Hongera sana konde ww ni mfano wa kuigwa kwa upambanaji wako❤❤❤
@niyonzimasaleh1333 Жыл бұрын
Niko Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Namkubali Konde 100% Kuliko wasani wengine Africa machariki
@Matrical-v6l26 күн бұрын
Very good house, very few can afford this, you inspire me man, I will look for you.
@anthonymanuana45729 ай бұрын
We ndo mwisho djeshii. Saluti
@MudyseOsman11 ай бұрын
Iko chonjo Mzee mijigari kama zote na jinyumba lenyewe masha Allah pongeza sana lkn namuomba konde boy Kazi ya compound yeke yamemeya kwenye mawe compound nzima na mid Niko na ufundi nao Nipe naki ningarishe jicompound lako LA ki fahari utapenda mwenyewe mzee😊😊😊😊❤❤🎉🎉🎉
@Reshylionarenyven Жыл бұрын
Namkubali harmonize 100%,Ni msanii mwenye anajituma kwelikweli,may God bless you Konde Boy
@SaimonNelson-ev8tc Жыл бұрын
Konde.mungu.ambariki
@SaimonNelson-ev8tc Жыл бұрын
Konde forever🖒🖒🖒😀😀😀😀
@bahatadof5543 Жыл бұрын
Umetisha,kwa kweli hawakuwezikama wimbo wako unavyosema
@JeremiAganze Жыл бұрын
Mimi ni mu congo alahmu dulilay namu ogopa hamonize nimwamba apewe sifa uyo ni tajiri sana wandugu zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯
@JeremiAganze Жыл бұрын
Kama wewe nimwana jechi bonye za alama yakengele hapa?
@zubedahumphries4478 Жыл бұрын
Waaaoooo magnificent. Konde congratulation sir Mjengo fab. Ubarikiwe.❤❤❤
@jeremiahmagau8623 Жыл бұрын
Kapanga 😂
@RahmaHoussein-p4s Жыл бұрын
Mimi ni mu Burundi lakini kwa kweli namkubali san huu rajabu kuliko wengine wa sani kutoka tz hata sijui kwanini. Lakini pia ana utuu fulani hivi sio mjivuni
@hadija846 Жыл бұрын
Nami nampenda sana kwa upambanaji wake na ustaarabu wake hata kama watanzania baadhi yao hawapendi lakini mimi kuna mengi sana ninayojifunza kutoka kwa Rajabu Harmonize 😍
@mwassfrank2930 Жыл бұрын
Kondeboy nimpabanaji kweli ni wengi tunajifunza kwake
Koma tena koma ishia huko huko rundi kwenu kawapende warundi wenzio kwan nyie hamna wasanii au ndo unataka utukize ubinafsi et hana majivuno unamjua vzr huyo wewe
@asharamadhani9801 Жыл бұрын
Hapo kwenye utu✅
@hadija846 Жыл бұрын
YAOYAO JESHII 🙏🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 ❤️ ❤️ ❤️ ❤️❤️💖💖💖💖💖😍💯
@albertngetich4632 Жыл бұрын
Namkubali Sana Harmonize Fan Kutoka Kenya
@ShukuruMgimba Жыл бұрын
Ya kwanza Sio prado ni land cruiser 200, inayofuata ni land cruiser 300, inakuja Audi a, ya mwisho range lwb, he really leave expensive life
@jumakauli Жыл бұрын
Sijambo. Hamjambo? HONGERA kwa kupiga hatua hii kubwa ya maendeleo. Ni vizuri jenga pia viwanda. Vilevile jenga shule au chuo cha sanaa ili watanzania wanifunze muziki na sanaa zingine zenye soko kubwa hivi sasa hapa nchini na kimataifa. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukulinda.
@ManichManich-yj4sl Жыл бұрын
Harmonize ni tajiri anaebisha bisha kwa hoja😂🥰💸
@jumaswalehe50854 ай бұрын
Kick2 izo mzee angekua na utariji huo hasingeshindwa kulipa psa anazodaiw na crdb bank ujue kuna kitu kimoj weng wetu hatufaham wasanii weng wa bongo wanaishi maisha ya kuigiza anapanga nyumba mil5 kwa mwezi wakati hana hata uwanjwa kwahy hawa watu maisha yao yasikuminishe hata 50%
@MauaBakari-g1lАй бұрын
Hongera kwa mjeng wa maana kis hich yan❤🎉
@TatuChristine Жыл бұрын
Namupenda sana kweli harmoniez
@BenjaminMazout10 ай бұрын
Vraiment félicitations mon Cher Harmonize, ma première Star tanzanienne. That is God's plan.
@AbukariLukasi7 ай бұрын
Mungu awenae kwakaz nzuli anaeyifanya
@NbCharles-c6uАй бұрын
Mimi nimemkubali konde boy mjeshi even me I'm a musician But nimemkubali sana konde boy
@NAKOLOMOEVERLYNE-ln2fk5 ай бұрын
Hongera Konde boy ,,we are proud of you as Africans 🥰🥰
@Mirriam-u8f2 ай бұрын
Harmonize Ana hèshima zake na akili nyingi ndo maana nampenda, keep it up kaka❤
@SauloGerald7 ай бұрын
Huyu mwamba ni shida, nakukubali CONDE BOY
@ARAFAJUMANASSOR-j7p2 ай бұрын
Mashaallh ❤ Allah akijali maisha marefu❤
@CarleyKenyan8 ай бұрын
Konde geng forever ❤️🔥
@MumoKitei-hn6ry7 ай бұрын
Namkubalia sana konde bwoy , he is my favorite
@MarthaBura-or8fe24 күн бұрын
Hongera harmonas ongeza bidiii ili wale walikucheka wakupe heshima zaidi
@Robissonyhaonga-ot3sk Жыл бұрын
Harmonaz na mkubali %150 Mungu akulinde booradha
@VictoriaEnock-r8s3 ай бұрын
Your really a musician with target big up
@ousmanihunter5801 Жыл бұрын
Kijsna acha afurahie maisha katoka mbali sana
@SalimKombo-xo4pq5 ай бұрын
Kula bata mwangu konde boy. Tunakupenda sana.❤
@PiliMussa-p8m Жыл бұрын
Nampenda harmonizer me shabiki ake❤
@DaudiFungo10 ай бұрын
Hongera Sana Unapambana Mno Usikate Tamaa Utafika Mbali
@dn.n4983 Жыл бұрын
Hongera be bless😊 harmonuze
@JosephatWesonga-ef7gq Жыл бұрын
Dah, congratulations konde boy❤
@Emmanuelyakobo-w2y4 күн бұрын
Mungu amuzidishie
@JafariAthuman8 ай бұрын
Nakubali kaka umepambn na Bado unaendelea kupambna kimziki pamoja sana❤❤😂😂😂
@AnifaDamodar Жыл бұрын
Nakubali sana Kaz za harmonizi haswa Jr hapa💻⌨️💽
@rerisamba Жыл бұрын
Mimi pesa za wenyewe shikamoo yani sitamani kabisa
@karirekinyana9759 Жыл бұрын
Danmark tunampenda sana Harmonize ❤❤❤❤❤❤ Mungu amubaliki
@RobertSamiraАй бұрын
Mungu akulind broo man navo kuku Bali atal
@JafariAthuman8 ай бұрын
Nakubali kaka umepambn na Bado unaendelea kupambna kimziki pamoja sana
@piano0177410 ай бұрын
@Big-up xana the best Tanzanian artist.
@NellySikanyika11 ай бұрын
Umetisha konde ❤❤
@yaunde17yaund1710 ай бұрын
Kati maisha yangu Mimi schadrack ngongo Nina mkubali konde boy Yakama ni tajiri n'a anaweza kwa kila kitu chochote kusiana na pesa mziki na vinginevyo kiukweli wewe baba yupo katika maisha yangu Mkali wangu.
@HidayaAsuman Жыл бұрын
Waooooooow konde uishi mia mia love 💕💕💕
@AbubakarMataula Жыл бұрын
Umetisha brother by abubakar
@GodfreyTumpeyianKapanda3 ай бұрын
Manzee nakutambua ❤❤❤
@ChubwaSimba-g8j10 ай бұрын
namukubali sana ❤❤
@zerbonofficiel6192 Жыл бұрын
boss konde we ni number moja
@bentakahindi Жыл бұрын
kibo from Kenya truly boy unapambana
@RubazaReuben12 күн бұрын
Ivii awa, wa sichana uwaga wana Sha ulia na wa zazi wao ku husu ku jisitili kima vazii duhh mimi na fikilia na wa zazi wana cha ngia kwenye ayo ma vazii
@Kwaspakinboy00110 ай бұрын
Hongela sana kwamjengo hawakuwezi
@democritenzoisaba9117 Жыл бұрын
Mbengo Tv we appreciate your video good job.
@CosmaEmmanuel8 ай бұрын
Konde hongera mm nakupongeza
@charleswambua7186 Жыл бұрын
Truly talent is priceless. God is amazing.
@MachibyaMassanja Жыл бұрын
Hongerehamonise
@MachibyaMassanja Жыл бұрын
pambana.hamonise
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
Sasa magari yete ya Nini ajenge magesti mashule ya praiveti afunge na kuku awape watu ajira kampuni Mambo yabiashara watu wapate ajira ata kwa ndungu zake upamde wa Mama wa baba awape ajira familia magati mawili yanatosha makali
@nifahaji7752 Жыл бұрын
Iyo nyumba kapanga mwenye nyumba yake ndio mwenye nyumba ya diamond
@ruthwaitherasshhb9382 Жыл бұрын
@@nifahaji7752kwa hivio wataka kusema hiyo si nyumba ya amejenga mwenyewe
@sultanmswahilitv4864 Жыл бұрын
Wacha wivu
@nifahaji7752 Жыл бұрын
@@sultanmswahilitv4864 sasa utaki nipe namba yako
@CharoKavure Жыл бұрын
Congratulations my brother
@hassanmutta921 Жыл бұрын
Naweza kaishi na sehemu inayopazidi kwa uezo wa mwenyezi mungu
@DavidJohnmwingerezi Жыл бұрын
Mungu akuzidishie
@barakajoseph2234 Жыл бұрын
Huyu msenge hii mihela ni yakutoka kwa mungu au Freemasons
@JayMack-ek1zp7 ай бұрын
❤ kondo mungu mukubwa sana
@ZefrinMapya7 ай бұрын
Namkubareeee Sana 🙋🙋
@CelestinKasereka-cv7qv7 ай бұрын
Mimi waga na penda kitu chamaana kwamsani yeyote wa Tanzania mimi siyo shabiki wa upuzi apa ni adjuni samuel kutoka congo
@BekaBoy-tx5xq Жыл бұрын
Nakubarri jesh
@ShapnsabiValentin8 ай бұрын
Mbona kali sana 🙏💪
@yahayaolomi1057 Жыл бұрын
Mie siwezi kuiga nyumba ya kupanga na magari ya kukodi
@JosephAkjToussaint10 ай бұрын
Hâta mimi namkubali🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ErickLenana Жыл бұрын
❤❤hii Mali yake yote ni ya Freemason hakuna Mali ya mungu❤❤😂😂
@Jennie-jk2ql Жыл бұрын
Kweli kabisa
@JayMack-ek1zp7 ай бұрын
Vraiment c'est trop génial pour Harmonize
@NzohabonayoFabrice11 ай бұрын
thanks my.bro
@MagrethBONIFACE Жыл бұрын
Ni vzr zd kpambana
@AhmedShaban-e9c5 ай бұрын
Me niko zanzibar lakn namkubali sana hamoniz
@ellykisengya662211 ай бұрын
Jina langue Elly Na toka Congo hasa niya yangu Na tamani Siku moya nimuone Konde sasa sina namna yeyote sijuwi ni fanyeje
@AlairgeMulango2 ай бұрын
Mr harmonize upo tajiri kabisa
@InesChidodo11 ай бұрын
Asante sana harmonize
@YasentaBizuzifelly5 ай бұрын
Na pend san harmo ww ni bosi mkubwa, hongera san
@mukanoheribeath9670 Жыл бұрын
Konde we njo wangu unaweza sana kbs na ubarikiwe sana
@MachibyaMassanja Жыл бұрын
Hongera.hamonise
@PasakaMorisi10 ай бұрын
Jeshi unaweza
@shaibumasudimgomba-wu1ey Жыл бұрын
yupo siriaz tembo good sana anapambana
@DanielDaniel-d3i Жыл бұрын
Mimi moja wapi kutoka nsimbiji ,nankubali sana uyu dogo