Tazama Mwenyewe Balaa la Alikiba Tigo Fiesta Mwanza (Part 1)

  Рет қаралды 213,073

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 317
@ibrahimwalido4808
@ibrahimwalido4808 7 жыл бұрын
king king king ot tanzania music king of pop east africa......... king kipesi... wacha kabisa....
@erickmoses6395
@erickmoses6395 7 жыл бұрын
kiba piga kazi, live music ndio performance inayokubalika duniani. kuimba live sio kazi rahisi kama wengi wanavyodhani. Big up sana utafika mbali kwa juhudi zako
@regnerrbeda307
@regnerrbeda307 7 жыл бұрын
nice boy umetisha sana
@happystanley5845
@happystanley5845 7 жыл бұрын
umetisha sana king kiba
@juliuspilla5360
@juliuspilla5360 7 жыл бұрын
Safi sana uko juu sana kiba
@aboudramadhan3290
@aboudramadhan3290 7 жыл бұрын
Mungu ndo keshamjalia ata umchukie ndo ivo yaani hongera kipusa kwa show bomba
@yanotkhecee9431
@yanotkhecee9431 7 жыл бұрын
hatar San kiba fanya yak kaka usisikiliz maneno ya wakosaj
@halimambena7859
@halimambena7859 7 жыл бұрын
Aboud Ramadhan yap mtu akiwa na sifa nzuri hakuna budi kumsifia so kiba amejaaliwa na Allah Kwa sauti na kipaji pia big up xn bro mungu akuzidishe afya njema uzidi kuwa ww km ww salute
@fadhilhamiss8249
@fadhilhamiss8249 7 жыл бұрын
Uyo msenge mwenzenu amejaliwa na ili nyie ndo mmejaliwa na shetani nyie makuma.
@kubingwamihayo7628
@kubingwamihayo7628 6 жыл бұрын
mfalume asante kwakuiteka rock city mm naww damu kwadamu I love forever and good music !!
@nurungangise9840
@nurungangise9840 7 жыл бұрын
Safi sana ww noma wanaokuchukia wajiue na wasitume sms wakituma wamekukubari
@euniceadhiambo9672
@euniceadhiambo9672 7 жыл бұрын
King kiba Kenya tunakupenda sana coz unajua Ku perform live
@pabliz_
@pabliz_ 7 жыл бұрын
Ooh it was a lit 🔥🔥🔥 ni fire wapinzani wako wakiona unafanya hivi wanatamani wakuzimie Mic.
@yusuphsasuma2850
@yusuphsasuma2850 7 жыл бұрын
umetisha sanaa
@mosesikebacho8210
@mosesikebacho8210 7 жыл бұрын
nakubaliga sana Kik kiba
@adolfmweupe599
@adolfmweupe599 7 жыл бұрын
Duuuuh live kama cd #Best Performance
@mwajumajuma9423
@mwajumajuma9423 7 жыл бұрын
Adolf Mweupe bro hiyo ndo sauti ya kuimba we call it vocal.....wacha waigizaji wajaze watu mimba tu....ndo wanachowezaaaa
@adolfmweupe599
@adolfmweupe599 7 жыл бұрын
+MWAJUMA JUMA hatareee
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 5 жыл бұрын
Mwana muziki asiyeimba matusi safi sana
@beatriccharles3767
@beatriccharles3767 7 жыл бұрын
uko vizur Sana kiba hongera Sana kaka
@ramadhanrashid3827
@ramadhanrashid3827 7 жыл бұрын
If you really know music, this is the best show ever,,, kiba keeps good music alive
@williamjames4586
@williamjames4586 7 жыл бұрын
Mungu akubarik mfarume wetu mwenye ujuz na music usie na maringo kwa watanzania bahada ya kanumba wa bongo move na mfarume mzee yusuph wa taarabu ni wew ally k 4 king big up
@sagengejackson3623
@sagengejackson3623 7 жыл бұрын
kiba kwa live perfomance ni nouma...show kama za rihanna...big up
@rayntiga5192
@rayntiga5192 7 жыл бұрын
Daaah mwanza king katisha big up ba mjengo
@jallymsemwa
@jallymsemwa 7 жыл бұрын
hii mpost shoo nzima hii live kaimba vzuri sana
@rayntiga5192
@rayntiga5192 7 жыл бұрын
udaku tanzania king mwanza katisha watu wa mwanza wamekukubali kinhomanhoma
@adamhashimu7222
@adamhashimu7222 7 жыл бұрын
kwel kabisa hii show king kiba kaimba vzur sana ,he proved his vocal ability
@hsenene2493
@hsenene2493 7 жыл бұрын
Post yote banaa show za kikubwa hizii😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌man of the match😍😍
@dottoathuman7488
@dottoathuman7488 7 жыл бұрын
xawa King
@KhadijaKhadija-ed5gj
@KhadijaKhadija-ed5gj 7 жыл бұрын
Bora nikalale nimekuona 😘👏👏👏👏
@salumungtu7516
@salumungtu7516 7 жыл бұрын
Khadija Khadija hongera sana juhudi ya sapot yako naiona upo kila alipo King saf sana.
@KhadijaKhadija-ed5gj
@KhadijaKhadija-ed5gj 7 жыл бұрын
+Salumu Ng'tu pamoja san
@salumungtu7516
@salumungtu7516 7 жыл бұрын
Khadija Khadija sana
@julietkiende8941
@julietkiende8941 7 жыл бұрын
Khadija Khadija unalala asubuhi wewe
@KhadijaKhadija-ed5gj
@KhadijaKhadija-ed5gj 7 жыл бұрын
+Juliet Kiende yaan nimekasha humu Kwa seduce me Kwa cheche Kote nimetembea sasa asubuhi nilale jamn
@ashaally6993
@ashaally6993 7 жыл бұрын
Duh! kushika nafasi yako watasubiri sana...tunakuombea uishi miaka mia 😘
@stevenromanos5290
@stevenromanos5290 7 жыл бұрын
Live perfkmanc kiba dah!! U are the best
@juliuskalawa8262
@juliuskalawa8262 7 жыл бұрын
nice one broh,,, you are the greatest musician
@zinedinezidane2129
@zinedinezidane2129 7 жыл бұрын
Mungu ametuagiza tupendane machuki hayana maana kweli alikiba umefunika mwanza gooooooood jobs brother
@issaya2556
@issaya2556 7 жыл бұрын
Hapa hakuna JANJA JANJA kazi kazi tu big up #KING KIBA
@godfreykanelela9448
@godfreykanelela9448 7 жыл бұрын
daaaah ilikuwa Nouma saaaana big up king
@SUPREMEDIGITAL
@SUPREMEDIGITAL 7 жыл бұрын
TeamKiba damu na wapenda Gud Music gonga like and Comment #Yoooooooooooo
@shadyashaban1664
@shadyashaban1664 7 жыл бұрын
Zefames Tv oyoooo
@karimissa763
@karimissa763 7 жыл бұрын
Zefames Tv -oyooooo....
@mutuwetu8974
@mutuwetu8974 7 жыл бұрын
unajua hd unaboa wasiotaka watataka tu shikamooo kiba
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 7 жыл бұрын
show yakbabe ...king nmemwelewa....ametsha #alikiba
@worldstartz
@worldstartz 7 жыл бұрын
yani ni 🔥 🔥 #Kingkiba
@babukemushi4032
@babukemushi4032 7 жыл бұрын
Saluti San kiongoz Wang
@theresiankoyi9418
@theresiankoyi9418 7 жыл бұрын
anajua sana live huyu mtu
@mariapaul8914
@mariapaul8914 7 жыл бұрын
kiboko kabisaaa yaani we king kiba unajua sana yaani nimejikuta naona km nipo namimi live hapo hapo yaani si Kwa shangwe hizo😘😘😘😘😘🙌
@vans_classicofficial1705
@vans_classicofficial1705 5 жыл бұрын
King is up big up brother yani liveeeeeee bila chenga
@josephsikazwe1923
@josephsikazwe1923 7 жыл бұрын
Kibaa nomaaa sanaaa ila jamaaa anajua
@islammwatoa2990
@islammwatoa2990 7 жыл бұрын
hii ndio show ya wa kubwa uko juu king
@emanuelminja4846
@emanuelminja4846 7 жыл бұрын
Kamera Mbayaaaaaaaaaaaaaaa yani nyie ndo mnaandaa show halafu Milard Ayo anawazidi quality kweli? Jitahidini bana. BIG UP KING KIBA
@deboramichael8234
@deboramichael8234 7 жыл бұрын
Jaman Kiba Katisha Big Up Brother Hujaniangushaga Ukiwa Stejin Saut yako Admin
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 7 жыл бұрын
show yakbabe ...king nmemwelewa
@SUPREMEDIGITAL
@SUPREMEDIGITAL 6 жыл бұрын
Mchizi wa Bongo man #MacMuga yupo Single sanaaaaa.Gonga like Teamkiba wote Alikua maarufu sana akajiona Yeye ndo Winner.....!!
@vincentmchau4929
@vincentmchau4929 7 жыл бұрын
daaah kumbe live daaah kiba respect
@beberulakikinga7980
@beberulakikinga7980 7 жыл бұрын
KING KIBAAAAA YOU DESERVE IT TO BE A KING OF BONGO FLEVA kibaa we ni balaaaaa kwa live shows wengine wakasomeee😉😉😉😉😜😜😜😜😜
@jumamhozi3017
@jumamhozi3017 7 жыл бұрын
huyu jamaa hapa tz hana mpinzani ni hatari🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@karimissa763
@karimissa763 7 жыл бұрын
Asante ni sana wana kwanza kwa saopti yenu kwa king
@gifthemedy2231
@gifthemedy2231 7 жыл бұрын
big up bro kaz bombaaa....
@rossemasanja4932
@rossemasanja4932 7 жыл бұрын
Uko juu kaka big up
@zanthopaul2538
@zanthopaul2538 7 жыл бұрын
kiba live BAND hawezi kabisaaaa. Show mbovuu. rayvanny kauwa kulko wote kuanzia pale shulen.. team mzik mzur kumbe ovyoooooo😂
@karimissa763
@karimissa763 7 жыл бұрын
Z Antho Paul -Dogo unaonekana uwa unampiga chabo mama yako, Ndio maana hujui show za kikubwa
@johnmido3632
@johnmido3632 7 жыл бұрын
254 ndani ndani ndaaaaani kabisa
@mesaidiabdallah2851
@mesaidiabdallah2851 7 жыл бұрын
John mido ndaaaaaani ka tiiibim 2547
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 5 жыл бұрын
Big up sana kiba muziki bila matusi
@stoonecity3687
@stoonecity3687 7 жыл бұрын
ndio maana huku Kenya cc twamtambua kiba Kama king wa bongo na Diamond asipochunga ataishaa Kama 50 cent manake kiba ashindani wala hana shughuli na Diamond,diamond amekuwa shabiki wa kiba kile anachofanya kiba.Dia anamuigaa
@saidsalim1234
@saidsalim1234 7 жыл бұрын
Lstones 254 kumuongelea diamond Tu inaonesha unamkubali
@agnestamajaliwa142
@agnestamajaliwa142 7 жыл бұрын
Lstones 254 Acha akili za kijinga za kuambiwa eti ataishia kama 50 Cent we unajua range ya diamond na kiba ilivyo?then kiba ndo anafanya alichofanya diamond.
@fadhilhamiss8249
@fadhilhamiss8249 7 жыл бұрын
We kaoge kwanza iyo janaba na awo waliokutia mkunduni wamekumaliza we choko umezungumza kwamba upo Kenya ili iweje kaoshe mkundu wako kuma we
@stoonecity3687
@stoonecity3687 7 жыл бұрын
Agnesta Majaliwa Sawa kuna eza kuwa lakini fuatilia historia yake 50 cent alikuwa Juu Sana kushinda dia
@silverrichard2975
@silverrichard2975 7 жыл бұрын
Lstones 254 umekopi kwa mange kimambi haya maneno wewe historia ya 50 cent huifahamu hata kidogo unamskiaga tu
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
Show nzuri nimeipenda sana
@justinkasuku1460
@justinkasuku1460 7 жыл бұрын
salute #alikiba ulitunyooosha ipaswavyooo..
@shinunaazizi2255
@shinunaazizi2255 7 жыл бұрын
Nakupenda sna kiba upo vzr
@elenahasani6264
@elenahasani6264 7 жыл бұрын
Mtoto wa kariako mfalme wa bongo fleva
@ommarymzee1161
@ommarymzee1161 7 жыл бұрын
Elena Hasani kwel eeenh
@kizzozelemed9513
@kizzozelemed9513 7 жыл бұрын
Kazidiwaa hata na rayvany #Angalia vibe LA vany Na kiba utaniambiaa AF mond so wa kushindanishwa na huyu #kipusa mond yupo level za juu kbxa
@anithashayo8238
@anithashayo8238 7 жыл бұрын
Kìzzō Ze lêmēd roho mbaya tu kwenda kajambe mbele huko
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 5 жыл бұрын
Kìzzō Ze lêmēd kuna mashabiki hewa unafikili kuimba live ni kazi ndogo hp hatumiii CD ni live bendi ht hao uliowata hawamfikii huyo jamaa kwa live band penye ukweli tuseme kweli
@karimissa763
@karimissa763 7 жыл бұрын
Salute nyigi sana kwako king
@deewallance9354
@deewallance9354 7 жыл бұрын
Sjacherewa bado much love you kiba,
@mirajifikirini6305
@mirajifikirini6305 7 жыл бұрын
King kiba nice one
@zanthopaul2538
@zanthopaul2538 7 жыл бұрын
alishapewa kitanda akalale mbona fresh tu 😀
@ramadhanissa4412
@ramadhanissa4412 7 жыл бұрын
we ally kiba we nafuraha sana piga kz
@nunuuali5316
@nunuuali5316 7 жыл бұрын
That's King KIBA wakuacheee miaka 100👌
@patricklukas9674
@patricklukas9674 7 жыл бұрын
nimeipenda
@Cavootz
@Cavootz 7 жыл бұрын
king kiba uyooo
@rabiaoman9535
@rabiaoman9535 7 жыл бұрын
Yeaaaaa marapaap tumekusoma tingo fieesta kiba washamoto mwanza
@hamissalum5467
@hamissalum5467 7 жыл бұрын
Huyu jamaa mm namkubali saaaana na hasa sauti yake isiyochuja!! King kibba chaaaapaaaaaaaaa
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 7 жыл бұрын
dah hyo macmuga umenikumbuxha mbaliiii xna king wanaoxema huwez milik jukwaaaa bax hawujui mzik dah pendaaaaaaa xna king
@rosemichael7443
@rosemichael7443 7 жыл бұрын
king kiba kipusa honger san uko vizur kaza buti mung akuongoze kweny kaz zako
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 жыл бұрын
Nae katafuta dancers duh kweli simba ni role model wake
@husseinkilawa3224
@husseinkilawa3224 7 жыл бұрын
Huyu jamaa show bado sn. Muitikio wa watu kashindwa mpk na rayvanny.
@DeeDiyo5
@DeeDiyo5 7 жыл бұрын
U nail it bro
@worldstartz
@worldstartz 7 жыл бұрын
huyu ndio mchiziiii wangu #kingkiba miaka 100
@bethuelswema7543
@bethuelswema7543 7 жыл бұрын
macmuga 🙌🙌🙌🙌
@jumamohamed8975
@jumamohamed8975 7 жыл бұрын
Mzee baba unawaua
@allymaurid70
@allymaurid70 7 жыл бұрын
Namkubali xana king kiba.Hapa huniambii kitu
@SaimonKalemera-im5dq
@SaimonKalemera-im5dq 8 ай бұрын
U performed nice with a live band
@estacharles7315
@estacharles7315 7 жыл бұрын
ilibambaa sanaaa
@wizynasso1550
@wizynasso1550 7 жыл бұрын
kali sana nakubali
@mkuyu-ben.6746
@mkuyu-ben.6746 7 жыл бұрын
Umefanya vizuri. Ila Vany Boy Zaidi yako kwenye Jukwaa! N Kinyeesi.
@bensonfrank643
@bensonfrank643 7 жыл бұрын
SHOW YA KAWAIDA SANA 😎
@mwifafrancis7899
@mwifafrancis7899 7 жыл бұрын
show ya kiba ni mrenda bila chumvi si kwakupooza huko tuup
@nemesassenga1796
@nemesassenga1796 7 жыл бұрын
Unajua ushabiki mavi haufai huyo ndo king kiba mwanbieni huyo fisi wenu apige live show kama hajanya jukwaani hapo
@anithashayo8238
@anithashayo8238 7 жыл бұрын
nemes assenga 😀😀😀😀😀
@issaya2556
@issaya2556 7 жыл бұрын
nemes assenga hahahaha
@saidrashid4814
@saidrashid4814 7 жыл бұрын
kiba namkubal sana hana makuu na MTU kwanza anaijua dini huwez kuta sikendo chafu chafu zaidi kidomo kumtaft ye na yake ila mvaa mawig ndo anapata shida Kiba aliko anafanya nini
@dianastanly2975
@dianastanly2975 7 жыл бұрын
lov you kibaaaa aa 💋💋💋
@anthonyjoseph1675
@anthonyjoseph1675 7 жыл бұрын
bonge la show aisee uongo dhambi
@ngassahumi9519
@ngassahumi9519 7 жыл бұрын
noma sana kipisa kweli wewe pasua kichwa endelea kuwapasua vichwa king kiba
@deosportswear4402
@deosportswear4402 7 жыл бұрын
Kiba ni king bwana
@anosiatavictor9978
@anosiatavictor9978 7 жыл бұрын
dah!! live ya kiba imenoga kinoma dah jamaa anajua sio Siri nimeenjoi kinoma
@smartmussadozen3535
@smartmussadozen3535 7 жыл бұрын
Fund wa muziki
@gisellamallya2025
@gisellamallya2025 7 жыл бұрын
wow👍👍👍👍👍👉👉👉👉💪💪💪💪💟💟💟💟💟💟💓💓💓👍
@michanomichano4931
@michanomichano4931 7 жыл бұрын
Kudadeka #KINGKIBA fireeeeeeeeeeeeeeee
@mohamedynyengo9305
@mohamedynyengo9305 7 жыл бұрын
King of the kings tixha sanaaa
@zeldachristian3177
@zeldachristian3177 4 жыл бұрын
Haitawahi tokea show kali kama hii
@wamburamatiku2722
@wamburamatiku2722 7 жыл бұрын
Mara paap!! Alli katokea
@abdallamasoud7384
@abdallamasoud7384 7 жыл бұрын
tish san king kibaaaaaaaaaa
@dosidamas4140
@dosidamas4140 7 жыл бұрын
Big up king kiba
@allymerere3462
@allymerere3462 7 жыл бұрын
Sidhani kama alikiba kama anatakiwa kufanya show hizi. He is on another very high level
@agnestamajaliwa142
@agnestamajaliwa142 7 жыл бұрын
Ally Merere ehehehe jipeni moyo tu.
@KhadijaKhadija-ed5gj
@KhadijaKhadija-ed5gj 7 жыл бұрын
+Agnesta Majaliwa hemb kasimame jukwaan nikuone Kam hujafanya vituko than Aliy
@kaurashid1381
@kaurashid1381 7 жыл бұрын
Ally Merere nataka kuuliza tanzania kuna show kubwa zaidi ya fiesta??;haiwi TI,WIZKID,TEKNO,YEMIALADE,DAVIDO,RICKROSS,WOTE WANAFANYA SHOW ZA FIESTA TZ
@yashiyyashiy5320
@yashiyyashiy5320 7 жыл бұрын
I like that👐👐👐👐👐
@sideside9078
@sideside9078 7 жыл бұрын
kiba hatariiiii.........!!!!
@salimuomary4501
@salimuomary4501 7 жыл бұрын
jamani huyo ndo mwenye mziki wake mfalme wa bongo fleva dahhhh kibaaaaaaaaaaaaa
@salmamwelesi7625
@salmamwelesi7625 7 жыл бұрын
Dah noma noma
@naimarama5741
@naimarama5741 7 жыл бұрын
yoooooh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dianastanly2975
@dianastanly2975 7 жыл бұрын
king💪 big p
@beatricemagesse3505
@beatricemagesse3505 7 жыл бұрын
saut yako n nomaaa
FUNGA MWAKA MOMBASA PART 1
13:28
Alikiba
Рет қаралды 165 М.
ROMA NA STAMINA WALIVYOTINGISHA FIESTA DSM + SUPRISE YA CHIDI BENZ
13:27
Aslay Amvuruga Mbunge wa Sumbawanga, Azidi Kuwasha Moto Tigo Fiesta
20:06
UTACHEKA UFE UTANI WA ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ MBELE YA KIKWETE
8:52
Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)
4:26
ProfessorJay
Рет қаралды 1 МЛН
Alikiba Alivyowafundisha Mbeya Kucheza Sebene, Tigo Fiesta Classic
10:18
Alikiba, Ozane & Patoranking: Gueze Remix - Coke Studio Africa
3:53
Coke Studio Africa
Рет қаралды 1,1 МЛН
ALIKIBA na Seduce Me Fiesta Concert Mwanza Part 2#SeduceMe
19:56
OnAIR: Alikiba na Ommy Dimpoz walivyoulizana maswali
10:39
Millard Ayo
Рет қаралды 258 М.