Allahu Akbar, ninapenda kuskiliza hoja za kielimu Ili kujifunza. Na hapa nliamini Kuna darsa kubwa kumbe ni hadith sawa na zile za alfu lelaulela
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Mana hadithi ni nn tuambie tafadhali
@abdulysheky10575 ай бұрын
Stori
@abdulysheky10575 ай бұрын
Stori
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Na hio hadithi si zimetoka kwa mtume s a w ila nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamsingizia mtume s a w hata hadithi hamuna tawhed tatu mumezitoa mtume s a w hajafundisha wala maswahaba hawajafundisha sasa mumezitoa wapi kama nyinyi si wanafik
@Zainabnoor0087-ze5 ай бұрын
Matapeli wa dini kazi kukazia nasaba😮
@samorajama88337 ай бұрын
HAULI HAKUNA KATIKA UISLAAM NI UZUSHI
@Manimajura7 ай бұрын
😅😅😅😅 dahh ebu someni kwanza kabla ya kupinga mambo
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
Kwani HAULI maana yake kwa kiswahili nini? 😂. Ndio ndio hujui kiarabu ukaona na weye useme pia! 😀
@mkubwamasoud27767 ай бұрын
Huyo sheikh na Maswahaba nani zaidi
@salimakida957 ай бұрын
Wewe zaid
@user-zr2pn5uv8b7 ай бұрын
mzee rudi katika Haki Allah atakupenda
@salumhassanallymkurdistan70067 ай бұрын
MAWAHABI TAWI LA MAYAHUDI
@issarashidiferuziferuzi92017 ай бұрын
Kuwa na hekima ndefu sio dini sheikh mnapata madhambi
@saidramadhan45167 ай бұрын
Hebu amkeni nyinyi masheikh wetu ALLAH AWAPE UFAHAMU MSHIKAMANE KWA PMJ MUHESHIMIENE MUELEWANE KTK KILA JAMBO.Huu mwendo mnaoenda siooooo!!
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Mwendo aendao kasim mafuta wakutukana wanazuoni ndio sawa muogope Allah
@abdulysheky10575 ай бұрын
Kuwalingania watu kushikamana na suna kumbe nayo ni matusi?
@DiudaKozi-qu8sl6 ай бұрын
Acha uongo na polojo
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Uwongo upi hemu sema ww ukweli tukusikize kama ww nimkweli ama ni upotofu
@AbuwNibras9267 ай бұрын
Mzee muongo uyuu
@saba-gv3mj5 ай бұрын
Sema ww mkweli tukusikie mawahabi wapotoshaji tu na matusi ndio mwajuwa
@saadayoub71797 ай бұрын
Mbona anamuita Samir kavu kavu kwani sio sheikh ?
@hajjisanga7896 ай бұрын
Hao kina maftaa si ndio waalimu zao hawa mnao wakataa kusoma ni kufahamu sio ubishi mawahabi ufaham ni mdogo kwa walio wengi wao wanafata akili zao
@jamalishoo38027 ай бұрын
Mawahabi mavi yamewabana wanahangaika tu
@abuunutsamuonlinetv27037 ай бұрын
Achaa bangi wewe sisi hatukati viuno na kuimba ngonjera kama unahoja unawasilisha mezani sio kulopoka
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
@@abuunutsamuonlinetv2703 hoja lete wewe mpingaji maana sisi tumetuliaa twasonga mbele. Mie nikikupa hoja wewe huwezi kujibu. Kama uaweza. Lete maana ya BIDA'A KILUGHA NA KISHERIA?. anza kujibu hapo tuanze kazi ikiwa wewe mwanaume kweli.
@saidimkwinzu91067 ай бұрын
Bora na sie tumebanwa nyie mmejunyea hasa mnanuka na waganga wote ni nyie had makafir wanatuchukia masufi hamna kitu 😂
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 HAKUNA MTUME YOYOTE WALA MWANACHUONI YOYOTE HALAFU AWE SIO MGANGA. SASA WEWE SI MGANGA KWASABABU MUNGU HAKUJIBU DUA SASA UMGANGE NANI MWENZANGU 😂, KUOMBA DUA UKAJIBIWA HUJUI. MTUME SAW ALIPELEKEWA ZAWADI MAMBO MATATU 1) MALI 2) MWANAMKE 3)MGANGA. MTUME SAW AKACHUKUWA MALI NA MWANAMKE, KISHA YULE MGANGA AKAMFUNDISHA TIBA ARUDI KWAO AKASAIDIE KWASABABU SISI WAISLAMU WENYEWE WAGANGA HATUHITAJI MGANGA. Au hiko kusa huijui?. Halafu mlivyokuwa wanafiki nyie MAWAHABI ndio wa kwanza kuenda kwa hao waganga mkizidiwa kisha kwa ujinga wenu mkubwa mkisema (MAMBO MENGINE SHIRKI LAZMA) YAANI mnamfanya Allah sw mambo mengine yeye hayawezi mpaka mumshiriki yaani kufru na matusi kwa Allah sw haswaaaa mnaona mfanye. Afazali sufi anafanya tiba kwa kuamini kuwa Allah sw ndio anaejibu kwa elimu alizotufunza. Kwshio sufi anajua sio shirki tiba na hapa siongelei washirikina (makafiri) wala wanaokwanga na kutoa watu vikoa (wachawi). Mie naongea waganga kama ulivyosema wewe.
@saba-gv3mj5 ай бұрын
@@abuunutsamuonlinetv2703mezani hata kusoma hamujuwi mawahabi wapotoshaji tu
@hamzakimaro37647 ай бұрын
ENYI MASUFI NI MITIHANI KWA BID'A MNAZITETEA NA KUZIFANYA NI IBADA! YALE MTUME ALIYOYUACHIA NYIE MMEACHANA NAYO!!
@sadambakari25797 ай бұрын
Kasome acha kukosoa kwa mahaba yako
@samorajama88337 ай бұрын
Sasa mtu akiongea maneno ya kujiaminisha na moto asiokolewe Acheni maha na jahannam Sheikh Samir Atakiwa ataraajaa
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
Kwahio faradhi uwe na ndevu ukubwa gani ili usipate dhambi!?. Pili. Kuna wanawake wanaota ndevu jee wafaa watoe khutba msikiti mwenu mawahabi?
@saidimkwinzu91067 ай бұрын
Ushasema wanawake mtume Swalla llaahu alayhi wasallama amesema punguzen mashurubu muache ndevu nyie mnanyoa vyote manakua weupeeee hiyo ni sunna ya nan
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 Mtume saw aliposema tupunguze sharubu na tuache ndevu ujue kwanza hii ni sunna na haina tawkiid. Na lapili. Mekuuliza swali ungelijibu. Jee Mtume saw amesema tupunguze sharubu zibakie urefu gani na ndevu tuziwache mpaka urefu gani?. Kama Mtume saw hakuweka kiasi basi wewe usiwaekee watu kiasi. Kuna maswahaba walikuwa wana videvu kidoocho tu kama kisa ya swahaba aliokuwa akitia udhu na malaika wanafurahikia. Hakugombwa kwa kuwa ndevu zake ni nduchu. Wewe kama nani ugombe watu. Na aliponyoa ndevu hakuambiwa kakufuru ila tu Mtume saw ndio akampa kisa alichokuwa akicheka juu yake, hakuambiwa kakufuru wala kapata dhambi. Akiwa Mtume saw hakusema hivyo wala hakumuingiza motoni, JEE NYIE MAWAHABI NA SUNNA ZENU ZA NDEVU NA KUKATA KANZU NA KUVAA KIPUPUTA HUKU ROHO ZENU CHAFU NA IBADA HAMFANYI NATEGEMEA PEPO GANI?
@KASSIMFUNDSIMU7 ай бұрын
Kazi ya watu wa bidaa ni kuchukua mifano isio endana na kukwezana
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
@@KASSIMFUNDSIMU hata wewe unafanya BIDA'A lakini bahati mbaya hujui maana ya BIDA'A
@jumaa0527 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106 alhabib kwani kunyoa ndevu zote ni dhambi
@user-bp6fb6wo5u7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kuna mambo mengine ni kucheka tu, wewe mzee kidevu kama embe mwanzo kafuate sunna ya ndevu... kisha uongee mbele ya waume!!! Tuna ndevu zetu waume wewe unasema nini mbele yetu!!! Alafu wazee wa mkahawa kaa uskilize wasomi wacha kelele!!! Makhurafi mnaweka wazee wa mkahawani waongeee 😂😂😂😂😂😂...
@tanzaniaonmzamiloon86277 ай бұрын
Ndo mlivyo fundishwa mtu kama Hana ndevu hajafuata sunna
@hafidhseif16867 ай бұрын
Sasa Ndevu Ndio Dini Hata Mayahudi Wanafuga Madevu Saa hii Kama Kufuga Ndevu Ni Kwenda Kinyume Nao Saa Hii Wazayun Wanafuga Madevu Sasa Tufanyaje? Someni Enyi Mawahabi Acheni Kubebeshwa km walokole
@hilalkhalfan14527 ай бұрын
@@hafidhseif1686 hata mwanamke anaeota ndevu anafaa kutoa khutba msikiti wa mawahabi kwasababu mawahabi wanaitakidi kuwa tofauti ya mwanamme na mwanamke ni kuota ndevu 😁. Kwahio mwanamke mwenye ndevu kwa mawahabi huwa anaoa na haki zake kama mwanamme. Kwao asioota ndevu hawezi kusalisha wanamuona mwanamke. 😁. Yaani hio ndio Qur-an yao na sunna yao, mtihani kweli kweli
@@tanzaniaonmzamiloon8627 weee nenda kamsome mtume swalla llahu aleihi wasallam ujue alikuwa vipi sura yake! Sio mnacheza chakacha mbele ya waume na kidevu embe na waume wanakutizama.... ndio mana mambrui huku kumejaa watu wa ajabu sababu ya mambo hayo!!! Na waume wakiongea mnakaa kimya nyinyi... simba wakinguruma mnakaa kimyaaa....
@abuuthauran99337 ай бұрын
Mi cjamuelewa huyu mzee naona achekesha 2, kweli dini imeingiliwa hata swala ya safari pia huijui mpaka watu waswali jamaaa. Acha kuchekesha mzee utakujakuulizwa kesho mbele ya Allah.
@HemedSerious7 ай бұрын
Siku zote nyny tu ndio mnajua dini hio ndio shida yenu, mnachofaham chengine ni kuongeza maneno na kupotosha
@allycomm15537 ай бұрын
WEWE unahoja za kujibizana na qasimu mafuta!!?
@hafidhseif16867 ай бұрын
Sasa Mafuta Ndo Nani hahahah Aisee Kawaroga Mpaka Hamuoni Kitu Mafuta Km Kipofu Alieona Mwezi? 👂 Mwambie Atowe Rukhsa Watu Wataka Kuja Pongwe Huu Mwezi Wa Tatu Sasa Hataki Kutoa Rukhsa
@ramadhanmbwana57187 ай бұрын
Shekh kasimu mafuta ni mtu anahoja za kielimu mashaallah Pata faida kupitima maneno yake na ufafanuzi wake wa kielimu katika links nitakayo ituma
@ramadhanmbwana57187 ай бұрын
HAPO UKISIKILIZA NDIO UTAMJUA NI NANI MASHAALLAH KAWEKA WAZI SANA MAMBO KIELIMU
@Ahmadasshii-raazy88887 ай бұрын
@@hafidhseif1686Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, habiib afwan naomba nifahamishe vizuri, sheikh sameir ALLAH amuhifadhi anataka kwenda pongwe kwa niqaash lkin wao ndo wanakataa sio? Naomba nisaidie kufaham sayyidy WALLAH ntafurahi sana mana mawahabi wanamuona kama ndo hakuna zaidi yake