Pongezi nyingi kwa wananchi mlioshiriki kuokoa wenzetu walioangukiwa na ghorofa Kariakoo. Pongezi kwa vikosi mbalimbali vya uokoaji. Mmetumia maarifa, utaalamu na hekima ya Hali ya juu iliyosaidia kuokoa wananchi wenzetu wakiwa hai. Mungu akumbuke jitihada zenu, awabariki wote. Endeleeni kupambana, Mungu anaziona jitihada zenu. Mungu awape faraja ya kweli wale waliopoteza ndugu zao kwenye hii ajali. Mh. Chalamila, hongera kiongozi. Endeleeni kupambana. Mungu anaona jitihada zenu
@MaxonSelestine9 сағат бұрын
😢😢😢
@JokhaJokhaabla22 сағат бұрын
Yaarab waoneshe njia ya kuingia na kutoka na kuwapa wepesi kwenye kazi yao na malengo yao yatimie amen yaarab
@shanibaniyas630820 сағат бұрын
Ameen🤲😭
@JohsonAlly20 сағат бұрын
Mungu ibariki Tanzania yetu na wote walipatwa na majangaa
@DevothaMbedule21 сағат бұрын
Binadam c chochote jamn mda nasaa ikifka unaondk maisha yetu yapo mikononi mwa mungu
@MaishaKahilu-d7o7 сағат бұрын
Hingera sana kwa waokoaji.pia wa Tanzania naona tumejifunza,sijaona mtu kukimbilia kuiba mali bali wamekuwa na uchungu wa kuwaokoa wenzetu.safi sana mungu awabariki.
@MikidadiShabani-k8h5 сағат бұрын
Poleni sana nduguzangu wanakariakoo daima tupo pamoja
@PauloPauloyohana18 сағат бұрын
Mungu wasaidie ambao bdo wapo chin ya kifusi waweze kutoka Salam daah mungu fanya JAMBO mungu kwakwel inaumiza kupit maelezo daah
@GraceGalus4 сағат бұрын
Lohoo yangu inaniuma sana mungu kwa. Nn karuusu Aya hee mungu baba tusamee sisi wanao ata Kama ndo umeamua kutuchukua back tuondoke kwa njia salama
@gladnessmushi6 сағат бұрын
Mungu tupe mwisho mwema , damu ya Yesu ikanene mema juu ta hawa watu 😢
@tubagamagadula12 сағат бұрын
mungu asimamie katika harakati za uokoaji ili walifika waweze kuwaokolea walioko dani ya hilo polomoko tanawaombea sana mungu awasimamie 🙏
@ROZITHOMAS-y4q10 сағат бұрын
Mungu tusaidie. Huku juu nafikiri sijui kama ni suluhisho. Wangewachukua vijana wa migodini merelani. Wale wanaitwa wazee wa miamba. Wangeletwa hapo wangetengeneza njia faster. Watu wa mjini waoga.
@SelemaniAlly-g2xСағат бұрын
Sasa chakula na maji apo kitamsaidia mtu alikua mahutiuti cyo kweli apo nikupambania watu watolewe salama mungu awape nguvu zaidi wahanga wote
@thomasfromdaressalaamtanza906417 сағат бұрын
Pole sana kwa janga hili kunguka kwa ghorofa, wakati wa uokoaji ninashauri mtumie ramani ya jengo ili kurahisisha pa kupita kwenda kwa waliokwama
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm7 сағат бұрын
Sas hiy njia ni nzur lkn sas Hilo jeng Kam litakuwa la mda mrefu hiy Raman kuipata ni kaz
@GraceGalus4 сағат бұрын
Mliojitolea kuokowa mungu azidi kuwatia nguvu nakufanikisha malengo ya ukoaji jamani inauma sana tuwaombee
@afrahafrah946019 сағат бұрын
Polen xn Wana Tanzania kwa kupotez wapendwa wenu n wanaookoa mung azid kuwap nguv muendelee kuokoa wedzet 😢😢😢
@BarakaTutito20 сағат бұрын
Poleni san ndugu zangu mungu awatie ngufu
@Sofi99-u6o23 сағат бұрын
Mungu Awaongoze katika kazi yenu.......kwa uwezo wa Allah
@FelstaDastan21 сағат бұрын
Mungu awsaidie watoke salama
@NaelaRafael20 сағат бұрын
Poleni sana ndg zangu
@AJ-cx3xt21 сағат бұрын
Daah noma sana, yaani hata media mnashindwa kuandika neno Kariakoo?Bongo yetu bado sana
@chrisshonga16 сағат бұрын
hayajakupata ndio maana! yaani wewe badala ya kujaribu kuangalia na kujua watu wangapi waliopona wewe akili yako na mawazo yako yote umewekeza katika vitu vya kijinga na visivyokuwa na maana! pole sana
@PanduHajiyakoub9 сағат бұрын
Mungu awape nguvu waokozi wetu iliwaweze kuwaokoa ndugu zetu
@JosephinaDeograthias17 сағат бұрын
Polen sana nduguzetu mungu mwenyez awaone
@nassorali103412 сағат бұрын
Kwakweli kua juu hakutakiwi vishindo nilazima wapelekwe watu wachache pia wakichoka waokoaji hao watakwenda wengine ishallah iwe salama nakheri juu ya waja wote .....Yaallah pitisha salama ktk uokoaji huo
@nassorali103412 сағат бұрын
Pia poleni sana kwani hili silammoja maana hii dunia saivi imezungurukwa na maafaa na majanga tofauti tofauti kwa nchi takriban ya zote hivo kuweni na subra pia muwe na umoja uwowo ...kwani tunawapendeni sana mana ni nchi yaamani naupendo kwakweli Allah awatie nguvu
@AbiaWilliam-s1s7 сағат бұрын
Mungu awabariki
@HajiAlly-hv1sv21 сағат бұрын
Allah awape wepesi inshaalla
@BakariChomboko23 сағат бұрын
Eemungu wafanyiewepesi wajawako watokesalama kwauwezowako allah
@sabirahusayn396817 сағат бұрын
Aamin
@sabrinahWilliam22 сағат бұрын
Mungu weka wepesi katika Jambo hili limalizike salama🙏🏽🙌🏽
@kurasatvonline7 сағат бұрын
Kaliakoo-Kariakoo Tasnia imevamiwa na wasio na Professional😢
@michaelkilimo8296Сағат бұрын
Polenisana
@samymdundu4 сағат бұрын
Daa inasikitisha aiseee ila jaman kwa akili ndogo tuu ivi gleda ingekuwa inatoa Kwanza juuu huko zn huku chini kipolepolee si ungekua afadhal ivi kwa Ivo kuanza kukata bati izo mtamaliza leoo daaa Tanzania nayo maengineer wamedolola yaan kwa ili okkkk tuwape pongez Ila wamefail
@AminaSaidi-u2c19 сағат бұрын
Mungu awanusuru watoke salama
@nicolauswandao898821 сағат бұрын
Mbinu hii kwa upande wangu naona kama itapoteza muda, wale vijana wa nyundo ulikuwa msaada mkubwa sana
@MngwaiJamilah21 сағат бұрын
Jamani kama wangeweza kulivuta hilo paa hapo juu naona ingefaa sana jamani😭😭
@SaidHassan-ot3un21 сағат бұрын
Ushauri wako mzuri ila nahisi endapo litavutwa paa huenda mporomoko ukaendelea zaid kutokana na uzito ndiomana wanafanya kwa step
@WitnessHassan-gy3rz20 сағат бұрын
Mungu awape nguvu wa tanzania wenzetu tunaumia sana lakini Mungu wetu ni muaminifu Mungu awape nguvu ya kushinda roho ya kifo mtoke mkiwa salama Tuna waombea jamani ndugu na jamaa msivunjike mioyo Mungu muweza wa yote Yesu ndio tumaini letu
@gaagwasaugustino258417 сағат бұрын
Eeeeeee Mungu Baba wa ahadi za Kweli,fanya njia pasipo na njia ili ndugu zetu waliyofunikwa na udongo katika jengo hili watoke wakiwa wazima! Naomba pia uwape faraja ya kweli ndugu zetu walifiwa na jamaa zao katika janga hili! Marehemu wote wapumzike kwa Amani, Ameni.
@EstonMlavumba9 сағат бұрын
Nashukulu kwahuduma muliofany
@ThuwaibaHassan-p9d22 сағат бұрын
Polen sn ndugu zangu 😂😂😂😂 mungu yupo nanyi mm kiupandewangu nawaomby duwa ili muzdi kuokoa watu
@mswakisaid232022 сағат бұрын
Kinacho kuchekesha ni kipi sasa?
@gabrielmwambogo389121 сағат бұрын
@@mswakisaid2320bila shaka amekosea t hakuwa na lengo baya
@SalmaMmanga21 сағат бұрын
Mbna unacheka Sasa wakat uzuni jamani
@SaleheHassanjr-h8e23 сағат бұрын
Mungu atuepushe na majanga tuwaombee ndg zetu
@JovinaMugenyi22 сағат бұрын
Siku zote taharuki kubwa kama hii ufunga akili kwa muda kwaiyo tusilaumu bali yote tumuachie mungu
@mswakisaid232021 сағат бұрын
Hakika.✔️
@joycelinelyimo-fenske874519 сағат бұрын
Sawa, lakini mimi bado ninailaumu serikali...
@HadijaKileo19 сағат бұрын
Mungu wasaidie waja wako watoke wakiwa salama warinde hakika hili ni janga letu sote
@foibennjeje773013 сағат бұрын
Mungu wasaidie
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm7 сағат бұрын
Baada ya kutoa paa kuna srab du Mungu awasaidie
@Saripa234-u7gКүн бұрын
Poleni cn kwa msiba mzito na calliope hospital mungu Awaponye kiukweli
@RabiyasaiyAhmed20 сағат бұрын
Ya allah wafanyie wepesi waja wako
@FledyKihundo22 сағат бұрын
Poleni ndugu zetu kwaili janga mungu atusaidie wapatikane salama
@Economically-Growth-Musicians22 сағат бұрын
From ##EconomicallyGrowthMusicians So Sad🥹 But All in All iliandikwa: Tumwachie Mungu tuendelee Kuomba na Kusali Wahanga Wapate Wepesi Katika Janga Hili 🙏
@geraldadolf492821 сағат бұрын
Watanzania wasenge tu vijana ndio wanaojua kuokoa ila ayo mengine ni maigizo
@JITAMBUEMWAFRIKA19 сағат бұрын
yaani waokozi mbona wachache sana
@aumuelly290919 сағат бұрын
Nduguzangu watangazaji ss tunaomba wavikosi viengezwe 😂😂
@athumanbalozi974814 сағат бұрын
Baadae utasikia. Wapuumbavu Frani wanalaum Serikali Haifanyikazi
@kalebphilip342622 сағат бұрын
Ni majengo meng sana hapa nchin hayana ubora ni Mungu tu huwa anatulinda,
@mushaurimuswahili23 сағат бұрын
Poleni sana ndugu zetu watanzania
@eshyndibalema152923 сағат бұрын
Tunashukuru sana ndugu zetu
@sadakheri179523 сағат бұрын
Mungu awaokoe ndugu zetu wote
@SaraJinalangu23 сағат бұрын
Sasa mambo haya wangeyafanya Jana wallah kusingekua na misiba mingi Mbwembwe tu hawana lolote
@@emanuelandedela7901kiasi Wamechukua muda sana kutenda kazi yao.
@KulwasamsonMogogi22 сағат бұрын
Poleni sana tena sana kwa majanga haya au hayo jamani
@JulianaSichalwe23 сағат бұрын
Mungu okoa wenzetu polen
@RamadhanWaziri-y1i23 сағат бұрын
mungu awape wepesi
@alastridamichael568522 сағат бұрын
Mngu awasaidie watumishi wake watoke salama
@EdwinJambo22 сағат бұрын
@ mbengo TV kwani hawa waokoaji jana walikua wapi mapa wanakuja leo na zana zilizopaswa kuja jana ?
@gabrielmwambogo389121 сағат бұрын
lawama sio suluhisho mpendwa
@JenethFrank8 сағат бұрын
Waokozi wapeweau wavae protective equipment wasijeruhike na hayo maporomoko jamani.
@GrâceKavuho22 сағат бұрын
mungu awasaidiye
@DorcusKuhanga21 сағат бұрын
Mungu awape wepesi
@allenipyana713621 сағат бұрын
Mungu akafanye wepesi
@MinaahOmary-wd8ls20 сағат бұрын
Mungu awasaidie
@MwajumaMohammedMasoudMwajumaMo5 сағат бұрын
Najikuta kulia tu😢
@TatuMkeso23 сағат бұрын
Allah awaifadh
@GloriarespikiКүн бұрын
Mungu awasaidie jmn😢
@Lucy-t7n22 сағат бұрын
Polen sana kwa kweli😢😢
@anithawidambe7543Күн бұрын
MUNGU WASAIDIE HAO WOTE AMINA
@DanielJoseph-w1p22 сағат бұрын
Mungu uwatie nguvu watoto wako
@djamedeustz825823 сағат бұрын
Lkn jamani tangu jana izo bati zote si zingekua zisha ondolewa mna kwama wapi nyundo hamna nini
@KulwasamsonMogogi22 сағат бұрын
Japo inauma sana ila bc haina jinsi 2 ni mipango ya mwenyez mugu
@Jacklinejohn723 сағат бұрын
Mungu wa yohana ndio mungu wa daudi 😢
@AgredaMoyo21 сағат бұрын
Yaaan hiyo kariakoo ilivo andikwa
@RatifaAbubakari23 сағат бұрын
Mungu. Atusaidie
@victoriakapwesu963023 сағат бұрын
Mungu tenda miujiza watoke
@SaudaKabole22 сағат бұрын
Ongea vizur mbona aaa nyingi mara Yaa utafikili huna uhakika na taarifa zako
@nassorali103412 сағат бұрын
Pongezi kwa watanzania kwakuweza kusaidiana pmj na serekali pia
@shuwehaharuna630923 сағат бұрын
Fani ya utangazaj imeingiliwa kaandika kaliakoo
@SomoeKhasani-q6x22 сағат бұрын
Kumbe umeonaee...
@hawaelymaricca760223 сағат бұрын
Baba tunakuita kama ulivyosema katika Yeremia 33;3 tunakuita baba sikia kilio cha waja wako ,tuokolee watoto wako ambao bd hawajatoka. kwa uwezo wako baba fanya wepesi
@SophiaChristopher-w1t21 сағат бұрын
Emungu baba wasimamie watoke salama nipekee msada wetu 9:23
@PROTASIASIATHA23 сағат бұрын
mungu afanye wepesi
@IDDYALLY-t9h23 сағат бұрын
Poleni sana
@JokhaSaid-e1c21 сағат бұрын
Mbona hao waokoaji ni wachache saana hao wanajeshi na police Hamna
@joslinchuwa129823 сағат бұрын
Jeshi la uokoaji tangu jamani mmmmmmmh
@HabibuSalumu-iv5wl19 сағат бұрын
Tumieni na kondwiti kupitisha maji
@AllyMpandu22 сағат бұрын
Lakini nao watakosa hewa maana hawana airgas
@geraldadolf492821 сағат бұрын
Wawaite wachimba madini wawili tu kutoka mererani wanawatoa ao watu fasta sio huo uzwazwa unaofanyika apo
@DominicYohana-v2f19 сағат бұрын
Kanyelele Nyanda semba
@joslinchuwa129823 сағат бұрын
Wanajeshi wapo wapi tangu jana
@OnesmoPatrick-z2z21 сағат бұрын
emungu saidia hawa wahaga watokesarama
@UpendoListon-n1y23 сағат бұрын
Polen sana
@DanielFrank-j1n5 сағат бұрын
Hawana lolote hao
@johnchatanda675922 сағат бұрын
Mabwege tu
@beatricekatunzi3721Күн бұрын
Bwana teta na watu wako.tunakuomba ututetee
@AbiaWilliam-s1s7 сағат бұрын
😢😢
@FrenkMushi-i7f22 сағат бұрын
Awa wanapoteza mda tuuu Amna kitu hapo wataambulia maiti tuu