SIMULIZI YA MJERUMANI ALIYEMUACHISHA KAZI BOSCO WA ARUSHA BAADA YA KUMPENDA “NIMEMVALISHA PETE”

  Рет қаралды 7,434

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@samtelah7578
@samtelah7578 Сағат бұрын
Njaa mbaya saana
@Eangle666
@Eangle666 11 сағат бұрын
Hongera sana kaka unamsimamo sijawahi ona❤❤❤❤❤❤❤
@ibrahimkajitani3316
@ibrahimkajitani3316 35 минут бұрын
All the best bro🤝💪
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 11 сағат бұрын
Pambana bwanaa weee hakuna cheo cha umasikini weeee pambana tu na mapenzi yako😘
@dayana5513story
@dayana5513story 11 сағат бұрын
Wish you the best bro
@Kiulaernest347
@Kiulaernest347 14 сағат бұрын
Kikubwa true love ❤, umri ni namba tu, kikubwa sio ndugu wa damu wala si mzazi aliyekuzaa.....!!
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 14 сағат бұрын
True love wapi bwana mtu kapata sehemu zakupata rizki mbona hawawafati vibibi vyakiswahili vinavyouza maandazi kwa iyo mapenzi ni kwa vizee vya kizungu tu
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂​@@FahadAbubakari-y3f
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 3 сағат бұрын
😂😂😂😂mangi kashaona maokoto Anatega ...ikitiki mwamba anakuja kuanzisha big business. Sema jamaa tapeli eti mtoto😂😂😂
@GREATESTHITSREPLAYY
@GREATESTHITSREPLAYY 9 минут бұрын
😅😅😅😅 haina noma BOSCO hakikisha ajuza anakuachia urithi kabisa
@Kabwela776
@Kabwela776 9 сағат бұрын
Wabantu ni watu wa ovyo ovyo sana yeyote wanaweza kuowa au kuolewa hata hawajiheshimu huwezi kukuta waarabu au wasomali hawa wakajiolea mwanamke yeyote tu yule au wakaolewa Na yeyote Tu wanajiheshimu sana ila wabantu hata wanawake wa ajabu ajabu tu au wanaume wa ajabu ajabu tu ili mradi wazungu wanakubali!
@diti4899
@diti4899 Минут бұрын
Kabisa braza
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 17 минут бұрын
Dah dunia imepinduka ss hv wanaume ndio wakuhudumiwa 😂 huyo bibi hedhi imekata mtt amtolee wapi 🤣🤣🤣🤣
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 13 сағат бұрын
Mchaga maokoto muhim 😂😂😂😂😂 huna baya kaka
@ibrahimkajitani3316
@ibrahimkajitani3316 32 минут бұрын
Kikubwa furaha 😅 na amani ya moyo😂
@kmotivation1130
@kmotivation1130 10 сағат бұрын
Vijana fanyeni Kazi
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 12 сағат бұрын
Hakuna tuzo ya maisha Magumu, kula shortcut hiyo kaka
@MaishanaDavid-ej1ic
@MaishanaDavid-ej1ic 3 сағат бұрын
Hahah
@Ahmedsalimu-p6v
@Ahmedsalimu-p6v 3 сағат бұрын
kzbin.info/www/bejne/qqupY2WYhL9-i80si=R8VP-2QPkcMruEp0
@Jackson-n2c
@Jackson-n2c 2 сағат бұрын
😂Nikamwambia Karibu
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 сағат бұрын
Fanya kazi acha kutumikishwa kingono,unaoa bibi yako. Nitakula tembele na mke wangu na watoto wakiwa hapo mpaka nibadilishe maisha
@samwesupa6906
@samwesupa6906 Сағат бұрын
Wewe c uendelee kufanya kaz
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 5 сағат бұрын
Sasa ayo mmeanza kuzingua.
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 7 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha nicheke mie eti nipate mtoto at 68 years ww kula pesa tu ndugu yngu,, bibi nko hapo usijali
@ibrahimkajitani3316
@ibrahimkajitani3316 34 минут бұрын
Mtoto sio mpka abebe mimba wenzetu huwa wanatunza mayai
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 11 сағат бұрын
Muwe mnaleta mahojiano yenye akili ayo
@MriceeTZA
@MriceeTZA 14 сағат бұрын
Boya huyu daaah!! Tumia akili piga pesa 😂😂😂😂
@DINASSOUR
@DINASSOUR 13 сағат бұрын
Yn kaz unaamka saa nan usiku af ...unalipwa lak 250
@DianaHyera
@DianaHyera 2 сағат бұрын
Bibi umri ule anaweza kuzaa? Ila kaka hakuna tunzo ya umasikini,Kula maisha kaka,umuulize tu kama anamdogo wake wa kike,maana Nina kaka yangu huku anamindevu miiiingi ila Hana mipango
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii Сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 13 сағат бұрын
Wabongooo wengiii Vinng,stiiiii biraaa kujariii afyaaa walaaa niniiiiii
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 13 сағат бұрын
Mwamba kuwa makini sana ukioza ukafa ujue hiyo nibkweli bibi wa watu kachukua sample kaona figo zako zinaweza tumika kwa mme wake yuko uko kwao sasa ndo tuko kwenye mchakato wa kuichukua
@OlesyekuKadege-cq4eo
@OlesyekuKadege-cq4eo Сағат бұрын
Wamasai mpo dah
@DINASSOUR
@DINASSOUR 13 сағат бұрын
Chkua maisha Kaka hawa GEN Z VIKOJOZ ACHA NAO😊
@MoudyAlly
@MoudyAlly 14 сағат бұрын
😂😂mamamamamae fanya kazi we boya
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh 14 сағат бұрын
😂😂😂😂
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 13 сағат бұрын
Baba Ukapona kabisa...7M Unatanya Mchezo Nini!!!😅😅😅
@CatherineMvanga-oz8bd
@CatherineMvanga-oz8bd 13 сағат бұрын
Daaah wee jamaaa 😅😅😅😅
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 12 сағат бұрын
Kula MAISHA brother MAISHA ni Matamu sana.
@reginaedward4883
@reginaedward4883 12 сағат бұрын
Don't listen what people say,hii maisha fanya chenye unataka and let people say at the end of the day remain loosers.
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 13 сағат бұрын
Yani mwamba anajisifia maamuzi yake
@FelisterMichael-r8t
@FelisterMichael-r8t 9 сағат бұрын
Sasa jitaidi hata uwe na miradi uweke vijana huyo mwenyewe bibi
@GloryEmma-l9l
@GloryEmma-l9l 2 сағат бұрын
Miaka 68 hedhi imeshakata huyo mtoto unampata wapi bosii
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 11 сағат бұрын
Amna mapenzi apo yeye mzungu pesa anatoa wapi
@GilbertMinja-zf4of
@GilbertMinja-zf4of 14 сағат бұрын
Bongo ni ngumu sana dah
@hemedtawah4130
@hemedtawah4130 6 сағат бұрын
Huyu jamaa hayuko sawa mentally
@Ahmedsalimu-p6v
@Ahmedsalimu-p6v 3 сағат бұрын
kzbin.info/www/bejne/qqupY2WYhL9-i80si=R8VP-2QPkcMruEp0
@salamasefu5494
@salamasefu5494 9 сағат бұрын
Huyu mbona km Ethopia au msomali .
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii Сағат бұрын
Nam nmejiuliza hivo!
@Omarimsumi-d1k
@Omarimsumi-d1k 13 сағат бұрын
Mbona bibi uyooo
@ibrahimkajitani3316
@ibrahimkajitani3316 33 минут бұрын
Mapenzi upofu mzee😂
@Adam-u9m6v
@Adam-u9m6v 10 сағат бұрын
Mimi hapana asee siwezi hata kama una pesa
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 7 сағат бұрын
Mmmmh sema hujapata tu ,, chezea pesa weweeee
@Maxn_Engineer
@Maxn_Engineer 13 сағат бұрын
Mwanetu plan C yake imetik an haaahaa haaaha ......
@JacklineMmari-y1y
@JacklineMmari-y1y 13 сағат бұрын
Acha ujinga kaka fungua biashara ya duka wewe acha ujinga
@aminattai2676
@aminattai2676 13 сағат бұрын
We sio mswahili, mswahili ni mtu wa pwani ambae hana lugha zaidi ya kiswahili,wewe ni mchaga na uko na lugha yako,so sio mswahili.
@CopperBelt
@CopperBelt 10 сағат бұрын
Sasa aongee kikwenu nani anakijua mswahili na kabila lenu ndo jamiii moja wote wabantu
@CopperBelt
@CopperBelt 10 сағат бұрын
Mbantu ndo mswahili ukiingia kwanzia pwani kilimanja yote hiyo ni ardhi ya wabantu japokua wanaongea lugha zao wote waswahili
@neemanyove9130
@neemanyove9130 5 сағат бұрын
Kuna mtu asiyeongea lugha yake Tanzania hii? Kwamba watu gani wa pwani wanaoongea kiswahili tu? Hebu Acha kupotosha watu kama hujui omba kufundishwa
Turkey's Power in Egypt: Leaders Stood as Turkish President Entered
7:57
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
Carlos Ghosn on Nissan-Honda Talks, China EVs, Trump
12:21
Bloomberg Television
Рет қаралды 309 М.
Ustaz Auni Bercerita Tentang Donald Trump
10:31
ADVision MY
Рет қаралды 28 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.