Huu wimbo naisikiliza maranyingi nyingi inanikumbusha mbaaali amakweli salamu zangu zimfikie mtoto wa kinyamwezi Tanzania chimbo cha malavidavi by fossil nikiwa Nairobi Kenya
@WildNatureSafari Жыл бұрын
Sasa uje Kenya tuisome namba .tukitiririka wote ❤
@bonifacewachira20805 ай бұрын
😂😂🇰🇪💯
@SalmaMichael-vs2lv4 ай бұрын
Sambv 0:00😊 @@bonifacewachira2080
@JonathanArkanjelo4 ай бұрын
yoooo❤🎉
@johnmbugua27636 ай бұрын
A lady in dar reminded me,.. off mapenzi,.. nikuwa genuine... Mimi mkenya sitachoka, kuskia ukweli kuhusu mapenzi, kweli Dunia imetuonyesha mengi.. wakati mwingine ukweli hutuepuka.. kiswahili changu si kizuri... But big up.. it's a hit song..
@kimKim-z7p11 ай бұрын
Izoo mistari jooh much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@VictorKBush10 ай бұрын
Wakenya nipeeni ata likes kumi... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@virginiavirgy9 ай бұрын
Watu mnaomba likes saana yooo😂😂
@VictorKBush9 ай бұрын
@@virginiavirgy Viginia wewe😂😂😂🤦
@FatmaPopo-yk9yz8 ай бұрын
@@VictorKBushsk
@HumphreyMaina-r2s4 ай бұрын
😊@@VictorKBush
@dansonongondi90542 ай бұрын
Za nini sasa 😂😂
@felistafelista7088 Жыл бұрын
Sema yammy ww hatariii .wapi likes 10 za mrembo wetuuuu🎉🎉🎉🎉🎉
@tdofficial7516 Жыл бұрын
Nimetoka TikTok kuja kutafuta hii wimbo❤ Kama pia wewe ni hivo....usikuwe mchoyo wa like😢😢... straight outta TikTok
@dianecharles321511 ай бұрын
this is pure truth,,,Iko tu sawa🥰
@NurulineMichael11 ай бұрын
Me mmjawap
@GeorgeMorara-t4o11 ай бұрын
😢😢😢😂😂😂❤❤the song 😢
@YvonneAchieng-d6q11 ай бұрын
👊
@TitusHeavens11 ай бұрын
Mimi pia nimetoka tiktok
@aliceaumaaroko9109 Жыл бұрын
Why I'm I hearing this beautiful voice today , TikTok brought me here ❤sending love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@comedyworldnews484611 ай бұрын
She is a Kenyan too
@Kituiking019 ай бұрын
Aà😊😊à😊aaa😊😊aqq@@comedyworldnews4846
@mkijazi5 ай бұрын
@@comedyworldnews4846 NO SHE'S NOT KENYAN. SHE IS TANZANIAN
@bonifacewachira20805 ай бұрын
Tupo sans🇰🇪💯
@bonifacewachira20805 ай бұрын
@comedyworldnews4846 si mTz?
@uwingabirejanet3026 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri zaidi, keep shining Yammi, your fan from Rwanda 🇷🇼
Wapi Likes Za Mtoto Mzuri Jamani 🤗254 Representing 🇰🇪🇰🇪
@cavenslyАй бұрын
@@DogoCharlie na 💀😭
@InspectordogocomedyАй бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@braxidicewakwoma6518Ай бұрын
Wacha niseme initoke wakenya mnipe hata 50likes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@claracherotich6174Ай бұрын
Sawa
@centrinenafula98719 ай бұрын
Yammy it's me again today. I can't get enough of this ❤❤❤❤ mob love from 254
@williswainaina28 Жыл бұрын
Had to come here after listening from TikTok...big love ❤❤❤from Nairobi, Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stephenlemi81079 ай бұрын
Her voice ooooh ❤😘❤ beautiful 😍
@nzuviphilip Жыл бұрын
I have just known you today and I'm here playing all your songs. Wakenya tumeikubali.
@DJJIMYTZ Жыл бұрын
Sijawahi kupata LIKE JAMANIII🎉🎉🎉🎉
@YusuphKajela10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@MohamedTwaha-y7lАй бұрын
Ymi ira ww pis👊🫶
@zuenauwase3954 Жыл бұрын
Wa kwanza 😘😘😘
@lucyndeto5170Ай бұрын
Aki nimetafuta hii wimbo sikujua nani ameimba yammi huu wimbo umeimba nitamu sana
@SharifuOmary Жыл бұрын
Dah siyo kwa kiuno hicho sister ♥️♥️ au mnaonaje naomben like
@SamsonCharo-l3p Жыл бұрын
Huyu mwanadada wallah hunimaliza Sana nampenda bure. Kati ya song zake zote hii ndio my ringtone
@edwardouma163010 ай бұрын
Kwakweli ni sauti ya huba la haba much love Tanzanian artist
@puritywakochwe78945 ай бұрын
Nimekaa kwa gari huu wimbo ukaimbw ikabidi nikuje huku kusearch nikushike hapa hapa hapa na hapa have listened from homabay to bungoma and still listening all the time
@BongoVibesTV7 ай бұрын
Kuna mdada nimemtongoza kwa miez 11 aisee, alikua ananizungusha tu, hatimae kanikubalia, nguvu ya kumtongoza nilikua nayo kwa sababu nilikua nampango wa kumuoa, sasa penzi lina #TIRIRIKA tu, ameshazama aiseee..👌😁
@joshuawekesa19 Жыл бұрын
On behalf of Kenya and Kenyans i declare the adoption of Yammi to the great Kenyan family💯...here we go.👍 Wabongo mneza jisikia vibaya na huko😂😂
@yustomwaisomania2587 Жыл бұрын
Tujisikie vibaya vipi Sasa huyo s mn Mtanzania msanii wa Nandy yaan nyie kila kitu Wakenya n chenu nyie endeleeni kuandamana tu😂😂😂😂😂
@fatmaisaa5219 Жыл бұрын
Yammy ww unjuw yn xo p kpnz
@muniramunira6093 Жыл бұрын
@@yustomwaisomania2587 0
@ShauriSalehe Жыл бұрын
🙏
@sophysimon1697 Жыл бұрын
😂😂 tel em n we don fear anything
@jenndez71888 ай бұрын
in pastor kanyari's voice 😄 tiktok kenya family
@linval4148 ай бұрын
😂😂mapensi yamenibadirisha😂😂😂😂
@DOMINICNYONGESA-gg4vu8 ай бұрын
😂😂😂😂unachoma why
@irenewatiri38327 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂@@linval414
@ygee6904 Жыл бұрын
I just came across this song and I'm hooked...she sings so well,I hope she doesn't change her music style. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@cynthiamoraa4808 Жыл бұрын
Me too
@mariuskili6595 Жыл бұрын
You are very observant! Her style and melodious voice is just effortless and pure
@BigZhumbe Жыл бұрын
She will have to change sometimes later. Music is dynamic, unabadilika with time. And if she wants to go international itabidi a adjust to global music requirements.
@Messi_goat_of Жыл бұрын
Hey 🇸🇴 ❤ I am watching from 🇸🇴
@VivianKathurima Жыл бұрын
😊
@BaronBattles3 ай бұрын
Huyo msanii wa kenya nampenda sana acha nibonyeze kidude👍(nai soma Namba kwa kirumi)napenda eo stanza
@yammi the queen of East Africa...Wimbo mtamu sana ❤❤❤
@djkiin2544 Жыл бұрын
Nimependaa sauti ya huyu mwanadada ❤❤❤
@alexGilihaha Жыл бұрын
Napenda sana Dada unavyo imba bye calolne mhadisa
@Nandyboy2 Жыл бұрын
Wao is fire zuchu kazi anayo hapo ndo tumeanza yammi love you
@neemamashauri1043 Жыл бұрын
Nyie ndo mnaoharibu wasanii kwaninii mnapenda kuwalinganisha,,,,,zuchu na yammi wapi na wapi,,,mnaboa sana ,,,watz hebu tubadilike jamani kaaaahhh,,,,we ukifanaishwa na juma jirani yako unaweza kuwa kama yeye broo
@Nandyboy2 Жыл бұрын
@@neemamashauri1043 hapa nei yami Tanzania wasanii wangekuwa wanapenda muziki wetu ungefika mbali ila uyo zuchu kanajiona
@TheLigales10 ай бұрын
Tiriririiiii.., ... Nakupenda baby girl huuu wimbo unanijaza mapenzi❤❤🎉🎉
@IreneMunene-t9c11 сағат бұрын
Nyeri Nyeri Nyeri nyota za mapenzi zilienda wapi!!? My favorite person ❤ I love this song🔥🔥
@felixawedho7124 Жыл бұрын
Kenyans at it again, psyching up our lovely sister from the southern neighbor. The song is liiit!!!!!!!!!!!
@kkinteriors6187 Жыл бұрын
This song is playing non stop this festive season in kenya Heard it hapo quiver thika road
@khabisibrah-y9t Жыл бұрын
Aweee wakwanza
@DadyGrapher006 Жыл бұрын
Yammy unajua mpk unaboa sasa❤
@FaridiMidjendjeni14 күн бұрын
Nakukubali sana ❤ hadi nakupenda sio uongo mi niko comores 🇰🇲
@kiarawambuistella26511 ай бұрын
Imekubali,2024 valentines song.
@patrickreal25645 ай бұрын
Goodness Tanzanians can really sing..wow beautiful lines
@dorcaskathure3169 Жыл бұрын
❤❤❤nani mwingine alikuwa amesubiria hii video itoke jameni tiko too nmejaza challange ya hii ngoma hongera sana❤❤
@lucynyambura2487 ай бұрын
kama ulijua huu wimbo kupitia manzi wa mombasa akiimbia brian chira plz nipeeni likes
@simonkefa2772 Жыл бұрын
I came across this song days ago....its a hit❤...much love in kenyan 🇰🇪
@catherinewaithira9467 Жыл бұрын
Her voice is something else 🔥🔥
@BriannaAbel-y3m16 күн бұрын
🍿🍿🍿🧈🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿🍿
@FadhilaMatope9 ай бұрын
❤❤❤❤ sio kufukuta moyo tu na presha juu
@godfreyjuma18769 ай бұрын
Yuko sawa uyoo mwana dada yemii
@AlmaCisse Жыл бұрын
On Behalf of my Family, my Village people, my Ancestors and also my Wicked Landlord, we approve this Song 😂😍💯🔥 Pitia kwangu pia nina kitu kipya 🔥🔥🔥
@FrancineAloyce-op7ed Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@IMANWILLIAM-bl2ui Жыл бұрын
OMG
@Nietah-jay20002 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 alright
@AlphaLyric Жыл бұрын
Sjapenda umekopi ujumbe wa mbosso,kua mbunifu accha uvivu wa kufikiri
@dianajohnson7268 Жыл бұрын
wecked landlord😂😂😂😂😂
@khairunabud4777 Жыл бұрын
Yaan yammi Ni msaniiii kma unakubaliana na mm mnile likes japo kumi😂
@edwinmakhumi4893 Жыл бұрын
uko juu Sana unawesa
@Hemed-kw4lk Жыл бұрын
Kiukweli bongo tunawasanii wazuri ila uchawi ndio unawarudishaga nyuma
@ashrakswaleh2116 Жыл бұрын
Like xnasaidia nn
@mcthejoyman Жыл бұрын
@@edwinmakhumi48930:00
@pinchesklulu3300 Жыл бұрын
¹
@davydtongy9046 Жыл бұрын
TikTok made me discover this beautiful song,nimeipenda ,,,wimbo wa harusi nimeupata sasa nimebakisha mchumba😅😅😅🇰🇪
@caromwaniki2000 Жыл бұрын
😂😂😂
@davydtongy9046 Жыл бұрын
@@caromwaniki2000 bibi tu ndo amebaki🤣🤣
@derrickadeba4812 Жыл бұрын
Hta me TikTok imemileta kwake
@euniceashiono8214 Жыл бұрын
❤utampata wako dear😢
@nellyomondi2444 Жыл бұрын
😂😂😂
@AnneAmoding-g7o7 ай бұрын
Watu wa kanyari mnipe like ata moja😂😂😂
@omenyfelix9177 ай бұрын
ukweli😂😂😂
@WilsonMadahana-c8j6 ай бұрын
😂😂😂
@MerkiraLopariwo5 ай бұрын
fty cna
@vivianluvuka65734 ай бұрын
,😂😂😂😂
@MercylineJuma-xj6jtАй бұрын
😂😂😂
@abdulhamza7972 Жыл бұрын
Hatareee hujatuangusha kipenzi
@baaliyanuun416 Жыл бұрын
Jamn mm leo wa kwanza naomba comment kwa dada yetu yamy Tz
@classicmediaenter10ment44 Жыл бұрын
Ka bebe kangu tiririka now availlable
@simonmbugua544210 ай бұрын
Napenda nyimbo za majirani tz to the world
@chichiwawa42118 ай бұрын
Kama kanyari amekuleta hapa piga like❤
@keziahkamau0 Жыл бұрын
😻😻dayummm!I'm from tiktok watched you perform at a wedding 😩😍💯..loved this 😻🇰🇪❤️.. congratulations girl😊 keep winning ✨
@mimitony8176 Жыл бұрын
On behalf of Luo community, our ancestors we appreciate the work🎉. Tiririri
@hannifahnatasha0011 ай бұрын
😂😂😂luo tena
@Tryton.Official Жыл бұрын
Yammi na Nandy ndio wasanii wa kike wakubwa mle Tanzania. Nawapenda tu sana❤️
@AfriNova_films Жыл бұрын
wewe ndo unamwita shangazi yako mama yako,
@tanzanite99446 ай бұрын
Huyu ni Wa wapi, nimeskia kwenye Amapiano Mix za Bongo ikabidi nimtafute You Tube. Huyu dada ni moto kwa Sauti na mapambio. Keep it Up Girl!
@BenjaminMashudi-pw6fq7 ай бұрын
Nmemjua leo huyu dada,naskaza ingine na nandy,huyu atafika mbali sana,mzidishie ndoto zake mungu
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Wimbo wangu wa kufungia mwaka huu. ❤
@JacklineNduta-i8q11 ай бұрын
much love from #254 sauti wacha tu.....keep the spirit dear
@greyjames4768 Жыл бұрын
Wimbo wangu pendwa🤗
@MamaBade-k8l8 күн бұрын
Kwani jamani kumpa like zake na sifa zake shi ngapi❤
@FranckNiyongabireАй бұрын
🎉yemmi unajua wewe nimegunduwa ulije ukawa cini ya lebo yoyote ka marioo
@Ken77938 Жыл бұрын
Kenya approves 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
@mirakibakari4468 Жыл бұрын
You are the pride of tanzanians ❤, there's no difference between you and the stars ✨️ Go girl, it your turn mummy ❤ #mirak 😢
@lydialydiakavinga8163 Жыл бұрын
This is beautiful, sending love all the way to Zambia 🇿🇲
@jacksonmagige Жыл бұрын
Asee Zambia at mpar art
@ShukuAngel Жыл бұрын
ZAMBIA 🇿🇲 too
@MsosoJR Жыл бұрын
Yammi umetoa ki2 sio masiala kabisa pongez kubwa sana ziende kwako maan dada wa mjini wafuate hivyo mbon hawataachika umefanya nidate kwa hilo song.... Jamaniiiii Ukuuuuuuuuuuuu
@ringerajuster365811 ай бұрын
Mapenzi yamenibadilisha Siku hizi sinaga ubabe Nishakuwa guta niache moyoni Niyabebe baby Mimi ni kuku wako ukitaka Mayai niyatage sema Na ukiona na ujinga We nisitiri usinibwage Sina matamanio nishavukaga huko Sintoivua vazi la heshima Ulionivisha kwa upendo Sina matarajip ya kuondoka kwako Dunia imeshabadili wengi Wakawa vituko Mapenzi sio mchezo wa ngumi Nipige na khanga au ukuni Hata ukinifinya finya haiumi Naona raha Naisoma namba kwa kirumi Huu mchezo gani mbona wa kihuni Hata ukinifinya finya haiumi Aaaah naona raha Unanijaza upendo mpaka unatiririka Tiriririii Unanitiririka Tiriririii Tiriririii Tiriririii Upendo unanitiririka mie Tiriririii Tiriririii Ahaaaaa Ahaaaa Tiriririka kama si diaba Najaza ndoo Raha nnazompa Eti kama marhaba Nikimpa shikamoo Haniachi njiani nafika Mi kwake Yes sisemi No Siwezagi kususa nisipomuona Wafukuta moyo Asante angalau umenionesha Maana ya upendo Na sio kwa nahau (kwa nahau) Umenionesha kwa vitendo Sitokaaga nisahau Nilinyanyasika hapo mwanzo Niliyaoga madharau Kwa kumpenda asiojali upendo Mapenzi sio mchezo wa ngumi Nipige na khanga au ukuni Hata ukinifinya finya haiumi Naona raha Naisoma namba kwa kirumi Huu mchezo gani mbona wa kihuni Hata ukinifinya finya haiumi Aaaah naona raha Unanijaza upendo mpaka unatiririka Tiriririii Unanitiririka Tiriririii Tiriririii Tiriririii Upendo unanitiririka mie Tiriririii Tiriririii
@beeo38598 ай бұрын
Much love Yammi, from Ethiopia to Tanga.
@maureendzame1200 Жыл бұрын
Her name describes her❤❤ she's doing a great job.Yammy go girl!! 🥰🥰🇰🇪
@ShantellMashirima Жыл бұрын
The beautiful princess never disappoint
@LyndaMuhonja-md1io3 күн бұрын
Mapenzi sio mchezo wa ngumi❤️❤️❤️❤️❤️ i love it
@LehemaAnton-i4c18 күн бұрын
Duuuh uyu nae tumpeni mauwa yake jamn 🎉nani kaisikiliza hii nyimbo kwaumakini communit tukoone ❤❤❤❤❤ I love you KENJA BOY❤❤❤🫡🫡🫡🫡🫡💯💯💯💯🔥
@UdakuKingdom Жыл бұрын
Yammi msani namba moja saivi gonga like 👍 apa kama una mkubali Yammi ❤❤❤❤
@stellalukinga2711 Жыл бұрын
👍❤❤💜💔💜💜💜
@stellalukinga2711 Жыл бұрын
Safisana,yammi.napenda yimbo zako
@MarionLatifa10 ай бұрын
hii iko juu naipendq
@rosemaryphilipo3009 Жыл бұрын
Unjua sana yammi
@onlinemaestro9444 Жыл бұрын
Sasa Toa Remix, Ngoma ndio limefika Mjini Kenya 😊😊
@FatimaissaSumail7 ай бұрын
Dada unaweza yan ❤ 0:51 ,,,,, from Mozambique
@IreneDidace8 ай бұрын
Akiiii ingekuwa kwelii mngependezeana
@manchesterunited6076 Жыл бұрын
She's has golden voice❤
@sitewadmwawa Жыл бұрын
Juma
@agostinemwakalo3395 Жыл бұрын
Ame shinda zuchu
@desmaambiche1679 Жыл бұрын
Wapy..zuchu more fire 🔥🔥 8
@virginiamaina2392 Жыл бұрын
@yammi is the queen of east Africa music,wachana na sukari oh sukari.All the love 💕 from Kenya
@Winleizerabdy Жыл бұрын
😂😂😂😂yaani hpo hatuchelewi kuongea😂😂
@eliyazakayo4769 ай бұрын
Unajuwa cha msingi ni support to kwa dada yetu
@SafiaAbdallah-o7h Жыл бұрын
❤ nime mumiss Mme wang Ally bambo😢
@afsaally790510 ай бұрын
We wapi huyo jaman mbona ndugu yangu
@djredmondoleserem9 ай бұрын
Yammi kuja huku kenya kuonyeshe mapenzi na mapendo❤️
@arabgandaempire Жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@neemamihiko5429 Жыл бұрын
Namchukia naipenda
@NelhamNelxon-cp9gy Жыл бұрын
Nampenda sana uyu dada jamani ❤️
@sharonskaria8329 Жыл бұрын
I can't get enough of this song❤❤❤❤❤ so much love from kenya
@waridiwaridi5522 Жыл бұрын
Wakwanza jamni leo. Naomba lik zangu
@bakariyusuph2907 Жыл бұрын
Nyimbo ipo vinzur sana Aise dah
@Angulegabriel3 ай бұрын
@@bakariyusuph2907 LIKE
@JazzsJazzmine8 ай бұрын
Much love from 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 wimbo nzuri sana
@JazzsJazzmine8 ай бұрын
❤❤❤
@PeterNyolde-uc2po2 ай бұрын
YAMMI NI MSANII TAJIKA...💥💯 From KENYA with ❤🩹
@margaretwanjiru182 Жыл бұрын
Nani ameletwa hapa na tiktok😂
@LovelyCrocodile-og7uv Жыл бұрын
Me😂😂😂😂😂
@brianodhiambo62449 ай бұрын
Me😂
@marykilatya1359 ай бұрын
Me😅😅
@faithchepsergon12498 ай бұрын
Me
@lilianmwangi48818 ай бұрын
Thought I was alone 😂😂
@joelkablack7542 Жыл бұрын
This what I call quality music..I kept replaying the song from mombasa to Nairobi
@nanquitemanuel Жыл бұрын
Boa música gata arrepiou
@laureenmmbatse8655 Жыл бұрын
I must play it everyday
@ShamshiaSimba8 ай бұрын
Nyimbo naipenda san 0:41❤
@ochiengjoseph286410 ай бұрын
nyimbo za mapenzi n nzuri ndo maana zinaimbwa 😍
@geofreynyabuto2243Ай бұрын
Kama tamu basi ramba❤❤❤,,,nipee like tukisonga
@adugarichard789 Жыл бұрын
She's blessed with everything.....top notch 🔥🔥
@ConstancePhiri-p8n6 ай бұрын
Lovely any Zambian kuchalo here
@geraldotieno60108 ай бұрын
Kanyari amenileta huku🎉🎉🎉🎉
@Armndolol6 ай бұрын
idk that bastard :P
@davicylaghama2044 Жыл бұрын
Songs 🎵 🎶 nzuli sana natamani mtu aniimbie uku Niki mbeba beba tukiwa bech 😢😢😢🎉sasa mdoo sina
@vincentkatana46510 ай бұрын
Nimetoka tiktok kutafuta hii goma ❤❤❤❤ Yamini uko juu