Tazama vurugu za Kengold Fc walivyompiga Refa baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Pamba Jiji

  Рет қаралды 33,495

Tikibongo Tv

Tikibongo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 11
@GODFREYMBOGE
@GODFREYMBOGE 4 күн бұрын
Kuna watu wa kuwafukuza kucheza mpira kabisa
@StevenAndrew-l2b
@StevenAndrew-l2b Күн бұрын
Amna mchezaji apo kama shoga tu hawezi mpila choko uyo kama anataka maswala yote hayo aondoke aanze bondia
@Rozleen-i9c
@Rozleen-i9c 2 күн бұрын
Afukuzwe kabisa uyo so afungiwe akifingiwa atafunguliwa atimuliwe asicheze mpira mi mwenyew nmejiskia vibaya alivomsukuma lefa watu wanacheza club kubwa kama yanga na simba likin hawafany ujinga uoo... Aende kulima uyo hasira ziishe
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Күн бұрын
Hizi akili ni ukichaa muwafungia tu ndio kilicho baki
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl Күн бұрын
Huyu Salum Ramadhan Chobwedo..... hii ndio Ligi kuu yake YA MWISHO , na mtakuja kunielewa. Ligi kuu wachezaji woooote ni PROFESSIONALS hata kama timu yako ikishika mkia. Tabia hii ametoka nayo mbali na si ajabu karithi kutoka katika Familia yake.je atapewa USHAURI wa kisaikolojia????
@frankisaya5050
@frankisaya5050 3 күн бұрын
Huyu hapaswi kusamehewa maana hizo hasira Bora aende akazimalizie mashambani huyoo
@taseleli9181
@taseleli9181 2 күн бұрын
Kwa kweli angefungiwa tu maana hana nidhamu kabisa
@RashidiAdamu-b3q
@RashidiAdamu-b3q 4 күн бұрын
Hii kazii ndo mpila wa bongoo😅😅😅
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 2 күн бұрын
Mbn waamuzi hua wanasamehewa wakati inatakiwa washushwe daraja kabisa ii ndio ligi yetu kikubwa uhai
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 3 сағат бұрын
Ligi ya kipumbavu,timu karibia zote zinadhaminiwa na makampuni ya betting unategemea nini.
@maelezo
@maelezo 23 сағат бұрын
Jamani kunamda kile alichokifanya mchezaji ni haki kwasababu nae ni binadamu siokilamda mnachambuwa kwa kuangalia kanuni lengo lilikuwa ni kupiga mpila
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 36 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 581 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 400 М.
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
9:11
Azam TV
Рет қаралды 850 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
D. MWASHA FILMS
Рет қаралды 477 М.