MSIGWA AWAVUA NGUO CHADEMA, ATAJA KILA KITU PESA ZA CHADEMA ZINAPOENDA''KAMA NADANGANYA LISSU ASEME.

  Рет қаралды 60,345

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 806
@ElizabethLaizer-x2e
@ElizabethLaizer-x2e 4 ай бұрын
Ulipokuwa chadema ulikua unarapu hivihivi ulikua unahongwa na mbowe?peleka uroho wa madaraka huko ccm
@FestoLalata
@FestoLalata 4 ай бұрын
Lengo lako Mhe msigwa ili upate nini au ni chadema yote ijiunge na ccm mbona nivigumu kwamba kila mtu alogwe Kama ulivyo logwa wewe,lengo lako ufanane na mhe mwenyekiti,basi jitahidi ukae kwenye nafasi ya mama mhe Samia maana lengo lako ni ulingane na mwenyekiti wa chama,pole sana
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 4 ай бұрын
Ndani ya Chadema hakuna nafasi ya uwenye kiti wa chama bali ufalme na ukurugenzi wa maisha katika hiyo kampuni yao ambayo wao wanaiita eti ni chama cha siasa...!!!
@HamisLeo
@HamisLeo 4 ай бұрын
Mbowe ametoka familia tajri tz hvyo huwez lingana nae, pia cdm haina pesa za kuvuja km unavyowahadaa watu, ruzuku ya cdm hukaguliwa na C.A.G toka mwaka 1995 haijatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha. Taifa lina vtu vingi vya kujadili ongeen matatzo ya nchi
@nchimachalosomasi311
@nchimachalosomasi311 4 ай бұрын
Jamani njaa Mbaya. Tujifunze kujitegemea kuliko kutegemea. Huo uchawa haukupi heshima hata siku Moja zaidi ya kuzaraulika tu. Hapo kila mtu anakuona ni boya kwa kukosa mwelekeo
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 ай бұрын
Hapana sio njaa ndo ukweli usitake kuficha ukweli siku zote kwenye pesa kuna shida na ukiona ivyo lipo ye sio mtt mdogo
@WillbadBeda
@WillbadBeda 4 ай бұрын
Kweli njaa mbaya sana
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 3 ай бұрын
wewe unasema njaa Mbaya matamanio yako u kweli utabaki ivyo
@gilianiaugustino
@gilianiaugustino 4 ай бұрын
Tz ni kubwa sana na watu wana uelewa tofauti mkubwa na mdogo kuna mtu alisema kuwa makini anae kuambia kuhusu wengine ndiye huyo huyo atawambia wengine luhusiu wewe dunia mapito!
@beinafuu6219
@beinafuu6219 4 ай бұрын
Mwanaume unatia aibu jaman sasa haya yote yanini.mbona huligombea sasa ungeshinda ungeondoka?.
@chanendimo7815
@chanendimo7815 4 ай бұрын
Nadhani hii ndo hoja hasa; angeshinda ingekuwaje?
@yasiniJuma-sr4vi
@yasiniJuma-sr4vi 4 ай бұрын
Ndio hapo sasa
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 4 ай бұрын
Huyu jamaa kumbe kichwani niuchafu tu'
@CristinLyanga
@CristinLyanga 4 ай бұрын
Bravooo,acha kujitia aibu hapo ,Watanzania wa leo sio wa jana,wanajua kilakitu, ufala mwingi boya domo kubwa wewe tena bayaaa .
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi 4 ай бұрын
NIKWELI NDIO MAANA HATA OFIC HAWANA WE NDIO DOMO UNATETEA UJINGA WW UTAKIJUA CHAMA ZAIDI YA MSIGWA
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 4 ай бұрын
Sio hoja majungu
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 4 ай бұрын
Apa kwanza tunasambalatisha ngurunzinza mpaka maji muyaite mma😂😂😂
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 4 ай бұрын
Ukimaliza kumtusi mbowe utapata mshahara
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 4 ай бұрын
kama kuna Ufisadi kwanini CAG anatoa hati aafi kila mwaka ?? wewe na CAG nani mkweli?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
Sasa katukanwa mbowe mnaumia mbona kila siku Samia anatukanwa mnafurahia tulieni dawa iwaingie vizuri 🤣🤣🤣😊
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 4 ай бұрын
Hajamtusi kasema kweli
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 4 ай бұрын
We ni mjinga sana, hujui kitu, chadema ni sakosi ya wachaga, kama unapenda upinzani katafute chama, cha haki kwa watanzania wote, na si chadema. Mimi niliachana na chadema 2014
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 4 ай бұрын
​@@hamisimuhunzi7916CHADEMA haijawahi kupata hati safi
@EbenezerMagari
@EbenezerMagari 4 ай бұрын
1,katiba 2,tume huru 3,umasikini UNGEGUSA KIPENGELE KIMOJA TU NINGESHA KUTUNZA LKN MJUNGU 😢 NOTHING APOOO
@PeterLikungamoto
@PeterLikungamoto 4 ай бұрын
Njaa zinakusumbua tu msigwa uriwasema sana hao ccm sasa unawase chadema kifo chako cha kisiasa kimefika
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 4 ай бұрын
Anaelewa anachokiongea lowasa almpa pesa dakika zamwisho kapewa ugombea wakati lowasa nimtuhumiwa waufisadi ,mpaka kaachia uwaziri mkuu wakati huo ,mbowe lisu nawengine wanawaita ma ccm ,,hakuna chama nikikundi chamtei mkwe wambowe
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 4 ай бұрын
We ni mjinga sana, hujui kitu, chadema ni sakosi ya wachaga, kama unapenda upinzani katafute chama, cha haki kwa watanzania wote, na si chadema. Mimi niliachana na chadema 2014
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 4 ай бұрын
Nimekuelewa vizuri ndomaana mbowe h haachii kiti​@@BenjaNetanyahu
@LassonDominick
@LassonDominick 4 ай бұрын
​@@BenjaNetanyahu wew nae tumia akili bro!!!! Kula mwenye akili timamu anahaki ya kuwa upinzani kwa mambo yanayofanywa na CCM!! Sijakataa maana kuna mazuri yanayofanywa na chama cha mapinduzi lakini namabaya yapo wanayafanya! Kwahyo kama wanayafanya hayo mabaya lazima yasemwe2 hata ufanyeje lazima watasema!!! CHADEMA KAZI MUNAIFANYA KUBWA SAANA!!!
@matipukamatipuka9654
@matipukamatipuka9654 4 ай бұрын
Wafinye
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 4 ай бұрын
Kataja Ulemavu wa Mwenzie Mungu wanguuuuu.Baba Mchungaji nadi sera na ilani Mama anatosha sana
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 4 ай бұрын
Njaa hiyooo pole msigwa! Cheo kimekutoa hakuna jipya
@gerachtangatya2835
@gerachtangatya2835 4 ай бұрын
Hawa wachungaji wa cku hz ndo wanautukanisha ukristu ila MUNGU anawaona
@robertphilip385
@robertphilip385 4 ай бұрын
Huyu alikua mchungaji wa kujitangaza mwenyewe maana alianzisha kanisa lake mwenyewe akajiita mchungaji yeye mwenyewe
@Anithawilielemi-uh3ww
@Anithawilielemi-uh3ww 4 ай бұрын
Kumbe Msigwa mmekula sana hiyo foundation kwa miaka mingi,Ila bado sitakuelewa mpaka ututhibitishie kama mchungaji hukuwahi kujuwa kuwa unatenda dhambi?
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 4 ай бұрын
Hata hao wanakushangilia lkn lazima wana maswali juu yako
@dismasmtui729
@dismasmtui729 4 ай бұрын
Huyu jamaa ni mtu ambaye yuko frustrated kwa hiyo anazungumza kwa hasira sana. Yeye ni CDM mchana na usiku, anajaribu kujustify kuondoka kwake kwa maneno mepesi!.
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 4 ай бұрын
Usitukane mkunga wakati uzazi ungalipo, hekima nikunyamaza,
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 ай бұрын
Mh Wanasiasa hawana *UZAZI*
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 4 ай бұрын
Kuna mzazi gani wa kula mwenyewe huku wanawe wakishinda njaa na kulala njaa??!! ​@@sskondopoleani9616
@willymgaya7618
@willymgaya7618 4 ай бұрын
Wanasiasa mmeacha kuzungumza matatizo ya wananchi mmeishia kusemana tu majukwani. Mnatushangaza sana. Mbona tunawachoka .Acheni kutuona wananchi hatuelewi mambo yenu. MSIGWA zungumza mambo yanayohusu matatizo ya wananchi sio ya mtu.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 ай бұрын
Samahani ujue wanaojielewa kama wewe ni wachache hawa wameshajua kundi jengine la watu hupenda unafki na uhasidi ndio maana hana lingine la kusema isipokuwa majungu.Upuuzi sana kaona ndio kik ya kutafutia jina badala ya kudeal na shida za wananchi. Katika nchi hii tunatakiwa sisi wenyewe tuamke kwa pamoja alafu sisi ndio waamuzi wa chama gani tukiweke kikishindwa tunatoa mpaka tuone wepi ni sahihi kutuongoza. Bila hivyo tutaishia kupigiwa mafumbo na malumbano huku wakijineemesha watu wachache.
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 4 ай бұрын
Lazima apasue ukweli
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 4 ай бұрын
Ukiona ivyo ujue CCM imekwisha kumueka uyu umbwa anae ungana na umbwa wenzake
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 4 ай бұрын
sasa huyu sinjaa hapo kapewa pesa ndefu
@paulmagao9167
@paulmagao9167 4 ай бұрын
Msigwa kachanganyikiwa. Wajinga tu ndo wanamsikiliza. Mbona majuzi tu aligombea uenyekiti wa Nyasa. Ok. Kuna Mo , Bill Gates foundation na wote bado ni CEOs wa kampuni zao na hakuna Conflit of interests. Njaa inamsumbua Mchungaji fake.
@KesuYeile
@KesuYeile 4 ай бұрын
Kuwa na akiba ya maneno haya yote umejua baada ya kushindwa na sugu,hakuna asiye kujia ni njaa2zina kusumbua
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Kama Mbowe ni Wa Machame wote tujijue😢
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 4 ай бұрын
Siasa🙌🙌🙌🙌
@tusanemheta8638
@tusanemheta8638 4 ай бұрын
😂😂 Chadema haifi Leo Wala kesho Mbwa ww
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 4 ай бұрын
Huwezi kukiangusha CHADEMA hata ufanyeje
@samuelmakara
@samuelmakara 4 ай бұрын
Hongera msigwa. Unaonyesha uzuzu wa hali ya juu😊
@muslimqueen5314
@muslimqueen5314 4 ай бұрын
Hahahaha uzuzu wa kiwango cha lamii kabisa
@LamekiMichael-pz7rv
@LamekiMichael-pz7rv 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 4 ай бұрын
Ahsante kwa kuwa umeyaona hayo juzi
@laupetpet7779
@laupetpet7779 4 ай бұрын
Wewe si ulikua unasema Samia ameuza bandari yetu?? Je amerudisha?? Au emenda kuungana nae kuuza???
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 4 ай бұрын
umasikini unamsumbua Msigwa kuwa na share ktk kampuni yeyote sio ufisadi hata yeye anaweza nunua..
@melch3097
@melch3097 4 ай бұрын
Daaah, vifo viko tofauti ila huyu jamaa, atakufa vibaya
@yusuphmtuga4951
@yusuphmtuga4951 4 ай бұрын
Wewe ni Mungu?
@PeterMwakisambwe-ys3rr
@PeterMwakisambwe-ys3rr 4 ай бұрын
Njaa mbaya brother pole msigwa
@florianmodest6215
@florianmodest6215 4 ай бұрын
Mtu masikini sana huyu!. Hana maisha ana chuki mno. Ndio maana ana uchu wa madaraka.
@leloleonard4845
@leloleonard4845 4 ай бұрын
Njaa mbaya sana 😂😂
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 4 ай бұрын
Yaani huyu Msigwabsasahv hana hata point, ni majungu tu anataka ku survive nayo. Fanya siasa
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 4 ай бұрын
Njaa msigwa mungu anawaona mnataka kuua demokrasia.
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 4 ай бұрын
Wewe mwizi na mchawi kabisa!
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 4 ай бұрын
Huyu ndiye mchungaji???? Mungu tusaidie sana na ibariki Tanzania yetu 🇹🇿🇹🇿
@IbrahimuKinyunyu
@IbrahimuKinyunyu 4 ай бұрын
Mzeee lowasa alikusa mstarab sana aliporud ccm akuwa na maneno alisema nimerud nyumba n, Sasa mchungaj ww duu hatar Mungu anakuona, unasemea kilema Cha mwenzio hakuomba kuwa vile, hata km ni siasa no umepitiliza ila njaaa mbaya sana
@jumahalifamkindi2175
@jumahalifamkindi2175 4 ай бұрын
Ubinafsi na Njaa ni mbaya sana kwa viongozi wetu hawa wa kiafrica wasio na uzalendo na nchi zao ni Bora tungetawaliwa tu na Wazungu maana wangetunyonya pia tungenufaika na fursa za kimaendeleo kuliko hivi sasa wachache ndio wananufaika na nchi hii
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 4 ай бұрын
Usimwamini mtu kwenye maisha😂😂😂yuda alie msaliti yesu
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl 4 ай бұрын
Elimu Elimu Elimu. Tunataka sera safi za ccm sasa. Msigwa sema hayo tupate raha. Ok
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 4 ай бұрын
Yupo sawa mboye anamiliki Pesa nyingi Kuliko chama
@emmanueldpaul9501
@emmanueldpaul9501 4 ай бұрын
Sisi Wana ccm tumekupokea,ila kwa haya tunakuona mjinga hii sio siasa ni majungu
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q 4 ай бұрын
Sjawai kuona mchungaji anaewasukumizia kongoo kwenye shimo la Moto, ili yeye ale minofu.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 4 ай бұрын
Masikinii😢 hadi huruma. Weka akiba ya maneno.
@joellongidare8280
@joellongidare8280 4 ай бұрын
Una akili
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 ай бұрын
Vizuri sana mlipue ataacha siku nyingine
@christophermwampashe465
@christophermwampashe465 4 ай бұрын
Ulikuwa wapi kuyasema haya yote ukiwa ndani ya chama?
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 4 ай бұрын
Halafu anamtaja Mungu sbb za yeye kuondoka..hivi angeshinda uchg angekuwa hapo? sbb za kuondoka ni kushindwa uchaguzi hakuna lingine.
@herybertsabai6503
@herybertsabai6503 4 ай бұрын
Walisema kina zito wakafukuzwa, ngoja siku Mh Lisu nae atoke sijui utasemaje. pole sana
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 4 ай бұрын
Ameamua kusema baada ya kutoka chadema kama walivyofanya akina Slaa, Selasini, Zito, Kubenea, Lijualikali, Lowasa, Sumaye, Nyarandu, Mashinji, Upendo Peneza, Aman Kaburou, Kafulila, Katambi, James Milya, Silinde---orodha ni ndefu. Siyo wote waliokwenda CCM wengine walikwenda ACT na NCCR .
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 4 ай бұрын
Njaa mbaya sana msigwa punguza uchawa
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 4 ай бұрын
Umekuja kuvubaza CCM hatukuelewi shida zetu wananchi ni maisha magumu na umasikini. Hiyo kitchen party ya Mbowe Mbowe Mbowe inatusaidia nini?
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 4 ай бұрын
Msema kweli ni mpz wa Mungu msigwa kapiga kwenye mshono 😂😂
@NestoryNyansagah
@NestoryNyansagah 4 ай бұрын
Mshono upi
@CharlesChoma-v4q
@CharlesChoma-v4q 4 ай бұрын
Msigwa upon ccm unajizalilisha je were uko safi
@geoffreymwafongochristop-vd6ob
@geoffreymwafongochristop-vd6ob 4 ай бұрын
Msigwa, kaka umechemka, Torati siko hivyo we ni shetani kweli, ila Mungu akusamehe, Sana Ndugu tulikuamini, Sana kuliko CCM,
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 4 ай бұрын
Unajiaibisha muungwana anakaaga kimyaaaaaaa.Yesu alikuwa mnyenyekevu na mkimya ungefuata nake tungelikuona wa maana sana.yendo z
@Athuman-rd4br
@Athuman-rd4br 3 ай бұрын
siasa kweli kumanina
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 4 ай бұрын
Vibaya sana unafanya unafiq sana muogope m.mungu
@castorymhoja6050
@castorymhoja6050 4 ай бұрын
Mimi nilikuwa najua mchungaji kumbe shetani mkumbwa mzee usifikili watanania wanakuelewa
@SanziNzige
@SanziNzige 4 ай бұрын
Sisiemu NI majinga kweli mnakaribisha mwehu na eti mnakaa mnamsikilza na kpigia makofi.temeeeni mate huyo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 ай бұрын
Mbowe,Lema ni mabillionare.sana😢Ni matajiri sana😢😢
@gabrieldoseti5729
@gabrieldoseti5729 4 ай бұрын
Njaa mbaya sana
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 4 ай бұрын
Mm nikushauli tu uwe na akiba ya maneno hya wakati mnagombea na sugu na sugu amekupiga chin asingekupiga chini ungesema hyo maneno harafu ww unajiita mchungaji hya
@jonesvictor6173
@jonesvictor6173 4 ай бұрын
Msigwaaaa hongera kwa kujipambania
@franciscoivo1591
@franciscoivo1591 4 ай бұрын
Unayoongea sawa kiongozi,ila nashindwa kuelewa kwa nini hukusema hapo awali,ungeshinda uongozi ungeondoka?,kwa mini hukusema hayo siku xote, Wewe huaminiki karibu huku kwetu lakini si wakuaminika rather a selfish!
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 4 ай бұрын
Hongera
@LomnyakiLaizer-i2y
@LomnyakiLaizer-i2y 4 ай бұрын
Kweli unadhihirisha uwendawazimu wako
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 4 ай бұрын
Atali tupu komaa nao msingwa tu akuna namna ccm oyeeee👍👍👍👍👍
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 4 ай бұрын
Wewe mchungaji muogope m.mungu ulikuwa huko Bora ungenyamaza kuliko kuwaharibia watanzania matumaini yao
@IbrahimuKinyunyu
@IbrahimuKinyunyu 4 ай бұрын
Mlyaa ng'ande mwenzang wahh tunasema inzala likoho kweli nmeona
@melcksedeki1012
@melcksedeki1012 4 ай бұрын
Wajumbe walijua wew ni mnafiki ndiomaana wakamchagua Sugu
@AndersonLyandala-du1rt
@AndersonLyandala-du1rt 4 ай бұрын
Sasa hayo ndio yatatatua matatizo ya watanzania?
@christophermpogole4944
@christophermpogole4944 4 ай бұрын
Kukaa kimya pia ni jibu, usidharau waliokutoa ukaonekana!
@khamishemedsaid2134
@khamishemedsaid2134 4 ай бұрын
Kweli msigwa bora umehamiya ccm sababu chadema hawana sera
@Michaelmwakikao
@Michaelmwakikao 4 ай бұрын
Umeishiwa Sera
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 4 ай бұрын
HUYO sio bule wangewahi kumpima akili yake maana ni mjinga tuu ndio ataweza muelewa
@nuhumhagama2132
@nuhumhagama2132 4 ай бұрын
Siasa mbaya sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Haloooooooo ya Ccm Msigwa sema usiogope sema
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 4 ай бұрын
Pole mzee umemia sanaa ww ndie unatutadanganya ww mzigwa
@laupetpet7779
@laupetpet7779 4 ай бұрын
Mbona umepunic boya wewe
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 4 ай бұрын
😂😂unateseka kweli
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 4 ай бұрын
Hovyo sana
@MerryWilliam-r4l
@MerryWilliam-r4l 4 ай бұрын
Unatumia nguvu sana
@adammbuba7230
@adammbuba7230 4 ай бұрын
Safi sana mh Msigwa
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 ай бұрын
Yani dawa inawingia vizuri chadema wamebaki kusema njaa mbaya 🤣🤣 kumbe inawauma CCM tunaburudika sana yani mimi sichoki kumsikiliza Msigwa mpaka na lala na sauti ya Msigwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 ай бұрын
​@@halimamasai2234inatuuma nini sisi hatujishuhulishi na wanao kula matapishi yao kama kina msigwa, peoples power always
@ExaveryMtware
@ExaveryMtware 4 ай бұрын
Wew tengeneza ajenda ulikuwa mdudu mdg sana hivo weka mtazamo wako kama msigwa nchi utaivusha vp katika wimbi la umasikini chini ya mama Samia acha porojo
@lazarokajole5454
@lazarokajole5454 4 ай бұрын
Njaa mbaya Sana jmn
@hemedilikunguala6485
@hemedilikunguala6485 4 ай бұрын
Njaa hiyo
@maulidimwambala2127
@maulidimwambala2127 4 ай бұрын
Sasa badala ya kutafuta utatuzi WA maisha magumu ya WA tz kazi mbowe mbowe acha uchizi bro
@georgegilbertkaizilege5347
@georgegilbertkaizilege5347 4 ай бұрын
Mchagga katumwa ela😂😂😂
@sulemanndunguru114
@sulemanndunguru114 4 ай бұрын
Njaa hiyo brother
@humphreylufurano64
@humphreylufurano64 4 ай бұрын
Moja ya vitu wanasiasa wanakoseani kuacha hoja za msingi za kuisaidia nchi ili wananchi wachague wenyewe na badala yake kuwaponda watu wenye msimamo tofauti...nadhani huo ni udhaifu mkubwa sana nchi hii...
@JeremiahMwakanyamale
@JeremiahMwakanyamale 4 ай бұрын
Mchungaji feki,anunuliwa Kwa pesa ajifanya kutamba ccm,mshtakini huyo aliituss sana ccm.
@hiyanimsangi73
@hiyanimsangi73 4 ай бұрын
Hakuna kama msigwa...umetisha mkuu
@profs.a5412
@profs.a5412 4 ай бұрын
😂😂😂...mi nilisha sema tz hakuna kiongozi wa kweli kqenye hii nchi ambaye yuko tayari kusimamia masilahi ya taifaa, c ndani ya chichiem wala nje ya chichiem wote ni wezi watupuu😂
@adiaygo8546
@adiaygo8546 4 ай бұрын
Watanzania watanzania watanganyika💣💣💣linasubiri kulipuka tunamsikiliza tena huyu huyu😂😂😂😂
@adiaygo8546
@adiaygo8546 4 ай бұрын
🎉nimegundua jina la mchungaji watu wameanza kulisahau😅😅
@frankmoshi346
@frankmoshi346 4 ай бұрын
Njaaa mbaya
@SirajiHamis-pc1kh
@SirajiHamis-pc1kh 4 ай бұрын
Njaa tu wew huna jipya
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 4 ай бұрын
Msigwa Duuu kweli usimuamini mwanasiasa
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 4 ай бұрын
😂😂😂
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 4 ай бұрын
Da!jamaa kawa na majungu sana😂😂😂
@kLaknFXIOLI73acvSSWurw
@kLaknFXIOLI73acvSSWurw 4 ай бұрын
Alipokuwa chadema hoja ilikuwa matatizo ya wananchi kaingia CCM hoja ni Mbowe. Bongo bahati mbaya.
@msongojumbe486
@msongojumbe486 4 ай бұрын
Msigwa mapesa yatakutesa
@elishamumba4304
@elishamumba4304 4 ай бұрын
Bibia inasema masikini haminiki ni kweli
@adiaygo8546
@adiaygo8546 4 ай бұрын
Msimseme sana mtani wangu huwa Hawakawii kujinyonga 😅😅
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 4 ай бұрын
Siku moja CCM na CHADEMA na vyama vyote vitakufa afu kitainuka chama cha vijana wenye Nguvu ,hekima na hofu ya Mungu kuongoza taifa letu iki kuleta tiba ya mioyo ya watanzania ila pia kuishangaza dunia kuwa Tanzania na africa tuna uwezo pia. Japo kwa sasa Tumuombee rais wetu na mchi yetu mbali na changamoto maumivu na kukata tamaa kwingi ila Mwenyezi Mungu ni mwaminifu yote yanakusudi chini ya jua
YERICKO NYERERE AMTAJA ATAKAYEGOMBEA URAIS CHADEMA
11:34
JAMBO TV
Рет қаралды 24 М.