TAZAMA VIDEO HII MWANZO MWISHO UNIONEE CHOO CHA KISASA KINAVYO KUWA AKIJAI

  Рет қаралды 14,311

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 8 ай бұрын
Yaaan kaka Mungu akubariki sana wallah. Na akuhifadh upate kutusaidia . Nmeipenda iyo kdgo nakutafuta sana ckupati
@tatuathmani883
@tatuathmani883 8 ай бұрын
Kaka hilo shims lachoo mpaka li akamilika linagalimu kiasigani chapeau ujekwangu mbezi nahitaji shimokama hilo
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 8 ай бұрын
unafanya kazi mzuri sana kaka hongereni sana hila jitahidi uje unajibu comment hata kwa uchache hili watu wapate huelewa zaidi sio mpaka wapige simu ahsante 🙏🙏🙏🙏.
@bentybenty2343
@bentybenty2343 8 ай бұрын
Much luv sir with your team 🎉🎉🎉❤❤
@kaperijohn7537
@kaperijohn7537 8 ай бұрын
Vp huu mfumo kwa yale maeneo yenye maji mengi chini(chemchem) unaweza kuondoa changamoto ya maji kujaa hasa nyakati za mvua?
@didasseveline9013
@didasseveline9013 8 ай бұрын
Acheni kudanganya watu kwamba hiyo choo haijai sio kweli labda ukisema inachukuwa muda kujaa
@stellamoses4496
@stellamoses4496 8 ай бұрын
Mr house choo hicho nampenda kujua gharama Yake tafadhali
@PpPp-nv7gf
@PpPp-nv7gf Ай бұрын
Ni sawa unatushauri vizuri hujibu sms za watu hata kama uko bize ni vema ukamjibu mtu
@cleophaxgeremy2148
@cleophaxgeremy2148 8 ай бұрын
So mnajifanyia advertising ya kazi zenu,,,but tatizo maongezi kwenye show hii ni mengi bri,,anywats congratulations kwa technology hiyo
@fanni-ck6do
@fanni-ck6do 8 ай бұрын
well good job solute
@mussamaulid4113
@mussamaulid4113 8 ай бұрын
Mbona bomba iko juu sana
@stellamoses4496
@stellamoses4496 8 ай бұрын
Tafadhali hicho Naomba nijuegharamayake
@RehemaSaidi-z6f
@RehemaSaidi-z6f 8 ай бұрын
Unaelimisha vizuri Lakin una bei ambazo zinamkatisha mtu kujenga
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 8 ай бұрын
Nakukubali kinoma
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 8 ай бұрын
Bei mhmm kaka tafadhali
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 5 ай бұрын
Kazi safi sana
@aishajuma5079
@aishajuma5079 3 ай бұрын
Kaka namimi nahitaji kuongea nawewe tafadhali
@tatuathmani883
@tatuathmani883 7 ай бұрын
Kaka kamahutojali niambie hikichoo beiyake kukiandaa mpaka kinaisha namie nakihitajia kwangu nikuite
@aishajuma5079
@aishajuma5079 3 ай бұрын
Namimi nahitaji pia atujibu 😢
@vailetharoyce659
@vailetharoyce659 3 ай бұрын
Gharama yake ni sh.ngapi
@ZaituniOmary-g8o
@ZaituniOmary-g8o 8 ай бұрын
Kaka ss tunae taka kujenga mikoan inakuaje
@LeluumakameMussa-ln5rc
@LeluumakameMussa-ln5rc 8 ай бұрын
Gharma yake ikoje na mm nimekipenda
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 8 ай бұрын
Kilichoendelea kwenye hii picha ni nini? Hatukuona finishing yake sasa. Ilo shimo ilikuaje hamjaeleweka vzr.
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 8 ай бұрын
Naomba kujua beiyake
@didasseveline9013
@didasseveline9013 8 ай бұрын
Wala apo hamna jipya kwamaana hiyo choo haina tofauti ya mashimo ya septic na soak way pit
@daudilushinge-bm4fm
@daudilushinge-bm4fm 8 ай бұрын
Kwann ucwekwe tee ap kama emergence faza ikitokea imeziba
@stellamoses4496
@stellamoses4496 8 ай бұрын
Gharama Yake kiasi gani?
@stellamoses4496
@stellamoses4496 8 ай бұрын
How much does it cost
@salama1113
@salama1113 8 ай бұрын
Hapo akipanda mboga zitasitawi kweli
@SafinaSelemani-p6x
@SafinaSelemani-p6x 8 ай бұрын
Sh ngapi
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 8 ай бұрын
Yes sir
@aisha5775
@aisha5775 8 ай бұрын
Nimekipenda aisee
@moudys
@moudys 8 ай бұрын
Unapenda chooo
@tatuathmani883
@tatuathmani883 8 ай бұрын
Samahani usi zalau mesejiyangu
@AminaKida-ik8fc
@AminaKida-ik8fc 8 ай бұрын
Sasa wa mikoan wanapataje hiyo dizain
@RashidAmos-n2r
@RashidAmos-n2r 8 ай бұрын
Kaka zingatia mambo ya copyright usipende Sana kutumia nyimbo
@AhmedYousuf-m6d
@AhmedYousuf-m6d 8 ай бұрын
Mpaka kinaisha bei gani
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 6 ай бұрын
Mbona mashimo mafupi inakuaje yasijae
@magunomaguno59
@magunomaguno59 8 ай бұрын
👍👍👍
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 8 ай бұрын
Izo choo ni bei gani?
@rockygappi1018
@rockygappi1018 8 ай бұрын
Yumkini unashauri na kufanya kazi nzuri..lakini hii video kiufundi hauelezei namna choo hicho kinafanya kazi ni kwa vipi hakijai??
@ZuwenaSoni
@ZuwenaSoni 8 ай бұрын
Nime penda
@salama1113
@salama1113 8 ай бұрын
Hapo akipanda mboga zitasitawi kweli
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,9 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 25 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 2,9 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
WEWE UNAYETESEKA NA MAJITAKA SULUHISHO ILI HAPA
1:51
Biotech_Builders
Рет қаралды 4,1 М.
P4 - Hourra, l'eau est au rendez-vous
1:55
Jankari
Рет қаралды 263
PUTIN: HAKUNA NCHI YENYE UWEZO WA KUPIGANA NA URUSI|WASITHUBUTU
6:25
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 6 М.
MWENDELEZO WA MAAJABU WA CHOO KISICHO JAA TOKA BIO_TECH_BUILDERS
5:06
Biotech_Builders
Рет қаралды 17 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,9 МЛН