Nafikiri walialikwa Ruvuma kwa ajili ya ugeni kama wanavyoimba. Si unajua tena hawana hiana ngoma ni moja na lugha ni zilezile. Ila huyo askari hatari kabisa
@madebeigasi1688 Жыл бұрын
Hao sio RIVUMA ni Boma LIHAGULE KIJIJI LIHAGULE KATA YA MASASI TARAFA YA MASASI WILAYA YA LUDEWA MKOA WA NJOMBE