TAZAMA SHOLOMWAMBA KATUA KUTOKA DUBAI, ASHUKA NA FUKO BADALA YA BEGI, AELEZA WALIYOKUTANA NAYO HUKO

  Рет қаралды 97,993

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 2 жыл бұрын
Mzee wa kuliAmsha nomaa mwamba
@honestshirima8340
@honestshirima8340 2 жыл бұрын
Nilijua anahojiwa BOBI WINE 🤣🤣🤣🤣
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Nampenda sholo Mwamba na huyu ndo King of Singeli.
@yuzotv458
@yuzotv458 2 жыл бұрын
singeli ni mziki waasili nasio uhuni kama wajinga wanavodhani,Hongera sana sholo mwamba kwakupeperusha bendera yatz🤝🤝🤝
@livingstonetemu1423
@livingstonetemu1423 2 жыл бұрын
Kikubwa experience mzeee baba nimekosa mdog wenu
@captenndunga6745
@captenndunga6745 2 жыл бұрын
Bunguza bange kama sio kuacha kabisa zinakuzeesha... Sholo kama sholo.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Hatariiii fire
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 жыл бұрын
Tumeijoi sio siri expo 2020 ilikuwa ya tz mrudi tena
@shivodon7388
@shivodon7388 2 жыл бұрын
Safiiii sanaaa shoro mwambaaa,,ww mnyamaaa
@Matunzo_Classic
@Matunzo_Classic 2 жыл бұрын
Mambo vip? NAKUKARIBISHA Kuitazama hii 👇🏼👇🏼👇🏼 kzbin.info/www/bejne/aqOzeGhnhbeDfqM Produced by bullet beatz Share kwa marafiki Subscribe like Toa comment Saport music mzuri Enjoy good music 👇🏼👇🏼👇🏼 kzbin.info/www/bejne/aqOzeGhnhbeDfqM
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 жыл бұрын
Ushindi Ni Mwingi Saaana 🇹🇿
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
Hahaaa, bongo barakoa buku mpk buku jero.....huku sehemu yyt ukiingia unakutana nazo...!...Na Kwa kuwaongezea tu' ni kwamba Hilo ni Agizo la SERIKALI Kila sehemu ya huduma BARAKOA au SANITIZER viwepo standby, kama mtu kaja Hana au imekatika , basi aikute barakoa hapo , na ikitokea wakaguzi wamepita hakuna barakoa ww mwenye OFISI unakula FINE..no question,..!...hii ni Kwa sababu SERIKALI inasimama MAAGIZO inayotoa na sio MAIGIZO kama huko kwetu..!
@azizabdallah3737
@azizabdallah3737 2 жыл бұрын
Uko wap
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
@@azizabdallah3737 ...Dubai...Burdubai..!
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
Ata nchi nyengine lkn saiv baadhi ya nchi kuna miji hawavai sio lazima ila tunavaa kwa usalama we2 serikali ishatoa tamko
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 .......ungeangalia video ungeelewa Kwa nn nimechangia hapo juu...!... kiufupi ni kwamba umakini wa Serikali yetu kusimamia utaratibu na unafuu Kwa watu kupata BARAKOA ni tatizo kwetu...! Kwa hivyo Hilo la kusema Nchi nyingine wanavaa wengine hawavai sio POINT...!..Elewa kabla ya kuchangia mada..!
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Safi sana sholo mwamba
@petroatanas8988
@petroatanas8988 2 жыл бұрын
Unajua sana sholo getola bibi
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
Hiyo mifuko ndo inatumika ufalme wa kiarabu bila huo bas hununui kitu mifuko ya rambo ilipigwa marufuku alivo piga marufuku mfalme wetu jpm wakafata huku dubai na muscat
@raybby9291
@raybby9291 2 жыл бұрын
Muscat bado inatumika km kawa ila kuna muda ilipoteaga kabisa ukienda supermarket ubebe chaku bebea lakini sasaiv imejaa km zamani
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
Ndiyo ipo mingi sana na hata kenya nilitoka tz na rambo enzi hizo kufika nairobi wasema tupa hiyo rambo wakanipa kama huo mfuko😂
@raybby9291
@raybby9291 2 жыл бұрын
@@nasrahassan7346 Tanzania hakuna mifuko ya Rambo kabla magufuli hajafa aliikataza na mpaka sasa hakuna na ukishuka airport wakikuona nayo unaambiwa uiache hapo na mtaani ukikutwa nao unakamatwa ndio maana hata ao waandishi wamemuuliza kuhusu mfuko
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 жыл бұрын
Muscat ipo shoga milambo tele.walizuia mwanzo tu sasa hivi free. Nenda popote pwle
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
😀😀 ndiyo my kwa sasa naiona mirambo tena wakati walikatazwa sahihi yamejaa full rambo😀
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Hilo shangazi kaja Kama katoka kwenye bajaji 😄😄😄😄
@mwaneyseifseif3059
@mwaneyseifseif3059 2 жыл бұрын
😂😂😂
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 жыл бұрын
Cha ajabu kitu gani bhana
@mwaneyseifseif3059
@mwaneyseifseif3059 2 жыл бұрын
Etiiiiii kwan sh ngp
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Mda wote uo walikua wanakula Kodi zetu uko poa tu asee
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 2 жыл бұрын
Hey
@chidymedia7051
@chidymedia7051 2 жыл бұрын
VIDEO KUMI (10) ZA SINGELI ZENYE WATAZAMAJI/VIEWS WENGI YOU TUBE👇🏼👇🏼👇🏼 kzbin.info/www/bejne/d5nYgmlsmrGMfrs #SHARE NA WENGNE 👏🏼
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Dawa tunakosa mtaani mama anasafiri na wasanii nje duh??
@aishambondo8923
@aishambondo8923 2 жыл бұрын
Mjomba vip umevaa viatu dubai🤔🤔
@rhimaar620
@rhimaar620 2 жыл бұрын
Nimeceka ukweli
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane 2 жыл бұрын
Uchawo upo wana
@andreadelson4878
@andreadelson4878 2 жыл бұрын
Ila kwel Kama anatumia majan aache tu maana duh
@habibahabiba7128
@habibahabiba7128 2 жыл бұрын
Zinauzwa bana sema ninyi hamkuwa nazo, so kwa tahadhari imebid mpewe
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
duuh yaani sholo kapanda ndege ? aisee nitafanya mpango nipande 😅😅😅😅
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 2 жыл бұрын
Tatizo sholo mwamba alivuta bangi kabla haja panda ndege ndo shida iyo kwaiyo ata akishuka na kanda mbili kwake fresh 🤣🤣👇👇 kzbin.info/www/bejne/a3-TYZasqZyUpdE
@sophiajamali8730
@sophiajamali8730 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 жыл бұрын
Atuwezi acha asili yetu
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Eti kuna dude sehemu unalibonyeza linatoa barakoa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Okky
@shamimucollectiondubai9727
@shamimucollectiondubai9727 2 жыл бұрын
Tuenjoy usiku singeli
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 2 жыл бұрын
Mbona hajakosea kwani sikihifazio chaalicho beba
@stanastana3199
@stanastana3199 2 жыл бұрын
wala mjani sana ww
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Yule singeli mwingine kapewa gari na demu wake lakini ndege hajawahi kupanda
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 2 жыл бұрын
Una uwakika😎
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 2 жыл бұрын
Una uwakika😎
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 2 жыл бұрын
Una uwakika😎
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
@@mtupeacetz2589 kwani dulla makabila amewahi kupanda ndege kwenda wapi
@leilajohn4600
@leilajohn4600 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@salmahussein5164
@salmahussein5164 2 жыл бұрын
Mpoto na peku yake
@mzunguxidde9071
@mzunguxidde9071 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
DAWA ZA KUMUACHSHA MTU POMBE NA UZINZI m.kzbin.info/www/bejne/jISupaljjc1mgsk
@maitharutemba3438
@maitharutemba3438 2 жыл бұрын
😁
@fatmasalim7035
@fatmasalim7035 2 жыл бұрын
😄😄😄
@Khadija.pande6
@Khadija.pande6 2 жыл бұрын
Yaan ukifika tu Tanzania maski unauweka pemben
@mateoamrima8386
@mateoamrima8386 2 жыл бұрын
Kaka ndio umeludi na fuko kaka
@yohanayohanaadamu6483
@yohanayohanaadamu6483 2 жыл бұрын
Punguza bangi wewe
@allychande6408
@allychande6408 2 жыл бұрын
Hahaahahhaah
@gracekaaya182
@gracekaaya182 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/a6uQepqqnJiWmLc Wakina dada na wanaume hasa mnapenda kutafuta wapenzi mitandaoni muwe makini sasa hivi kuna mambo ya kinyama yanafanyika tazama video ya kijana huyu aliyepata demu mtandaoni ambapo mwanamke huyo akamtumia nauli aende Tanga lakin kilichomkuta mmh...Mkoi tv tumekuwekea full video hii hapa...!
@benjaminahadi5926
@benjaminahadi5926 2 жыл бұрын
Usitizame filamu iyikzbin.info/www/bejne/gXfEqKahoLuljq8
@Bayothomusic
@Bayothomusic 2 жыл бұрын
Bonyeza link hii. Kisha subscribe na share video hii. kzbin.info/www/bejne/an-tnayFoq6foZY
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
MAKABIDHIANO YA VITU NA NYARAKA YAFANYIKA TAG MAJUMBA SITA
27:37
MISSION IMPOSSIBLE [27] SEASON 2
25:01
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 125 М.
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН