita31296 жыл бұрын
Naipenda sana ihiii kwakuwaa bado sijapataa chaguo la moyo wangu naonaa Kama ameniimbihaa mm iviii ila naiman one day
@king_zeddy7 жыл бұрын
Amazing 😉 can't stop playing this song 😍😍 big up Nandy 👍
@yusuphsimon83966 жыл бұрын
Zuu Fazil I really like the way you follow bongo music
@pampam73375 жыл бұрын
Ngoma tamu sana naipenda
@kisimbaaimerance62295 жыл бұрын
Hij, , 8oo
@lettycialuhudi15433 жыл бұрын
😍😍😍
@LydiahScarletNyairabu5 жыл бұрын
Much ❤️🌹Nandy, this is my favorite song because... .... things change when love takes a different direction. Keep rocking.
@marrysilver72788 жыл бұрын
yan umeua ulvyocheza na uyo broo apo mwsho lvly dance & song 4 sure
@evangelineniyukuri42346 жыл бұрын
Nice nyimbo nzuli sana hongela nakukubali sana dada yangu Nandy
@ethioaviationstudents3 жыл бұрын
listened to the amharic/english version of this song on coke studio now i cant stop listening to it ❤️❤️❤️ from Ethiopia
@latifahramadhan11538 жыл бұрын
Awww...this song wit video z so sweet as ur Nandy...congratulations girl...keep it up
@susandionis1528 жыл бұрын
woooow!!!!! keep it up nand
@josephinesia5318 жыл бұрын
susan dionis
@halimamohammed75115 жыл бұрын
Unajua ukimfanyia mwenzio ubaya na ww usubirie hvyo one day atakuja kupata wa kumfariji shkamoo michepuko 2019 tupo jaman
@khavetsajoyline97185 жыл бұрын
who is here in 2019?? this girl is really talented,
@adeltapaul66197 жыл бұрын
wimbo mzr nandy kaza buti uyo mkaka handxm htr pia mmecheza vzr sana.
@Khadija.pande6 Жыл бұрын
Happy New Year 2024🎉
@mwezanephta11077 жыл бұрын
hongera nandy, wimbo unawafundisha wanaume ambao hawajui majukum yao ktk ndoa
@emanuelissaya87998 жыл бұрын
wooooow incredible voice nandy I love you so much you always touch my heart I deeply appreciate you great work all the best in you carrer
@iankimurgor40097 жыл бұрын
kazi nzuri sana keep it up nakuona mbali miaka chache zijazo
@frankshindano46208 жыл бұрын
Dah hii track ni kali saana hongera Nandy! Love you loads!
@stephanoplugendo38612 ай бұрын
Inabidi uwe unapigwa tena huu wimbo. Ni mtamu sana
@giftokoth20266 жыл бұрын
2019 still listening.. !! She is so talented.. !!
@karehat52414 жыл бұрын
Very true👌
@eddytv62868 жыл бұрын
naelewa bila we siwezi ishi ila inabidi nijifosi baby......#GUDA one day tu
@vickykessy57628 жыл бұрын
love song nandy mungu akukuzue kipaji chako
@remmykubanda33936 ай бұрын
2024❤❤🎉🎉this song i learned en remembered the lyrics after kupigwa character development 😂😂 Weuh mapenzi nyie😂
@modestussanga33817 жыл бұрын
kuanzia leo nakuwa shabik wako rasmi nandy kaz nzur nakuona mbali baada ya wiki kadhaa
@meddyafrica38378 жыл бұрын
UYO JAMAA MCHEZO WAO WA CLOUDS MBONA KIMYA NANDY ULINIUZI NYIMBO NA CHEGE NYIMBO ZAKO NI KAMA HIZI ROMANTIC
@jescachristoph27336 жыл бұрын
Kari sana hii nyimbo
@innocentandrew73178 жыл бұрын
Ka malaika kanakotembea ardhini,u have a gud voice bby...ur song z H.O.T
@josephinesia5318 жыл бұрын
innocent andrew
@salmamassoro15106 жыл бұрын
iko pw
@nicholasnjengo65188 жыл бұрын
Goood & nice video yani sasa ndio nimeanza kuipenda hii nyimbo maana bonge la video safi sana unazidi kupanda kwenye Chart
@lolokos15058 жыл бұрын
u r amazing,CNT wait for more of ur songs....
@aishayusuf29424 жыл бұрын
Naelewa bila we siwezi ishi ila inabidii nijifosi.... you always tell me one day
@katamadotto43578 жыл бұрын
your voice feel good in my ears thnksss... kaza nakuona mbali miaka michache ijayoo
@jumaahmed16058 жыл бұрын
katama dotto
@lightnessiddy53538 жыл бұрын
Real de voice is very niceee...keep it up sister Nandy
@ceciliamarie72957 жыл бұрын
katama dotto t
@salf8made4467 жыл бұрын
katama dotto mmm
@rasuladolfu91976 жыл бұрын
katama dotto
@henryjames36448 жыл бұрын
Me sauti na ulivyo vinaendana mzuri mzuri , Ila nilitaka kuona ngumi hizo apo mwishoni, sijui nan angechezea
@peterfesto13028 жыл бұрын
l luv nandy umeolewa njoo nikupe ndoa mtoto
@EvieDovesliliy2 жыл бұрын
Aki watu hunona weeehh,uyu Faustina alikua hapa 2GB,mashaalah kanenepa Sasa hivi 😍😍😍😍 much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nasrandurya4683 жыл бұрын
Much love the African princess ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@hemediaznat34918 жыл бұрын
uwiiii nice xng nandy, naelewa bila we cwez ixh ila inabid nijiforce
@zaymnyete32478 жыл бұрын
I will pray this song again and again!! I think is the best song!!!
@happyruben60577 жыл бұрын
zay mnyete haha
@amieamorsalim69396 жыл бұрын
You can't 'pray' a song we always "play"
@michaelrambo62076 жыл бұрын
Andrea Drea Sheshe typing error
@ummyamir57456 жыл бұрын
zay mnyete actually it's play not pray.
@danielgolden5588 жыл бұрын
keep it up kamchumba, nyota yako inawakia mbali sanaaaaaaa
@shadracksteven26367 жыл бұрын
It's a good song, the beat, voice, rhymed well too, congrats nandy
@joycekasigara66127 жыл бұрын
jamaa aliitendea haki hii nyimbo,anajua kucheza na yuko vizuri muonekano wake
@WorldMusicBank16 жыл бұрын
waou, really touched. Nandy this song ni my favorite but tell me hayo maneno ule jama kakuandikiya true story yake au?
@TheDinhoDesign8 жыл бұрын
keep it up, upenye zaidi sababu THT bwana wasanii wake huwa wanazimika kama mshumaa
@tausisanga48468 жыл бұрын
me Nandy ❤ this song like najigusagusa.......😍😍😍😍😍 one like u
@halcyonmrosso70028 жыл бұрын
..naelewaa bila we, siwezi ishi ila inabidi nijifosi' mscheeeew! Bonge moja la tone.
@AskKahihuExtra6 жыл бұрын
i just love everything about you nandy ... my time will come collabo lazima 💣🔥♥🎶
@angeljackson10668 жыл бұрын
nice SNA daaaa naipendaa snaaa michepuk yote wanafaham
@joycewachira24122 жыл бұрын
I jus love Nandy's music
@emanueladamayubu99407 жыл бұрын
huo mwishoo hataree, nandy kaza uko mbaliiii sana mda ujao
@redbutterfly66767 жыл бұрын
usinihukumu...usinilaum..gud nandy
@sigiriajohn65413 жыл бұрын
Congrats nandy !!!....you got one of the best voice ....ya kumtoa nyoka pangoni I think ni hii
@gracemwadziwe23745 жыл бұрын
I knew her through this song and ever since she has been dropping 🔥🔥🔥
@agripinafungo25327 жыл бұрын
duuuuh nimependa sana walivyocheza hapo mwishoni
@gladys96563 жыл бұрын
I remember this was the last song I sang before departing ways with my long term lover
@emmanuelamiani28142 жыл бұрын
Parting*
@patrickgitau99122 жыл бұрын
Hugs girl be strong 💪💪💙💙🙏.
@kadadahamisi56317 жыл бұрын
unaweza nandy,,,,wimbo hauchuji masikion mwangu
@gladwellntootosanyika48353 жыл бұрын
2021 still here my all time fav nandy💖❤
@soshangane_king7 жыл бұрын
Here before 3mil views awesome track ..keep it up nandi..
@fardowsamohamed5494 жыл бұрын
This song is so lit 🔥🔥🔥
@vickiebennie30978 жыл бұрын
wallah hii nyimbo kal balaa nakupenda sana Nandy Mungu akujalie mafankio katika mzik wako inshaallah
@mwanaishamataru31317 жыл бұрын
soo nice nandy some men likely to neglecte women when they still with them...after being separated staring following whem..and demand them back...
@kofigyartengkoffour3266 жыл бұрын
Nandy you are the most talented female artists in Africa,
@joxeesetty19808 жыл бұрын
ww balaaaa salut kwk
@greysonmwanjesa43187 жыл бұрын
Dada Nandy kwanza ni MZURI SANA pili Unajua kuimba hongela sana
@plauditecives5 жыл бұрын
Love the choreography at the end -- wish it were longer.