TBC NA CHADEMA WAMALIZANA / MBOWE USO KWA USO NA DKT RIOBA / SUGU ATAJWA

  Рет қаралды 26,866

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

3 жыл бұрын

Пікірлер: 127
@dullymsafi9030
@dullymsafi9030 3 жыл бұрын
Umeona Mambo ya kujisimamia huwa yanaleta hesma na Aman, na haki, hiv kimfano asingewafukuza hii yote ya kukiri kosa tungeona, na wangeendelea na ushenzi wao, mbowe ww n kidume saruuuuti kwako, na TBC nanyi nawapongeza kwa kukiri kosa na kutoa utofauti wenu na chadema
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 3 жыл бұрын
Hongereni sana,kwa kitu kizuri mulichokifanya kwa taifa. Wanaogea hawakosani.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
TBC siku zote timizeni wajibu wenu kwa kutenda HAKI kama chombo cha habari na msikubali kutumika na chama chochote cha siasa kinyume na maadili ya chombo cha habari.Tunahitaji kuwa na taasisi zenye mifumo imara.Hongereni tbc na chadema kumaliza tofauti zenu.Haki huinua taifa.
@tonywilliams8819
@tonywilliams8819 3 жыл бұрын
Dr Rioba!I always respect you brother.You are absolutely correct!!
@ojasoojaso9479
@ojasoojaso9479 3 жыл бұрын
Nchi yenye watu wanaotambua madhaifu yao na kujikosoa ni nchi yenye afya , Ryoba na mbowe, hongereni, tena sana,Tbc ilijikwaa cku ile na yote mumeyazika, hakuna mkamilifu,wengine wajifunze kusameheana kama hivi,binafsi 🙏✅👏
@joramyusuph6869
@joramyusuph6869 3 жыл бұрын
Wanalusha tuvipande awaonyeshi watu wa chadema Ila ccm wanaonyesha vizuri awa
@barakawillson1741
@barakawillson1741 3 жыл бұрын
Hi ni chanel ya ccm. Wanawatenga vyama vingine
@eustacemgawe5454
@eustacemgawe5454 3 жыл бұрын
Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka. Hongera TBC. Hongera CHADEMA. .Here we go
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Hata Mimi nimefurahi sana. Nimependa njia hii .
@japhetkavishe2347
@japhetkavishe2347 3 жыл бұрын
TBC acheni bias hata mm siiangalii tena
@sewandomkuchu2431
@sewandomkuchu2431 3 жыл бұрын
Asante TBC Warioba , asante Tume , asante Chadema Mbowe-na hii sasa ni Tanzania niijuavyo ...tukiwa hivi kwenye mambo yetu ama kwa hakika badae ya nchi yetu ni raha tu...
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Kweli kabisa.Mungu Awasimamie na Awape Busara zakutuongoza zaidi
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Siasa tu za kampeni
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 жыл бұрын
Mbowe ni jasiri sana ila ni wapongeze na tbc kwa kujishusha
@sniperbogo6210
@sniperbogo6210 3 жыл бұрын
Tbc muwr mifano kwa kujishusha na kumuita mbowe mmalize tofaut zenu ila angekua ndio yule jamaa angekuja na bunduki ndio maana hatumtaki!!!!!
@husseinnkenja8149
@husseinnkenja8149 3 жыл бұрын
Chadema walishindwa kutafsiri tofauti ya serikali na chama cha mapinduzi. TBC mnavyotangaza miradi ilifanywa na serikali ni namna ya kuwataarifu wananchi juu ya kinachotendeka na si mambo ya ccm yale.
@simongitting6562
@simongitting6562 3 жыл бұрын
Mi mwenyeeweee ilinishitusha sana taasisis kubwa kama TBC kufukuzwa kama mbwa basi nitashukuruvsana rioba kuwa mkweli na kukiri
@Gift22136
@Gift22136 3 жыл бұрын
Bora wamekubali kosa mareporter wao walikuwa bias.
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Baada ya uchaguzi kuisha..TBC watabania kama wakaida..Wacheni kutuchezea akili.
@robertsemaganga9168
@robertsemaganga9168 3 жыл бұрын
Nilikuwa nawaza hivi wazee wetu walipokuwa wanapewa shanga na wakoloni na wao wanatoa dhahabu,hivi walikuwa wanawaza nini na walikuwa timamu kweli,na sasa nayaona kumbe tusiwadharau wale wazee wetu kumbe ni jadi yetu,hivi Kazi kubwa anazozifanya Mh Magufuli hadi dunia inashangaa,wenzetu uchumi umeshuka ,sisi ndiyo kwanza tunaingia uvhumi wa kati kabla ya muda wa malengo yetu,hivi wewe unayedharau na kuzomea unaakili kweli?au laaana?Mungu aseme nawe leo je ni Rais yupi yule tuluyemuona akitejekeza kwa vitendo au hawa wa maneno tuu.Hebu sema na Mubgu wako.kumbe watanzania tumezoea maneno matamu bila vitendo.Mungu aingilie kati tumtie moyo Mh Magufuli kwa kazi nzuri na anastahili kuwa kiongozi
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 3 жыл бұрын
TBC niloshaisahau mana haina usawa hta kdgo inapendelea sana pia wajitasmin vinginevo inapoteza ni kama mnaumiza kodi za zetu kwa faida yenu
@erickmapunda4231
@erickmapunda4231 3 жыл бұрын
Hao chadema hawawezi kuipenda TBC kwsababu zao za kipumbavu wanahisi tbc ndy wanawafelisha kumbe wenyewe kwa ujinga wao ndy wanajifelisha, ile ck waliwafukuza ilitakiwa vyombo vyote vya habari vingeitenga chadema, kwasababu hawakuwa waungwana, mbona makonda alivamia clouds vyombo vyote vya habari vilimtenga.
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 3 жыл бұрын
Mimi niwashauri viongozi wote wa idara mbalimbali za Serekali na ambao viongozi wengi mnateuliwa na Serekali muache tabia ya kuwabagua Watanzania wakati wote ni walipa kodi. Kikao chenu kimewajengea heshima sana. Kukubaliana kwenu kutafanya wateule wengi wa Serekali wajirekebishe wasitumie madaraka yao vibaya. Bado tume ya uchaguzi na wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa. Badilini tabia zenu za kujifanya maamuzi yeni mumeamriwa toka juu. Tumieni nyadhifa zenu kama Watanzania.
@kiandangulwi3546
@kiandangulwi3546 3 жыл бұрын
TBC nshaachaga kuangalia mda. Tz imebaki ITV tu
@abdallahsuleiman4599
@abdallahsuleiman4599 3 жыл бұрын
Rioba siku nilikuona unakubali uteuzi niljua unakwenda kudhibitiwa nadhani unahitaji kua huru juu ya unachokiamini, nacho ni ukweli na uhuru wa kuzungumza bila ya upendeleo nilikua napenda sana kukuskiliza lakini sasa.....
@estermtitu7205
@estermtitu7205 3 жыл бұрын
Kiukweli mimi nyumbani kwangu nilishaifuta TBC zamani kwa kuwa na upendeleo kihabari, ccm tu na mambo yake, ck ile walikuwa wanakata matangazo na kuleta mazungumzo yao ya studio ka mpira vile
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 3 жыл бұрын
Rioba mwoga tu! Silolote sichochote sie tulishajua ninyi ni ccm B
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
Kwako Mh.Magufuli Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya - Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___ 1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea. 2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani. Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ? Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani? 3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ? 4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ? Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi? 5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .? kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi. Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao? Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu. 6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi? 7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini? 8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ? 9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu? 10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ? Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi. 11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.? Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani? 12 Mheshimiwa Laisi. Eti kama tunaitaji kuanzisha Kiwanda Tuanzie na CHELEHANI ngapi ? Suali la mwisho Muheshimiwa 13. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ? Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu? KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO. BWANA YESU ASIFIWE ! CCM OYEEE !!!!
@samsondecoman983
@samsondecoman983 3 жыл бұрын
TBC mjitafakari, ndio television yamwisho kutiZamwa baada ya zote, hata kabla ya ucha guzi, nila zima mtambue watanzania wame badilika, sio wale Wa miaka ya zidumu fikra za mwenye kiti Wa CCM.
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 3 жыл бұрын
Mkurugenzi wa uchaguzi anaonekana hata macho ya nyama tuu ni nyoka anasum ya donda ndugu
@rajabumapunda416
@rajabumapunda416 3 жыл бұрын
Kiukweli TBC tuna shindwa kuwa amini kwasasababu ya mafyongo yenu mnayo yafanya badilikeni sio kupelekwa pelekwatu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 6 ай бұрын
Tbc is the Tanzania national brodicast belong to Tanzania population leasener no crush opposition prefer ccm rooling part mostly national brodicast use by rooling part but on national brodicast is the Tanzania population taxpayers Tanzania brodicast has to be chack and balance to all political party not ccm only control Tanzania national brodicast because is the belong to Tanzania population Tbc ni ya watanzania sio ya ccm lazima habari lwe sawa kwa wote
@denicejoseph8632
@denicejoseph8632 3 жыл бұрын
Maneno ya kiutuuzima Ayo ndy yanapaswa kuongea
@kiandangulwi3546
@kiandangulwi3546 3 жыл бұрын
Tbc is a disapointment
@johnyty498
@johnyty498 3 жыл бұрын
mm binafsi tangia siku ile nliacha kutazama tbc sema vile vitangazaji viache jeuri ya maneno,
@johnsonphilliminus4199
@johnsonphilliminus4199 3 жыл бұрын
nyie TBC mnamaksudi sana. Ikifikia chama kinachofanya kampeni kinawasema sisim mnakata sauti au mnahamisha mitambo inakwenda kwa wasiowasema kwa muda huo. Hiyo sio nzuri kabisa
@dismasmmasi2657
@dismasmmasi2657 3 жыл бұрын
Wananchi Tunalifwatilia sana hili
@afredyohana356
@afredyohana356 3 жыл бұрын
Mbowe uko vzr Sana
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 3 жыл бұрын
Hao wanasema tu Tbc hawawezi na hawatofanya Usawa hata siku
@ramadhaninurrumtungi4474
@ramadhaninurrumtungi4474 3 жыл бұрын
Mbadilike sisi watanzania tushawasoma kuwa mnapenderea ccm kwahiyo mbadilike nyie mnaripwa na kodi zetu
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 3 жыл бұрын
Huu ndo uungwana
@mako331
@mako331 3 жыл бұрын
Pale ni kwamba Mbowe alifanya makosa hakuna kingine hapo, sasa hapo ndio wangeonesha wao ni chama cha demokrasia na maendeleo, hawa wakipewa nchi TBC hamna kazi
@mussarashidi8031
@mussarashidi8031 3 жыл бұрын
Tbc niliacha kuangalia sababu kuna upendeleo wakichama, hata taarifa yahabari sio Rahisi sana kutangaza habari za cdm, ile siku walianza kuchambua tu baada yakusimama Lema ndio wakaanza kuchambua, mpaka anamaliza kuongea lema bado wanachambua tu binafsi hata Miminiliuzika Sana nikazima Karisa, hapo kosa lipo kwa watangazaji acheni kuwapa lawama cdm wakati kosa lenu nyie wenyewe mbona mikutano ya magufuli hawafanyi hivo wakati anaongea, jirekebisheni tbc hizo nikodi zetu acheni kuegemea upande mmoja, nyie ndio unatugawa wananchi nakuiona tbc ni ccm
@petermgaya3812
@petermgaya3812 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii.hivi ndivyo inavyotakiwa tuenende
@hajimjaja1163
@hajimjaja1163 3 жыл бұрын
Kuna nguvu ya jumuiya za kimataifa, pili chadema hawaihitajii kabisa tbc, isipokuwa tbc inaihitajia chadema na ccm inaowaita mabeberu washajuwa kiburi chetu cha kisukuma ni kutunyima fedha sasa hapa tunahitajia fedha za hao ccm inaowaita mabeberu, lkn wtz wapo tayari kokote chadema ilipo wapo bila tbc
@dhyera
@dhyera 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ana busara sana I wish ange...
@tysonaugustsimba7111
@tysonaugustsimba7111 3 жыл бұрын
Kweli baba
@mustthetarget-7779
@mustthetarget-7779 3 жыл бұрын
Safi sana
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 3 жыл бұрын
Duuuh! Mbowe ni mwamba kweli, Pamoja na Vitisho vyote walivyo Tishia, Eti kama Hutaomba Msamaha hatufanyi kazi na wewe, mara Vyomba vya habari Vyote vimeungana Kukataa kutoa taarifa za Chadema
@justuswambura4481
@justuswambura4481 3 жыл бұрын
Safi sana Rioba
@dsstanzania
@dsstanzania 3 жыл бұрын
Safi
@godfreythomas3931
@godfreythomas3931 3 жыл бұрын
Ttzo viongozi tbc ni uchama wanasahau hii tv ya uma kodizetu ccm yao chanel teni mapimbi muelewe wananchi wamewachoka 2015 ilikuwa burudani
@marybukuru165
@marybukuru165 3 жыл бұрын
TBC mlikosea wote tuliona. Muda mrefu mlikuwa mnajadiliana wenyewe badala ya kutuonyesha mkutano. I didn't get it. When we're listening to speeches tunataka kusikiliza hawa wanasiasa ili tumake our mind . Hata sisi tusiojua anything kuhusu hii taaluma tuliona you were not there kwa chadema. Mlikosea sana. Yaani ilikuwa inaudhi. Ni kama mlikuwa mnauza sura zenu. Hii apology iwe na kwetu pia. Mlichemsha!
@godfreyorago7501
@godfreyorago7501 3 жыл бұрын
Sawa
@mwombekikatabalo9046
@mwombekikatabalo9046 3 жыл бұрын
Good
@jumamnyambwa3490
@jumamnyambwa3490 3 жыл бұрын
Hamjitambui tbc wabaguzi wakubwa mnakelasana
@adelardiwoisso135
@adelardiwoisso135 3 жыл бұрын
Msio ona Jena, mnaona mabaya tu, masikini wa kufikiri.
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 3 жыл бұрын
@@adelardiwoisso135 huo wako ni ujuinga tegemezi bro
@philipomarco2234
@philipomarco2234 3 жыл бұрын
Wote wamekiri kosa, matamshi ya chadema siku ile yalijaa chuki
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Tido muhando alikuwa mkurugenzi TBC alibolesha vizuri huyo ndie alifanya vizuli hakuwa na ubaguzi wowote mwaka2015 alianzisha kipindi kikiitwa mchakato majimboni badae akaondolewa, najuwa ninyi mnafanya kazi kwa hofu mpaka mnahalibu kazi
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo Karibu sana utazame wimbo mzuri NEEMA YA MUNGU YATOSHA
@josephjosephat7826
@josephjosephat7826 3 жыл бұрын
😬😬
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 3 жыл бұрын
Ili kuwa 2010 Ndipo kipindi hicho kilipo ruka hewani cha mchakato majimboni ila baada ya kuona wagombea wa upinzani wanahoja nzito ndipo ilipo onekana tbc imewabeba sana wapinzani ndiyo chanzo cha Tido kufukuzwa kazi tbc.
@dionizimtwenge2529
@dionizimtwenge2529 3 жыл бұрын
Mnafiki mkubwa mbowe
@bahatimatailizi9649
@bahatimatailizi9649 3 жыл бұрын
Naomba kujuwa mini maana ya TBC maana sielewi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 жыл бұрын
Pombe imewatoka sasa wanaikumbuka tbc mwaka huu hawana pakutokea
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 3 жыл бұрын
Safi sn tuma na mwenyekiti wa wahariri
@moudymkwawa5743
@moudymkwawa5743 3 жыл бұрын
kwakweli matamshi ya wagombea wa chadema hayastahili kwenda hewani
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 3 жыл бұрын
Kula tu mshahara boss tbs haiko huru!!
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Mbowe alikuwa faru John Eti anasema alisikia wanachama wasema ondoeni tbc so kama kiongozi unawezaje kufanyia kazi hearings za watu wee kubwa jinga kweli sema ulikuwa chicha
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
Watu wameongea mambo ya maana na wameeleweka, wewe unaleta upuuzi wako sasa kulewa kunahusiana nini na haukuwepo mkutanoni?
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 3 жыл бұрын
Maamuzi ya mizuka sio uongozi
@wakilingunda1781
@wakilingunda1781 3 жыл бұрын
Kweli .mbowe. Ni mwamba wa cdm
@alwaziirahmad2682
@alwaziirahmad2682 3 жыл бұрын
Ustawi wa maisha
@donaldmwakasasa2064
@donaldmwakasasa2064 3 жыл бұрын
maliza tatiozo tbc isije ikawa sababu ya kusingizia
@mosesizilaeli9206
@mosesizilaeli9206 3 жыл бұрын
Napongeza.tbc.kwa.kukili.kosa.hatimaye.tutaanza.kuingalia.wengi.tbc.yetu.taifa
@kulwamabula4983
@kulwamabula4983 3 жыл бұрын
Hata ww unaongea t kutimza waking lakn latbs yote inatoka juu jichanghanye kufagilia chadema uraemia pasipojulikana
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo Karibu sana utazame wimbo mzuri NEEMA YA MUNGU YATOSHA
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Sioni excuse ya maana toka kwa Mwenyekiti. Kiongozi hutakiwi kuwa na mihemko hata ukiwa jukwaani, waache “culture” ya kuchochea fujo.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Kwan unafikir chadema inawahitaji TBC kama hujui TBC ndo wanawahitaji chadema maana sis wananchi tunawaelewa chadema hata bila tbc
@ibrahimusaidi8989
@ibrahimusaidi8989 3 жыл бұрын
Changia usiwe mkosoaji mpaka jambo la mana
@alialibablly7010
@alialibablly7010 3 жыл бұрын
Ww mwenye tume vishulikie mwenyewe hivi vitaasisi vinavyo jipendekeza kurusha mikutano live kiubaguzi wanaeza kurusha mikutano warushe kwa yote hawaezi waachane na mambo ya siasa millardo Ay tv youtube hao wasafi ku post tu anza na hao
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Mbowe ni muhuni. Chadema wanatumia uhuru na demokrasia kujipatia umaarufu na pesa. Kabla hata ya kushika madaraka, wanafukuza wana habari. Je wakina-atafute hayo madaraka? Chama chao kinaongozwa kwa propaganda. Uwongo wa kushambuliwa, uwongo wa corona mpaka kujiondowa bungeni na sasa uwongo wa uhuru wa habari. Hiki ni chama cha wasanii watu wasikichukulie seriously
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 3 жыл бұрын
Adabu imewaingia TBC
@chamimdesa148
@chamimdesa148 3 жыл бұрын
Duu kumbe kuna chanel inaitwa TBC
@philbertmyinga6344
@philbertmyinga6344 3 жыл бұрын
Kweyiputila kuko
@an6808
@an6808 3 жыл бұрын
Mbowe we Mkorofi, unaonekana tu
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 3 жыл бұрын
Alietendewa hakusema hayo sababu hapa anakiri mwenyewe makosa yake , sasa cjui ww vp
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 3 жыл бұрын
Nitafurahi siku moja tbc watakapoitisha mdaharo wa wagombea urais tukasikia Sera zao.
@sanurahyusuph6149
@sanurahyusuph6149 3 жыл бұрын
Mmeona mtapunguza wafuasi wakutizama TBC
@timorpathsullusi7055
@timorpathsullusi7055 3 жыл бұрын
Ni hali ya kawaida tu, unahisi Chadema ndo inaweza ikafanya Tbc ikadorora?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
@@timorpathsullusi7055 ndio maana Mimi nilikuwa nimeshakuwa na mawazo ya kutoitazama na jamaa zangu sasa huoni ilikuwa tayar imepunguza watazamaji lakin saiv ikianzakurusha mikutano ya chadema itamaintain afuwasi wa chadema na kifupi TBC ilishadorora siku nyingi ila saiv itajitutumua tena kwa hiki ambacho wamekifanya
@timorpathsullusi7055
@timorpathsullusi7055 3 жыл бұрын
@@emmapaul1766 , Naweza kukubaliana na wewe kwa point ya kuwa imedorora, lakini napingana na ww kwamba kudorora kwake ni kwa sababu ya Chadema. 😂😂. Umesikia hapo, TBC walikua na makosa yao bt CHADEMA pia walikua na makosa yao.
@gizakazeno1688
@gizakazeno1688 3 жыл бұрын
Hivi nyie chadema mbna majifanya nyie ndo kila kitu?
@wahdalubawa2802
@wahdalubawa2802 3 жыл бұрын
Tbc hapo Kuna shida
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 3 жыл бұрын
TBC na zbc ni wabaguzi mubadilike
@deussylivesterjackob2138
@deussylivesterjackob2138 3 жыл бұрын
Kwa kweli tbc badilikeni Sana Sana mna mapungufu makubwa mno
@filbertsilvester2373
@filbertsilvester2373 3 жыл бұрын
Tunaomba mh.Lissu akutanishwe na Katambi kwaajili ya mjadala
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo Karibu sana utazame wimbo mzuri NEEMA YA MUNGU YATOSHA
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
Kwa hoja gani katambi alonayo sasa😂😂😂
@Gift22136
@Gift22136 3 жыл бұрын
Why sasa kingine mara ngapi viongozi wa Chadema. Walikuwaga na conferences ngapi? Na mara ngapi wametokea? Wasituletee usenge wao.🚮🚮
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Hoja yako Umeipangilia Vizuri.Ulikoalibu ni hapo Mwisho.punguza Jaziba.
@Gift22136
@Gift22136 3 жыл бұрын
@@husseinshabani9522 Sorry vitu vingine vina tia hasira. Yaani unatamani utoe ubongo wa mtu uhamishie kwingine.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
@@Gift22136Mungu Akusimamie Akuongoze.Ukiona Unahasira sana .kama Umesimama Kaa chini.kama Umekaa chini Lala....
@Gift22136
@Gift22136 3 жыл бұрын
@@husseinshabani9522 one love❤
@Gift22136
@Gift22136 3 жыл бұрын
Msiwe mnawatetea TBC. Ni washenzi tu. Nimeangalia walivyokuwa wanarusha kila viongozi wa Chadema. Wanaweka matangazo. Ina maana hawakuwa haoni feedback? Washenzi tu.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Wameshamaliza.Maneno mengi ya Nini?
@shedrackjacob6038
@shedrackjacob6038 3 жыл бұрын
Si kubwa jinga hilo madokta wameka na kuhadil harafu kayumba unatapka tu
@Gift22136
@Gift22136 3 жыл бұрын
@@shedrackjacob6038 unachekesha sana mimi sio level yako nina first degree CIS na MSHI nenda kagoogle. Halafu ndio uje na utoporo wako. Kaangalie how much of my salary.
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 3 жыл бұрын
CHADEMA ✌✌✌ BABALAOOOOO 🔥🔥🔥🙌
@livingstonemwakipesile2554
@livingstonemwakipesile2554 3 жыл бұрын
Mbowe wewe ni kiongozi mkubwa, acha jazba, kuwa na subira, hekima na uvumilivu, maana we ni kioo, wafuasi wako wanakusikiliza, busara zako ni muhimu kwao
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Afadhali mbowe umegundua kuwa ulichemka!!!
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Usipotoshe wewe mbowe hategemei TBC hata wakiacha kurusha chadema ndo babalao kama hujui mikutano ya chadema ndo inaongoza kutazamwa online kuliko mikutano mingine so kwanza ningewa Mimi nisingekutana na hao washenz TBC na kila mkutano ningewambia wafuwas wasipeleke matangazi TBC na pia wakiwaona wafanyakaz wa TBC wawaxomee popote walipo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@emmapaul1766 si ungemshauri mwenyekiti wako?
@zuberimasoud5847
@zuberimasoud5847 3 жыл бұрын
nyie mnajipendekeza kwa ccm
@muddymohammed7344
@muddymohammed7344 3 жыл бұрын
Mafara saana chadema
@sudysaidykamonongo7549
@sudysaidykamonongo7549 3 жыл бұрын
We kuma nn
@muddymohammed7344
@muddymohammed7344 3 жыл бұрын
@@sudysaidykamonongo7549 unafirwa na tundulisu pamoja na mwenyekiti wake hata mimi waga nawafiraga chadema chadema wote we uoshe mkundu wako halafu nitafte nije nikufire ili ufurah na roho yako
@frankgibore9813
@frankgibore9813 3 жыл бұрын
Acheni ubaguzi nyietbc mnalipwa kodizetu,
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 3 жыл бұрын
RIOBAAA MAELEZO MEEENGII HAYANA MSINGI WA UTETEZII Nikwamba?? Msikae kwenye mikono ya CCM NA SERIKALI PAMOJA NA POLISI, Kaeni katka mikono ya tasnia ya habari na utendaji wenu kiusahihi
@kabumbabarongo787
@kabumbabarongo787 3 жыл бұрын
Acha kubembeleza hao cdm ni wanafiki wanatumwa, watangazaji walitaka kuwadhuru achana nao
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo Karibu sana utazame wimbo mzuri NEEMA YA MUNGU YATOSHA
@kulwamabula4983
@kulwamabula4983 3 жыл бұрын
Hata ww unaongea t kutimza waking lakn latbs yote inatoka juu jichanghanye kufagilia chadema uraemia pasipojulikana
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,4 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
#live MBOWE ANAUNGULUMA MDA HUU "HUU NI UTEUZI WA KIJINGA"
2:16:29
Yuhai media
Рет қаралды 48 М.
NINI KIMEWANDOA MAKAMBA NA NAPE ?
4:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 84