TAZAMA WAREMBO WAKIMBIZI KUTOKA RWANDA NA BURUNDI KWENYE FASHION SIKUKUU YA WAKIMBIZI DUNIANI

  Рет қаралды 39,550

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@emmanuellkfightforjusticea2474
@emmanuellkfightforjusticea2474 2 жыл бұрын
Respect to you my sister ❤. DRCONGO. We love our country . One day yes
@NapoleonDusingizimana
@NapoleonDusingizimana 11 күн бұрын
Acha ujinga akuna wakimbizi gutoka Rwanda Amani Rwanda 👍👍👍
@deborahjm8890
@deborahjm8890 2 жыл бұрын
Akunaga wa Rwanda 🇷🇼 kwenye iyo kambi ni wa congo 🇨🇩 na wa Rundi tu 🇧🇮
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Wapo
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Hamna
@mwaminievelyne3604
@mwaminievelyne3604 2 жыл бұрын
Wapo Ila sio wengi tu
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 жыл бұрын
Hapo ni wakimbizi wa Burundi na congo hakuna mkimbiz wa Rwanda muwe mnaweka habar kwa ufasaha zaidi acha kuwalisha watu matango poli
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Wapo
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 жыл бұрын
Wanyaruwanda wapo kibao kambini. Wengine wanaosema wakirudi wataishi vp hawana chochote kwa hiyo wapo msibishe.
@deniskimenyi899
@deniskimenyi899 2 жыл бұрын
Rwanda haina wakimbizi kwa sasa Tanzania, Na hakuna kambi yenye wakimbizi toka huko. Lakini wamejaribu kwa kweli katika hari zao za ukimbizi hawa walio andaa hiyo show .mungu awasaidie nchi zao zipate amani warudi kwenye maishaa ya kawaida.
@beatricekipela9100
@beatricekipela9100 2 жыл бұрын
Wamependeza sana kwenye hii show
@kaitaramadan6340
@kaitaramadan6340 2 жыл бұрын
Duh aisee kumbe kambini Kuna visu hatari
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, Mrembo
@marieakili3005
@marieakili3005 Жыл бұрын
Good ❤❤
@Hearts4rucyah
@Hearts4rucyah 2 жыл бұрын
👌🔥🔥
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Rwanda wanakibia nn ten bwna iche yao ina Aman
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Bado wapo wakimbizi wa zamani
@theosaimon6933
@theosaimon6933 2 жыл бұрын
Mimi ngoja nikatafute zangu jiko huko
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
Majiko mazuri yapo kariakoo, mtaa wa congo na aggrey. Unapata la gas kabisa ya plates mbili, tatu,n.k.
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 2 жыл бұрын
Yanii wamezoea kukimbia sio kwa hizo pozi ila wamedamshi
@mwombekimajura1973
@mwombekimajura1973 2 жыл бұрын
Nimeona Hii. Sikuhudhuria kwani nilikuwa tight na CO training za wale wacongo wanaenda USA ila niliambiwa sherehe ilifana sana
@kigomanow5413
@kigomanow5413 2 жыл бұрын
We milardayo vipi yani unavyo chukia Congo mpaka unasema Rwanda badala ya congo umenisikitisha sana
@meshackmarwa9
@meshackmarwa9 2 жыл бұрын
Naomba kuishauli serekari yetu ya tanzania kuwa iwaruhusu hawa warwmbo waolewe huku kwetu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Se bein, 👏🏿 bravo.
@raymondwilliam3042
@raymondwilliam3042 2 жыл бұрын
Waachen jaman hkuna wa kuwafarij hao weng Ndg zao walishatangulia mbele za hapo hawajitambui Wacha Wafarijiwe tu 😭
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Nipe number yako nikuunganishe nae
@frankkashamakula838
@frankkashamakula838 2 жыл бұрын
Sasa Rwanda Unakimbia Nni Burundi pia Yani bora Ukimbie DRC Apo kweli Ao Wengine Ludisheni kwao Kasolo pisi za Rwanda
@mamitaamashausi5164
@mamitaamashausi5164 2 жыл бұрын
Wow nice
@mawazomwamba2667
@mawazomwamba2667 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 2 жыл бұрын
Wema sepetu ajitokeze
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@omarhome2260
@omarhome2260 2 жыл бұрын
Mm hata sioni fashion yyte ninajionea nguo tuh
@yuzzohcrayze
@yuzzohcrayze 2 жыл бұрын
Wacha weeee
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Ila kusema kweli hapo ndipo wanapo patikana majambazi sugu sitakiiiiiii kuchambwa ila majambazi wengii ni watu tunao wajaribisha na kuwasaidia kwa wema tu badae ndio ivoo tena
@musanachantal5867
@musanachantal5867 2 жыл бұрын
ukona kasoro rwanda kuna amani rekebisha ujinga zako plz
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Jmn gauni imetoboka arafu alivyowageuzia wale majaji kwa madaha wowow
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Kweli hawa ni wakimbizi😂😂
@shaibumkullu4478
@shaibumkullu4478 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salmahhaji1914
@salmahhaji1914 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@yuzzohcrayze
@yuzzohcrayze 2 жыл бұрын
😂
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Leo mumetuletea vichekesho ila nimefurahi nairejea mara tatu hii video kikweli Allah awatangulie wanajifurahisha wenyewe japo wana majonzi ya kupoteza ndugu zao
@alextercisio
@alextercisio Жыл бұрын
Hapa hakuna fashion
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Vumbi namna hii
@halimaally8668
@halimaally8668 2 жыл бұрын
Kwan hamjaona huyo mwenye gauni limeraruka nyuma🤦‍♀️
@AWetekatz
@AWetekatz 2 жыл бұрын
Utakuwa ndio mtindo wenyewe huo🤭🤭
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
Nilidhan nimeona pekeangu
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 2 жыл бұрын
Jmn munamacho kweli😃😃😂
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 2 жыл бұрын
ni mshono huo
@zulfaomari8555
@zulfaomari8555 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔
@sharifaabdullah1161
@sharifaabdullah1161 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakimbizi kweli maana sio kwa kukimbia huko
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
02:26 pisi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
duh ! Africa jamani tupo nyuma sana kwa kila kitu , fashion show vumbini 🏃🏃🏃
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 2 жыл бұрын
😁😁😁🤣🤣🤣🤣
@kaitaramadan6340
@kaitaramadan6340 2 жыл бұрын
Yaani wewe ni pimbi kweli aisee umeambiwa hapo ni mjini hapo ni kambi ya wakimbizi sio dar hapo tumia akili pimbi wewe
@LishaPasha
@LishaPasha 2 жыл бұрын
Acha hizo...kwani huelewi maana ya neno au watu wakimbizi wako kambini? Give them a break please....they don't have facilities or luxuries kama weye hapo...but still wanajitahidi kujifariji na kusahau matatizo yao.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
@@kaitaramadan6340 pimbi naona ni weee unaepewe kioo watu wakachukua dhahabu na almasi na kuwasindikiza kani hakuna uwezekano wa kufanya hivyo maonye kwenye sehemu yenya mazingira yaliy bora zaidi ya hapo , au ndio kuwezi kufirika. na kutafakari , akili za kupewa kiooo. wenyr akili wanachukue dhahabu na almasi 🤣🤣🤣
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Eti vumbini😂😂😂😂😂
@oliverwema8646
@oliverwema8646 2 жыл бұрын
Akuna wa rwanda hapo please hahahahahahhhaa
@yuzzohcrayze
@yuzzohcrayze 2 жыл бұрын
😂
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 2 жыл бұрын
wakimbizi why?
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
😂😂😂
@dlumala
@dlumala Жыл бұрын
Hawanajipya big ass tu
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 2 жыл бұрын
Yan wote washamba Sana 🤣🤣🤣🤣🤣
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 2 жыл бұрын
Sio washamba ila kumbuka hao niwakimbizi pia wapo ktk mazingira magumu wamejitahidi sana
@mahamuduabubakar5909
@mahamuduabubakar5909 2 жыл бұрын
Maana ya ushamba ni nini huwaga mkimbilia ushamba yawezekana wewe ndo mshamba zaidi yao na usishangae wanakuzidi hadi maisha chunga mdomo wako wewe bata mla tope
@brenda1083
@brenda1083 2 жыл бұрын
Fikiria kabla hujaongea wacha matharau ndogondogo
@blackity10
@blackity10 2 жыл бұрын
Mshukuru mungu kwa hali yako usidharau wengine
@nicholouswaryoba1474
@nicholouswaryoba1474 2 жыл бұрын
Kwanini wasirudi makwao maana naona Rwanda wanapokea wazungu huku wao watu wao wapo nje kama wakimbizi....msemo wa mnyeti baadhi ya nchi hazijitambui
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣mbona wanatembea kama wanakimbizwa
@shaibumkullu4478
@shaibumkullu4478 2 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@yuzzohcrayze
@yuzzohcrayze 2 жыл бұрын
😂
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 2 жыл бұрын
Si ndio wakimbizi jamani
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
@@abuialmarjibi979 😂😂😂asee umewaza mbali
@jeniferemmanuel4251
@jeniferemmanuel4251 2 жыл бұрын
​@@abuialmarjibi979 muone 😁🤣🤣🤣🤣🤣
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Wamevaa kikimbizi ma wanatembea kikimbizi🤣
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
Mbona hayo mavazi ni ya kawaida sn jmn🤣🤣🤣uyo mwenye kupasuka gauni kwema😁😁nacheka kama mazuri dah
@beatricebertin2940
@beatricebertin2940 2 жыл бұрын
Kwa Fashion gani jamani 🤣🤣🤣
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
fashion dongoni na vumbini , hufanyika Africa tuu 🤣🤣🤣
@richardlucas2275
@richardlucas2275 2 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 ndugu yangu hao niwakimbizi.. hiyo ni sikukuu yao. Sio siku ya fashion show. Ni fashion show ndn ya sikukuu ya wakimbizi. Unaweza ukatumia elfu sabini KWA ajili yakujipepea?
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Wame tuletea vituko mie nzcheka tu nafurahi najisikia kucheka Allah awatangulie wamenifurahisha
@blackity10
@blackity10 2 жыл бұрын
Sio poa,,,Nyie mnadharau watu ambao situation zao mnazijua,
@richardlucas2275
@richardlucas2275 2 жыл бұрын
@@blackity10 nonsense kabisa sijui watapoteza nini wakikaa kimya??
MSIBA WA KITAIFA-RIP ANNA MDEKA
1:20
MC Msangi events
Рет қаралды 22 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 12 SEPTEMBA 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,6 М.