TAZAMA KWAYA NAMBA MOJA TANZANIA🔥....JAMBO LA KI-MUNGU - HOPE NEW HEAVEN KWAYA 2024 mp4.

  Рет қаралды 90,095

HOPE NEW HEAVEN CHOIR

HOPE NEW HEAVEN CHOIR

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@JofreyDanieli-m7p
@JofreyDanieli-m7p 11 күн бұрын
Barikiweni sana watumishi wa mungu hiyo solo naipataje ije inipambie wimbo wangu❤❤❤
@MaliamMagigi-iw2vz
@MaliamMagigi-iw2vz 4 ай бұрын
Wow wow barikiweni sana 🥰
@aimen5584
@aimen5584 4 ай бұрын
Amém tumebarikiwa saana Mungu Azidi kuwatunza na kuwapa maalifa na hikima Asante saana kwaujumbe mwem sana
@geffassie
@geffassie 2 ай бұрын
nyimbo zuri ,mzidi kubariki na kukomboa watu blessings....... blessings...!
@boazbarsimo2165
@boazbarsimo2165 2 ай бұрын
Good music 🎶 be blessed 🎉
@AnthonyMule-d4d
@AnthonyMule-d4d 18 күн бұрын
Karibuni sana
@SilvanusMbata-zu6cg
@SilvanusMbata-zu6cg 2 ай бұрын
Mungu awabariki. Kwauimbaji mzuri
@emmanueldionismbena3461
@emmanueldionismbena3461 2 ай бұрын
Kazi njema ila mzidi sana katika kumtafuta Mungu katika kila jambo maana imeandikwa Ajidhaniye amesimama na aangalie asianguke!! 🙌🙌🙌
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 2 ай бұрын
Aminaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ wimbo bora sanaaaa🙌📖🙌✨🇹🇿
@kennedysimtala1467
@kennedysimtala1467 3 ай бұрын
Mbarikiwe sana watumishi kazi yenu ni njema
@EmanuelMsau
@EmanuelMsau 3 ай бұрын
Haleluyaaaaaaaaa Safi sana mungu awabariki Sana nimebarikiwa sana
@willykilosa
@willykilosa 22 күн бұрын
Mungu awabariki
@StellaSulle
@StellaSulle 2 ай бұрын
Mmecheza hongereni
@FrancineMapendo-kg7cv
@FrancineMapendo-kg7cv 4 ай бұрын
Mungu awabariki kwahuduma
@IndalesioHenery
@IndalesioHenery 4 ай бұрын
Amina huu wimbo umenibaliki sana
@stephenkioko472
@stephenkioko472 3 ай бұрын
Kazi zuri sana Karibuni kenya
@GodfreyYohana-tb8uh
@GodfreyYohana-tb8uh 4 ай бұрын
Amen KAZI nzur
@BoniphaceJohn-y1y
@BoniphaceJohn-y1y 4 ай бұрын
Mungu awainue zaidi
@AliMtakatifu
@AliMtakatifu 4 ай бұрын
Nice 👍
@ElvisMeshake
@ElvisMeshake 4 ай бұрын
Asante sana namungu awatiye guvu
@annwanyika3499
@annwanyika3499 4 ай бұрын
Kazi nzuri
@DavidJosep-i1e
@DavidJosep-i1e Ай бұрын
mungu azidi kuwainuwa zaidd
@ChristinaAdonia
@ChristinaAdonia Ай бұрын
Mbarikiwe xn naomba jina la kwaya hii tafadhar
@obadiamsoma6465
@obadiamsoma6465 3 ай бұрын
Kazi nzr
@adrienmaxpayajr.1799
@adrienmaxpayajr.1799 4 ай бұрын
Mungu Awabariki, ila naomba mawasiliano na mwenye kiti wa hii choir
@hopeheavenchoir
@hopeheavenchoir 4 ай бұрын
0763781041
@Sophia-s6t1m
@Sophia-s6t1m Ай бұрын
Kanda ya ziwa gani​@@hopeheavenchoir
@VicentJoshua
@VicentJoshua 4 ай бұрын
Amen🙏
@Johnwajohaness
@Johnwajohaness 2 ай бұрын
Aminaa
@JosephMagoge
@JosephMagoge 3 ай бұрын
nyimbo zenu zimeniguza sana
@vicentnyalusi
@vicentnyalusi 3 ай бұрын
😂😂😂😂Hakika Hii Siku Tuliifurahia Haswaaaaa👏👏👏👏👏👏👏
@JosephMagoge
@JosephMagoge 3 ай бұрын
hongera sana
@RobertObara-c7d
@RobertObara-c7d 2 ай бұрын
❤❤
@boazbarsimo2165
@boazbarsimo2165 2 ай бұрын
Hadi Kenya imetufikia vilivyo❤
@boazbarsimo2165
@boazbarsimo2165 2 ай бұрын
Our church youth presented a dance to this song on one Sunday 🎉 . It was slapped differently 🎶
@JumaMaliganya
@JumaMaliganya 2 ай бұрын
Natamani kuimba nanyi Mungu atukuzwe
@MaigeSimon-l2r
@MaigeSimon-l2r 4 ай бұрын
Amina san
@boscokyalo6521
@boscokyalo6521 Ай бұрын
🎉
@GladyzKebenei
@GladyzKebenei 4 ай бұрын
Pongezi xnaa
@nashonpaul6827
@nashonpaul6827 4 ай бұрын
Kaz kubwa na mmeutendea haki
@KoffiLameck
@KoffiLameck 2 ай бұрын
Nyimbo safi San,,natamani kujiunga na nyie
@justusmaundu4374
@justusmaundu4374 3 ай бұрын
Balikiweni sana. Mmepanya nipende musiki wenu
@issarichardlwesya9001
@issarichardlwesya9001 4 ай бұрын
Haleluya utukufu niwa Mungu.kazi yenu njema watumishi wa Mungu
@DayoKaseyeka
@DayoKaseyeka 10 күн бұрын
Wimbo powa❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@Store-h2g
@Store-h2g 3 ай бұрын
Hy anaeimba sio sara
@isaacphenihace7548
@isaacphenihace7548 4 ай бұрын
Mwl Rubeni kwenye ubora wake wa kinanda
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 3 ай бұрын
Huyu Mwamba c ndo yule wa Emmaus band?
@obadiamsoma6465
@obadiamsoma6465 3 ай бұрын
Naombeni namba yake
@obadiamsoma6465
@obadiamsoma6465 3 ай бұрын
Ikiwezekana mnisaidie na mwl. Wanyimbo alie fundisha hakika tunzu zake nazielewa mimi nipo kigoma tz
@RehemaCharles-y6c
@RehemaCharles-y6c Ай бұрын
Wapendwa mmeimba vizr ila kuwen makin na mavaz
@AngelaHyera
@AngelaHyera 2 ай бұрын
Nimeipenda hiyo
@peterkalunga318
@peterkalunga318 4 ай бұрын
Niwaimbaji wazuri xaana wako wap???
@hopeheavenchoir
@hopeheavenchoir 4 ай бұрын
Kanda ya ziwa
@obadiamsoma6465
@obadiamsoma6465 3 ай бұрын
Naombeni namba ya mwlim
@WitnessSilvestKimvula
@WitnessSilvestKimvula 2 ай бұрын
Waimbaji wazur
@WitnessSilvestKimvula
@WitnessSilvestKimvula 2 ай бұрын
Kuwa kwa yesu ni raha sanaaa
@JosephMagoge
@JosephMagoge 3 ай бұрын
nyimbo zenu zimeniguza sana
@BoniphaceJohn-y1y
@BoniphaceJohn-y1y 4 ай бұрын
Mungu awainue zaidi
@willykilosa
@willykilosa 22 күн бұрын
Mungu awabariki
WAKUHESHIMIWA - HOPE NEW HEAVEN KWAYA  2024 mp4.
7:43
HOPE NEW HEAVEN CHOIR
Рет қаралды 37 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 9 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
MAOMBI SPECIAL YA KUVUNJA MADHABAHU ZA FAMILIA, UKOO,MIUNGU,MIZIMU,KIJAMAA, MAOMBI NI DAWA
11:45
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 40
TAZAMA VIJANA HATARI SANA HAWA🔥🔥...HASARA - HOPE NEW HEAVEN mp4 2024
7:30
HOPE NEW HEAVEN CHOIR
Рет қаралды 121 М.
BEST LUTHERAN/SDA CHOIR(VDJ JONES)GOSPEL MIX-AMKENI FUKENI CHOIR
36:47
WANASOMESHAGA WACHUMBA ACHA USHAMBA WAKIWAKATAA UNAZA KUWAUWA "PASTOR MGOGO
27:29
Israel Mbonyi - Sikiliza
11:29
Israel Mbonyi
Рет қаралды 18 МЛН
Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live Music Video)
12:35
Neema Gospel Choir - Jina Yesu Ft. Paul Clement (Official Live Music)
11:06
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 10 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН