Ni aibu! Mwalimu wa mawahabi (Kassim Mafuta) afundishwa lugha ya kiarabu || Sh. Abdulmajid Abdallah

  Рет қаралды 15,980

Haji Upepo Online tv

Haji Upepo Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 490
@RashidNdaria
@RashidNdaria Ай бұрын
Allah amuhifadhi abulfadhil wallah ameitangaza haq kwa kinywa chake sisi walimwengu tunashuhudia hilo,,habar za habari za etii (taaluma vs taalumu) hatuwez kum-beza kwa hilo,kwetu inatosha kumuona anasema haq na anafundisha dini na anaifuata sunna Wallah qassim n mtu wa kher na elimu hake sio ya kubezwa kabisa Namuomba Allah amuhifadhi yeye na familia na wanafunzi wke Allah awape mwisho ulio mwema
@IbraFareed
@IbraFareed Ай бұрын
Usilalamike 😂
@mnubisaidi
@mnubisaidi 7 күн бұрын
آمين
@AmmuSalha
@AmmuSalha 6 ай бұрын
Allah amuhifadhi sheik wetu na amkinge na hasadi za waja
@athuminamkwizu1587
@athuminamkwizu1587 9 ай бұрын
Subhanallah Allah amuhifadhi sheikh wetu qassim mafuta wewe mwenyenye umesema faailu walmafuli umekosea ila kiuhalisia humuwez huyo sheikh watu wanaishia kukucheka tu unajidhalilisha mwenyewe
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 ай бұрын
Ki vipi na umemsikia mwenye kasim mafuta hana ilimu ni matusi tu hilo lijuwe na mtume s a w alisema mwisho wadunia mkweli yuwaonekana mrongo na mrongo kama kasim mafuta yuwaonekana mkweli
@Swalahudini
@Swalahudini 19 күн бұрын
Huo niushabiki sasa waisilamu tusome tusifate mumbo kama fish anafo fata mzoga
@BakariJuma-oc5ql
@BakariJuma-oc5ql 17 күн бұрын
Allah awaifadhi mashekh zetu wote wakisalafi kwani maadui ni wengi mno
@KhatibBahorera
@KhatibBahorera 5 ай бұрын
mashekhe iyo siyo dini muogepene Allah amjengi bali mnaharibu siyo dini hiyo wallahi
@HidayaWasia
@HidayaWasia 8 ай бұрын
Allahul mustaan Allah atuongoze kuijua haqq na baatwil tuiepuke Alkamaalu lillah
@salimakida95
@salimakida95 4 ай бұрын
Mashalwah, Mafuta amkosoa mpaka salim barihyan, Asante shekh Mafuta kaumbuka
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 ай бұрын
Hapa haumbuki mafutaa wanaumbuka waislam wot e ikiwa sote Ili kufahamu jamb lazima tusomeshwe tena twasomeshwa lugha isiyokuwa yetu na lazima tu tuelew huu wote ni unafik njia sahihi ya kumkosoa mwislam mwenzio sio hiyo ya kuwekan kweny mitandao
@ramadhanjuma9238
@ramadhanjuma9238 9 ай бұрын
Assalaam alleykum warahamatullah wabarakatu,sasa mmekuwa kaz kukosoana tu,mngetambua kunamaeneo hayana hata msikiti,nashauri tumie mda wenu kueneza din,mm ninslim kwa hili sijapenda,kama hajui kwann utoe aibu ipo siku utakosea na make hujakamilika,make wew nimwadam mche Allah
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 8 ай бұрын
Huyu kasim mafuta kazi yake kupotosha na kutusi watu huyu kijana amfundisha bila matusi
@aminaYusuf-e7x
@aminaYusuf-e7x 4 ай бұрын
wew kichaaaa umetokea wapi toka lini kichaaaa akawa msomi wew peleka upuuzii wako hukoo
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 9 ай бұрын
لا يفصل بين فاعل والمفعول. Na ww pia umekosea apo hujui lugha.
@arrawaahiyahtv9800
@arrawaahiyahtv9800 9 ай бұрын
Sahihi alitakiwa asemeje kama hivi amekosea?
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 9 ай бұрын
Msikilize wau iyo inaatwifia wapi
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Ww inaonyesha unajua sana lugha Toa clip na ww ujibu sio una comment tu Toa clip na umradd sio unasema tu msikilize wau iyo inaatifiwa wap huyo ulomwambia una uhakika mambo hayo anayajua?
@Modyb
@Modyb 5 ай бұрын
Zama hizi mutakalimiim wengi na huyu ni miongoni mwao. Kuteleza kiligha sioni kama ni makosa ya kufanyia radd. Allah amhifadhi Sh. Qassim Mafuta.
@IbnUmmar
@IbnUmmar 8 ай бұрын
Shekh wajifunza kusoma 😢😢😢😢 kama mtoto wa madrasa
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 9 ай бұрын
Nyinyi hodari wa lugha mnajiona. Semeni qalallahu wa qala rrasul saw. Wapoteshaji.
@machoshop8761
@machoshop8761 8 ай бұрын
Uyu mwalimu ana ilmu kunzidi sheikh qasim mafuta
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 7 ай бұрын
Kivipi
@twahamuhoro1656
@twahamuhoro1656 2 ай бұрын
Salafi na wanasunna someni hizi fani za LUGHA mnanyanyasika sana mlipuuza nahau na swalfa chukueni hizi fani
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Subhannallah tumefika sehemu dini imekuwa mwatafuta kulipwa na Tube nasio dini bali ukweli kuwa vijijini hakuna miskiti wala walimu mnakaa mijini na Kuboresha hitima plus maulidi .
@khalidabas252
@khalidabas252 8 ай бұрын
Mh hatari, watoto wa kishki wamekuwa wengi. Pole sana ndugu yangu watu hawanufaiki na unachokifanya bora somesha darsa watu wanufaike
@maulidimuhani
@maulidimuhani 3 ай бұрын
anachofanya mafuta TU kutukana wenzake 😅ndo watu wananufaika sio,
@eliaihoo77
@eliaihoo77 9 ай бұрын
Ila wewe inaonekana ni mwanafunzi mzuri wa kassim mafuta. Inaonekana wamfuatilia ssaana. Na ikiwa kwenye lugha ni hayo tuu uliyoyaona katika mengi uliyosikiliza, basi jua kuwa hiyo kosa 1% na kupatia 99%. Hapo ndio ulipokosea tuu wewe mwenye chuki zako. Halafu waumia roho sana kwa kuwa umepuuzwa kwa kitambo kirefu saaaaaaaana. Kiufupi umepuuzwa na umepuuzwa na umepuuzwa. Pole sana muislamu mwenzetu.
@snyanzigemzigabha
@snyanzigemzigabha 8 ай бұрын
Mimi sikasiriki kwa hivo unavo sema kwa sababu hata mimi ninasema kwaio ikiwa mimi sipendi kusemwa basi inabidi niache kwanza mimi kuwasema wengine lakini maadam mimi nakusema wewe basi ujue hilo mimi halinikasirish ispokuwa tu ntasisitiza adabu na heshma Al muhim nihivo wala hujakosea kusema mimi namsikia kasm mafuta nikweri mimi nampenda na pia namsikiliza kwa sa babu yeye ni ndugu yngu ktk imani na hlitafutika hilo mpaka pale moja wetu atakapo ritadi Kasim mafuta anamapungufu yake kama binadam wengine ktk dini na dunia Lakn chaa ajabu maungufu yake watu waliyanyamazia sasa akajuwa kuwa watakuwa wanamuogopa au labda hawana elim mwenye elim ni yeye kwa kule kunyamaziwa Kumbe watu walijuwa kunafaida gani mapungufu ya muislam mwenzetu kuyaweka hadharani Sasa wanamjibu kama alivo fanya kwa wengine cha ajabu mnaumia msiumie ikiwa mwawafanyia hivo wengine ikiwa hamtaki hivo basi nanyinyi msiwaseme watu ila kama mta wasema watu na nyie mtasemwa Kiukweri mimi sijaona adabu mlio nayo au suna mlio nayo au busala mlio nayo nakama mtasema mtume alikuwa kama nuinyi basi kwa hakika mnamzulia na wala asinge mpata yeyeote wakumfata ntakupa mfano ikiwa mtume kwatabia zaje alipendwa mpaka na makafili akaitw mkweri na muaminifu watu wakasilim kwa tabia zake nzur tazama wakati wanaweka jiwe jeusi wana gombananani aweke hajuwakataa pamoja ba ukafiri wao mpaka wakasilim sasaniambieni nyinyi mlio kama mtume yupi mlio msilimisha jwa tabia zenu hamna adabu kwa wazee hamna adabu kwa mashekh hamna huruma kwa wadogo allah atuongoze samahani ingawa najuwa sijatumia rugha ya matusi wala ya udhalilishaji ila nataka tusigombane tyuuu
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 9 ай бұрын
Mcheni Allah . Sheikh Qassim mafuta ni Sheikh ambae kabobea katika kila fani na analingania daawa ya mtume . Allah amuhifadhi Sheikh wetu Abul Fadhil Qassim mafuta na ammpe umbri mrefu azidi kutunufaisha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
Hhhhhhh, MPAKA FANI YA UJINGA KABOBEA SANA, Hhhhhhhhhhhh
@musakibwana4596
@musakibwana4596 9 ай бұрын
Awe na fani zote lakini akikosa fani ya heshima hana maana
@hafidhseif1686
@hafidhseif1686 9 ай бұрын
Sasa Mtu Hamjui Mpaka Fail Na Maf Ulu Ukasema Kabobea Kwenye Fani Gani? Mtu Mweupe Mnoo ila Kwakuwa Nyie Mawahabi Ni weupe Zaidi Basi Mwamuona Ndio Shheheee
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
@@hafidhseif1686 👍SAFI SANA. MAWAAHABI VILAZAAAA. WAFU KWA WAFU
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 9 ай бұрын
​@@hilalkhalfan1452 Maana ujinga kwako Elimu
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 9 ай бұрын
Allah akupeni maelewano baina yenu
@AshaMwamedi
@AshaMwamedi 4 ай бұрын
Allah amhifadhi shekh Qasim Mafuta no sheikh wetu mbora kabisa na Kwa saawa Tanzania hii Hana mfano tafuta wengine wa kuwakosoa au jikosoe mwenyewe huna elimu we ya kumfundisha Bali wewe unatakiwa ukakae usome kwake unarudia Tu alipo teleza kidogo ASA hilo si kosa la kuteleza yeyote aweza kosea .Allah akuifadh shekhe Qassim Mafuta
@rashidseif2950
@rashidseif2950 4 ай бұрын
Kwaio kakosea kweli Bin Mafuta?
@azizaj776
@azizaj776 3 ай бұрын
Molo Mtukufu amjalie mafuta aungue motoni na mafuta yake MWENYEWE - AMEEN 🤲🤲🤲
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 9 ай бұрын
Daah yaani nlivoona hiki kichwa cha habariii nkajua kuna jambo la maaana kumbe upuuuziiii tu.....
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Hata watu walipoona hii comment yako walijua ni maneno ya maana kumbe maneno ya upuuzi tu😂
@BinSwaleh
@BinSwaleh 9 ай бұрын
Hebu tamka tena jina sheikh Abdulwahaab
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 9 ай бұрын
Masha'Allah tunaendelea kusubiria muendelezo wakumkosowa huyo dajjal wakisalafi.. masheikh msichoki kuwakosowa Mawahabi maana walishakufurisha waislamu sana. Allah awape umri mrefu wenye faida kwa jamii nzima yakiislamu amiin
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب 9 ай бұрын
Mche Allah mbona unakuwa huna hekma kijana
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 9 ай бұрын
@@ر.ج.ب hiyo ni hekma ila kwa nyinyi Mawahabi ndo sio hekma. Insha'allah karibuni mtaiona haki na njia ya kweli
@ashrafuomaribakari7101
@ashrafuomaribakari7101 9 ай бұрын
Hebu jikague unaswali swala tano? Nina wasiwasi na w
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 9 ай бұрын
@@ashrafuomaribakari7101 Lazima uwe na wasiwasi maana nyinyi Mawahabi hamna mnachokijuwa zaidi ya kutowa watu kwenye uislamu na kutukana. Allah awaongoze amiin
@hamadimussa2119
@hamadimussa2119 9 ай бұрын
Unatafuta umaarufu wala huna jipya, hata angeongea kidigo inawezekana angekosea japo ni lugha yake, je kiarabu alichojifunza kuna ajabu akikosea,tuachie Shekh wetu Wallaah tunampenda tunamuelewa na hii da'awa inakuwa maa shaa Allaah
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 8 ай бұрын
Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 8 ай бұрын
Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 8 ай бұрын
Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane
@AhmedMohamedMadaiMadai
@AhmedMohamedMadaiMadai 8 ай бұрын
Wacha ujinga akikosoa wenzke je mwehu anaon Raha muache akosolewe hajui kitu akasome
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 9 ай бұрын
Nakuskiliza kutoka Cape Town lakini kama unataka eti kumdhalilisha kwakumkosowa Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadh hakuna litakalo kusaidia kwasababu kukosea nikawaida na yye sio wakwanza kukosea hate wewe hapo kiarabu sio lugha yake nakukosea lazima utakosea .kwakumalizia tunapata faida nyiiiiingi saana kupitia Sheikh Qassim Mafuta
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 9 ай бұрын
Lugha hajimui halaf anachukua kitabu cha sheikh na kukikosoa bila ya kuuliza wajuzi wakitabu hicho
@abuuammar4924
@abuuammar4924 9 ай бұрын
Utoto mtupu
@abuuammar4924
@abuuammar4924 9 ай бұрын
Sasa kwa utoto huu ndio unataka akujibu
@saidsobongo912
@saidsobongo912 9 ай бұрын
Ndugu Abdullah mie nipo Durban
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 9 ай бұрын
Unachokisema ni sahihi ila ninachokuomba uwe na insaaf kwani huyu Mafuta ndiye mwenye tabia ya kuwakosoa wenzie pindi wanapokosea, alimkosoa Mohammed Iddi ktk kosa la kilugha wakati anajua wazi kua Abuu Iddi alipitiwa na ubinadamu tu lkn si kwamba hajui lugha. Hivyo nikuombe ndugu yangu uanze na huyu Mafuta kwanza kumkanya kwani yeye ndiye chanzo cha hizi vurugu.
@mubaarakmuhammad8299
@mubaarakmuhammad8299 9 ай бұрын
Kumbe lugha hajui minikajua hajui dini tuachie shkh wetu
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Kwan kashikwa 😂
@RajabuAbubakar
@RajabuAbubakar 8 ай бұрын
wew mwenyew haujitabu
@allykisuda4568
@allykisuda4568 9 ай бұрын
Ustadhi tunaomba short clips za hivo vibwagizo
@IbnUmmar
@IbnUmmar 8 ай бұрын
Subhana llah huyu shekh mbona anafanya mambo ya kitoto au ndo anataka umaurufu kwa nguvu
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 3 ай бұрын
Hakuna shek wa kikhurafi anaeweza kumrudi shekh kassim bin mafuta Allah amuhifadhi
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 2 ай бұрын
Kassimu mafuta walitukanana na wanafunzi wenziwe hadi kuitana mayahudi na wazee w liwati vp hapo
@AlfarooqMuma-c3x
@AlfarooqMuma-c3x 3 ай бұрын
Shkh qasimu mafuta ni mjididi tz &kenya
@abuuaiman9575
@abuuaiman9575 9 ай бұрын
Unaesoma kwenye kitabu na anasoma alichohifadh nan ni rahis kukosea Asome uarabun na kukaa huko kwa miaka asijue faaila wal maf uula unachosema kua na in swafu allah hamjanyui mwenye kujikweza in taabih
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 9 ай бұрын
Huwezi kufanikiwa chichote wew kakae utulie
@hassan_pacha_og
@hassan_pacha_og 9 ай бұрын
بسم الله الرحمن الرحيم Ndugu zangu katika imani ningependa kusema kwamba hivi tunavyofanya havileti picha nzuri, sisi ni binadamu si wakamilifu ukamilifu ni wa Allah pekee, kama Sheikh kakosea muite faragha muelimishane والله الموافق
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 9 ай бұрын
Alitakiwa akosoe yaliomo katika kitabu anachokifundisha ( hapa ni uthulu 3 ) au madda zake za kupinga bida'a katika Dini .Lakini kuteleza katika matamshi ilhali somo limeeleweka hakuna tija hapo.
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 9 ай бұрын
Mbona Muhammad Bachoo akitukana maulamaa humwambii km awaite na awaelekeze? Anatukama maulamaa na wala hana elim
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 9 ай бұрын
Anafundishwa Mana yake arudiii darasaniii....sio kukosoaa mashekh Yee mwenyew elimu hanaaaa
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 9 ай бұрын
@@wakatikaisi6743.... Hio ndio tabia ya Muhammad Bachoo kukisoa masheikh ilhali yeye mbu mbu mbu
@ABUUAhmad
@ABUUAhmad 9 ай бұрын
Si tatizo ni kweli kakosea muhimu wewe jibu hoja zake alizomradi shekh lako
@Saaid-yv6bg
@Saaid-yv6bg 9 ай бұрын
TUNAKUSIKILIZA TUKIWA SOUTH AFRICA CAPE TOWN MAASHAALLAH huku south africa Sisi ni twarika damu.
@Saaid-yv6bg
@Saaid-yv6bg 9 ай бұрын
Shukran Al hajj upepo..
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 9 ай бұрын
Kua mtu wa SUNNA na sio twariqa
@bagalucha
@bagalucha 9 ай бұрын
Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 9 ай бұрын
@@iddijumaali7192elewa kwanza usikariri
@mustaphakawanda4138
@mustaphakawanda4138 9 ай бұрын
Poleni kw upotevu wenu
@allytwalibjr.6431
@allytwalibjr.6431 9 ай бұрын
Bila shaka mwamtambua shekhe qaasim n nn kwa upande wa nahwi namaanisha muelewe yy n bina damu
@ahmadaliabbad1818
@ahmadaliabbad1818 9 ай бұрын
Dunia hii hakuna mkamilifu ndugu yangu mche mungu wako na walimwengu kwa jumla . والله أعلم على ما نقول وكيل
@NasmaFaraji
@NasmaFaraji 4 ай бұрын
Wewe umeferi
@banihashim5347
@banihashim5347 9 ай бұрын
MIMI SI MTU WA TWARIQA ILA NIMEFURAHI QASSIM MAFUTA KUKOSOLEWA MAANA KAZIDI SANA KUJIONA MJUZI WA LUGHA NA MENGINEYO MENGI
@AbdillahSaleh-og1gu
@AbdillahSaleh-og1gu 9 ай бұрын
Sheikh mwapata Faida gani mukikosoana mitandaoni? Wallahy aibu. Mwaskitisha. Mwajidhalilisha. Hakuna cha thawabu hapo. HasbiyaAllahu waniimal wakil. Mwapoteza umma. Sio kuulimisha.
@AbdilahiAbass
@AbdilahiAbass 9 ай бұрын
Sheikh kassim mafuta.. Allah amuhifadh
@azizaj776
@azizaj776 3 ай бұрын
Allah amjalie MOTO HUMO MUWE MAKAZI YAKE - AMEEN
@saidramadhan4516
@saidramadhan4516 9 ай бұрын
Mashehe acheni hizoooo woteeee mnatuchosha cc maamumah mnatuuziiiiii kwa kweliiiiii acheni tfadhalini sn.Hatuwapi sifa mashehena nyinyi sio mashehe
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Sasa kama ww maamuma unatakiwa ukae kimyaa
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Maamuma huwez kutoa sifa ni kweli kwa sababu mtoa sifa anatakiwa awe na elim kwanza kisha ndo atoe sifa
@IbnUmmar
@IbnUmmar 8 ай бұрын
Shekh uwoni ata aibu wamkosoa mtu wemwenyewe wasoma kitabu ata mtoto wa ibtidaia ana soma kama kilivyo 😢😢😢😢😢😢 pole ostadh sema tu comment ujulikane tu
@MohdSleiman-d9u
@MohdSleiman-d9u 8 ай бұрын
ww shekhe mjinga sn mbn unasifa sana
@محصنالكتامي
@محصنالكتامي 9 ай бұрын
بين فاعل ومفعول
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 9 ай бұрын
MAWAHABI WASHAWAHARIBU MASHEKHE WETU SASA NAWAO WAMEANZA KUDHARAU NA KUKEJELI MASHEKHE WENZAO JAMBO AMBALO MASUFI WALIKUA HAWANA.
@yusuphsammysammy7424
@yusuphsammysammy7424 9 ай бұрын
Allah akuongoze sasa hapo shida ipo wapi
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 9 ай бұрын
Shida IPO wapii we huonii shida IPO wapii anatakiwa akae darasanii asomee lughaaa
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Na ww ALLAAH Akuongoze kwa sababu shida hujaiona 😂
@abunauthar5384
@abunauthar5384 9 ай бұрын
Allah atuongoze wote kwenye haki
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 9 ай бұрын
Shekh unacheza na mtandao ujulikane hahahahaaa
@allykisuda4568
@allykisuda4568 9 ай бұрын
Huyu MAFUTA aje maarif tunamtaka mdahalo wa uso kwa uso
@MohammedShehe-x8p
@MohammedShehe-x8p 6 ай бұрын
Umaarufu kazi
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 9 ай бұрын
Mumekosa hamna pakukimbilia hayo ni maneno ya mkosaji
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
Haji Upapa tafuta elimu kwanza kabla ya kutafuta umaarufu. Acha ubaradhuli
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 9 ай бұрын
Munakwenda wapi nyinyi munaojiita mashekhe Mbona wapotofu sana? Muda mwingi munatumia kushambuliana ktk mitandao nyinyi kwa nyinyi Kuliko kutangaza dini kwa hekima "na subra "
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 9 ай бұрын
Tatizo mnaloga sanaaaa
@abuabdirahman114
@abuabdirahman114 9 ай бұрын
Mbona unasoma kama watoto wa chekechea??
@BinSwaleh
@BinSwaleh 9 ай бұрын
Sheikh Upepo
@allylassuh4947
@allylassuh4947 9 ай бұрын
Shukran habeeb msichoke kuwasomesha mawahabi mpk viziwi wasikie nakutambua kwamba hawa watu ni wachache wa elimu
@mussanjimbwi1989
@mussanjimbwi1989 4 ай бұрын
Wewe huoni huyo sheikh anaangalia kwenye kitabu hapo?
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 9 ай бұрын
Mm huwa napenda ile mijadala ya kielimu baina ya sheikh Mazinge anavyo wagaragaza wakristo na kusilimu Sio hii
@aminaYusuf-e7x
@aminaYusuf-e7x 9 ай бұрын
kwako ndomtihani wew na qassim mafuta wew bado chalii mdogooo sana
@rashadali6160
@rashadali6160 9 ай бұрын
Sheikh haji assalam alaykum, iyo heading ya video hujafnya sawa inakejeli.....lengo sio kuaibishana na unaweza kusema kwamba wao pia wanatumia lgh ya kejeli iyo sio hoja kielmu na Dini....unapoandika heading jitahidi isiwe na kejeli ndani yk
@wakatikaisi6743
@wakatikaisi6743 9 ай бұрын
Waoo Kwan hawatumii kejeliii
@rashadali6160
@rashadali6160 9 ай бұрын
@@wakatikaisi6743 inamana wao wakitumia kejeli na nynyi pia mtumie sio ...hii ni dini mzee sio upuuzi.....kama wfny hvy tufuteni namna ya kuwarekebisha lkn sio na nyny kjb au kutumia kejeli pia
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 ай бұрын
Upuuz mtupu na akili huna ungekuwa na akili usijifanya kuwa na akil wakati kichwan ni patupu na lazima ujue kuwa lugha ya kiarabu sis tunajifunza hii ni lugha ya waarabu kwahyo sis tunasoma na kukosea kupo mpumbavu wew
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 3 ай бұрын
Silaha kubwa y'a makhurafi nahau,eti wanasomeshwa nahau zaidi y'a miaka 9,hawajui tawhid,wanaabudu makaburi,
@aliabdullahi9200
@aliabdullahi9200 9 ай бұрын
Mashaalah ❤️ ❤️
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
HUNA ELIMU YA KUJIBIZANA NA SHKH KASSIM MBALI NA KUTAFUTA UMAARUFU TU NA SIFA
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 9 ай бұрын
Nilizani utaleta hoja zamsingi et unakosowana lugha wemwenyewe kiswahili unaweza kukosea tuache mbali kiarabu. Allah azidi kumuhifadh Sheikh wetu mpendwa Qassim Abul Fadwl na azidi kuitetea haqi na alhamndulilah watu tumeshaelewa mengi na dawa salafiya inazidi kuenea Africa ya mashariki na ulimwenguni pote
@shabanihassani7115
@shabanihassani7115 9 ай бұрын
Ni mjinga na mpuuzi mmoja cjapatapa kuona juha kama huyu
@AbuuSumayyah
@AbuuSumayyah 9 ай бұрын
Si Juha tu bali mpumbavu asokuwa na Adabu kabisa na Elimu.
@AbuuSumayyah
@AbuuSumayyah 9 ай бұрын
أين الثرى وأين الثريا
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 9 ай бұрын
Yaani mtu akurekebishe makosa ya kiakida na kisheria uje kumkosoa kisa amekosea kugha Yeah tunakubali ni makosa ya kilugha lakini haki imefika na ndio jambo la msingi Kukosea kusoma ni tatizo ila kukosea maana na kuipotosha ni tatizo kubwa zaidi WATU wa bidaa wanashindwa hoja wanakomalia lugha Mtihani Kweli
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Angekuwa msufi kakosolewa kuhusu lugha na comment zenu zingekuwa za kushambulia ila ....
@abuuhhashim
@abuuhhashim 9 ай бұрын
Ulikua nimtu unaeheshimazako. Leo unajihumza katika mambo yasio kuhus. Bas hiv sasa wew ndio waonekana mtu asiejielewa. Ww wadhani unavojitutumua uposawa yote. Sis twakuskiliza. Hakuna alie salmika nahayo. Fanya jambo litakalo kusaidia mbele ya molawako.
@othmanmasoud1672
@othmanmasoud1672 9 ай бұрын
Huyo sio kama hajui kusoma sema matamshi ya ulimi wake sio mazuri acheni ujinga mashekhe wa kiislaam
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 9 ай бұрын
Jamaa anataka kusafiria nyota uyuu
@quickbookingzanzibar
@quickbookingzanzibar 9 ай бұрын
Sijapata faida yoyote ulichokielezea inawahusu washairi
@HusseinTofikihussein
@HusseinTofikihussein 9 ай бұрын
امجنون انت
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Swali lako hajaliskia
@AlhajiShabani-rq9vm
@AlhajiShabani-rq9vm 9 ай бұрын
Huyo shekhe aliye wakosoa mawahabi hamuwezi kielimu napia ashamkosoa muftyi 17:45
@ChifuIsmail
@ChifuIsmail 9 ай бұрын
Yaani masufi bhana wakikosa hoja ni vituko sana
@othmanmasoud1672
@othmanmasoud1672 9 ай бұрын
Umesoma lakini akili ya kufikisha ujumbe kwa anayekosea hujui
@AbuuheythamSaid
@AbuuheythamSaid 8 ай бұрын
Usitafute Kiki kupitia sheikh
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 9 ай бұрын
Huyu mwendaazimu huyu mwenyewe anakop na kupest
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 9 ай бұрын
Watu wa bida mkikosolewa na sheikh kassim mafuta mwalaumu uwahabi Kassim
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 9 ай бұрын
KUTELEZA KATIKA LUGHA NIJAMBO LA KAWAIDA TUU HATA KIPINDI ANABISHANA NA MUHAMMAD IDI SHEKH ALISHALISEMA HILO KATIKA MAELEZO YAKE HATA WEWE TUKIKUKAGUA UNAMAKOSA MENGI
@bakariomari9304
@bakariomari9304 9 ай бұрын
Asante shehe pitia Kila clp uke Kwan anajiona anaelimu
@omaryhussein405
@omaryhussein405 2 ай бұрын
Mashekh kuchambana sahivi nyie si mumuogope allah jamn mbona mnaharibu jamii jmn
@suleimanmasudi3851
@suleimanmasudi3851 9 ай бұрын
Hahhahaaaaa kumbe Leo mmemkubali sheikh Muhammad IBN abdulwahab, Alhamdullilah taaratibu mtaifaham daawah salafiyah, Allah akuhifadhi sheikh wetu Abulfadhil kassim mafuta kaasim
@saidishalako
@saidishalako 4 ай бұрын
Yaani tumua che ili tukacheze Ngoma, Hilo haliwezekeni
@mustaphakawanda4138
@mustaphakawanda4138 9 ай бұрын
Hatushangai masufi ndio kawaida yenu huwa munajikuta wajuaji kushinda hata mashekh walio zaliwa kwnye miji yao huko saudia nahuku wakijizhughulisha na din mpka mwxho wapumzi zao allah awaongoze.
@aliabdulla5395
@aliabdulla5395 9 ай бұрын
Makosa ya kilugha hata ww huwezi kuepukana nayo, wanakosea Waarabu wenye iyo lugha.. lkn kukosea lugha si kukosea Manhaj. Unaweza ukajua lugha na ukawa ktk manhaj ya upotofu.
@shabansaid2323
@shabansaid2323 9 ай бұрын
Manhaj ndio nini. Usikosee kama shekhe wako mafuta
@aliabdulla5395
@aliabdulla5395 9 ай бұрын
@@shabansaid2323 Mana inaonesha ww mwenyewe mjinga unapotea ndugu
@shabansaid2323
@shabansaid2323 9 ай бұрын
@@aliabdulla5395 sasa hili ndio tatizo lenu masalaf sasa matusi yanini? Kama hujui sema sijui
@aliabdulla5395
@aliabdulla5395 9 ай бұрын
@@shabansaid2323 Yenu nyinyi sio matusi mnapowatukana wanachuoni.
@shabansaid2323
@shabansaid2323 9 ай бұрын
@@aliabdulla5395 kumbe unakalilishwa vitu usivyovijua?
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 9 ай бұрын
Shekh wangu, hilo la kukosea ki lugha ni jambo la kawaida na hilo haliondoi kua alichokisema ni kweli, nawez kukutajia waarabu waliokosea kwa kutamka lugha yao, vile vile hata kwa kiswahili watu tunakosea na ndio maana shuleni kuna tunafundishwa lugha na ilihali tumezaliwa waswahili, hujitambui sema
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 9 ай бұрын
Kama kukosea ni kawaida umwambie mafuta wanapokosea watu watwariqa akae kimyaaa mafuta alimvaaa abuu idi kwenye makosa ya kilugha ingekuwa kawaida mafuta asingemkosoa
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 9 ай бұрын
​@abubakarhussein2 Sisi wanafunzi mtu akikosolewa kuhusu lugha halitusumbui Sana, hata Abu IDD tunajua kateleza alikumbushwa tu. Ishu za msingi aluzoradiwa sio lugha. Mahali pa mzozo sio lugha. Msitafute vichaka vya kujificha. 186
@abubakarhussein2186
@abubakarhussein2186 9 ай бұрын
@@topfreelancer5151 awap acha uongo mafuta alitaka atumie mwanya wa makosa ya kilugha ya abuu idd ili kukwepe pahala pa mzozo sasa alipoona nayye kuna makosa yakilugha kayafanya akawa mpole lakin ndio ada ya mawahabi kutumia makosa yakilugha kutaka kumporomosha mtu daraja yake aonekane hajui kitu. Na ndio maaana na nyinyi mkikosea makosa yakilugha nasisi tunatumia uslub ambao mnaoutumia kwetu lengo muache hiy tabia yakuwadharau wenzenu kisa makosa yakilugha. Wewe mtazame tuu kassim mafuta abuu idd alipomwambia mm nafungua milango mtoto wakishamsia telezaa alipokuja kujibu mafuta anasema mm nafunga milango alikuwa ana lengo lakuanzisha mada ya kusoma hajui mara kiarabu kibayaa yani ili akutoe kweny mada kiufupi mawahabi ni watu wababaishaji na wapotoshaji tu hawasikilizwi
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Comment reeeefu kukosea kweli kupo mwambie na mafuta kuwa kukosea kupooo😂
@RashidHassan-qi6ll
@RashidHassan-qi6ll 3 ай бұрын
Hilo nikosa la ukimi umeteleza nawala sio kosa la jahil(hajui) hapana nikosa la kibinadamu husimbandikizie Shubha zako wew unajua lugha kumliko yeye sh.kasim mafuta?
@محصنالكتامي
@محصنالكتامي 9 ай бұрын
mwenzako amehifadhi wewe kazi kukodoa macho tu.
@SHAMSULMAARIFKONDOA
@SHAMSULMAARIFKONDOA 9 ай бұрын
Ww nifala tu kwan aliehafidhi makosa na anaetizama naakasoma sahihi niyup mwenye elim
@samonline648
@samonline648 3 ай бұрын
Wewe hujielewi. Umekosa hoja hakika mfa maji huishia kutapatapa.
@محصنالكتامي
@محصنالكتامي 9 ай бұрын
wewe mwenyewe waangalia Kwa umakini kwenye kitabu wanakosea waarabu sembuse mimi na wewe. au huwasikilizi waarabu.
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. 9 ай бұрын
Lugha ni tatizo kwa mawahabi wote
@IdighamuMashombo
@IdighamuMashombo 9 ай бұрын
Tuna shukuru mungu huyu kasimu hana ilimuyoyote ilakutukana mashehe
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 9 ай бұрын
Akili huna
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 9 ай бұрын
Kwa kipimo hiki!!?
@abuuammar4924
@abuuammar4924 9 ай бұрын
Alaf mmejazana ktk grp la duruus zake telegram
@rodgersmartin7336
@rodgersmartin7336 9 ай бұрын
Kama huna lakusemaaa kaaa kimia shekh. Unaelimu kushinda hao ww.. taratibu kijanaa
@khadijaaliy9263
@khadijaaliy9263 8 ай бұрын
Badala ya kujadiliana vpi mtaikoa jamii tufanye vp tupate dola ya kiislam ati unamkosoa sheikh kassim nyinyi mmemsoma Mtume (saw) naona hawa mashehe wetu kukosoana2 ndo wameona ndio dini
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 9 ай бұрын
Maa shaa ALLWAH
@seiftara647
@seiftara647 9 ай бұрын
Uislamu umekuwa waajabu badala ya kubishana na makafiri mnaghitilafiana wenyewe kwa wenyewe its shame kwa nyote wallahi
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 8 ай бұрын
Hahaa eti anafundisha huku unakodoa macho chini uliza shekh alikua na kitab
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 9 ай бұрын
Na kukosea ibara kidogo ya kiarabu haimanishi kuwa hajuwi . Mtu ulimi huteleza wakati mwengine
@musakibwana4596
@musakibwana4596 9 ай бұрын
Jeuri/kiburi ndo vinavyo mponza
@Abuusaad-uy5cx
@Abuusaad-uy5cx 9 ай бұрын
Kuteleza kwa ulimi si hivi...amekosea ibara nyingi sana..
@KombHaji-dr5pd
@KombHaji-dr5pd 9 ай бұрын
yamanisha hajui quran kiabu hadithi ikiwakiarab huji itakuwaje
@sama-_8368
@sama-_8368 9 ай бұрын
Kukosea na KUTO KUJUA ni vitu viwili Hajakosea bali HAJUI
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 9 ай бұрын
Kama unaamni kuna kuteleza kwnn ujinadi kuwa unajua kufanya riseachi ya ilimu upumbavu mtupu maklele kama mbwa
@BinSwaleh
@BinSwaleh 9 ай бұрын
Kwani Sheikh Mafuta alikuwa anafundisha lugha
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Mpigie umuulize
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 9 ай бұрын
Mimi sipendi kuona munashindana ktk mitandao watu wa dini moja
@JalalaNdossa999222
@JalalaNdossa999222 9 ай бұрын
Jamaa kumbe kichwa mchunga - kupoteza watu watu kumbe elimu mtihani
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 9 ай бұрын
Hakuna khuraafiii kata mmoja anaeweza kumfundisha mafuta....huyu taahira ana bwabwatuu hapa
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 9 ай бұрын
Ww mwenyewe unatakiwa kufundishwa kiswahili kama hapo ulipooandika "hakuna khuraafii KATA Mmoja, sasa kata sijui ulikuwa unamaanisha nn
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 12 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 77 МЛН
MTIHANI !! HATA LUGHA HAJUI KABISA NA MAWAHABI WAMEMFANYA SHEIKH WAO
7:21
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 5 М.
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 44 М.
BACHU AADHIRIWA NA MWANAMKE NO: 01  FEDHEHA ZA WAZI
17:57
SAUTI YA HAKKI
Рет қаралды 10 М.
BACHU BAADA YA KUMJIBU SHEIKH AFUNDISHWA NA MWANAMKE ZANZIBAR
17:57
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 34 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 12 МЛН