Рет қаралды 86
PUBLISHED on 06 August 2022
Hao vijana unaowaona ndani ya video hii, wamequlify motisha(incentive) ya kwenda kutalii mbuga ya MIKUMI na Milima ya Uluguru. Biashara hii inawatambua wafanyabiashara wote wanaofanya vizuri kila mwezi, hivyo kuna motisha mbalimbali hutolewa zikiwemo safari za ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ili kuqualify safari ya MIKUMI kulikua na kigezo cha kufanya 5CC kwa miezi miwili mfululizo. Yaani mwezi MAY na JUNE 2022. Na safari ilifanyika JULY 23rd na 24th. Ambapo tuliotimiza vigezo tuliweza kuenjoy pamoja.
kama haujaanza biashara hii bado na Unapenda kujiunga na team yangu , ili nikufundishe Biashara na mbinu ninazozifundisha kwenye team yangu ili kufanya mauzo bila shida , tuweze kufanya kazi pamoja na utengeneze kipato na tusafiri pamoja ,
Tuma ujumbe neno MCHAKATO SMART kwenda whatsapp +255659446803 au piga simu usaidiwe Mapema.